Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Diamond Ataka Wema Amzalie Mtoto .....Wema Akataa Kuogopa Kupoteza Mvuto Na Umaarufu, Diamond Amrushia Dongo

0
0
Diamond Platnumz kwa muda sasa amekuwa akimwambia mpenzi wake Wema Sepetu abebe mimba kwasababu yeye anataka mtoto lakini Wema amekuwa mgumu kukubali kudungwa mimba na Diamond kwasasa kwa madai kuwa hayupo tayari kuzaa muda huu sababu ikiwa ni kuwa atapoteza mvuto wake kiumbo na pia kuchuja kiumaarufu, kitu ambacho hakitaki. Chanzo kilicho karibu na Wema na Diamond kimeiambia Mpekuzi kuwa:

Nina Watoto Watatu Na Kila Mmoja Ana Mama Yake: Ali Kiba

0
0
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.   Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo  Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake.

Picha: Petit Man Na Esma Dada Yake Diamond Platnumz Wafunga Ndoa.

0
0
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz  amefunga ndoa  jana  na Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame Productions.   Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki Mirror. Ndoa hiyo ni ya kiislamu na celebrities kadhaa walihudhuria.    

Msanii wa Bongo Fleva ( Mez B) Awatia Aibu Mabinti baada ya kuwalazimisha kupiga nao Picha Wakiwa Uchi wa Mnyama

0
0
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha wakiwa watupu. Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri juzikati kwenye Ufukwe wa Mikadi uliopo Kigamboni jijini Dar muda mfupi baada ya jamaa huyo ‘kushuti’ video ya

Vurugu za CHADEMA: Watu 8 wakamatwa na jeshi la Polisi....Watatu wafikishwa mahakamani, wakosa dhamana na kutupwa rumande

0
0
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na wengine watano wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro.   Wafuasi hao watano wa mkoani Morogoro wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kupinga agizo lilitolewa na viongozi wa jeshi hilo la kuwataka

CHADEMA Wasisitiza kuwa Maandamano Bila Kikomo

0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kuwapo kwa maandamano yasiyo na kikomo yatakayoanza leo katika baadhi ya mikoa licha ya jeshi la polisi kuzuia. Chama hicho kimesema maandamano hayo  yana lengo la kushinikiza kuahirishwa kwa Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Malengo mengine ni kuitaka Sheria ya Mabadiliko ya Katiba itekelezwe katika upatikanaji wa

Shule zafungwa jijini Dar kuhofia watoto kutekwa....Magari aina ya Noah yahusishwa

0
0
Uvumi wa kuwapo kwa watu wanaoteka nyara watoto kwa kutumia magari aina ya Noah, umeleta mtafaruku katika shule saba za msingi Manispaa ya Temeke, na kusababisha wazazi kuvamia shule hizo na kufungwa kwa muda. Hata hivyo, katika baadhi ya shule hizo kumeripotiwa kutokea vurugu kiasi cha jeshi la polisi kuingilia kati kutawanya watu waliotaka kuvunja mageti ya kuingilia kwenye shule

Rais Kikwete Ahudhuria Hafla ya Kumpongeza kwa Uongozi Mzuri

0
0
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington Rais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa

Tangazo la Nafasi za Ajira toka Jeshi La Magereza Tanzania

0
0
Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-   MASHARTI YA KUAJIRIWA:    1.    JINSI: Mvulana au Msichana ambaye hajawahi kuoa au kuolewa na asiwe na mtoto   2.    URAIA: Awe Raia wa Tanzania Bara   3.    UMRI: (a) 

Diamond azua vurugu nyingine Uingereza

0
0
Mwanamuziki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia jana alisababisha vurugu kubwa nchini Uingereza baada ya kushindwa kutumbuiza katika ukumbi wa LaFace Club uliopo jijini London.    Hii ni mara ya pili kwa Diamond kusababisha vurugu nchi za ughaibuni baada ya Septemba 1, kusababisha vurugu katika mji wa Stuttgart nchini Ujerumani aliposhindwa kufika kwa wakati

Ongeza mvuto kwa shanga za Kiafrika

0
0
Na Kelvin Matandiko-Mwananchi Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa kunogesha vazi kwa ladha ya shanga.   Waafrika walikuwa wakitumia vazi hilo kama sehemu ya kuongeza hadhi zao au kuashiria ufahari hususani katika familia za machifu.   Kadri siku zinavyoenda mambo yamekuwa yakibadilika. Kwani mtindo

Serikali Haitataifisha Shule Wala Hospitali --Waziri Mkuu

0
0
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala Vyuo Vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi ili kuisaidia jamii kubwa ya Watanzania. Ametoa wito huo wakati akizungumza na walimu, wazazi na wahitimu wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Magnificat iliyoko Sanya Juu, wilayani Siha mkoani Kilimanjaro.

Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume

0
0
Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa kisaikologia kwa mwanume husika.   Kuna hatua au makundi matatu katika ukuaji wa kawaida kwa mwanaume ambapo huweza kuwa na matiti makubwa na baadaye huisha na kurudi kuwa ya kawaida.   Kundi la kwanza ni mtoto mchanga wa kiume, ambapo karibu asilimia

Maandamano ya Chadema yazimwa ....Yalipangwa kufanyika Arusha, Iringa na Morogoro

0
0
Jiji la Arusha jana lilikumbwa na taharuki kufuatia askari polisi kuzingira barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na maandamano hayo licha ya kuzuiwa na polisi. Hata hivyo, maandamano hayo yaliyopangwa kupinga kuendelea kwa Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma, hayakufanyika. Chadema jana ilitangaza kufanyika

Hasara wanazopata watoto kwa kudekezwa

0
0
Ni siku nyingine wajukuu zangu yenye baraka na neema, kwasababu tumekutana tena na kujadili mambo mazuri, lengo likiwa kufahamishana na kuelekezana mambo mema.   Kama utakuwa mwerevu kama yule rafiki yako au zaidi ya yeye utakuwa umesoma kichwa cha habari hapo juu na kutambua mada yetu ya leo.   Kama hujaelewa usijali nitakufafanulia kwa kina, ili uweze kuelewa nini nataka tujadili

Big Brother Africa 2014: Mshiriki wa pili wa Tanzania atajwa

0
0
M-Net wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.   Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.   Bofya HAPA

Picha za utupu za Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian zavuja

0
0
Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni. Mapema Jumapili ya jana picha mbili za utupu za Rihanna zilivuja kwenye mitandao ya 4chan/Reddit. Weekend hii picha za mastaa wengine wakiwemo Kim Kardashian, Vanessa Hudgens, Kate Bosworth na Hope Solo nazo zilivuja. Muigizaji wa filamu,

Mariah Carey adaiwa kuzama kimahaba kwa muongozaji wa filamu

0
0
Mariah Carey anadaiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na muongozaji wa filamu, Brett Ratner baada ya ndoa yake na Nick Cannon kuvunjika. Muimbaji huyo, 44 anadaiwa kuwa karibu na muongozaji huyo, 45, kumsaidia kusahau kuachana na Nick waliyedumu kwa miaka sita.   Carey na Ratner walianza kuwa marafiki baada ya muongozaji huyo kuongoza video za nyimbo zake Heartbreaker na We Belong

Waliopoteza maisha kwenye kanisa lililoanguka la TB Joshua wafikia 115

0
0
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia kuanguka kwa jengo lililopo kwenye kanisa la TB Joshua jijini Lagos, Nigeria, imefikia watu 115, kwa mujibu wa serikali ya Afrika Kusini. Waziri Jeff Radebe wa Afrika Kusini Jumatatu hii ameitaka serikali ya Nigeria inayokosolewa vikali kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo. Tukio hilo lililotokea Sept 12 kwenye eneo la kanisa la mhubiri maarufu

Mtu mmoja Auawa na Wananchi baada ya Kumuua Mkewe Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma

0
0
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.        Watu wawili wameuawa Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea mnamo tarehe 20/09/2014 majira ya saa 23:30hrs katika Kijiji cha Mzogole Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images