Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora ndani ya tamasha la Fiesta
Msanii
mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye
Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja
na Linah.
Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.
Msanii
wa
Tamasha la Seremgeti Fiesta 2014 Ladondosha burudani ya Nguvu kwa Wakazi wa Tabora
↧
↧
Kivazi Cha Jini Kabula Aibu Tupu....."Maziwa" Yote Nje!
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini
Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha
wazi mwili wake.
Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye
bethidei ya mtoto wa mwigizaji mwenzake, Riyama Ally ambayo
aliiunganisha na ya kwake na kufanya bonge la sherehe katika Ukumbi wa
Chamuruma uliopo Mabibo jijini Dar, ambapo mwanadada huyo
↧
Tuhuma za Usagaji: Aunt Lulu Ampigia Magoti mama yake
Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa
skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama
imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi.
Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana
ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze
kumkwaza tena mzazi wake huyo.
“Najua nimemuumiza sana
↧
Tabora wamkataa Nuh Mziwanda......Wasema hawezi kuwa mume wa Shilole
Nuh Mziwanda jana alijikuta katika wakati mgumu mjini Tabora baada ya
Shilole kuwauliza wakazi wa mkoa huo anakotokea iwapo Nuh Mziwanda
anafaa kuwa mume wake.
Shilole ambaye ni mchumba wa Nuh alifunguka mbele ya mashabiki wa
Tabora waliokuwa wamefurika kushuhudia show ya Serengeti Fiesta kutaka
kujua kama wanamtaka Nuh Mziwanda awe shemeji yao kitu ambacho mashabiki
hao walikataa.
↧
Bunge La Katiba lachafuka....Wajumbe washambuliana kwa maneno makali, Sitta Aingilia kati
BUNGE Maalum la
Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema Serikali ya Zanzibar
inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo kulipwa
mishahara.
Wajumbe
kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai kawavunjia
heshima hali iliyopelekea Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta
↧
↧
Mahakama kuu yatupilia Mbali Maombi ya Pingamizi la kusimamisha Bunge la Katiba
MAHAKAMA
Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam jana imetupilia mbali maombi ya
pingamizi la awali la kusimamisha Bunge la Katiba linaloendelea mjini
Dodoma, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea, kwa kuwa
wametumia kifungu cha sheria kisicho sahihi.
Kadhalika,
mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi hilo la awali, kwa kuwa
mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba
↧
Trafiki Aliyegongwa na Daladala Afariki Dunia
ASKARI wa
usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL
Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati
za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es
Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
↧
Dr. Slaa Ateuliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa,
Freeman Mbowe amewateua Dk. Willbrod Slaa kuwa Katibu Mkuu, John Mnyika
kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalim ambaye anakuwa Naibu Katibu
Mkuu Zanzibar.
Viongozi hao wameteuliwa jana usiku na kupitishwa na
Baraza Kuu la Chadema hivyo kufikia tamati ya uchaguzi wa ndani ya chama
hicho.
Mhe. John Mnyika
↧
Mwanamke Mchawi Adondoka Kanisani
Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata
Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi
alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea.
Tukio hilo lilijiri Septemba 13, mwaka huu wakati waumini wa kanisa hilo wakiwa wamezama kwenye maombi ya kufunga.
Ilidaiwa kuwa, waumini wa kanisa hilo wakiwa katika maombi hayo,
Nabii Gideon
↧
↧
Damu Yamwagika tena Mkoani Geita.....Mvuta Bangi Aua Watu watatu na kumjeruhi mmoja kwa panga na mkuki
Matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia, yameendelea kuuandama Mkoa wa
Geita, kufuatia watu watatu kuuawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa mkuki
huku mmoja akijeruhiwa baada ya mtu mmoja anayesadikiwa ni mgonjwa wa
akili kutekeleza unyama wake.
Tukio hilo lililotokea jana asubuhi katika kijiji cha Nyamilyango
wilayani Geita, na aliyejeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya
ya
↧
Polisi na Wabunge Wamshutumu Mbowe kujifanya Amiri Jeshi Mkuu na kutangaza Vita ya Maandamano.....Wasema amevuka mipaka, Vijana waonywa
KAULI ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ya kuagiza yafanyike maandamano na migomo nchi nzima bila kikomo, ikiwezekana hata bila ya kibali cha Polisi, imelichefua Jeshi la Polisi.
Jeshi hilo limeonya kuwa halitasita kumchukulia hatua kali, kwa kuwa anavuka mipaka ya kisiasa na kugeukia makosa ya jinai.
Aidha, limemtaka kuacha mara moja kuihamasisha jamii, kutofuata sheria na
↧
Mkuu wa Kituo cha Polisi Anusurika Kuuawa na Wananchi baada ya kufamaniwa akitaka Kumbaka Mwanafunzi wa kidato cha nne
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kilichopo katika kata ya Katoma wilayani Geita mkoani Geita amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akitaka kufanya mapenzi na mwanafunzi katika chumba anachoishi mwanafunzi huyo(Geto).
Tukio hilo limetokea juzi Jumapili majira ya saa tatu usiku ambapo wananchi wakiwa na marungu na mikuki waliweka mtego wa kumnasa mkuu
↧
Mabinti Pacha Walioungana kuhitimu kidato cha nne Makate
Hatua ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia Novemba mwaka huu, wakati mabinti hao watakapofanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne.
Itakumbukwa kwamba walipokuwa wakimaliza elimu ya msingi mwaka 2009 kijijini kwao Ikonda, walikuwa
↧
↧
Wawili Wafa katika AJALI Wakitoka kuzika mwenzao Musoma
Watu wawili wamekufa na wengine watano kujeruhiwa baada ya magari mawili, likiwamo basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Athuman Mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Toyota Coaster lililokuwa linatokea kwenye msiba Musoma mkoani Mara kwenda Dar es Salaam na kugongana
↧
Big Brother kutangaza majina matatu ya washiriki wa mwaka huu leo Alhamisi, matatu kila siku
Mashabiki wa shindano Big Brother Africa hawatosubiri hadi siku ya ufunguzi, October 5 kuwafahamu washiriki wa mwaka huu.
Katika kuleta mambo mapya, M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina ya washiriki wa mwaka huu live kupitia website yake maalum iliyozinduliwa jana Jumatano.
Washiriki watatu wa Big Brother watakuwa wakitambulishwa kila siku kuanzia leo Alhamis, 18
↧
Mbio za Mwenge kuzindua Miradi 72 Mkoani Mwanza
Miradi 72 ya maendeleo ya Sh bil. 23 inatarajiwa kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru, utakaokimbizwa kwa siku nane mkoani Mwanza, ambao utapokelewa leo kutoka mkoa wa Simiyu.
Hayo yalielezwa jana na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo wakati akitoa taarifa ya mwenge huo, iliyosomwa kwa niaba yake na Mratibu wa Mbio za mwenge mkoani hapa, Diana Rwechungura.
Alisema thamani hiyo
↧
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu dhidi ya TLS Latupiliwa Mbali
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Pingamizi hilo lilikuwa la kupinga ombi lililowasilishwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) waliofungua kesi ya kikatiba wakiomba mahakama itoe zuio la kuendelea kwa
↧
↧
Maandamano ya CHADEMA Yaliyopangwa Kufanyika Leo yamepigwa Marufuku.....Vyuo 14 Vyalaani, Mbowe Kuhojiwa makao makuu ya Polisi Leo
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini.
Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari jana makao makuu ya jeshi la Polisi Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi wa Operesheni na Mafunzo, Paul
↧
Mtuhumiwa Kesi ya Ugaidi Awalalamikia Polisi kwa Kumminya Sehemu zake za Siri na kumchomeka Mti sehemu za haja kubwa
Mtuhumiwa katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu za siri alikominywa na polisi na kuingiziwa mti kwenye haja kubwa.
“Mheshimiwa Hakimu naomba mahakama yako inipe ruhusa ya kutohudhuria siku ya kesi, sababu ninapopanda gari napata maumivu
↧
Mwanafunzi wa Kidato cha tano Ajinyonga akiwa Hospitalini.....Chanzo cha kujinyonga ni kulazwa hospitalini hapo bila Vipimo
Katika hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.
Hata hivyo, ujumbe ulioachwa na marehemu huyo unaonesha alichukua uamuzi huo, kutokana na kuchukizwa
↧
More Pages to Explore .....