Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Nuh Mziwanda wa Shilole alikopi kwa Nick Cannon na Mariah Carey? ( Cannon ana 33, Mariah ana miaka 44)....Sasa amepata fundisho

$
0
0
Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi.   “Mimi nimefanya hivi kwa kupenda kwangu, sijalazimishwa na mtu. Nimejisikia kufanya hivi kwa sababu nampenda sana Shilole…tukiachana basi lakini mimi nitabaki nayo hadi nitakapoenda kaburini.” Alisema

Sitta Awajibu Wanaofananisha Tume Ya Warioba na Bunge la Katiba

$
0
0
 Baada ya watu na taasisi kadhaa kudai kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kupokea maoni ya wananchi na kuyaongeza kwenye rasimu ya Katiba mpya, ni kuingilia kazi ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samwel Sitta, alisema bunge hilo lina mamlaka makubwa kuliko tume hiyo.   Amesema hata wajumbe wa bunge hilo wanaoendelea kupitia rasimu hiyo, siyo mazuzu, wana akili zao

Rais Kikwete Anena: ...."Kuinua Maisha ya Watanzania Sio Kumwaga Fedha Mifukoni"

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema dhamira ya Serikali ni kuinua maisha ya Watanzania na dhamira hiyo iko pale pale na kwamba wanaofikiri nia hiyo ni kuwajaza wao fedha mifukoni uwezo huo haupo.   Rais alitoa kauli hiyo jana katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakati akizindua ujenzi wa barabara ya Mbande  hadi Kongwa, itakayojengwa kwa kiwango cha lami.   Alisema dhamira ya Serikali ya

Penzi la Mainda Lagombewa na Wanaume

$
0
0
Staa  wa  Filamu  za  Kibongo  aliyeamua  kumpokea  Yesu, Ruth Suka  'Mainda'  amesema  amekuwa  akipata  wakati  mgumu  kumjua  mwanaume  wa  kweli  ni  yupi  ambaye  anaweza  kumuoa  na  ndoa  yake  ikawa  na  raha  badala  ya  majuto  kama  ilivyo  kwa  baadhi  ya  wasanii  wenzake.... Mainda  alisema  hakuna  kipindi  kigumu  kama  kujua  yupi  ni  mwanaume  sahihi  wa  kumuoa  na 

Ajali Yaua Watu 10 na kujeruhi 7 Mbalizi mkoani Mbeya

$
0
0
Daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace baada ya kuparamia lori. Lori lenye namba za usajili T 158 CSV lililoparamiwa na daladala. Askari wa usalama wa barabarani akiwa anatazama na kuchunguza zaidi ajali hiyo. Eneo ambalo daladala hiyo iliyofumuka. Viti vikiwa vimeharibika baada ya ajali kutokea. Lori hilo baada ya ajali. Hivi ndivyo daladala hiyo

Uchumba wa Agness Masogange Watibuliwa

$
0
0
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa. Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia.   Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.   “Wanaume

Babu wa Miaka 90 ateketea kwa moto Akiwa Usingizini

$
0
0
Mkazi wa Kimara Temboni, Felix Makundi (90) amekufa papo hapo baada ya kuteketea kwa moto wakati akiwa amelala.    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema kuwa mzee huyo aliteketea juzi baada ya moto kuzuka katika nyumba yenye vyumba vitatu mali ya Benson Makundi na kumuunguza mzee huyo mwili mzima hadi kufa pamoja na kuteketeza mali zote zilizokuwamo ndani.   

Rais Kikwete Atoa Onyo kwa Viongozi MADALALI wa Ardhi

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori  ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.    Pia amewataka viongozi wa  Halmashauri hizo za  wilaya nchini kuweka utaratibu wa kupima  viwanja kwa ajili ya ujenzi wa viwanda, na kuacha

Diva na Aunt Ezekiel Washikana Mashati kisa Ujauzito wa Aunt anaodaiwa kupewa na mume wa mtu

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Peter ‘Moze Iyobo’, jambo ambalo ni uongo. Akizungumza kwa masikitiko ya hali ya juu, Aunt alisema kuwa hakutegemea mtu

Uraia Pacha Wabezwa Bunge Maalumu la Katiba

$
0
0
Suala la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.    Katika semina iliyoandaliwa kwa Wajumbe wa Bunge hilo na mada kutolewa na Idara ya Uhamiaji, Abdallah Khamis Abdallah ambaye ni Kamishna wa Udhibiti na Mipaka wa

Majambazi Yabaka Mwalimu....Mwingine Aporwa milioni 20

$
0
0
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalimu mwingine wa kike katika kijiji cha Nassa Ginery wilayani Busega mkoani Simiyu.    Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Simiyu, tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia juzi kijijini hapo.    Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoani Simiyu,

Rais Kikwete kukutana na UKAWA Leo Jioni mkoani Dodoma.....Makanisa yatoa Onyo

$
0
0
Wakati Rais Jakaya Kikwete akikutana na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), limesema amani ya nchi iko mikononi mwa kiongozi huyo mkuu wa nchi.    Kwa maana hiyo viongozi wa vyama vya siasa hasa vile vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanatarajiwa kusafiri hadi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Awatoroka Waandishi wa habari

$
0
0
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda jana alilazimika kutumia mlango wa uani kuondokea badala ya ule mkuu kwa kile kinachohisiwa kuwakwepa waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje na mazingira kutoka nchi za Afrika.  Pinda ambaye alikuwa akifungua mkutano huo, aliondoka mara tu baada ya kumaliza shughuli iliyompeleka huku akiacha kushiriki tukio

Mgombea urais 2015 atinga Vatican kwa nia ya kutafuta uungwaji mkono wa Kanisa Katoliki duniani

$
0
0
WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 likiendelea kupanda miongoni mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaohusishwa na harakati za kuwania urais, mmoja wa makada hao amekwenda Vatican kwa nia ya kutafuta uungwaji mkono wa Kanisa Katoliki duniani.   Habari za uhakika kutoka katika chanzo cha karibu na kada huyo ambaye pia ni waziri kwenye moja ya wizara nyeti nchini, kimedai

REMIX: Nick Minaj AJAMBA VIBAYA Kwenye video yake ya ANACONDA.....Bofya hapa ucheke mpaka upasuke

$
0
0
Video  ya   Nicki Minaji  ambayo ni booty-shaking imefanyiwa cheeky remix ikiwa na addition ya sauti ya kujamba aka ushuzi!!!. Team ya comedy ya South Africa and the Sunday Blues wali-share ngoma hiyo kwenye YouTube siku ya Jumane August 24.  Badala ya kuwa muziki wa Minaj the soundtrack ya video  ilikuwa ni Nicki Minaj  akijamba all the way!. ITAZAME  HAPO  CHINI

Serengeti Super Nyota Divaz Moshi yampata Sia Mary kama mwakilishi wao.

$
0
0
Mashindano ya serengeti Super Nyota Divaz ambayo ni sehemu ya wasanii wachanga au vipaji vipya kuonekana kwa mikoani hasa upande wa wakina dada ambao wamekua wakiikosa fursa ya kuonekana yamemalizika kwa Moshi.  Mkoa wa Kilimanjaro,Manispaa ya Moshi imewakilishwa na msichana ambaye ana Rap,inaweza kuwa kwa sababu utamaduni wa Kaskazini ni hip hop lakini huyu ameonyesha kuipenda sana

Majambazi Watano Wauawa kwa Kuzamishwa kwenye Maji

$
0
0
Watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamepigwa kwa mawe hadi kufa wakijaribu kutoroka nguvu za umma kwa kutumia Mto Mara, wilayani Tarime huku wakiwa na bunduki mbili zinazotumika vitani aina ya sub machine gun (SMG).    Tukio hilo lilithibitishwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Lazaro Mambosasa.    Kamanda Mambosasa alisema watu waliouawa katika tukio hilo la

Binti Mdogo toka Mtwara Ashinda milioni 50 za Shindano la TMT

$
0
0
Mshiriki kutoka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago ameibuka kidedea katika Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.   Katika shindano hilo ambalo washiriki 10 walikuwa wakizitolea macho Shilingi milioni 50, Mwanaafa aliweza kuzoa kura nyingi zaidi na hivyo kujiwekea kibindoni mamilioni hayo na kuwatimulia vumbi

Licha ya skendo, Flora Mbasha Aibuka na Jipya tena

$
0
0
Msanii wa muziki Florah Mbasha, Baada ya kufunguka mengi kuhusiana na matatizo katika ndoa yake wiki hii, ameweka wazi kuwa shughuli zake za muziki bado zinaendelea huku akiwa na albam mpya kabisa kwaajili ya wapenzi wa sanaa yake. Frorah Mbasha amesema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kufanikisha kutoa albam mpya inayokwenda kwa jina Nipe Nguvu ya Kushinda, kazi ambayo tayari jamii

Vazi la Lulu Michael Lawatesa Wanaume Wapenda Sketi

$
0
0
Vazi  alilokuwa  amevaa Lulu  Michael  katika  fainali  za  Shindano  la  TMT  lilizua  balaa  kubwa  kwa  wanaume  wapenda  sketi  baada  ya  vazi  hilo  kuanika  hadharani  maungo  nyeti  ya  msanii  huyo. Katika  shindano  hilo, Binti  mdogo  toka  Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka  kidedea  na  kujinyakulia  milioni  50
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images