Mrithi wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia kuanza kazi bila viporo vya miradi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Nne.
Tayari, Rais Kikwete ameshatangaza azma yake ya kutaka kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania masikini na katika tangazo hilo
Rais Kikwete Amwandalia Njia Safi Rais Ajaye
↧
↧
Shahidi Aelezea jinsi Alivyofanyishwa Mapenzi na Mganga wa Jadi
Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga huyo kwa madai kwamba atampatia dawa ya kupata mtoto.
Mwanahamisi Omary (26) alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma kuwa alimfahamu mganga huyo baada ya kusumbuliwa na tumbo la
↧
Kesi ya Trafiki Feki Yaahirishwa tena
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupiga kalenda kesi ya aliyejifanya askari wa Usalama Barabarani, Jemes Hassan (45) kutokana na mshitakiwa huyo kuumwa.
Akiahirisha kesi hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma alisema shauri hilo litaendelea kusikilizwa Septemba 10, mwaka huu kutokana na mshitakiwa huyo kutofika mahakamani.
Kesi hiyo ambayo imefikia hatua ya
↧
Mahakama ya Kadhi yaibua mjadala mzito....Wajumbe Washauri Isiingizwe kwenye Katiba
Suala la Mahakama ya Kadhi limeleta mjadala mkali katika majadiliano na wabunge wameamua suala hilo lisiingizwe kwenye Katiba.
Mjadala huo mkali uliibuka katika Kamati namba Saba ilipojadili sura ya Nne ya kwenye rasimu hiyo inayozungumzia juu ya uhuru wa imani ya dini ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Hassan Ngwilizi alisema baada ya mjadala mkali wamekubaliana kutoingizwa kwenye
↧
Video Mpya: Prokoto- Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz
Victoria Kimani ameachia video ya ‘Prokoto’ akiwa na wakali wa Bongo
Flava, Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz. Imeongozwa na Kevin Bosco Jnr.
Itazame hapo chini
↧
↧
Mtuhumiwa Kinara wa Mauaji ya Wanawake jijiini Arusha Anaswa na jeshi la polisi
Mtu mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini Arusha ametiwa mbaroni.
Mtuhumiwa huyo ametiwa mbaroni juzi usiku na polisi na alipopekuliwa nyumbani kwake alikutwa na bastola mbili na risasi saba na amekiri kuhusika katika mauaji na kujeruhi wanawake
↧
Mhehimiwa Temba kuachia ngoma mpya Jumamosi hii.....Serengeti fiesta Moshi wapewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo
Mhehimiwa Temba ametangaza rasmi kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Wazee wa jiji” jumamosi hii.
Serengeti fiesta Moshi wamepewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo siku ya Jumamosi katika uwanja Majengo Jijini humo.
Mheshimiwa Temba ambaye ni mzawa wa jiji hilo anatarajia kutumia fura ya Serengeti fiesta Moshi kuuzindua wimbo huo kwa mara ya kwanza.
“Ni matumaini
↧
Tamko la Serikali: Waombaji Ajira wazingatie taratibu
Serikali ya Tanzania imewataka waombaji wa kazi kuzingatia taratibu
zinazotakiwa katika kuwasilisha maombi ili kuepuka usumbufu unaoweza
kujitokeza kutokana na kuwepo wa tatizo la kuwasilisha nyaraka pungufu.
Akizungumza
Jijini Dar es Salaam Msemaji wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma, Riziki Abraham amesema kumekuwepo na kutokufuata taratibu kwa
waombaji wa kazi
↧
Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce....Bey aripotiwa kuwa mjamzito
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles amefichua siri ya kuwepo
ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu
kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.
Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee
Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka
ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.
↧
↧
Kondom za MALAYA wa Morogoro zawaathiri watoto.... Mkuu wa Mkoa anawa mikono, Asema hadhi yake haimruhusu kuongelea suala hilo
Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji wa Morogoro imegeuka kuwa
kero kwa wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali inayowaweka hatarini
zaidi watoto wadogo wasio na hatia wanaokutana na kondom zilizotumika
huku mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Joel Bendera akinawa mikono kuhusu
suala hilo.
Wakati hayo yakiendelea Morogoro, serikali kuu imekuwa ikitafuta dawa kali ya kuweza kudhibiti
↧
Mkurugenzi wa Airtel Tanzania ajimwagia maji ya barafu kujiunga na kampeni ya Fistula Ice Bucket Challenge(Video)
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso
amejimwagia maji ya barafu kuashiria kampuni yake kujiunga na kampeni
iliyoanzishwa na Vodacom kuchangia matibabu na elimu kuhusu ugonjwa wa
Fistula unaowapata akina mama wajawazito zaidi ya 30,000 nchini.
Airtel Tanzania wamepost picha kwenye ukurasa wao wa Instagram na
video katika channel yao ya YouTube ikimuonesha
↧
Umeisoma ripoti ya leo kuhusu chai na chakula kwenye bunge la katiba?....Kikombe cha chai wanalipiwa elfu 10 kwa siku, msosi Elfu 16 kwa kila mjumbe
Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.
Wameandika bunge la katiba lateketeza mamilioni ya fedha ambapo kikombe cha chai na biskuti au karanga kinalipiwa shilingi elfu 10 kila siku kwa kila Mjumbe mmoja licha ya kwamba kila Mjumbe anapokea posho ya siku ambayo ni laki
↧
Kesi ya kupinga bunge maalum la katiba yapangiwa jopo la majaji watatu
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza
kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa
kuisikiliza.
Kesi hiyo namba 28 ya 2014, ilifunguliwa mahakamani hapo na mwandishi
wa habari, Saed Kubenea kupitia kwa Wakili Peter Kibatala, dhidi ya
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akiiomba mahakama hiyo itoe tafsiri sahihi
ya mamlaka ya Bunge hilo.
↧
↧
SMS za Usagaji za Aunt Lulu Zanaswa.....Zilikuwa zinaenda kwa binti wa kidato cha pili, Ukiziona hutaamini
Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa
jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa
filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’
kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara ambaye ni denti wa kidato cha pili.
MSIKIE MAMA MWENYEWE
Akizungumza kwa hasira,
Mama Zahara aliwaka: “Mimi nina mtoto huyu tu wa
↧
Mbowe: Mimi ni Kisiki cha CHADEMA.....Ajitosa rasmi kugombea Uenyekiti wa chama hicho, awataka wenye uwezo wapambane naye
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka
awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na kufungua milango kwa
wanachama wengine ‘kupimana naye kifua’.
“Nafasi bado ipo, anayetaka kupima kifua na mimi
ajitokeze. Tena nawaomba viongozi wangu msizuie fomu kwa anayetaka,”
alisema Mbowe ambaye
↧
Aliyehisiwa kufa kwa ebola azua mjadala Geita....Alikuwa anatapika na kuhara damu, Mwili wazikwa na Serikali
Utata umegubika kifo cha Bertha Boniface (25) ambaye amefia
Hospitali ya Wilaya Geita, kutokana na uvumi kuwa kifo chake kinatokana
na ugonjwa wa ebola. Hata hivyo, madai hayo yamekanushwa na uongozi wa
wilaya hiyo.
Viongozi hao wamedai hakuna mgonjwa aliyekufa kwa
maradhi hayo na wala ugonjwa huo haupo. Umesema Bertha alikuwa akihisiwa
kuwa na dalili za ebola.
Akizungumzia
↧
Mkurugenzi TBS Atupwa Gerezan
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka
mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania
(TBS), Charles Ekelege na kumwamuru kurejesha Dola za Marekani 42,543
(Sh68,068,800).
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi, Augustina
Mmbando alimtia hatiani Ekelege baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na
mashahidi saba wa upande wa mashtaka, vielelezo
↧
↧
Pochi Yamuokoa Kajala Masanja kukaa nusu Uchi
Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni
alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na
kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.
Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda
kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya
mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo yake muhimu.
↧
Polisi amgonga mtoto, Atoka nduki na kutelekeza gari
Polisi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara
moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita
alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya mkoani Morogoro.
Katika tukio ambalo mwandishi wa habari hizi alilishuhudia, mara tu
baada ya kumgonga mtoto aliyekuwa akitoka sokoni kununua magimbi na
mihogo, askari huyo aliteremka na kukimbia
↧
Ajinyonga shambani na kuacha ujumbe; “Nawaachia dunia yenu muishi miaka 110”
Mtu mmoja ambaye hakujulikana jina, amekutwa akiwa amejinyonga
ndani ya kibanda shambani huku akiwa na karatasi iliyoandikwa ujumbe
“Nawaachia dunia yenu muishi miaka 110”.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kibiki, Ally Hussein
alisema kijana huyo mwanamume amekutwa saa mbili usiku akiwa amefariki
na hivyo kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi Chalinze.
Alisema askari walifika na kuukuta
↧
More Pages to Explore .....