Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Katiba ya Tanganyika yaingizwa kwenye Muungano

$
0
0
WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili ya Katiba ya Tanganyika.   Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa Dodoma, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, alisema sura hizo ni pamoja na ile ya

Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa

$
0
0
Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu na watu wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo.   Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Buhigwe (OCD), Samwel Utonga alisema basi hilo lilikuwa likotokea Kilelema kwenda Kasulu Mjini ambapo watu hao walilirushia kitu

Makalio ya Aunty Lulu Yasababisha Ajali

$
0
0
Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho. Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu

Uhamiaji Yafanya Maamuzi Magumu.....Yafuta Ajira 228 Zilizotolewa kiupendeleo kwa ndugu na marafiki.....Ajira hizo kutangazwa upya, Waliosababisha kukiona

$
0
0
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imezifuta rasmi ajira 200 za nafasi ya Konstebo na Koplo wa Uhamiaji baada ya kupokea ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza tuhuma za upendeleo katika ajira hizo ikidaiwa baadhi ya walioitwa katika ajira ni watoto wa jamaa, ndugu na Maofisa wa Idara ya Uhamiaji.   Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak

CHADEMA Watunga Wimbo Maalumu kwa Ajili ya Maandamano ya UKAWA

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetunga wimbo maalumu kwa ajili ya maandamano yaliyopangwa na chama hicho na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kushinikiza Bunge Maalumu la Katiba ambalo linaendelea Mjini Dodoma, lisitishe vikao vyake hadi kuwepo maridhiano.   Wimbo huo ambao ni mahususi kwa ajili ya maandamano ambayo haifahamiki yatafanyika lini,

Boko Haram Wateka kituo cha Polisi Nigeria

$
0
0
Kundi la wapiganaji  la Boko Haram wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza  karibu na mpaka wa nchi ya Cameroon ambacho hufundisha maofisa wa Polisi nchini Nigeria.   Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch wametoa takwimu ya vifo vilivyosababishwa na kundi hilo kua watu zaidi ya elfu kumi mpaka sasa  wameuawa tangu walipoanzisha

Aunt Ezekiel: Sidhani kama Wema Sepetu ni mtu wa kufundishwa...ana maisha yake

$
0
0
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.   Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiele ameeleza kuwa anachofahamu Diamond aliongea kwa niaba ya watu walio karibu nae na hakumtaja yeye kwa jina. Lakini hata kama angemtaja yeye hadhani kama Wema ni mtu wa

Rais Kikwete asafiri kwa Treni ya TAZARA katika ziara yake Mkoani Morogoro

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini  Mhe Innocent Kalogeris na KAtibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki mkoani Morogoro. Mama

Fahamu kiwango kipya anacholipwa Diamond kwa show Tanzania, ataingiza zaidi ya milioni 600 kwa shows Marekani .....Akanusha kuuza madawa ya kulevya

$
0
0
Tangu mwaka juzi tulifahamu kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii wa Tanzania anaelipwa kiasi kikubwa cha pesa, na mwaka jana ikaelezwa kuwa bila milioni 10 au 8 za Kitanzania humpati kwenye show yako.   Lakini kiwango kipya kilichotajwa jana kitawapa kizunguzungu zaidi hasa mapromota wenye mitaji midogo wenye ndoto za kufanya kazi na mwimbaji huyo.   Kwa mujibu wa, Babu Tale ambaye

Familia ya Kichina yakosolewa kwa kumgeuza mtoto mfano wa 'msosi'

$
0
0
Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad.   Mama yake mzazi, Qu Quan amesema kuwa wao walifanya kwa utani na walikuwa wakicheka sana kumuona mtoto akijaribu kuamka kutoka kwenye bakuli hilo huku akishindwa na kuendelea kulia na

TCRA kutoa mafunzo kwa jeshi la Polisi

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeanza zoezi la kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa jeshi la polisi kwa lengo la kupambana na uhalifu unaofanyika kupitia mitandao ya mawasiliano. Meneja Mawasiliano wa (TCRA) Innocent Mungi amesema leo kuwa polisi wakiwa walinzi wa amani na usalama wa raia wanapaswa kujipanga katika kufanya kazi yao vizuri kwa kushirikiana na

Amchana Mwanaye kwa Wembe aweze kujisaidia.....Mtoto huyo alizaliwa bila kuwa na sehemu ya haja kubwa

$
0
0
Mkazi wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia Ngilitu, amemchana kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili na wiki mbili baada ya mtoto huyo kuzaliwa bila kuwa na sehemu ya haja kubwa.   Aidha, amebainisha kuwa wakati wa kujifungua, mtoto huyo alifanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Bugando na kuwa baada ya muda mchache hali hiyo ilijirudia

Mwanamitindo ayashitaki Makampuni kwa kuonesha sehemu zake za siri kwenye TV Show

$
0
0
Mwanamitindo Jessie Nizewitz ambaye alikuwa kati ya wasichana waliokuwa kwenye mashindano ya series ya ‘Dating Nak8d’ amefungua mashitaka dhidi ya makampuni yanayowezesha show hiyo kwa kurusha vipande vinavyomuonesha akiwa mtupu bila kuficha sehemu zake za siri.   Katika shitaka hilo, Jessie anadai fidia ya $10 million kutoka kwa makampuni ya Viacom, Firelight Entertainment,

Mjumbe wa CCM ‘ajiunga’ UKAWA

$
0
0
 Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa habari, huku siri za mambo ya ndani ya vikao zikianikwa hadharani.    Kamati hiyo inaongozwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu na makamu wake ni Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, huku ikiwa imesheheni

Nicki Minaj ashindwa kufanya 'clean version' ya video ya Anaconda, aeleza ujumbe alioutaka uwafikie wasichana

$
0
0
Rapper wa Young Money, Nicki Minaj aliachia video ya ‘Anaconda’ ambayo kimaadili bila kusita haifai na huenda wengi bado tunasubiri kuona video nyingine ya toleo safi.   Kwa bahati mbaya hakutakuwa na toleo safi la video hiyo ambayo kila sekunde yake ina mengi.   Akiongea na Nick Martinez katika mahojiano maalum kabla ya kuachia rasmi video hiyo, rapper huyo ameeleza kuwa hajui ni

Roma Mkatoliki Kuachia Ngoma Mpya Serengeti Fiesta Tanga Jumamosi hii

$
0
0
Mwanamziki mashuhuri wa miondoko ya Hip-Hop hapa nchini, Roma Mkatoliki ametangaza rasmi kuachia ngoma zake mpya usiku wa Serengeti Fiesta-Tanga, katika uwanja wa Mkwakwani jumamosi hiii.   Mwanamuziki huyo ambaye ni Mzaliwa wa Tanga na kipenzi cha wengi Jijiji hapo amesema kwamba, ngoma hizo mpya zitasindikizwa na vibao kama vile Mr. President, Pastor, Mathematics, 2013, KKK pamoja na

Marekani Yaanza kuwasaka Waliomchinja Mwandishi wa Habari James Foley

$
0
0
Kitengo cha sheria nchini ya Marekani kimeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya kifo chamwandishi wa habari mwenye asili ya Marekani ,James Foley aliyeuawa na wapiganaji wa kiislamu wenye msimamo mkali.   Mwanasheria mkuu wa kitengo hicho,Eric Holder ameweka wazi kuwa wote waliohusika na mauaji ya mwandishi huo watawatia mkononi muda si mrefu.   Maofisa wa serikali ya Marekani

Jokate Na Vanessa Mdee Katika Beef Zito Kisa Penzi La Ommy Dimpoz

$
0
0
Habari  ya  Mjini   ni kuhusu Jokate Mwegelo  kutoka kimapenzi na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa Bongofleva.   Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa muda sasa ila kwa siri kubwa ikidaiwa wote hawakuwa tayari kuweka uhusiano wao hadharani wakiogopa  media kuanza kuwafuatilia.  Inadaiwa pia kuwa Ommy alikuwa anatoka kimapenzi na Vanessa Mdee lakini baada

Baada ya kupokea Mashahara Mnono, Fundi Auawa....Atupwa Bwawani

$
0
0
Fundi ujenzi aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu. Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa Saba, Mabibo jijini Dar ambapo majirani wa eneo hilo walidai kuwa waliiona maiti ya Omari ikiwa inaelea kwenye moja ya bwawa eneo hilo lakini kutokana na maiti hiyo kuvimba haikuwa

Wolper Alia kutopata Mtoto.....Madaktari wamwambia amwombe Mungu, bibi yake Amuongezea Machungu

$
0
0
Super Star kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto.   Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu, staa huyo amekuwa akihaha kusaka mtoto huku shinikizo likitoka kwa bibi yake, mzaa baba ambaye amekuwa akimuuliza juu ya yeye kumpata mtoto kwani umri unazidi kuyoyoma.   Habari zilidai kwamba
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images