Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha: Nicki Minaj ashare picha ya poz tata ya 'Anaconda' akiwa na Drake

0
0
Nicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake.   Jana (August 18), Nicki ameshare picha nyingine kuhusu video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti kama anaesubiri huduma.   Picha za wimbo

Zitto Kabwe kupewa Ulinzi Mkali

0
0
CHAMA cha Alliance Transparency For Change (ACT) Mkoa wa Kigoma, kimeahidi kumlinda na kumtetea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), kutokana na changamoto zinazomkumba kupitia watu wachache wanaotaka kumwangusha kisiasa.   Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya chama hicho, Bw. Jaffar Kasisiko, aliyasema hayo juzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Cine Atlas,

Hatimaye Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Mansour Yussuf Himid Apata Dhamana

0
0
Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yusuph Himid akiwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar ***** MAHAKAMA ya Mkoa Vuga, imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Mansour Yussuf Himid ambaye anakabiliwa na makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha, risasi za bastola na gobore (marisau).   Jaji wa Mahakama Kuu ya

Sheria Mpya :Mashoga na Wasagaji kupigwa mawe hadharani Kenya

0
0
Ripota toka   nchini Kenya Julius Kipkoech anaripoti kwamba nchi hiyo inarejea kwenye headlines kuhusu maswala ya kubuni sheria za kipekee ambapo sasa bunge la kitaifa linapanga kujadili sheria inayopendekezwa kwamba raia yeyote wa kigeni anayepatikana akishiriki uhusiano wa jinsia moja ahukumiwe kupigwa mawe hadharani hadi kufa na kama ni raia wa Kenya basi ahukumiwe kifungo cha maisha

Picha 9 za mawe ya Mwanza yalivyoporomoka na kuua watu wanne.

0
0
Hizi  ni  picha  9  za  lile  tukio  la  kusikitisha  lililotokea  Mkoani  Mwanza  ambapo  jiwe  kubwa  liliporomoka  na  kuanguka  nyumba  mbili  ambapo  watu  wanne  walifariki  papo  hapo              

Amkata Kichwa Mdogo wake ili Apate Utajiri.....Aondoka nacho, Akipeleka kwa Sangoma.....Ilikuwa akiweke Dukani ili wateja Wafurike

0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake wa kuzaliwa, Mathias kisha kuondoka nacho kwenda kwa mganga kwa kile kilichodaiwa ni kufanyiwa dawa ili awe bilionea. Tukio hilo ambalo kwa sasa ndiyo gumzo mkoani Morogoro lilijiri usiku wa Agosti 3, mwaka huu katika mashamba

Mbwa Wamuua Mwanafunzi wa darasa la tatu......Wamlaza Kifudifudi na kumla Nyama!

0
0
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) ameuawa kikatili na mbwa wanaosadikiwa kuwa na kichaa kisha kuliwa nyama.  Moja ya mbwa anayedaiwa kumla mtoto Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) akiwa ameuawa pia. Tukio hilo lililoacha simanzi kubwa kwa wakazi wa Ludewa mjini lilijiri saa 7 mchana wa Agosti 8, mwaka huu katika eneo la Ikilu ambapo

Papa amruhusu Padri Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi kuoa

0
0
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kuachana na daraja hilo.    Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa juzi katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi katika ibada zilizofanyika katika makanisa ya jimbo hilo.   Miongoni

CCM waanza kupitia mafaili ya wagombea Urais....Kamati ya Mangula Yajifungia Siku Nzima, Faili la kila mmoja lapitiwa mkoa kwa mkoa

0
0
KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.   Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana saa 6 mchana,

Maneno Ya Diamond Kwa Wema Sepetu Yamchoma Aunty Ezekiel Na Kumyima Raha.

0
0
Star wa filamu nchini Aunty Ezekiel anadaiwa kuchomwa vilivyo na maneno ya Diamond kwa Wema Sepetu yanayodaiwa kumgusa yeye pia moja kwa moja kama rafiki wa Wema... Diamond juzi alisema  kuwa Wema anapenda sana starehe na mashoga wapenda kujirusha badala ya kufanya kazi ili kujiletea maendeleo kwa kutumia fursa aliyonayo sasa.   Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na Aunty

Basi la Sabena na AM Yagongana Uso Kwa Uso......Watu 13 Wafariki Papo hapo, 75 Wajeruhiwa vibaya

0
0
MABASI mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Mpanda na lingine likitokea mkoani Mbeya kwenda Mwanza.   Taarifa kutoka eneo la tukio, ilieleza kuwa mabasi hayo yalipata ajali hiyo jana saa 10.05 jioni katika eneo la Mlogoro, kilometa

Viongozi wa Magharibi walaani mauaji ya kikatili ya mwandishi wa habari raia wa Marekani.

0
0
Kumekuwa na shutuma za kimataIfa kufuatia kuuawa kikatili kwa mwandishi wa habari raia wa Marekani na kundi la islamic state nchini Syria.   Waziri wa masuala ya kigeni wa Uingereza Philip Hammond amesema kuwa mashirika ya kijasusi yanajaribu kumtambua yule aliyemuua Foley ambaye anaoneka kuwa na lafudhi ya Uingereza. Rais wa Marekani Barack anatarajiwa kutoa taarifa yake baadaye

Picha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'

0
0
Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.   Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE.” Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia

Mgomo Mpya wa Wafanyabiashara Wa Jiji la Mwanza Waanza Rasmi LEO.....Mkurugenzi adaiwa kuwakimbia, TRA Watishia kuwafungia Leseni zao

0
0
Wafanyabisahara jijini Mwanza leo wameanza mgomo wa kutofungua maduka yao kwa siku zisizojulikana kwa kile walichodai Mkurugenzi wa jiji hilo, Hassan Hida amekataa kukutana nao kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili.   Mgomo huo utakuwa wa pili kufanyika baada ya mara ya kwanza kutokea  wakati wafanyabiashara hao wakigomea matumizi ya  mashine za Stakabadhi za Elekitroniki (

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

0
0
Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko.   “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio mtu wa kwanza

Miili Ya Marehemu 13 wa Ajali ya Mabasi ya Tabora Watambuliwa

0
0
Maiti za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao.   Ajali hiyo ilitokea juzi   saa 8 mchana katika kijiji cha Mlogolo wilaya ya Sikonge baada ya basi ya Am Coach na Sabena kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo hivyo na majeruhi 81.    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Suzan Kaganda alitaja waliokufa na

Sheria Yatungwa kudhibiti ULAFI wa Viongozi......Viongozi sasa watatakiwa kuchagua kimoja kati ya Mali na Kazi!!

0
0
 Mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma, kutenganisha viongozi, mali na biashara zao, ili kuzuia ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma unaoendelea kutokea nchini yamewekwa hadharani.   Katika mapendekezo hayo yaliyowasilishwa jana Dar es Salaam na mtoa mada kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Gertrude Cyriacus, pamoja na

Mtoto Mlemavu wa Miguu ateketea kwa moto hadi kufa baada ya nyumba yao kuungua Moto

0
0
Mtoto Rebecca James ambaye ni mlemavu wa miguu na aliyekuwa haongei, ameteketea  hadi kufa baada ya nyumba yao kuwaka moto.    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto huo ulizuka ghafla juzi huko Magomeni Kagera kwenye nyumba hiyo inayomilikiwa na Rashid Khalfani (64), mkazi wa Magomeni.    Alisema moto huo uliteketeza chumba cha kulala cha binti huyo na

Tiko: Waume za watu Watamu lakini wanachosha maana hakuna uhuru.....Kwa sasa nahitaji Aliye Singo

0
0
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo. Akipiga stori na mwandishi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru kutokana na

CCM Yabariki Bunge la Katiba....Yawasikitia UKAWA, Yataka warejee Bungeni....Mawaziri Waenguliwa safari za JK nje ya Nchi

0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.   Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.   Akizungumza na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images