Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hamisa Mabeto Apangua tuhuma kuwa ana msururu wa mabwana

$
0
0
Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.   “Nazushiwa tu mara DJ

Watuhumiwa 7 wa Mauaji ya Albino watiwa mbaroni......Yumo Mganga wa kienyeji, mtuhumiwa mmoja afariki dunia

$
0
0
JESHI la polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu saba wanaodhaniwa  kuwa wauwaji wa aliyekuwa mlemavu  wa ngozi (albino) Munghu Mugata (40) aliyeuwawa kwa kukatwa mapanga  mnamo mwezi mei  katika  kijiji cha Gasuma kata mwaubingi wilayani  bariadi. Akiongea na waandishi wa habari ofisi kwake, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa ambaye pia ni mkuu wa mkoa Paschal Mabiti,

Waziri Magufuli Apata Pigo.....Wachina wake wa Samaki Waachiwa huru....Waanza kudai samaki zao na meli yao

$
0
0
Baada ya kusota rumande kwa miaka mitano hatimaye raia wawili wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.    Aidha, mahakama imeamuru washitakiwa warudishiwe mali zao, ikiwemo meli iliyotumika kufanya uvuvi huo ikiwezekana na samaki walikutwa nao pamoja na hati

Apandishwa Kizimbani kwa Kumnajisi Binti yake wa Kumzaa

$
0
0
Mkazi wa kijiji cha Nyangae, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui, Shimba Kajolo ameburuzwa mahakamani akituhumiwa kumnajisi binti yake wa miaka 12.   Imeelezwa mahakamani kwamba alifanya kitendo hicho kwa kushauriwa na mganga wa kienyeji ili aweze kuondoa mkosi wa kutopata mke.    Kajolo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tabora, Bahati Chitepo na kusomewa shitaka lake hilo.   

Uchawi, Safari za Kuzimu na maswali ya Aibu kwa washiriki wa Bibi Bomba Vyaiponza Clouds FM na Clouds TV.....TCRA Yawalima faini ya Milioni 5

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini  ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005.   Wakielezea uamuzi huo jana jijini Dar es Salaam, Kamati ya Maudhui ya mamlaka hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Margaret Munyagi ilisema kuwa ukiukwaji wa kanuni hizo ulifanywa kwa nyakati

Vifaa vya Kuwatambua Wenye Ebola Vyawasili nchini

$
0
0
Serikali imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya mipakani.   Jana Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe alikabidhi mashine nne za kuwapima abiria wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege bila kuwagusa. Vifaa hivyo vinabaini mtu

Mtuhumiwa kesi ya Swissport alalamikia unyama wa polisi.....Adai kuingizwa Chupa sehemu za haja kubwa

$
0
0
Kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua mizigo ya Swissport, imechukua sura mpya baada ya mshitakiwa Hashim Idd (49) kudai amefanyiwa vitendo vya unyama alipokuwa anachukuliwa maelezo na Polisi.    Hata hivyo, Mahakama ya Wilaya ya Ilala imepokea kama kielelezo maelezo ya onyo ya mshtakiwa huyo baada ya kukataa maelezo yaliyotolewa  mahakamani

Vibaka Wachomwa Moto hadi kufa baada ya kupora Pochi Tabata, Dar es salaam

$
0
0
Vijana wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao hawakufahamika majina yao, wanaodaiwa kuwa ni vibaka  alfajiri ya leo wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kumpora pochi dada mmoja mkazi wa Tabata Liwiti.   Shuhuda wa tukio hilo ambaye hakupenda kutaja jina lake alisema baada ya vibaka hao kumpora pochi dada huyo, walitaka kutoweka na bodaboda ndipo

Interview: Meninah azungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya kuripotiwa anatoka na Diamond, muwewe mtarajiwa na rushwa ya ngono kwenye media

$
0
0
Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na  Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema.   Katika mahojiano hayo aliyofanya na Josefly Muhozi, amezungumzia kuhusu kipindi chake kipya cha runinga kitakachoanza hivi karibuni.  Amezungumzia pia kilichojiri baada ya kusambaa ripoti kuwa anatoka na

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema Sepetu. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni.    Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga

Wasanii wa Serengeti Fiesta Tanga wamtembelea Mzee Njenje, azungumzia alivyopatwa na Kiharusi

$
0
0
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu  Njenje (kushoto), akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya. Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha ya Serengeti fiesta ambapo kwa mjini hapo linafanyika katika Uwanja wa Mkwakwani.  Mkurugenzi wa  Uzalishaji  na

Jux na Jackie Cliff wasemekana walikuwa wapenzi kwa miezi 7 kabla ya kukamatwa na ‘unga’ China

$
0
0
Miongoni mwa vitu ambavyo msanii Jux amekuwa akivikwepa kuzungumzia kila alipoulizwa ni kuhusu uhusiano wake na Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya mwishoni mwa mwaka jana (2013) nchini China, ambaye mara nyingi amekuwa akisema ni mshkaji wake tu.   Jux ambaye inadaiwa kuwa wimbo wake wa ‘Nitasubiri’ alimuimbia mrembo huyo, amefanya mahojiano na mwandishi wa Global

Diamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema Sepetu

$
0
0
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.   Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya mashabiki wa Wema kuanzisha

Tundaman: Iddi Azan ananiandaa kuwa Mbunge, 'napata ushauri kwa mheshimiwa Lowasa..'

$
0
0
Tundaman ameweka wazi mpango wa kuingia rasmi katika siasa na kukitafuta kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu baada ya 2015.   Akiongea na Times Fm, Tundaman ameeleza kuwa alipata moyo na wazo la kugombea kiti cha ubunge kutoka kwa mbunge wa Kinondoni, mheshimiwa Iddi Azan.   “Rafiki yangu sana Iddi Azan, sometimes nikikaa nae sehemu wananchi wananishangilia mimi anasema ‘Tunda unapendwa

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa Waluguru na chifu Kungalu huko Kinole, Morogoro....Apewa jina la Chidukila

$
0
0
  Chifu wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa

Ni shida: Msichana ‘akitwerk’ kwenye wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’ (Video)

$
0
0
Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki yako arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye video hii unayokwenda kuishuhudia.Hutaona sura yake lakini utaenjoy.

Mwigulu Nchemba asitisha safari yake kwa muda ili kuokoa majeruhi wa Ajali ya gari

$
0
0
Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo. Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa  lori hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Aongoza harambee ya Mkapa Fellows jijini Mwanza.....Zaidi ya Bilioni 1.3 Zapatikana

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows

Mwanafunzi wa Darasa la Saba Abakwa na muuza genge

$
0
0
Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe, Mbagala kwa kosa la ubakaji wa denti wa darasa la saba. Habari za kiintelijensia zilidai kwamba mtuhumiwa huyo ambaye ni muuza genge, alitenda kosa hilo Agosti, mwaka huu ambapo denti

Batuli: Sitaki kusikia habari za Mtunisi.......Tulikuwa wapenzi zamani, lakini tushamwagana!

$
0
0
YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha. Akizungumza  na  mwandishi  wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa kila mtu ana maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images