Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Download App Yetu Kwenye Simu Yako Ili Uweze Kupata Habari Zetu Kwa Haraka Zaidi

$
0
0
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini...

Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi.

Huhitaji tena kuwa na Computer. Ingia Play Store, pakua App yetu  tukuhabarishe masaa 24.


Simbachawene: Mabadiliko Ya Tabianchi Huathiri Shughuli Za Kiuchumi

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema mabadiliko ya tabianchi nchi huathiri moja kwa moja shughuli za kiuchumi na ustawi wa jamii hivyo huatarisha amani.
 
Akizungumza kwenye kwenye Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani yaliyofanyika Jijini Dodoma Septemba 21 Mhe. Simbachawene ambaye alikuwa mgeni rasmi alisema kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabianchi huchangiwa na shughuli za kibinadamu.
 
Alisema kuwa shughuli hizo husababisha kuongezeka kwa halijoto, kupungua kwa kiwango cha mvua, kukauka kwa vyanzo vya maji na kuongezeka kwa magonjwa ya binadamu, wanyama na mimea.
 
"Kwa kiasi kiasi kikubwa mabadiliko ya tabianchi huchangiwa na shughuli za kibinadamu zikiwemo uchafuzi wa hali ya hewa, uchomaji misitu, ukataji miti bila kuotesha na shughuli za kilimo na ufugaji zisizozingatia uhifadhi wa mazingira ambazo huchangia kuongezeka kwa hali ya joto," alisema Waziri huyo.
 
Aliongeza kuwa pamoja na athari za mabadiliko haya kuzikumba nchi zote duniani pia huzikumbwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania na hi ni kutokana na ukeli kuwa ukuaji wa uchumi wetu hutegemea zaidi shughuli za kiuchumi.
 
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo alibainisha kuwa ili kukabiliana changamoto hizo kama nchi tunahitaji kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ili kuhimili na kujiepusha na majanga yanayosababishwa nayo.
 
Alitahdharisha kuwa majanga yanayotokana na hali hiyo husababisha hasara za kiuchumi na kijamii zinazochangia kuongezeka kwa umaskini na hata migogoro ya kijamii.
 
"Chanzo cha kupotea kwa amani kwa baadhi ya maeneo ni chanzo chake ni mabadiliko ya tabianchi na hali ikibadili watu wakakosa mahitaji kama maji hawawezi kukubali kufa lazima watatumia nguvu yoyote kuyapata kwa kugombana. 
 
"Hali ya hewa ikibadilika kusababisha kukosekana kwa maji watu watapambana na kutafuta yake kidogo yaliyopo na katika kuyatafuta lazima watagombana hivyo kusababisha vurugu hivyo amani ina uhusiano mkubwa na mabadiliko ya tabianchi," alisema.
 
Mhe. Simbachawene alidokeza kuwa Serikali inatambua umuhimu wa mazingira hivyo imeendelea kufanya jitihada kubwa za kutunza na kusimamia mazingira kwa kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa ukuta wa kingo za bahari.
 
Kwa upande mwingine Waziri Simbachawene alihimiza jumuiya za kimataifa kuweka mkazo katika kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzingatia kuwa uchumi wetu hutegemea shughuli zitokanazo na mazingira.
 
Kwa upande wake Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (UN)-Tanzania Amon Manyama alipongeza Serikali kwa jiihada zake za kulinda amani hususana katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
 
Alisema kuwa ni jambo jema kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na changamoto hiyo na kuwa amani ni msingi wa kuanzishwa kwa UN hivyo tuhakikishe jitihada hizi zinadumu.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Dalili:mwili kuchoka,maumivu ya mgongo na kiuno,kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu

Misuli  kulegea na kusinyaa hata kushindwa kufika kileleni miguu kuuma na kuwaka moto:

TIBA YAKE:

TULLO4 MIX.Ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizi hayo, inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kukufanya urudie tendo la ndoa zaidi mara tatu bila kuchoka au kukinai.

NTINJE3 PUMP.Ni dawa inayoongeza maumbile na kukupa umbile la kudumu.Itumie tiba hii kuokoa ndoa yako na kuokoa kukimbiwa na umpendae.
GASELA: Ni dawa mvuto kumvuta umpendae na kumrudisha alie mbali .

NTOBO: Inatibu KISUKARI:siku7 na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenyetatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari.

mpigie DR LIZENGO .OFISI IPO MBAGALA SABASABA.SIMU 0655283534/0621737576

Tanzania, Poland zakubaliana kuongeza ushirikiano katika biashara

$
0
0
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Poland zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika biashara, na kuwataka wafanyabiashara kutoka nchi zote mbili kuchangamkia fursa mbalimbali za biashara.
 
Makubaliano hayo yalifanyika Jijini Dar es Salaam jana (Septemba 19, 2019) ambapo serikali ya Tanzania iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi ili hali Poland iliwakilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Marcin Przydacz.
 
Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya makubaliano hayo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa lengo la makubaliano hayo ni kukuza ushirikiano uliopo kati ya nchi hizi.
 
"Kwa sasa, tunashirikiana na Poland katika maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na biashara ambayo takwimu zinaonesha kwamba biashara kati ya Tanzania na Poland zimepanda kutoka milioni 77.7 mwaka 2016 mpaka milioni 124.5 mwaka 2017. Bidhaa za Tanzania zinazouzwa Poland ni pamoja na chai, kahawa na tumbaku. Tanzania inanunua Poland bidhaa mbalimbali kama tairi za magari, vifaa vya maabara na vifaa vya umeme," alisema Prof. Kabudi  
 
Prof. Kabudi aliongeza kuwa, fursa za biashara baina ya nchi hizi mbili bado ni nyingi na imekubaliwa kuwa balozi zetu na taasisi zingine za Serikali zetu zitumike kuongeza ushirikiano katika biashara. "Kwa hili, tunawaomba wafanyabishara wetu kuchangamkia fursa mbalimbali za biashara," Aliongeza Prof. Kabudi

Kwa mujibu wa Waziri Kabudi, Tanzania na Poland zinashirikiana kwenye miradi mikubwa miwili. Mradi wa kwanza ni wa kiwanda cha kuunganisha trekta, kilichopo Kibaha ambao unatekelezwa kwa mkopo wa riba nafuu kutoka Serikali ya Poland. Kupitia mradi huu, jumla ya trekta 2400 zinaunganishwa nchini kupitia kampuni ya URSUS ya Poland. Tayari trekta 875 zimeshaunganishwa. Mradi huu utaongeza uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na kuleta mapinduzi ya kilimo kutoka kutumia jembe la mkono kwenda kutumia trekta.

Mradi mwingine ni ule wa kujenga maghala ya kuhifadhia nafaka ambapo jumla ya maghala 8 yanajengwa katika kanda zote zinazohifadhi chakula nchini. Mradi huu utaongeza uwezo wa Serikali wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 250,000 kwa sasa hadi tani 500,000.

Katika hatua nyingine, tumekubaliana pia kutoa fursa ya elimu ambapo watanzania sasa watapata fursa ya kwenda kusomaPoland ambapo fursa nyingi zitatolewa katika fani ya udaktari wa aina mbalimbali, uhandisi, sayansi, Tehama, kilimo na maeneo mengine.

Prof. Kabudi aliongeza kuwa, Tanzania imeendelea kuvutia watalii kutoka nchi ya Poland. Kila mwaka, watalii wapatao 12,000 wamekuwa wakitembelea visiwa vya Zanzibar kwa ndege zinazotoka miji mbalimbali ya Poland moja kwa moja mpaka Zanzibar. Idadi ya watalii inaendelea kuongezeka kutoka watalii 12,241 mwaka 2017 hadi watalii 18, 853 mwaka 2018.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Marcin Przydacz amesema kuwa Serikali yake itaendelea kuwahimiza Wapoland kuja kuwekeza nchini kwa wingi na hasa kwenye maeneo ya uzalishaji wa dawa, kilimo hususan katika uongezaji wa thamani ya mazao ya kilimo, uzalishaji wa mashine za viwandani na uzalishaji wa bidhaa za viwandani.

Pia, Waziri Przydacz ameahidi kuwa Serikali yake itaendeleea kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano inayooongozwa na Mhe. Rais Magufuli ya kutafuta suluhisho la changamoto ya uhaba wa maji inayokabili wananchi sehemu mbalimbali nchini.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Yokohama, Japan
19 Septemba, 2019

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili September 22

Serikali Yaingilia Kati Namba Za Utambulisho Wa Uraia ....Yaonesha Kutoridhika Na Kasi, Waziri Mkuu Atoa Maagizo Kwa NIDA

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka  ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa  (NIDA) ihakikishe wananchi  hasa walioko vijijini wanapata angalau  namba za utambulisho wa usajili wao kabla ya muda wa usajili wa laini za simu haujamalizika.

Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Septemba 21, 2019) wakati alizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa hospitali ya wilaya ya Geita iliyopo kwenye Kijiji cha Nzela.

Alisema kitendo cha kuwapatia namba za utambulisho wa usajili wananchi ambao hawajapata vitambulisho vya uraia kitawezesha kuingia kwenye orodha ya wale wanosubiri kusajiliwa hata kama muda wa usajili utakuwa umeisha. Mwisho wa muda wa usajili ni Desemba mwaka huu.

Waziri Mkuu alisema Serikali imewapatia NIDA vifaa vya kisasa vya kielektroniki ili wafanye kazi zao kwa haraka na ufanisi, lakini hali hairidhishi kwa sababu wananchi wengo bado hawajapata vitambulisho na kasi ya usajili wa laini za simu inalalamikiwa katika meneo mengi.

“NIDA mnalalamikiwa, nimeenda Morogoro Vijijini NIDA mnalalamikiwa hivi utendaji wenu uko je? Kwanini mnachelewa ?” Waziri Mkuu alimuuliza Afisa Msajili wa NIDA wa wilaya ya Geita, Paschal Saro ambaye  alijitetea kwamba wamesajili laini za simu 340 na tayari namba za usajili 330 zimeshatolewa.

Saro alimwambia Waziri Mkuu kuwa suala la utata wa uraia kwa baadhi ya wananachi wanaoomba vitambulisho vya NIDA ni moja ya sababu zinazochelewesha  usajili wa vitambulisho vya uraia.

Waziri Mkuu aliwasihi wananchi wote kuwa walinzi wa nchi yao kwa kutoa taarifa za watu ambao wanaomba viutambulisho vya uraia wa Tanzania wakati si raia na aliwataka watoe taarifa mara moja kwenye vyombo vya dola pale wanapogundua kuwa kuna raia wa nje anafanya mchakato wa kuapata vitambulisho hivyo.

Alisema katika baadhi ya mikoa ya mipakani ambayo ina wakimbizi Serikali imekamata silaha ambazo raia hawasurusiwi kuzimiliki na zinasadikiwa kuwa zimepenyezwa nchini na raia wa nje wasiowaaminifu.

Awali,Waziri Mkuu, alikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Geita iliyopo katika kijiji cha Nzera mkoani Geita na kufurahishwa na hatua ya Mbunge wa jimbo wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma ambaye amewezesha upatikanaji wa vifaa tiba vya kisasa kwa ajili ya hospitali hiyo.

Waziri Mkuu alimpongeza Musukuma kwa moyo wa upendo alionao kwa  wapiga kura wake.  Vifaa hivyo ni vya kisasa na vinastahili kuwa katika hospitali za rufaa za mikoa lakini mbunge huyo ameamua kuwapelekea wapiga kura wake kwenye hospitali ya wilaya lengo likiwa ni kuboresha huduma.

(mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Mtu Mmoja Afariki Dunia Na Wengine Wawili Kujeruhiwa Baada Ya Kitu Kidhaniwacho Ni Bomu Kulipuka

$
0
0
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
MTU mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa na  chuma chakavu kidhaniwacho ni bomu ambacho kilisababisha mlipuko mkubwa huko Msangani ,Kibaha mkoani Pwani .
 
Aidha Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ )imeokota vipande vitano vya chuma chakavu vidhaniwayo ni mabomu katika eneo hilo la tukio na kuendelea na uchunguzi.
 
Kamanda wa polisi mkoani hapo,Wankyo Nyigesa akithibitisha juu ya tukio hilo alisema , septemba 20 kitu kama chuma kidhaniwacho ni bomu kililipuka na kumjeruhi na hatimae kumsababishia kifo Mbaraka Kolomela 37,mkazi wa Msangani,mnunuzi wa vyuma chakavu.
 
Alieleza, marehemu alifika nyumbani kwa Rajabu Nyangare (50) mkazi wa Msangani muuzaji wa vyuma chakavu kwa lengo la kununua vyuma chakavu.
 
“Wakati marehemu anafanya uchambuzi wa vyuma hivyo kuvitoa upande mwingine ndani wa jengo ambalo halijakamilika mali ya Rajabu Nyangare ndipo ulitokea mlipuko mkubwa uliosababisha majereha na kifo”
Wankyo alisema watu wawili waliojeruhiwa walikuwa karibu na eneo la tukio .
 
Aliwataja waliojeruhiwa kuwa ni, Fatuma Likupila (61) ambae alijeruhiwa kichwani na masikio na mlipuko huo,alitibiwa Tumbi na sasa amekimbizwa hospital ya Taifa ,kwani hali yake ni mbaya.
 
Mwingine ni Shomari Athumani (26) aliyepata jeraha pajani na tumboni amelazwa Tumbi kwa matibabu zaidi.
 
Alibainisha ,wanamsaka mmiliki wa vyuma chakavu Rajabu Nyangare,mkazi wa Msangani ambae alitoroka baada ua mlipuko huo kutokea ili achunguzwe uhalali wa leseni yake ya ununuzi wa vyuma chakavu na mlipuko ambao ulitokea baada ya marehemu kwenda kununua vyuma hivyo kwa mmiliki huyo.
 
Alitoa wito ,kwa wananchi kuacha tabia ya kuokota vyuma na kuhifadhi  majumbani bila tahadhali.

Jeshi la Iran lasema liko tayari kwa hali yoyote

$
0
0
Jeshi la wanamapinduzi wa Iran limeonya kuwa litashambulia kundi lolote litakaloleta uchokozi dhidi ya nchi hiyo. 

Taharuki katika eneo hilo la ghuba imeongezeka baada ya mashambulizi dhidi ya viwanda vya mafuta nchini Saudi Arabia mwishoni mwa wiki iliyopita na Marekani na Saudia Arabia zimeilaumu Iran kwa mashambulizi hayo.Iran imekanusha kuhusika. 

Katika mkutano na wanahabari ulioonyeshwa kupitia kituo cha habari cha runinga nchini humo, mkuu wa jeshi hilo meja jenerali Hossein Salami ameonya kuwa kiwango chochote cha uchokozi hakitavumiliwa na kwamba wanakadiria adhabu na wataendelea hadi kuharibiwa kabisa kwa kundi lolote la uchokozi.

Salami amesema kuwa Iran haitaki kuanzisha vita lakini akasisistiza kuwa vikosi vyake vimefanya mazoezi ya vita na viko tayari kwa hali yoyote ile.

Rais Magufuli atoa shilingi Milioni 10 kwa Timu ya Taifa ya Soka ya Watu wenye Ulemavu.

Rais Magufuli ateua viongozi wa tume ya haki za binadamu

$
0
0
Rais  Magufuli amemteua Jaji mstaafu Methew Mwaimu kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Jaji Mwaimu anachukua nafasi iliyokuwa wazi tangu mwanzoni mwa mwaka 2018 baada ya Bahame Nyanduga aliyekuwa mwenyekiti kumaliza kipindi chake cha uongozi.

Taarifa iliyotolewa leo Jumapili Septemba 22,2019 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imemnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akisema pamoja na uteuzi wa Mwenyekiti, Rais Magufuli amemteua Mohamed Khamis Hamad ambaye ni Wakili wa Serikali katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar kuwa Makamu Mwenyekiti wa  tume hiyo.

Pamoja na uteuzi huo, Rais Magufuli ameteua Makamishna wa Tume hiyo kama ifuatavyo; Dk Fatma Rashid Khalfan (Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar), Thomas Masanja (Mhadhiri wa Sheria, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino – SAUT) na Amina Talib Ali (Ofisa Mwandamizi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar).

Pia, amemteua Khatib Mwinyi Chande (Mhadhiri Msaidizi Chuo Kikuu Huria Tanzania – OUT) na Nyanda Josiah Shughuli (Ofisa Mwandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango).

Balozi Kijazi amesema uteuzi huo umeanza  Septemba 19 2019.

Serikali Yaonya Watu Wanaotorosha Madini ....Waziri Mkuu Asema Wasiotaka Kuelewa Serikali Itashughulika Nao

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watu wote wakiwemo wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu ambao wanajihusisha na utoroshaji wa madini, waache mara moja, Serikali ipo makini imejidhatiti vya kutosha na kwamba haitokuwa na huruma dhidi yao.

Serikali imefuta kodi ya ongezeko la thamani (VAT-18%) na kodi ya zuio (withholding tax-5%) kwa wachimbaji watakaouza madini kwenye masoko yalioanzishwa nchini ikiwa ni mikakati ya kuwaendeleza wachimbaji wadogo ili waweze kuongeza uzalishaji na hivyo kujiongezea tija na kuchangia katika pato la Taifa.

Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumapili, Septemba 22, 2019) wakati akifungua maonesho ya Teknolojia  na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayofanyika kwenye uwanja wa CCM Kahangalala mjini Geita. Amesema kwa wale wasiotaka kuelewa na kuacha kutorosha madini Serikali itashughulika nao.

Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kutatua changamoto wanazokutana nazo wachimbaji wadogo ikiwemo matumizi ya teknolojia duni katika uchimbaji na uchenjuaji madini. “Nitoe wito kwa wadau kuitumia fursa ya uwekezaji kwa kuanzisha biashara ya vifaa vya uchimbaji na uchenjuaji nchini.”

Pia, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wadau wa madini kuwa katika mkutano wa 16, wa Bunge la 11 lilijadili na kuridhia Azimio la Kuridhia Mkataba wa Minamata kuhusu kupunguza kwa kadiri iwezekanavyo matumizi ya zebaki ifikapo 2030.

Amesema lengo la mkataba huo ni kuanza kupunguza na hatimaye kuacha matumizi ya zebaki kwenye uchenjuaji wa dhahabu hususan kwa wachimbaji wadogo. Kwa mantiki hiyo, amewasihi wachimbaji wadogo kuepuka matumizi ya zebaki katika uchenjuaji na kuanza kutumia njia nyingine zilizopo.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema kwa kipindi kirefu kumekuwepo na changamoto ya wachimbaji wadogo kufanya shughuli za uchimbaji bila kuwa na taarifa sahihi za kijiolojia, hivyo kusababisha  wachimbaji wengi wadogo kuchimba kwa kubahatisha na hata wengine kutumia imani za kimila katika kuchagua maeneo ya uchimbaji.

“Kwa msingi huo, nawahimiza wadau mbalimbali katika Sekta ya Madini hususan wachimbaji wadogo kuitumia kikamilifu Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ili kupata taarifa muhimu na sahihi za kijiolojia pamoja na ushauri wa kitaalamu katika utafutaji wa madini.”

Amesema sambamba na kutenga maeneo kwa ajili ya wachimbaji wadogo kwa kuzingatia taarifa za kijiolojia kupitia GST na STAMICO, Serikali imeendelea kuandaa machapisho yenye kuonesha maeneo yanakopatikana madini nchini.

Waziri Mkuu amewataka  wachimbaji wadogo kutumia fursa ya uwepo wa taasisi hiyo ili kuepuka kuwekeza fedha zao nyingi katika maeneo ambayo hayana madini na hivyo, kufanya kazi kwa kubahatisha jambo ambalo halina tija kwao na Serikali kwa ujumla.

Amesema Serikali imeanzisha vituo vya umahiri na vituo vya mfano kwenye baadhi ya maeneo nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo mbalimbali kuhusu masuala ya madini kwa wachimbaji wadogo, pia vituo hivyo, vitatumika kufanya maonesho ya madini na vifaa vinavyotumika katika shughuli za uchimbaji madini.

Kaulimbiu ya maonesho hayoinasema ‘Madini ni Chachu ya Ukuaji wa Uchumi wa Viwanda’ Tuwekeze kwenye Teknolojia Bora ya Uzalishaji na Tuyalinde Masoko ya Madini.

Amesema kaulimbiu hiyo inakwenda sambamba na maelekezo ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015/2020 ambayo pamoja na mambo mengine inaielekeza Serikali kusimamia na kuhakikisha uwekezaji katika shughuli za kuongeza thamani madini ili kukuza mchango wa sekta hiyo kwenye Pato la Taifa.

Kwa upande wake, Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kwa sasaSerikali na makampuni  yanayomiliki migodi wanaheshimiana  kwani makampuni hayo yanatii magizo na kufuata sheria za nchi.

Waziri Doto amesema kabla ya kuåfunguliwa kwa masoko ya madini nchini makusanyo ya dhahabu yalikuwa kilo 101 kwa mwezi hivi sasa  baada ya masoko kufunguliwa makusanyo yameongezeka na kufikia kilo  1,974.

Hata hivyo, Waziri huyo wa Madini amesema kwa sasa nidhamu ya Watanzaniua katika kusimamia ununuzi na uuzaji dhahabu imevutia wauzaji dhahabu toka nchi za jirani kwani hakuna tena wizi wala utapeli katika biashara hiyo.

Hivyo, Waziri huyo ameyataka makampuni yanayomiliki migodi kutoa tenda kubwa kwa wazawa na makampuni ya ndani badala ya kuyapa makampuni ya nje na kuzipa kampuni za ndani tenda ndogondogo.

(mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Ufukwe wa Coco beach Wateketea kwa moto

$
0
0
Eneo la starehe (Pub) lililoko kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam, limetekea kwa moto huku chanzo cha moto, kikiwa bado hakijajulikana.

Eneo hilo ambalo lipo Msasani jijini Dar es salaam linatajwa kuanza kuungua kwa moto, majira ya saa 7 mchana, ambapo kwa mujibu wa Meneja Pub hiyo, Davis Urasa mpaka sasa bado hawajatambua hasara kiasi gani iliyotokea.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Dalili:mwili kuchoka,maumivu ya mgongo na kiuno,kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu

Misuli  kulegea na kusinyaa hata kushindwa kufika kileleni miguu kuuma na kuwaka moto:

TIBA YAKE:

TULLO4 MIX.Ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizi hayo, inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kukufanya urudie tendo la ndoa zaidi mara tatu bila kuchoka au kukinai.

NTINJE3 PUMP.Ni dawa inayoongeza maumbile na kukupa umbile la kudumu.Itumie tiba hii kuokoa ndoa yako na kuokoa kukimbiwa na umpendae.
GASELA: Ni dawa mvuto kumvuta umpendae na kumrudisha alie mbali .

NTOBO: Inatibu KISUKARI:siku7 na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenyetatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari.

mpigie DR LIZENGO .OFISI IPO MBAGALA SABASABA.SIMU 0655283534/0621737576

Mtalii Afia Chini Ya Bahari Zanzibar Akimchumbia Mpenzi Wake

$
0
0
Mtalii mmoja aliyejulikana kwa jina la Steven Weber Jr, alifariki Dunia hivi karibuni akiwa chini ya Bahari alikoenda kumvisha pete mchumba wake, Kenesha Antoine wakati wa likizo.

Kulingana na mtandao wa Sky News, Steven Weber na Kenesha Antoine walikuwa wakiishi katika hoteli moja ya mbao ambayo ipo chini ya maji ya Bahari huko Visiwani  Zanzibar,  ili kuwawezesha kuona kilichopo maji.

Picha zimeonyesha wakati bwana Weber kutoka eneo la Baton Rounge mjini Luoisiana Marekani, alivyoogelea hadi katika dirisha moja lililopo chini ya maji kabla ya kushika karatasi akimuomba  Antoine akubali kufunga naye ndoa.

Karatasi hiyo ilisoma kwa tafsiri isiyo rasmi: “Siwezi kuzuia pumzi zangu kwa muda mrefu ili kukwambia kila kitu ninachokupendea lakini kila kitu ninachokupendea nakupendea kila siku”.

Bwana Weber baadaye aliibadilisha karatasi hiyo ili kuonyesha maneno aliyokuwa ameandika upande mwengine yaliosema: “Je tafadhali unaweza kuwa mke wangu? Utafunga ndoa nami???.

Kulingana na mtandao wa Sky News, baadaye alitoa pete ya uchumba kutoka katika mfuko wake kabla ya kuogelea na kuondoka eneo hilo.

Bi Antoine naye alichapisha picha za kisa hicho katika facebook ambapo anaonekana akifurahia pamoja na tamko lake: Ndio! Ndio! Ndio!.

Lakini mrembo huyo baadaye alichapisha habari mbaya kwamba mpenzi wake amefariki.

Bi Antoine alisema kwamba hakurudi akiwa mzima baada ya kuogelea baharini.

Wizara ya maswala ya kigeni nchini Marekani ilisema kwamba mtalii mmoja wa Marekani amefariki nchini Tanzania lakini hakuna maelezo zaidi yalioripotiwa.

Ongeza Nguvu Za Kiume, Maumbire Madogo Pamoja Na Tiba Mbalimbali

$
0
0
MASISA 3 POWER nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa muundo wa vidonge na unga  , Huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80)   Inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii)  inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa  tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoazaidi ya maratatu (3)bila hamu kuisha wara kuhisi kuchoka na  itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 20-40

SUPER MONGERA  Hurefusha na kunenepesha maumbile madogo yaliosinyaa. Matatizi haya huchagizwa ama husababishwa na tumbo kuunguluma na kujaa gesi,ngili, kisukari, presha korodani moja kuvimba au kuingia ndani nk yote haya yanatibika kabisa na kupona kwa mad mfupi sana,

Pia ninadawa ya vidonda vya tumbo miguu kuwaka moto na kupata nganzi, maumivu ya mgongo na kiuno 

Ni DR CHIPUPA  pekee mwenye uwezo wa kumrudisha mume , mke ,mchumb.

Kwa nini uhangaike na matatizo ya uzazi;   ninadawa ya uzazi kwa pandezote mbili, kupunguza unene kitambi ( nyama uzembe)        kuondoa makovu mwilini, kuzuia mimba kuharibika,kusafisha nyota,  kuzuia majini wachafu, pete ya bahati,

 wasiliana na DR. CHIPUPA 

Call+255 0673878343

watsap +255 0620510598

Huduma hii inakufikia popote ulipo

RC Makonda Apambana kutimiza Maagizo ya Rais Magufuli.....Sasa Kushinda Site Usiku na Mchana Kuhakikisha Miradi Inakamilika

$
0
0
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais Magufuli, kutoridhishwa na utekelezwaji wa baadhi ya miradi ya Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwemo machinjio ya Vingunguti, Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda amelazimika  kushiriki katika ujenzi wa machinjio hayo hadi nyakati za usiku ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika.

Usiku wa kuamkia leo Septemba 22,2019 RC Makonda  aliamua kwenda 'site' usiku kushirikiana na Makandarasi waliopewa tenda ya ujenzi wa machinjio hayo ya kisasa, ambapo amesema sauti ya Rais Magufuli kuhusu ujenzi huo, imekuwa ikimfuata mara kwa mara hivyo ameona si vyema kumuangusha.

"Nimeamua kusimamia mwenyewe sababu moja tu niliowaamini nakuwaachia kazi hii wameniangusha na ile sauti ya Rais Magufuli, kuwa nimekubali hii miradi ishindikane, isitekelezeke?, nakuambia Rais na Watanzania wote miradi hii ntaisimamia mwenyewe usiku na mchana ili kuhakikisha ndoto uliyonayo katika mkoa wetu inatimia, sitakuangusha" amesema Makonda.

Makonda amesema kwa sasa hatokuwa akipatikana ofisini, badala yake atakuwa akipatikana 'site' hadi miradi hiyo itakapokamilika.

Machinjio hayo yanatarajiwa kukamilika katika kipindi cha ya miezi 3 ijayo.

Kiboko Ya Maumbile Madogo Na Nguvu Za Kiume

$
0
0
*NGETWA MIX*/
√Hii ndio dawa bora ya mitishamba kiboko ya maumbile Madogo(KIBAMIA) Hurefusha na kunenepesha maumbile  mafupi pia  yaliyoingia ndani kutokana na kitambi ama kuathirika na punyeto

*📌SUPER MORINGA MIX*/
Ni dawabora ya nguvu za kiume yenye mchanganyiko wa miti shamba 10 yenye maajabu yafuatayo:/
🔖(1)Inatibu upungufu wa nguvu za kiume mara dufu na kuimarisha misuri   ilio legea na kusinyaa wakati wa tendo la ndoa/
🔖(2)Kuongeza hamu ya tendo kukufanya uweze kurudia tendo hadi mara tatu bila kuchoka
🔖(3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15-30 kwa tendo la Kwanza na utakuwa na uwezo wa Kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3-4 bila hamu kuisha na inatibu kabisa/
.
*MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA*/
🔖(1)Tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu/
🔖(2) Choo kuwa kama Cha mbuzi/
🔖(3)Ngiri/
🔖(4)Kama umejichua sana punyeto/
🔖(5)Kisukari/
🔖(6)Presha ya kupanda na kushuka/
🔖(7)Vidonda vya tumbo,/
.
Na haya yote husababisha/
📍Kuishiwa kwa nguvu za kiume 📌/
. _______________________
Bado hujachelewa dawa hizi ni mpya kabisa  ni tofaut na ulizo wahi kutumia pia zimeonesha mafanikio kwa watu wengi sana/

Pia tuna tibu  KISUKARI,PRESHA,VIDONDA VYA TUMBO N.K/
._______________________
DR .SELEMANI OMARY ANAPATIKANA  DAR ES SALAAM , PIA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO  NDANI NA NJE YA NCHI .SIMU NO:/
*📞+255788468114*

Iran yataka vikosi vya kigeni viondoke Ghuba ya Uajemi

$
0
0
Rais wa Iran amesema siku ya Jumapili kuwa nchi yake ndiyo inastahili kuongoza usalama wa kikanda katika Ghuba ya Uajemi na kuonya kuhusu kuwepo kwa majeshi ya kigeni katika eneo hilo.

Haya yanakuja wakati ambapo mkataba wa nyuklia wa nchi hiyo na nchi zenye nguvu duniani unasambaratika na Marekani imetuma vikosi zaidi kwa ajili ya kuongeza usalama kwa washirika wake wa Kiarabu.

Akizungumza wakati wa gwaride la kijeshi, Rais Hassan Rouhani amesema kwamba uwepo wa majeshi ya kigeni katika Ghuba huenda ukasababisha matatizo kwa usalama wa nishati duniani.

Amesema Iran inaunyoosha "mkono wa urafiki na udugu" kwa mataifa mengine ya kanda hiyo kwa kusimamia usalama katika Ghuba ya Uajemi na njia ya bahari ya Hormuz ambapo asilimia ishirini ya mafuta yanayouzwa nchi za nje yanapitia.
 
Pamoja na kuongeza idadi ya wanajeshi na vifaa vya kijeshi kwa Saudi Arabia na nchi za Umoja wa Kiarabu, Marekani inaongoza muungano wa kijeshi wa majini ambao unaojumuisha nchi za Umoja wa Kiarabu, Saudi Arabia, Bahrain, Uingereza na Australia ili kuimarisha usalama wa njia za majini za eneo hilo na njia zengine muhimu za biashara ya mafuta.
 
Kwa muda mrefu Iran imetaka kuondolewa kwa vikosi vya majeshi ya nchi za Magharibi na Marekani kutoka nchi za Kiarabu zilizo katika eneo la Ghuba kwa kuwa inaona hatua hiyo kama kitisho kinachoikodolea macho nchi hiyo.

Rais Hassan Rouhani anatarajiwa kusafiri kuelekea mjini New York hapo Jumatatu, siku moja kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Rouhani amesema kuwa atatoa mpango wa amani wa kanda hiyo katika Baraza hilo la Umoja wa Mataifa wakati ambapo wasiwasi unaongezeka kati ya Iran na Marekani kufuatia kusambaratika kwa mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Javad Zarif ambaye amewekewa vikwazo na Marekani, tayari amewasili New York kuelekea mkusanyiko huo wa viongozi wa dunia unaofanyika kila mwaka.

Umoja wa Mataifa wakaribisha pendekezo la waasi wa Houthi

$
0
0
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen Martin Griffiths amelikaribisha pendekezo la waasi wa Houthi la kusitisha mashambulizi yote dhidi ya Saudi Arabia akisema hatua hiyo inaweza kumaliza miaka kadhaa ya umwagaji damu nchini Yemen. 

Griffiths amesema utekelezaji wa pendekezo hilo la waasi wa Houthi litatuma ujumbe wa wazi wa nia ya kukomesha vita na kusifu matamanio ya kutumia njia za kisiasa kumaliza mzozo huo hatari. 

Mnamo Ijumaa iliyopita, waasi wa Houthi walitoa pendekezo hilo kama sehemu ya juhudi za kusaka amani, lakini Saudi Arabia imesema itasubiri kuona iwapo waasi hao watatekeleza kwa vitendo kile walichosema. 

Pendekezo la waasi wa Houthi linafuatia mfululizo wa mashambulizi ya kutumia ndege zisizo na rubani katika miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia ambayo yalivuruga karibu nusu ya uzalishaji wa nishati hiyo muhimu na kutikisa soko la mafuta duniani.

Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga Zainab Tellack Awaasa Wananchi Wa Mkoa Huo Kujikita Katika Huduma Za Kujinga Kuliko Kutibu Magonjwa

$
0
0
Na Rayson Mwaisemba WAMJW-SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Tellack amewaasa Wananchi wa Mkoa huo kujikita katika huduma za kukinga kuliko kutibu magonjwa ili kuondokana na gharama kubwa zinazotumika katika kutibu kwenye ngazi ya familia na Serikali.

Wito huo ameutoa wakati akiongea na Wananchi wa Shinyanga katika mji wa Kahama ikiwa ni siku ya kufunga kwa Kampeni ya Kitaifa ya ujenzi wa vyoo bora na kuvitumia kwa usahihi ” USICHUKULIE POA, NYUMBA NI CHOO” iliyofanyika katika viwanja vya Majengo, Kahama.

Mhe. Zainab Tellack amesema kuwa idadi kuwa ya magonjwa ya mlipuko nchini kama vile kuhara na kipindupindu yanatokana na tatizo la kutokuwa na vyoo bora na kutonawa mikono kwa maji safi chirizika na sabuni hali inayopelekea kuingia gharama kubwa kutibu magonwa hayo.

“Kuna maradhi mbali mbali ambayo Watanzania wanayapata, ambayo si ya lazima, maradhi kama Kipindupindu, Kuhara, Minyoo ambayo yanasababishwa na ukosefu wa vyoo, na kuvitumia kwa usahihi, huku wengine wakitoka vyooni hawanawi mikono matokeo yake wanakula kinyesi jambo linalopelekea kupata magonjwa ambayo yanawagharimu katika matibabu” Alisema Mhe. Zainab Tellack.

Aliendelea kutoa wito kwa kusisitiza, ujenzi wa choo bora na matumizi sahihi utasaidia kupunguza  matumizi ya dawa mara kwa mara ambayo hayana ulazima, jambo litalosaidia kupunguza usugu dawa, na madhara mengine madogo madogo yatokanayo na matumizi ya dawa.
 
Aidha, Mhe. Zainab Tellack ameahidi kuwa, kama Mkoa ifikapo Disemba 31 kaya zote katika Mkoa wa Shinya lazima zitakuwa na vyoo bora, na kuvitumia vyoo hivyo kwa usahihi ili kuendelea kujikinga dhidi ya magonjwa ya Kipindu pindu, kuhara na minyoo.

“Ndugu zangu Wanakahama na Shinyanga kwa ujumla sisi kama Mkoa tumeahidi, kwamba ifikapo Disemba 31, kaya zetu zote kwenye Mkoa huu lazima ziwe na vyoo, hilo ndugu zangu tunaweza, kama vijana wetu wanathamani kubwa kwanini tushindwe kujenga vyoo” alisema  Mhe. Zainab Tellack.

Katika Mkutano huo, Mhe. Zainab Tellack alikubaliana na Wananchi wa Mkoa huo kuwa ifikapo Disemba 31 kwa Wananchi wataokuwa hawana vyoo watapigwa faini ya kiasi cha shilingi 500,000 na kuchukuliwa hatua kali dhidi yao.

“Ambae hatokuwa na Choo bora ifikapo Disemba 31, faini 500,000 tumekubaliana hivyo, na mmesema wenyewe, na mimi nabariki hilo, kwa hiyo tujipange ili tusifike huko” Mhe. Zainab Tellack.

Kwa upande wake Mratibu wa Kampeni ya “USICHUKULIE POA, NYUMBA NI CHOO” Bw. Anyitike Mwakitalima amesema kuwa kila dakika moja Dunia inapoteza watu 4,  sawa na  watu 6000 kila siku, huku sababu ya vifo hivyo ikiwa kula  kinyesi hali inayotokana na kutotumia vyoo na kunawa mikono kwa maji safi tiririka na sabuni, huku wahanga wakubwa wa tatizo hili wakiwa Watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

"Kila dakika moja Dunia inapoteza watu 4, ikiwa inamaana kwamba kila siku Dunia inapoteza watu 6000, na hawa ni kwasababu tu wamekula kinyesi na wengi wao ni Watoto wenye umri chini ya miaka mitano" alisema Bw. Anyitike Mwakitalima

MWISHO.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images