Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Bunge la Katiba Ruksa kuendelea bila Wajumbe wa UKAWA

$
0
0
Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba imetoa mapendekezo kwa Kamati ya Uongozi kwamba Bunge Maalumu liendelee na mkutano wake wa pili wa Bunge hilo kuanzia Agosti 5 mwaka huu.   Katika ngwe hiyo ya pili mkutano huo uzingatie upya baadhi ya kanuni za Bunge hilo ambazo ni kikwazo katika kuhakikisha kazi ya kujadili na kupitisha katiba inayopendekezwa inakamilika kwa siku 63

Davina Apewa Kichapo kizito na mumewe baada ya kunaswa akiongea na mwanaume mwingine kimahaba

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa kipigo kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba na simu iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine. Tukio hilo lilitokea nyumbani kwa msanii huyo, Mbezi-Beach, Dar, Julai 22, mwaka huu ambapo Davina alikutwa akizungumza na mwanaume ambaye haikujulikana mara moja ni nani ndipo mumewe alipomshushia

Magazeti ya leo Jumamosi ya Tarehe 26 July 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  Tarehe  26  July  2014

Bifu la Ali Kiba na Diamond Lafika Pabaya......Ni vita ya kugombea nyota ya Ustaa, Lulu, Wolper na Wema Sepetu wahusishwa

$
0
0
Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa). Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo

Bahati Bukuku apata Ajali mbaya ya Gari

$
0
0
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo.   Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia  iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa tumeumia sana.

Watalii 17 Wavamiwa Hotelini Mkoani Kilimanjaro ......Wajeruhiwa, waporwa fedha, simu, kamera na laptop

$
0
0
Kundi  la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato (Laptop), kisha kuwajeruhi wanne na kutoweka.    Tukio hilo kubwa kuwahi kutokea siku za hivi karibuni mkoani Kilimanjaro, limetokea juzi alifajiri eneo la Mailisita kwenye hoteli ya kitalii ya

Dida afunguka..."Simu ndio chanzo cha kuachana na Mume wangu Ezden, nilikuta ameiwekea Password....Nilipomuuliza akaanza kunipiga"

$
0
0
Dida Shaibu, mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani amefunguka Exclusively kupitia Sunrise ya 100.5 Times Fm na kueleza chanzo cha ndoa yake  na Ezden ‘The Rocker’ Jumanne kuvunjika. Ndoa iliyodumu kwa muda wa mwaka mmoja tu.   Dida ameeleza kuwa mzizi wa tatizo lililopelekea ugomvi mkubwa kati yao ni simu ya mkononi ya mumewe huyo wa wazamani baada ya kutaka kuitumia kucheza

Mh. Lowassa Awaandalia Futari waumini wa kiislamu Monduli

$
0
0
Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini.   Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.  Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuelekea sikuu ya Eid- El - Fitr

$
0
0
Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.   Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa

Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi

$
0
0
Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano. Kuhusu nyimbo mpya za Alikiba

Shilole apanga kugombea ubunge Igunga 2015

$
0
0
Shilole si mgeni katika kuota vitu vikubwa. Kutoka kwenye ndoto yake ya kufanya kolabo na Jennifer Lopez, awamu hii ameenda mbali zaidi.  Muimbaji huyo amechoka ‘Kuchuna Mabuzi’ na sasa anataka kuingia mjengoni. Mrembo huyo ambaye jina lake halisi ni Zuwena Mohamed, amepanga kugombea ubunge kwenye jimbo analotokea la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi wa mwaka 2015! Akizungumza

Sakata Zima la Hussein Machozi KUFUMANIWA Akizini na mke wa Mwanasiasa Maarufu wa Mombasa Kenya

$
0
0
Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.    Habari za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini humo. Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa siri na wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka

Shekhe Mkuu atangaza Swala ya Idd Kitaifa

$
0
0
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametangaza Swala ya Sikukuu ya Idd El Fitri inayotarajiwa kufanyika kitaifa katika mkoa wake.   Akizungumza na waandishi wa habari kwenye kikao maalumu katika Ofisi za  Mkoa wa Dar es Salaam za Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) hii leo, Shekhe Alhad alisema kuwa swala hiyo sambamba na hotuba mbalimbali inatarajiwa kufanyika saa

Nahofia Kuachwa Jamani, Nipo katika Mahusiano kwa miaka 6 , lakini sioni dalili za kuolewa

$
0
0
Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.  Naombeni  ushauri  jamani Mary

MUHAS: Tunatumia maiti 25 kwa mwaka kufundishia

$
0
0
Wakati sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimesema kuwa hutumia maiti 25 kwa kuwafundishia wanafunzi kila mwaka.    Pia chuo hicho hakijawahi kuagiza maiti kutoka nje ya nchi na kwamba ni mtu mmoja tu aliyewahi kutaka maiti ya mtoto wake itumike kufundishia.   Kauli hiyo ya MUHAS imekuja

Mwigulu Awabembeleza UKAWA kurudi bungeni

$
0
0
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM bara), Mwigulu Nchemba ameutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni ili kukamilisha Mchakato wa Katiba Mpya kwa amani na utulivu.    Rai hiyo imekuja wakati mijadala mbalimbali inaendelea juu ya hatima ya wajumbe hao na mchakato huo tangu walipotoka bungeni na kususia vikao vya Bunge hilo Aprili 17 na kukataa kurejea, huku

Wasanii wa Injili wamuunga mkono January Makamba......Waahidi kumpigia kampeni za Urais 2015

$
0
0
Wasanii wa nyimbo za Injili nchini wamemtaka Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba kuendelea na nia yake ya kugombea urais wakieleza kuwa wapo tayari kumpigia kampeni.    Makamba aliyetangaza nia ya kugombea urais akiwa London Uingereza, alipata ahadi ya kuungwa mkono pia na Mtandao wa Walimu Vijana waliokutana mkoni Dodoma hivi karibuni.   Wakizungumza

Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani

$
0
0
Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014 (African Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26, Eisemann Center Richardson, Texas, Marekani. Diamond ameshinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki. Mtanzania mwingine aliyeing’arisha Tanzania katika tuzo hizo ni Lady

CHADEMA Yaumbuka tena.....Mgombea wake akisaliti Chama hadharani na kummwagia Sifa mgombea wa CCM

$
0
0
Diwani wa Kata ya Masoko, Mbeya Vijijini kupitia Chadema, Edward Mwampamba , juzi alikiweka njiapanda chama chake baada ya kujitoa katika kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kumsifia mgombea wa CCM kwamba anafaa kupewa kura zote.    Tukio lilitokea kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo na kuwafanya madiwai wa CCM kushangilia.   Awali Mwenyekiti wa

Wassira amtaka Tundu Lissu Awaombe Radhi Maaskofu na Mashehe

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wassira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.   Aidha, Wasira pia amemtaka msemaji wa Ukawa, Tundu Lissu kuwaomba radhi mashehe na maaskofu ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa kudai ni
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images