Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Madawa ya kulevya yamtesa Batuli.....

$
0
0
Mwanadada kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya. Batuli alisema kinachowaponza vijana wengi ni kupenda fedha za chapuchapu, matokeo yake wanaambulia kifungo cha maisha na wengine kunyongwa katika nchi zenye misimamo mikali.   “Inashangaza sana wasichana

Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 24 July 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  Tarehe  24  July  2014

Diamond Platnumz To Release A Second Video For "Mdogo Mdogo". Find Out Why

$
0
0
Diamond Platnumz gifted his fans and especially his mother who is his biggest fan with two videos on her birthday. Mdogo Mdogo and another massive collaboration with Iyanya dubbed ‘Bum bum’. Both videos were on point although MdogoMdogo sparked alittle controversy for his choice to use a white lady as the video vixen. Diamond however explained that it was in line with the message he

Serikali Yawataka Wananchi kuwa Makini na Matapeli

$
0
0
Na Rose Masaka-MAELEZO-Dar es Salaam. Serikali imewataka  wananchi       kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu. Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Amesema kuwa Taasisi hizo zimekuwa

Mwanamke aliyeasi Uislamu na kuolewa na Mkristo Asafirishwa kwenda Italia

$
0
0
Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja.   Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo Pistelli.   Awali Meriam

Ndege Ya Algeria Yapoteza Mawasiliano ikiwa na Abiria 116

$
0
0
SHIRIKA la ndege la Taifa la Algeria, limesema limepoteza mawasiliano na moja kati ya ndege zake iliyokuwa ikitoka Burkinafaso kwenda Algiers kupita Sahara.   Mawasiliano yalipotea dakika 50 baada ya ndege hiyo kupaa kutoka mji wa Ouagadougou, Burkinafaso shirika hilo limeeleza.   Ndege namba AH 5017 ilikuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita wa ndege hiyo.   Chanzo cha habari

Kesi ya Watuhumiwa wa Mtoto Wa Boksi Yaahirishwa tena

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro bado imeendelea kuahirisha kesi  inayowakabili watuhumiwa  watatu wanaokabiliwa na shitaka la kusababaisha kifo cha mtoto Nasra Rashidi (4) kwa madai ya kutokamilika upelelezi.   Watuhumiwa hao ambao ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi (47) mkazi wa Lukobe pamoja na wanandoa Mariam Said (38) na Mtonga Omari (30) wote wakiwa ni wakazi wa mtaa

Jaji wa Mahakama kuu afungua kesi ya madai ya sh.Milioni 300 kutokana na Ajali iliyosababishwa na Uzembe wa Dereva

$
0
0
Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.   Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen

Wanaodaiwa kulishambulia Gari la Magereza kwa Risasi Wapandishwa Kizimbani

$
0
0
Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu.   Watuhumiwa hao, Peter Mushi (36) dereva na Godlisten Mongi (40) ambaye hati ya mashitaka imemtambulisha kwamba ni mhandisi, walipandishwa kizimbani jana kwa mashitaka ya kula njama, unyang’anyi wa

Waliotupa Viungo vya Binadamu Hadharani kukiona Cha Moto

$
0
0
Tukio la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na  Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) cha Dar es Salaam,  linadaiwa kuandika historia mbaya nchini.   Wakati serikali ikiendelea kuchunguza tukio hilo, ikiwemo kuunda tume nyingine chini ya Wizara ya Afya na Ustawi, kujiridhisha kabla ya hatua kuchukuliwa,  Baraza la Madaktari limetwishwa mzigo wa

Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 25 July 2014

$
0
0
Magazeti  Ya  Leo  Ijumaa  Ya  Tarehe  25  July  2014

Jokate Asaka Bwana wa Kumuoa

$
0
0
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume.  Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa. “Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina

Kamati ya Mashauriano yatoa Wito kwa wajumbe waliosusia Mikutano ya bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni

$
0
0
Katibu wa Bunge Maalumu  la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na ushauri wa kikao cha kamati ya Mashauriano ya Bunge maalum la katiba kilichofanyika jana julai,24,2004 katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.Mh. Yahya alisoma

Kundi lingine la uhalifu laibuka mkoani Dodoma....Vijana hao wanajiita "Wadudu wa Dampo "

$
0
0
Kundi kubwa la vijana wanaojiita wadudu wa dampo limeibuka mjini Dodoma na kufanya matukio ya uhalifu huku likihusishwa na mauaji ya watu wanne yaliyotokea hivi karibuni. Uwepo wa kundi hilo umezua hofu na taharuki kwa wakazi wa mji huo hasa nyakati za usiku kutokana na wingi wao huku wakitembea na silaha mbalimbali za jadi wakati wakitekeleza matukio ya uhalifu.   Kundi hilo lenye

Nick Minaj Ajianika Akiwa Nusu Uchi katika Cover la Wimbo wake mpya "Anaconda'

$
0
0
Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani.  Sasa jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”. Picha ya cover hili inamuonyesha Nicki akituonyesha umbolake kwa nyuma huku akiwa amevalia nguo ya ndani aina ya g-string, bra ya michezo na Jordans miguuni.   Kazi mpya inatoka Jumanne

Baada ya Kimya Kingi....Ali Kiba Aibuka na Ngoma Mpya Mbili, Bofya hapa kuzisikiliza

$
0
0
Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba.  Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”.  Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo

Lulu Michael Amfungukia Ali Kiba Na Kuwakoromea Wanaoendekeza Ushabiki.....Bofya hapa kuona alichosema

$
0
0
Ali Kiba ameachia  nyibo mbili  kwa  mpigo ambapo response ya mashabiki ni nzuri. Sasa kupitia Instagram star wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu" amefunguka mambo mengi  sana  kuhusiana  na  Ali Kiba.......Hiki  ndicho  alichokisema:   "Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...!  1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es Salaam

Rais Kikwete Amuapisha Jaji kiongozi wa mahakama kuu ya Tanzania

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam.  Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake  leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye

Aibu: MJOMBA Afumaniwa na Mke wa MPWA wake wakingonoka Gesti

$
0
0
Timbwili la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani. Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo iliyopo Mbezi ya Afrikana jijini Dar es Salaam.   Mama mmoja

Sakata la Viungo vya Binadamu Vilivyotupwa Dar: Serikali Yaifunga Hospitali ya IMTU

$
0
0
Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka, imefungiwa kwa muda usiojulikana baada ya kugundulika kutokidhi viwango na maadili ya utoaji huduma za hospitali nchini.   Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imechukua jukumu la kuifungia hospitali hiyo baada ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images