Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Makanisa Yanayoendekeza Vurugu Kufutiwa USAJILI Wake

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema yeye mwenyewe atayafuta makanisa yote yanayoleta vurugu na uvunjifu wa amani kwa kuwa hayatoi taswira ya kile wanachopaswa kufanya na ni aibu kwa Mungu  wanayemtumikia.   Amesema ni aibu kwa viongozi wa makanisa kupigana hadharani wakati wa Ibada na kupishana katika vituo vya Polisi wakishtakiana jambo alilosema linachochea shari na

Wanafunzi Watano WALAWITIWA Kwa Mpigo na Mwenzao

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti wenzake watano kwa mpigo. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri katika Mtaa wa Twanga Pepeta Kijiji cha Fulwe-Dindili Kata ya Mikese Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani hapa ambapo dogo huyo alidaiwa kufanya tukio hilo ambalo ni gumzo kwa sasa huku

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 28 July 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  tarehe  28  July  2014

Shule kuwatimua Watumia VIPODOZI na Wavaa MILEGEZO

$
0
0
Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni.   Mwalimu Mkuu wa shule hiyo inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Mchungaji Yohana Nzelu, alisema hayo jana katika kikao

Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa.....Amtaka Waziri wa Afya AJIUZULU

$
0
0
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.    Akizungumza katika hafla ya kuuaga uongozi wa Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chadema (Chaso) na kufungua Tawi la Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Muhimbili (Muhas) jana,

Mke wa Kingwendu Abakwa.....

$
0
0
MKE  wa  Kingwendu  ambaye  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  za  vichekesho  nchini  amefanyiwa  kitendo  kibaya  cha  ubakaji  na  mwanaume  aliyefahamika  kama  Upunguvuku  katika  pagala  moja  huko  Mbagala  Kingugi  kwa  Kisauti..... Mke  wa  Kingwendu  anayejulikana  zaidi  kwa  jina  la  mama  Maua, alikutwa  na  masahibu  hayo  Alhamisi  iliyopita  baada  ya  kuvamiwa  na 

Hongera Ray C: Video Queen wa wimbo wa Ice Cream aanza kupona UTEJA Uliosababishwa na matumizi ya madawa ya kulevya

$
0
0
Mrembo  Doreen  aliyekuwa  video  Queen  wa  wimbo  uliotokea  kutamba  miaka  ya  nyuma  wa  Ice  Cream  ulioimbwa  na  Haji  Nura  'Noorah'  akimshirikisha  Suma  Lee  ameanza  kurejea  katika  hali  yake  ya  kaaida  ikiwa  ni  baada  ya  kutopea  katika  matumizi  ya  dawa  za  kulevya..... Doreen  anakuwa  wa  kwanza  kuionyesha  jamii  juu  ya  taasisi  ya  mwanamuziki  Rehema 

Picha Tatu za Bahati Bukuku akiwa Hospitalini baada ya kupata Ajali mbaya ya Gari

$
0
0
Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa, kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye eneo la Ranchi ya Narco wilayani Kongwa, Dodoma saa tisa usiku wa kuamkia Jumamosi. Katika ajali hiyo ambayo Bahati alikuwa akienda Kahama, Shinyanga kwenye mkutano wa Injili, dereva wa

Mitambo na Ving'ora katika Tawi la Stanbic Bank Kariakoo Vyawakurupusha Majambazi kabla ya kukamilisha Dhamira ya kupora Fedha za Benk

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanzisha msako mkali wa kuwatafuta majambazi watano ambao jana tarehe 27/7/2014 saa 8.00 mchana walifika katika benki ya Stanbic Tawi la Kariakoo lililoko mtaa wa Swahili. Watatu kati yao waliingia ndani ya benki hiyo wakiwa na mifuko mikubwa wakijifanya ni wateja waliopeleka fedha nyingi katika benki hiyo.  Watu hao watatu walipoingia

Sikukuu ya IDD: Ulinzi Waimarishwa jijini Dar.....FFU, Polisi Wanamaji, Askari wa Mbwa na Farasi, Helkopta ya Polisi na Magari ya Washawasha yatatumika kulinda Amani

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka mikakati ya mpango kazi kama ifuatavyo:- 1. Limepanga kushirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ikiwa ni pamoja na Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, Kampuni binafsi za ulinzi, Vikosi vya uokoaji wakati wa majanga, na vikundi vya Ulinzi Shirikishi ili kuhakikisha kuna udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza

Majambazi 10 HATARI Wakamatwa na Bunduki 8.....Mmoja ni mwanamke anayejua kutumia SMG

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao hatari wa majambazi wapatao kumi (10) mmoja wao akiwa ni mwanamke anayeshiriki kikamilifu wakati wa matukio ya ujambazi.   Majambazi hao wamekamatwa katika msako mkali unaoendelea jijini Dar es Salaam katika harakati za kuhakikisha kwamba maisha na mali za wakazi wa Dar es Salaam vinalindwa kikamilifu.   Katika

Breaking News: Sakata la Viungo vya binadamu kutupwa.....Viongozi wa Chuo na Hospitali ya IMTU Wafikishwa Mahakamani, DPP AWAFUTIA Mashitaka

$
0
0
Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner.     Vigogo hao ni, Venkat Subbaian (57), Appm Shankar (64),

Breaking News: Serikali YASITISHA Ajira Mpya katika Idara ya Uhamiaji kutokana na tuhuma za Upendeleo wa utoaji wa nafasi hizo

Baba Awacharaza Viboko Walimu Wawili wa Shule ya Msingi Mkoani Tabora......Kisa ni mkasa ni mwanae kurudishwa nyumbani kushona kaptura

$
0
0
Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko.   Amefanya hivyo kupinga mwanawe kurudishwa nyumbani, akashone kaptura. Alifanya hivyo mwishoni mwa wiki iliyopita.   Taarifa zilizomfikia mwandishi zilibainisha kuwa Juma alidhalilisha walimu wawili wa Shule ya Msingi Nzogimlole iliyopo wilayani

Uchaguzi CHADEMA: Dr. Slaa, Mbowe kutetea Nafasi Zao

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa Septemba 11, mwaka huu.   Pia chama hicho kimesema Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Katibu wake Mkuu, Dk Wilbroad Slaa, wanayo haki ya kuendelea kutetea nafasi zao hizo kwa mujibu wa Katiba

Sangoma Amfyeka Nyeti Mtoto wa Mwaka Mmoja na Kutoweka Nayo

$
0
0
Ni jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na muuguzi) kufikishwa hospitalini hapo akiwa amekatwa nyeti na mtu aliyedaiwa ni mganga wa kienyeji ‘sangoma’ na kuipeleka kusikojulikana. Akizungumza na Uwazi kwa masikitiko makubwa mwishoni mwa

Swala ya Eid El Fitr Yaswaliwa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar Leo

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.

Picha za Rais Kikwete katika Swala ya Eid El Fitr jijini Dar es Salaam

$
0
0
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.  "...Eid Mubarak....Eid Mubarak..." Rais

Askofu: Waziri Chikawe hana ubavu wa kulifunga Kanisa la Moravian

$
0
0
Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian nchini, Alinikisa Cheyo amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe hana ubavu wa kulifuta kanisa lake.    Cheyo alitoa kauli hiyo jana ikiwa ni siku moja baada ya Waziri Chikawe kutishia kulifuta kanisa hilo na madhehebu mengine yatakayoendekeza migogoro.   Akizungumza Dar es Salaam kwenye maombezi ya kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na

UPDATE: Taarifa ya kusitishwa kwa Ajira za Konstebo na Koplo wa Uhamiaji iliyotolewa jana na Wizara ya mambo ya ndani haihusiani na Ajira 70 za Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji

$
0
0
Baadhi ya Vyombo vya Habari leo tarehe 29 Julai, 2014 vimeandika kwa makosa kuwa ajira za Uhamiaji zilizositishwa jana zinahusiana na 70 zilizopatikana baada ya usaili uliofanyika katika Uwanja wa Taifa.   Ukweli ni kuwa usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ambao awali ulianzia Uwanja wa Taifa ulienda vizuri hadi wakapatikana wasailiwa wa kujaza nafasi 70 za Mkaguzi Msaidizi wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images