Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Profesa Mwandosya atangaza nia yake ya Kugombea Urais 2015.....Asema itakuwa ni heshima kubwa kwake endapo CCM itamteua kuwania nafasi hiyo

$
0
0
MBUNGE wa Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuelezea mwelekeo wake wa kisiasa na hasa nia yake ya kuwania urais mwaka 2015.   Mwandosya, ambaye alikuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na Mtanzania, tayari ameeleza wazi kuwa hatatetea tena kiti chake cha ubunge mwaka 2015.   Akizungumzia suala la urais

Frederick Sumaye anusurika kifo kwenye ndege

$
0
0
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amenusurika kifo hivi karibuni baada ya ndege ya shirika la Precision Air, iliyokuwa ikitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupata hitilafu ya injini. Ndege hiyo, ambayo iliondoka Mwanza saa 2:30 usiku, ilipata hitilafu ya injini moja muda mfupi tu  baada ya kuruka, hali iliyomlazimu rubani wa ndege hiyo kubadili mwelekeo na kutua katika Uwanja wa

Ahadi ya Rais Kikwete Yatimia.....Wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha Mafunzo kwa wasanii wa Tanzania

$
0
0
Terrence Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia. Akizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi

Kanisa lawataka wachungaji wajiuzulu CHADEMA

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka wachungaji wake ambao ni viongozi wa vyama vya siasa kuachana na nafasi zao za kisiasa.    Joseph Matare akizungumza na waandishi wa habari mjini Songea amesema kuwa ameamua kujiuzulu

Ujerumani ndo Mabingwa wa kombe la Dunia 2014.....Kipa wa Ujerumani atwaa tuzo ya kipa bora, Messi atwaa tuzo ya mchezaji bora

$
0
0
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne nchini Brazil usiku huu. Kocha wa Ujerumani, Joachim Low akinyanyua juu Kombe la Dunia. Mario Gotze akiifungia Ujerumani bao pekee na la ushindi dhidi ya Argentina usiku huu. Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia na Gotze. Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona, Carles Puyol (kushoto) na modo wa Brazili

Mdomo Wamponza Kafulila.....IPTL Yamdai fidia ya sh. Bilioni 310

$
0
0
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe radhi na kulipa fidia ya Sh bilioni 310.   Katika kesi hiyo ya madai, Kafulila anadaiwa kuidhalilisha kampuni hiyo, kutokana na kauli alizotoa dhidi yake (IPTL).   IPTL na walalamikaji

Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 July 2014

$
0
0
              Magazeti  ya  leo  Jumatatu  ya  tarehe  14  July  2014

Aunt Ezekiel: Sina Gundu na Wanaume

$
0
0
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli. Baada ya maneno hayo kutufikia, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:   “Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye

Warioba kaa pembeni -Tendwa

$
0
0
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake ilikuwa ni kuiandaa na siyo kushawishi kila mtu akubaliane nayo.    Amesema kazi sasa imebaki kwa Bunge Maalumu la Katiba, ambalo linaijadili rasimu hiyo na kutoa mapendekezo yatakayofaa na

Mastaa wa Bongo Muvi watwangana wakigombea penzi la Steve Nyerere

$
0
0
Mastaa wawili wa kike Bongo Muvi, Vivian Minja na Najma wanadaiwa kutoleana maneno machafu kisha kuzichapa kavukavu chanzo kikidaiwa eti walikuwa wakimgombea Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movies, Steven Mengere.  Kwa mujibu wa chanzo chetu, Vivian na Najma walifanya yao kwenye hafla ya chakula cha usiku waliyokuwa wamealikwa na Steve iliyofanyika kwenye Mgahawa wa Great Wall ulipo

January Makamba: Sitarudi nyuma kuhusu urais 2015 na wanaonibeza hawawezi kunikatisha tamaa

$
0
0
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba wazee wakae kando.    Hata hivyo, Makamba ambaye pia ni mbunge wa Bumbuli (CCM) amewashukuru watu wanaozungumzia nia yake ya kuwania urais mwaka 2015 na kutengeneza mjadala unaoendelea

Hali ya mtoto Devota aliyefungiwa Uvunguni kwa miaka Sita yabadilika na kuhamishiwa hospitali ya rufaa Morogoro.

$
0
0
Mtoto Devota Malole aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kilosa kufuatia mama yake kumtesa kwa kumfungia ndani na kumlaza chini kwa muda wa miaka mitano amehamishiwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro baada ya afya yake kiafya kubadilika. Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya kilosa Dr Shedrack Mponzi amesema wamelazimika kumuhamishia mtoto huyo katika hospital ya

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya korodani za mbuzi na kuku na dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo

$
0
0
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa. Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

Shilole akataliwa Ukweni kisa Umri mkubwa

$
0
0
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao. Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani

Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 July 2014

$
0
0
                      Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  15  July  2014

Watu wawili wahofiwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi mkoani Kilimanjaro

$
0
0
WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro umepatikana.   Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha

Vigogo wa Juu Mamlaka ya Bandari wapandishwa kizimbani Dar

$
0
0
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka.   Washitakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu, Ephraim Mgawe pamoja na aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu, Hamad Koshuma.   Walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka na Wakili kutoka

Mtuhumiwa wa Tindikali Zanzibar Atiwa mbaroni

$
0
0
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.   Mtu huyo anatuhumiwa kuhusika na tukio la kummwagia tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo mjini Zanzibar, Mohammed Omar Saidi Kidevu. Anatuhumiwa kuwa baada ya kutenda kosa hilo alitoweka.   Hayo yamesemwa na Ofisa Habari Mkuu

Hausigeli wa miaka 8 Ajeruhiwa vibaya na bosi wake

$
0
0
Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake.   Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas ambaye ni mchuuzi wa samaki katika maeneo hayo alidai kwa

Nafasi za Mafunzo na Kazi toka RafikiElimu Foundation ( Mafunzo ya usimamizi wa taasisi zisizo za kiserikali )

$
0
0
Taasisi  ya RAFIKIELIMU FOUNDATION  kupitia  MRADI  WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA, inatangaza  nafasi za MAFUNZO YA  USIMAMIZI NA UENDESHAJI  WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI   yaani NGO MANAGEMENT  &  OPERATION.   Wahitimu wa mafunzo  haya watapata  nafasi  ya kufanya kazi ya  USIMAMIZI NA  UENDESHAJI  WA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI katika MRADI WA WANAWAKE SALAMA
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>