Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mahakama Yamtia Matatani Freeman Mbowe .....Yasema ana kesi ya kujibu katika mashitaka ya kumshambulia mwangalizi wa uchaguzi mkuu wa 2010

0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.    Uamuzi huo ulitolewa jana na hakimu mfawidhi wa wilaya hiyo, Denis Mpelembwa mbele ya Mbowe, wakili wake, Issa Rajabu na mwendesha mashtaka, Inspekta Marwa Mwita.   Mpelembwa

Kortini kwa tuhuma za kumteka trafiki wa Kike

0
0
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani. Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya maeneo ya Tameke na Chang’ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako

FDLR wameomba kuweka chini silaha - Benard Membe

0
0
Wapiganaji wa kundi la waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC la FDLR limeandika barua kwa nchi za Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC ya kuomba kuweka silaha chini na kutaka amani nchini humo. Akitoa taarifa juu ya kundi hilo kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania, Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe amesema

Tangazo la Nafasi za Kazi

0
0
Neema Recruitment Agency ni wakala wa ajira na nafasi za kazi. Kwa niaba ya mteja wake, kampuni inatangaza nafasi za kazi za saloon ( SALOON WORKERS ) kwa waombaji  wenye  sifa  zifuatazo : 1. Awe wa jinsia ya kike 2. Elimu kidato cha nne na  kuendelea 3. Awe anaishi Dar Es salaam. 4. Walio na uzoefu na kazi za saluni watapewa kipaumbele. IDADI YA NAFASI : Nafasi Ishirini( 20 ) JINSI YA

David Kafulila: Siogopi kushitakiwa na IPTL

0
0
MBUNGE wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, David Kafulila, amesema haogopi kushtakiwa na kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited ( IPTL) kwani hata watu wasio na haki wana ujasiri wa kwenda mahakamani.   Hayo yamebainishwa kwenye taarifa iliyotolewa na mbunge huyo kwa vyombo vya habari akidai huo ndio msimamo wake baada ya kupata taarifa kupitia vyombo vya

Baby Madaha: Wasanii Wengi ni WACHAWI

0
0
Staa  wa  kike  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  muziki  na  filamu  nchini, Baby  Joseph  'Baby Madaha'  amewatolea  uvivu  wasanii  wenzake  kwa  kuifumua  tasnia  hiyo  kuwa  asilimia  kubwa  ya  wasanii  ni  washirikina  na  wanalogana.... Msanii huyo  amewashutumu  baadhi  ya  wasanii  Bongo  kuwa  hawawezi  kufanya  jambo  lolote  muhimu  bila  kufanya  ushirikina  na  wengine

Mfanyakazi wa Kampuni ya Ving'amuzi Apiga Picha za Utupu

0
0
Mfanyakazi  wa  kampuni  ya  ving'amuzi ( jina kapuni)  tawi  la  Moshi  anayefahamika  kwa  jina  moja  la  Neema, anayedaiwa  kuwa  ni  mke  wa  mtu  ameipaka  matope  kampuni  hiyo  baada  ya  kupiga  picha  za  utupu.... Picha  hizo  chafu  zaidi  ya  nne  zinamuonyesha  akiwa  mtupu  kama  alivyozaliwa  huku  akiyanadi  maubile  yake  nyeti  kiasi  cha  kuonekana  bayana....

CHADEMA Yawatuliza Wananchi.......Yaahidi Katiba Mpya ni lazima Ipatikane

0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni, linategemea utekelezaji wa masharti yao.   Bunge Maalumu la Katiba linatarajia kuendelea na vikao vyake Agosti 5 mwaka huu baada ya kuahirishwa Aprili 25 mwaka huu,

Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 16 July 2014

0
0
                            Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  tarehe  16  July  2014

Mahakama Yamsaka Padri wa Kanisa Katoliki anayekabiliwa na kesi ya Kumlawiti Mtoto wa Miaka 17

0
0
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumlawiti mtoto wa miaka 17.   Rufaa hiyo ilipangwa kusikilizwa hivi karibuni lakini hata hivyo padri huyo pamoja na wakili wake hawakufika mahakamani. Upande wa

Ramadhani Yamaliza BIFU la Wema Sepetu na Penny

0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.   Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida.

Kesi ya Waliokutwa na Bomu bila Kibali Yaahirishwa

0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Julai 29 mwaka huu kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kukutwa na bomu bila kibali, inayowakabili watu wanne.   Washitakiwa katika kesi hiyo ni Fadhil Kitogo, Idd Muhina, Shukuru Kitogo na Julius Chonya.   Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao wanadaiwa kutenda kosa hilo, Julai 30, mwaka jana, katika eneo

Kuitwa Kwenye Ajira Nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration)

0
0
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao waliofaulu usaili wa kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Mtaa wa Loliondo Kurasini, Dar es Salaam tarehe 29 Julai 2014, saa 2:00 asubuhi.   Aidha, wahusika wote wanaelekezwa kufika kwa wakati wakiwa na vyeti halisi vya

Shilole amtetea Serengeti Boy Wake, Asema wako sawa Kiumri

0
0
Mwanadada anayefanya vizuri katika  tasnia  ya  muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri.   “Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini nawashangaa sana wanaonisema kila siku eti ninatembea na Serengeti boy, jamani mpenzi wangu siyo

Maajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume

0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

UTAFITI: Harufu mbaya ya Kujamba ( Kutoa Ushuzi ) Inazuia Magonjwa ......Magonjwa yapi?, Bofya Hapa

0
0
Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.   Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.   Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo

Moto wateketeza nyumba tatu Mwananyamala jijini Dar.....Askari wa Zima moto wapigwa Mawe na Wananchi

0
0
MOTO mkubwa unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme, jana asubuhi umeteketeza nyumba ya mkazi wa eneo la Mwananyamala Hospitali, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Mkwanda Rajabu. Mbele ya nyumba hiyo, kulikuwa na fremu tatu za maduka ya majokofu (friji), ushonaji wa nguo na vyumba sita vya kulala ambapo moto huo uliteketeza kila kitu na kusababisha hasara kubwa kwa

Matokeo Ya kidato cha 6 -2014 Yatangazwa.....Bonyeza hapa kuyaona Matokeo Yote

0
0
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu.  Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420

Matokeo ya FOMRM SIX 2014: Shule 10 Zilizoongoza na Shule 10 za Mwisho ziko Hapa

0
0
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.   Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420

Alichokisema Baba yake Nuh Mziwanda baada ya kusikia mwanae kajichora tatoo yenye jina la Shilole.

0
0
Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole. Leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua hii aliyoamua kuifanya mtoto wake Nuh kwa upande wake.   Baba yake Nuh amezungumza hilo baada ya kuulizwa na Soudy Brown  kuhusiana na stori zilizosambaa juu ya kusemekana kumkataa Shilole,msikilize Baba yake Nuh akizungumza na Soudy Brown.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images