Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwanamke Aliyemng'ata Hausigeli na kumchoma Pasi Aachiwa

$
0
0
Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng'ata sehemu mbalimbali za mwili  mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada  ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka kwa wananchi zimepungua.   Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Yohana Yongolo alisema ameridhishwa na ufafanuzi uliotolewa na Mwendesha mashitaka wa Serikali pamoja na Wakili wa

Kada wa CCM, Rajab Maranda kusomewa Mashitaka Kitandani Muhimbili

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 11 mwaka huu inatarajia kuhamia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kusikiliza utetezi wa kada wa CCM, Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa Sh milioni 207 za Benki Kuu ya Tanzania (BoT).   Maranda na wenzake wanadaiwa kuiba fedha hizo kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kupitia BoT.   Jopo la mahakimu watatu, lilitoa

Rais Kikwete aagiza shule zote za Sekondari nchini ziwe na Maabara ifikapo Novemba mwaka huu

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.   Ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanashirikiana na wananchi ifikapo mwezi huo,  kila shule ya sekondari katika maeneo yao, inakuwa na  maabara kwa ajili ya masomo ya Sayansi.   Alisema hayo katika nyakati tofauti akiwa wilayani Kilindi na

Milipuko ya Mabomu jijini Arusha yaiweka Pabaya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo

$
0
0
Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Arusha (RCC) kimetaka  polisi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, kuacha kutoa matamko ya haraka,   badala yake wachunguze kubaini chanzo cha milipuko ya mabomu jijini Arusha.   Miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho ni Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyesema matukio hayo si ya siasa, bali  yanayodhuru jamii, hivyo ni vyema polisi wanapopewa

Mbio za Urais 2015: Fredrick Sumaye Asema yeye ndo Tumaini pekee la Watanzania

$
0
0
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema yeye ni tumaini la Watanzania na mpambanaji wa vita dhidi ya maovu.   Kutokana na hali hiyo, amesema ni jemadari hodari aliyeungana na askari wapiganaji hodari wa vita ambao wataleta ushindi usio na shaka.   Kauli hiyo aliitoa jijini Mwanza jana, katika hotuba yake ya uzinduzi wa taasisi ya Vijana ya Tanzania Youth (TYDC), ambako alipinga

Wasio na Virusi Vya UKIMWI watakiwa waanze kutumia dawa za ARVs

$
0
0
Shirika la afya duniani, limewaasa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kutumia dawa za kupunguza makali ya HIV hata ikiwa hawajaambukizwa HIV.   Shirika hilo linasema kuwa ikiwa wanaume hao watatumia dawa hizo za kuzuia maambukizi pamoja na kutumia Condom, huenda ikapunguza maambukizi ya HIV miongoni mwao kwa zaidi ya asilimian 20. Msemaji wa shirika hilo, alisema kuwa

Moto wateketeza Vibanda 63 vya Wajasiliamali eneo la Jamatini mkoani Dodoma

$
0
0
Moja ya banda lililoungua na moto huo kati ya mabanda 63 ya wajasiliamali eneo la Dodoma  Baadhi ya wajasiriamali wakiokoa mali zao.   Moto uliokuwa ukiwaka eneo la Jamatinii =======  =========  ======= Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Moto mkubwa umetokea katika eneo la Jamatini Manispaa ya Dodoma na kusababisha hasara ambayo thamani yake

Rais Kikwete azindua nyumba za bei nafuu Mkinga

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete

Wema Sepetu azungumzia video mpya za Diamond, kushiriki BET Awards na kumkutanisha na waigizaji wa kimataifa

$
0
0
Diamond Platinumz alipokewa kwa shangwe jana (July 10) katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere na wadau mbalimbali wa muziki na mashabiki wake akitokea Marekani alikoenda kushiriki katika tuzo za BET.   Wema Abraham Sepetu alifika pia katika uwanja huo kumpokea asali wake wa Moyo na alipata nafasi ya kuzungumza na Fadhili Haule, mtangazaji wa kipindi cha Sunrise cha 100.5 Times Fm

Chid Benz Amtandika ngumi Ray C

$
0
0
Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila ‘Ray C’ nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo. Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid

Daktari mwingine Feki Anaswa Hospitali ya Rufaa Moro

$
0
0
Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.  ********* WIMBI la madaktari feki kuingia katika hospitali wakijifanya madaktari na kutoa huduma mbalimbali limeendelea ambapo jana  amenaswa mwingine mkoani Morogoro.  

Aina mpya ya Mauaji ya Wasichana Yaibuka Lindi..... Saba wamefariki baada ya kubakwa na kuchomekwa Chupa sehemu zao za Siri

$
0
0
Wasichana saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.   Wasichana hao wamepoteza maisha kwa nyakati tofauti katika kipindi cha miezi minne iliyopita na wamekuwa wakipigiwa simu nyakati za usiku na kukutana na waliowapigia simu ambapo hubakwa na kunyongwa na kisha katika sehemu za siri

Kajala amvaa tena Wema Sepetu......Asema ni MNAFIKI na Kigeugeu

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu. Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini aahidi kuwakamata walipuaji mabomu Arusha

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amesema jeshi hilo lina uhakika wa kuwapata watuhumiwa wa mabomu mkoani Arusha na kwingineko nchini, pamoja na kudhibiti matukio hayo baada ya kukamilika kwa uchunguzi wa taarifa walizopata.   Mangu alisema hayo jana wakati wa mkutano baina yake na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Namibia, Luteni Jenerali Sebastian Ndeitunga ambaye ni Mwenyekiti

Bunduki ya Askari wa FFU yatumika kwenye Ujambazi

$
0
0
Tukio la ujambazi ambalo liliua watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi, limechukua sura mpya baada ya silaha waliyokuwa wakitumia majambazi hao kugundulika kuwa ilikuwa ikimilikiwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Sospeter Peter Manyika ambaye kwa sasa yuko rumande.   Kukamatwa kwa Manyika kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas lakini hakuwa

UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

$
0
0
Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald Paulo

Wakili wa Serikali anayekabiliwa na kesi ya kumjeruhi Hausigeli aendelea kusota Rumande

$
0
0
Wakili  wa Serikali, Yasinta Rwechungula (44)  Mkazi wa Boko njia panda, anayekabiliwa na kesi ya kumpiga na kumjeruhi mfanyakazi wake wa ndani ameendelea kusota rumande kutokana na kutotimiza masharti ya dhamana.   Hakimu wa Mahakama ya Mkazi Kinondoni,  Amaria Mushi, alimtaka kuwa na wadhamini wawili kutoka taasisi inayotambulika watakaosaini hati ya dhamana ya Sh milioni nne.  

Dayna Nyange asimulia jinsi anavyoshambuliwa na Mashabiki kwa Lugha Chafu baada ya kuamua Kujichubua

$
0
0
Mwimbaji wa kike Dayna Nyange amezungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ya  ngozi yake na kuwa nyeupe.   Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Dayna ameeleza kuwa amekuwa akikosolewa na watu wengi huku wengine wakitumia lugha mbaya dhidi yake lakini yeye ameipokea vizuri kwa kuwa anaamini ni watu wanaompenda.   “Ni sawa kwa sababu

Brazil Yaangukia PUA, Uholanzi yafanikiwa kushika nafasi ya tatu kombe la Dunia 2014

$
0
0
Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014. Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya mchezo. Robin van Persie akishangilia na mwenzake Dirk Kuyt (juu) baada ya kufunga bao la kwanza kwa Uholanzi. Beki wa Uholanzi, Daley Blind (kushoto) akitupia kambani bao la pili katika

Rais Kikwete: Uchaguzi Serikali za Mitaa kusogezwa mbele

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.   Kauli hiyo ameitoa kwenye mkutano wa majumuisho ya ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Tanga.   Alisema kulingana na hali ilivyo hivi sasa ambapo Bunge la Katiba
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images