Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Vyama Vingi Vya Siasa nchini Vyamkuna Rais Kikwete....Asema vimeleta matumaini na kupanua wigo wa kisiasa

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali.   Hata hivyo, Rais Kikwete amesema kuwa ili mfumo huo uboreshwe zaidi na uweze kuimarisha misingi mikuu ya maendeleo, ni lazima uendeshwe kwa watu kufuata sheria na wala siyo kuingiza matumizi ya nguvu, ambayo yanaweza

Rais wa Malawi aoa kwa Shilingi Milioni 155

$
0
0
Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa zamani wa Jimbo la Balaka, Gertrude Maseko.   Kabla ya ndoa yao iliyofungwa jana kwenye Kanisa la Mtakatifu Michael na Malaika Wote jijini Blantyre, Maseko aliwahi kuolewa, lakini ndoa yake ilivunjika miaka kumi iliyopita; na mwaka jana mume wake huyo,

Skendo zamuhamisha nchi Agness Masogange

$
0
0
Siku chache baada ya Agness Gerard 'Masogange' kukimbilia nchini Afrika Kusini 'Sauzi' kwa kile alichodai ni kutafuta maisha mazuri, rafiki wake wa karibu  aliyejitambulisha kwa jina la Jenifer  ameibuka na kuweka kila kitu hadharani juu ya nini kilichomkimbiza mrembo huyoJennifer alisema kuwa kilichomuondoa nchini mrembo huyo  ni vidole vya watu ambao wamekuwa wakimnyooshea kila alipopita

Serikali ya Kenya yawataka Wakenya kuangalia mechi za Kombe la dunia nyumbani.

$
0
0
Serikali ya Kenya imewataka wananchi kuangalia mechi za michuano ya kombe la dunia katika maeneo ya majumbani badala ya sehemu za wazi zilizojazana na ambazo hakuna ulinzi.   Ushauri huo umetolewa kufuatia siku mbili za mashambulizi katika mji wa Pwani wa nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu 60. Mashambulizi hayo yalianzia katika eneo la Mpeketoni ambako mashabiki walikuwa

Kauli ya Uganda baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani kwa kupinga ushoga

$
0
0
Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu Ushoga.   Kwa mujibu wa BBC, Balozi Mugume ameelezea kuwa serikali ya Uganda hata hivyo itafanya mazungumzo na Marekani ili kufafanua hatua waliyochukua. Amesisitiza kuwa wataieleza Marekani sheria hiyo

Wema Sepetu Afunguka Kwa Uchungu baada Ya watu Kumtukana Mama Yake Mzazi

$
0
0
Wema Sepetu ameonekana kufungukia wale wanaomtukana kila siku na sasa kufikia hatua ya kumtukana hadi mama yake mzazi... Kupita mtandao mmoja wa kijamii, Picha  moja  ya  mama  mzazi  wa  Wema  Sepetu  iliyotengenezwa  na  kuwa  CHAFU  ilitolewa  na  kisha  kuanza  kushushiwa  matusi  mazito...   Baada  ya  Picha  na  Matusi  hayo, Wema amefunguka kwa uchungu kwa kuandika:   "Dah...!

Mbasha Anena: Asema Maisha ya Jela hayafai hata kidogo

$
0
0
Kufuatia  Mahakama  ya  Ilala  jijini  Dar  kumuachia  kwa  dhamaa  Emmanuel  Mbasha  ambaye  ni  mume  wa  muimbaji  wa  nyimbo  za  Injili  maarufu  nchini  Flora  Mbasha  anayekabiliwa  na  tuhuma  nzito  za  kumbaka  mdogo  wa    mkewe, inaelezwa  kuwa  siku  moja  tu  aliyokaa  mahabusu  ilimfanya  kubadilika  muonekano  kutokana  na  kudhoofika..... Emmanuel  Mbasha  ambaye 

Kondomu zakutwa kwenye ukumbi wa bunge

$
0
0
Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vinywa wazi.    Katika hali isiyo ya kawaida, boksi la kondomu lilikutwa ndani ya ukumbi huo na kuwashtua wabunge wote akiwamo spika wa bunge hilo.   Mwakilishi wa eneo la Karura, Kamau Thuo ndiye aliyekuwa wa kwanza kuliona boksi hilo na kuwashtua

Dr. Reginald Mengi Akava Jarida La Forbes Africa La July.... K-Lyinn Amuandikia Ujumbe Mzuri

$
0
0
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Dr. Reginald Mengi amekava jarida la Forbes Africa la mwezi July kama mfanyabiashara aliyefanikiwa zaidi kutoka kutembea peku hadi kuwa na utajiri wa zaidi ya $550 million (Barefoot to $550 Million). Dr. Mengi ambaye December mwaka jana alitajwa na jarida hilo akishika nafasi ya pili kama mmiliki binafsi wa vyombo vya habari tajiri Afrika

Kampuni Mbili za Umeme kuanzishwa badala ya TANESCO

$
0
0
Mpango wa kuligawa Shirika la Umeme (Tanesco) kuwa mashirika mawili umeiva,  baada ya Serikali kupitisha Mkakati na Mwelekeo wa Sekta Ndogo ya Umeme (ESI).   Mpango huo utekelezaji wake unaanza Agosti mwaka huu, na lengo lake ni kuhakikisha uzalishaji wa umeme, unaongezeka kutoka megawati 1,583 zinazozalishwa kwa sasa hadi kufikia uzalishaji wa megawati 10,000 ifikapo mwaka 2025.  

Wiki ya Majibu ya Waziri wa Fedha Yaanza

$
0
0
 Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, anasubiriwa wiki hii kutegua kitendawili cha hoja za wabunge, kuhusu punguzo la kodi katika mishahara,  vyanzo vipya vya mapato na utekelezaji wa miradi wa maendeleo.   Leo ndio siku ya mwisho kwa wabunge kujadili hotuba ya bajeti ya Waziri Saada  na kesho Waziri ataanza kujibu hoja akishirikiana  na Naibu wake, Mwigulu Nchemba na Adam Malima.  

Sekretarieti ya Ajira Yazipa Rungu Serikali za Mitaa

$
0
0
Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.   Akihojiwa katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Msemaji wa Sekretarieti  ya Ajira  katika Utumishi wa Umma,  Riziki Abraham, alithibitisha kuwa Sekretarieti hiyo itakasimu sehemu ya madaraka yake ya kuendesha mchakato

Mzee Majuto: Maisha Yangu ni Komedi tosha

$
0
0
Mchekeshaji  wa  muda  mrefu  Amri  Athuman  'Mzee  Majuto'  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kusema  kuwa  maisha  yake  ni  komedi  tosha  kutokana  na  kumvunja  mtu  mbavu bila  kujali  yuko  mahala  gani.... Akizungumza  na  mwandishi  wetu, Mzee  Majuto alisema  yeye  hutoa  shoo  muda  wowote  bure   bila  kujali  yuko  katika  wakati  gani   kwani  maisha  yake  ni  komedi  tupu

Hii ni Aina Mpya ya Uhalifu wa Kimtandao inayokuja kwa Kasi nchini Tanzania

$
0
0
Miongoni mwa makosa yanayofanyika  mtandaoni  ni hili  lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekuwa likidumu na  kukua  kwa  kasi  sana  katika nchi mbali mbali. Nchi mbali mbali zimechukulia uhalifu huu kuwa ni hatari kwani unaweza kuwa na madhara makubwa kwa mtendewa ikiwa ni pamoja na kupelekea kumfilisi mtu, kupata taarifa za watu kinyume na sheria au makubaliano na hata

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 23 Juni 2014

$
0
0
                      Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  tarehe  23  Juni  2014

Jamaa anusurika Kunyofolewa Jicho baada ya kufumaniwa akingonoka na Mke wa Mtu ......Alivizia mwenye mke kasafiri, akazama Chumbani

$
0
0
Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina halikupatikana. Tafrani hiyo ilijiri usiku wa Jumatano iliyopita, Juni 18, mwaka huu kwenye nyumba yake iliyopo

Kichanga Chatupwa kwenye Dampo la Taka

$
0
0
Kichanga kinachokadilwa kuwa na umri wa miezi kati ya 6-7 kimekutwa kimetupwa kwenye dambo karibu na mahakama ya mwanzo mkabala na ofisi za manispaa ya Iringa, mkoani Iringa na mwanamke mmoja ambaye hakufahamika mara moja leo. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kusema wanamtafuta mwanamke aliyefanya kitendo hicho ili sheria iweze

Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ya Kiisilamu na kukubali kuolewa na Mkristo ameachiliwa huru.

$
0
0
Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.   Wakili wake ameambia BBC kuwa mwanamke huyo aliyekiuka dini kwa kwa kuolewa na mwanamume mkristo aliachiliwa huru Jumatatu   Hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya Meriam Ibrahim,ilibatilishwa na mahakama ya rufaa, kwa mujibu wa shirika la habari la Sudan Suna.   Meriam ameolewa na mwanamume mkristo na

Watoto kuanzia Umri wa Miaka 10 wataanza kupewa Kondomu Bure na dawa za kupanga Uzazi

$
0
0
Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi.  Sheria ya afya ya uzazi ya  mwaka  2014 ambayo tayari ipo mbele ya Senet, inasema kuwa elimu kwa watoto kuhusu afya ya uzazi na ngono wapewe watoto pengine hata bila ya wazazi kutoa idhini.   Sheria hiyo

Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 24 Juni 2014

$
0
0
                                  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  Tarehe  24  Juni  2014
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images