Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Majambazi Yamuua Sista wa Kanisa Katoliki kwa Risasi jijini Dar na kisha Kupora Fedha

$
0
0
Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.   Majambazi watatu  wamemuua kwa kumpiga risasi kichwani  Mhasibu wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka,  jijini Dar es Salaam, Sista Prisencia Kapuli na kisha kumpora fedha zinazokadiriwa kuwa zaidi ya Sh milioni 10 alizokuwa nazo.   Tukio hilo ni la jana saa 9 alasiri katika eneo la Ubungo Riverside wakati Prisencia, mtawa mwenzake pamoja na dereva

Mbowe avitaka Vyama Vinavyounda UKAWA Vijiimarishe Kivyake pasipo kutegemea nguvu ya chama kingine

$
0
0
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa.    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za

Sakata la Kanga Moko Kupigwa Risasi: Mama Mazazi wa Mabinti hao Asimulia mkasa Mzima

$
0
0
Mama mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio.   Mama huyo, Rehema Aziz alisema waliojeruhiwa walikuwa wakisherehekea kuolewa kwa mwanaye

Mikutano ya Nape Nnauye yapigwa Marufuku Mtwara.......Alalamika na kusema huko ni kubaka demokrasia

$
0
0
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho mjini Mtwara.    Nape ambaye alikuwa mkoani Mtwara kwa ziara ya siku moja, alijikuta akiishia kuwakabidhi bendera za chama hicho viongozi wa matawi ili wakazipandishe wenyewe kimyakimya.

Flora Mbasha na Mumewe Waanza Kusaka Suluhu ya Ugomvi wao baada ya kukubali kukutanishwa ili kumaliza Ugomvi

$
0
0
Kuna kila dalili kwamba mwimbaji maarufu wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wanatamani kurudiana, baada ya kuwapo mgogoro katika uhusiano wao wa ndoa, ulioingia katika vyombo vya habari yapata mwezi mmoja sasa.    Kwa nyakati tofauti jana, kila mmoja wao alimwambia mwandishi wetu kwamba yupo tayari kurudiana na mwenzake, hatua ambayo inaweza kuondoa

Mchungaji Adaiwa Kumtorosha Mwanamke

$
0
0
Mchungaji mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa kumtorosha mwanamke aitwaye Catherine Paul (28) ambaye ni mfanyabiashara wa duka Tegeta jijini Dar. Habari zinadai kuwa, wakati akiendelea na biashara hiyo, Catherine alipata ugonjwa wa ajabu ambapo alionekana mnyonge.   “Tunasikia alimshirikisha rafiki yake wa karibu, Victor

AJIRA: Haya ni Majina ya Walimu Wapya ( na vituo vya kazi ) waliohitimu vyuo vya Ualimu mwaka 2013 ambao hawakubahatika kupangiwa hapo awali

$
0
0
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.   Baadhi ya waombaji hawakupangiwa vituo vya kazi kutokana na kutokuwa na sifa zinazostahili kuajiriwa katika utumishi wa umma kwa mfano:- umri na maombi kutoambatanishwa na

Majina ya Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na Kuchaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Ufundi 2014

$
0
0
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za  Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.  Yafuatayo  ni  Majina  ya  Wanafunzi  waliomaliza  Kidato  cha  Nne  na  Kuchaguliwa  Kujiunga  na  Vyuo  vya  Ufundi  2014 ----------

Mauaji Mengine yawakuta Wakenya.....Watano wamevamiwa na kuuawa usiku wa kuamkia leo

$
0
0
Takriban watu watano wameuawa katika shambulizi  jingine katika eneo la pwani ya Kenya  usiku  wa kuamkia  leo.   Mauaji hayo yametokea karibu na eneo ambako mashambulizi mengine yalifanyika wiki jana na kusababisha vifo vya watu zaidi ya sitini Maafisa wanasema kuwa kundi la watu waliokuwa wamejihami walivamia kijiji cha Witu ambacho kiko umbali wa kilomita 15

Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 25 June 2014

$
0
0
                      Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  tarehe  25  June  2014

Mwanamke aliyehukumiwa Kifo Baada ya kukubali kuolewa na Mkristo nchini Sudan Akamatwa tena ikiwa ni masaa machache tu baada ya kuachiwa huru

$
0
0
Meriam akiwa na mwanaye Maya, kushoto ni mumewe Daniel Wani aliyempakata mtoto wao wa kiume Martin na wadau waliopigania mama huyo kuachiwa huru kabla ya kukamatwa tena  *** Mwanamke  Meriam Ibrahim aliyeachiwa huru juzi  baada ya kuhukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya kiisilamu amekamatwa tena akiwa na mumewe pamoja na watoto wawili katika uwanja wa

Polisi Yatangaza Msako Mkali kwa watu waliomuu Sista wa Kanisa Katoliki....Msako huo utahusisha Traffiki Wote,Askari wa doria, Wapelelezi na Askari wa kawaida

$
0
0
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.   Mauaji ya mtawa huyo,

Serikali Yajibu hoja ya Ukosefu wa Ajira Nchini.....Yatumia Mawaziri wanne kujibu Mapigo, yawataka wapinzani kuacha Uchonganishi

$
0
0
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu tatizo la ajira nchini, huku wanasiasa waliozungumzia tatizo hilo kuwa ni bomu, wakitakiwa kutoa ushauri wa namna ya kulitegua au kupunguza athari zake kama likilipuka.   Mbali na ushauri huo, Serikali pia imewataka wanasiasa wanaotumia tatizo hilo kisiasa, kuonesha mfano wa kusaidia vijana katika majimbo yao kwanza, badala ya kusubiri siku wakipewa nchi.

Kajala Masanja: Sina hamu ya kuendelea kuishi Tanzania

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale lakini kwa sasa hana upendo huo

CHADEMA yakumbwa na Majanga tena...Vigogo 82 wawatolea Uvivu Mbowe na Slaa, Madai ya Ufisadi kufikishwa kwa msajili wa vyama

$
0
0
BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka tena ndani ya CHADEMA.   Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo mvutano kutokana na kile kinachodaiwa ukiukwaji wa Katiba na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za chama.   Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya viongozi wakiwemo wa ngazi za juu kuvuliwa uanachama na

Baby Madaha : "Wema Sepetu Tuachie Na Sisi Huyo Diamond Tumfaidi "

$
0
0
Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na wao Diamond a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama anavyojiachia.  Chanzo kimoja kilicho karibu na Baby Madaha ambacho pia kinafanya juu chini kuwika katika filamu kwa masharti ya kutotajwa jina lake kikizungumza na Swahiliworldplanet wiki iliyopita 

Kitale akanusha kutoka Kimapenzi na Penny ambaye aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond

$
0
0
Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond. Kitale akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha  zinazo muonyesha Penny   akimbusu Kitale.   “Penny mimi sina

Mapacha wamjibu Lulu Michael baada ya kukana kuimba kwenye wimbo wao....Wasema 'Ametudharau'

$
0
0
Baada ya Elizabeth Michael kukana kushirikishwa na kundi la mapacha kwenye wimbo wao mpya ‘Time For The Money’, Kundi la Mapacha limeeleza jinsi lilivyoipokea taarifa hiyo.   Akiongea na Times Fm, Kulwa wa Mapacha amesema kitendo alichokifanya Lulu ni dharau kubwa kwao na kwamba inawezekana ameona hataki kusikika kwenye wimbo waliofanya wao.   “Sisi tuliamua kumtaja kwa respect kwa

Batuli: Sijawahi kula hela ya mume wa mtu na kamwe siwezi kuugeuza mwili wangu kuwa mtaji

$
0
0
Staa  wa  kike  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  fillamu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’   amefunguka  na  kudai  kuwa  hajawahi  kula  hela  ya  mume  wa  mtu  na  kama  watu  wanamhisi  hivyo  basi  watakuwa  wanakosea  sana..... Batuli  alitoa  kauli  hiyo  ili  kuwathibitishia  mashabiki  wake  juu  ya  kauli  mbovu  za  watu  kuwa  urembo  wake  unategemea  mtaji  wa  mwili  wake 

Tunaomba Radhi kwa Picha: Kikongwe auawa kinyama kwa kukatwa Shoka kichwani huko Kahama

$
0
0
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina. Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea  jana asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images