Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Watatu wajeruhiwa kwa Risasi za Moto baada ya kukutwa wakicheza ngoma za Vigodoro bila nguo

$
0
0
Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za Kigodoro, ambazo tayari zimekwishapigwa marufuku na jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam.   Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na nusu jioni katika eneo la shule ya msingi

Magazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 20 June 2014

$
0
0
                            Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  tarehe  20  June  2014

Vitambulisho vya kura kutolewa upya.....Vituo 40,015 kutumiwa kuwaandikisha upya Watanzania, Wenye miaka 17 Ruksa kujiandikisha

$
0
0
VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .   Tofauti na vitambulisho vya awali vya karatasi vilivyotolewa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, vipya vitakuwa vya plastiki. Vimebadilishwa

Urembo Wa Batuli Kwishaa .....Aamua kuuza Mihogo Ya Kukaanga Ili Kujikimu Kimaisha.

$
0
0
Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu.   Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza.  Angalia baadhi ya picha.     <!-- adsense -->

Sakata la Mumewe kupandishwa kortini kwa Ubakaji....Flora Mbasha ajikuta akiambulia AIBU kuu tatu ( 3 )

$
0
0
Wakati jana mumewe Emmanuel Mbasha (32) akipandishwa kizimbani kwa mara ya pili kwa soo la ubakaji wa shemejiye, mwimba Injili kinara Bongo, Flora Mbasha (31) amepitia katika hatua tatu za aibu. Mbasha ambaye naye ni mwimba Injili na mfanyabiashara alitarajiwa kupandishwa kizimbani jana kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Ilala, Dar akitokea mahabusu Keko akikabiliwa na

Marekani yaiadhibu Uganda kwa Kupinga Ushoga

$
0
0
Marekani imeadhidhibu Uganda kwa kuweka sheria kali ya kupinga mapenzi ya jinsi moja katika taifa hilo. Msemaji wa Whitehouse, Caltlin Hayden ameeleza katika barua yake kwa vyombo vya habari kuwa sheria iliyopitishwa na bunge la Uganda ikiuka haki za binadamu.    Vikwazo vya Marekani kwa Uganda kama adhabu, vinajumisha kuwapiga marufuku wanaharakati waliopigia debe sheria hiyo

Jamaa anaswa akifanya Mapenzi na mke wa Rafiki yake Mabibo jijini Dar ....Mtaa wafungwa, atakiwa kutoa Milioni 1.2 ili aachiwe Mke

$
0
0
Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.   Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha. Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.    Hayo yalisemwa na mkurugenzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano wa mamlaka hiyo, Dk Joseph Kilongola katika kongamano la kimataifa la habari lililo

Msami akiri kuwa mpenzi wa Irene Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango yao

$
0
0
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.   Akiongea na Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara ya kwanza aliamua kuiambia Times Fm kauli yake kutokana na jinsi alivyoulizwa.   “Kaongea kwa upole huyu jamaa,

Wafahamu Wasanii Wa Afrika Watakaoperform Kwenye Tuzo Za BET 2014

$
0
0
Tuzo za BET mwaka huu zitatolewa wikend ijayo, July 28/29 mwaka huu huko Los Angeles Marekani na kushuhudia wasanii wengi wakubwa duniani wakiperform kwenye jukwaa hilo kubwa..   Majina ya wasanii wakubwa wa Afrika yaliyotajwa ni pamoja na rapper kutoka Nigeria, Sarkodie, Tiwa Savage wa Nigeria na kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini ambao watajumuika na wenzao kuperform Live katika

Undani wa Sakata la Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko aliyepigwa Risasi na Askari Polisi

$
0
0
Mnenguaji  wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis  ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini  na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo. Akizungumza na Risasi Jumamosi  juzi nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, majeruhi huyo alisema tukio hilo lilijiri maeneo ya Mwananyamala- Kisiwani karibu na Ofisi za Chama cha Wananchi (Cuf) na

Wakati Mbasha akiwa nje kwa dhamana kesi ya kubaka.....Mchungaji Gwajima apasua Jipu, Aitisha kikao kizito kumnusuru Mbasha....Akiri Injili kutikisika

$
0
0
Wakati  mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo.   Mbasha aliachiwa kwa dhamana juzi akitokea Gereza la Keko, Dar baada ya kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza

Madiwani 5 wa CCM na mmoja CUF wavuliwa udiwani na Mahakama

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Kagera, imewavua madiwani sita nyadhifa zao baada ya kubainika kuwa, walishindwa kuhudhuria vikao vya kikanuni vya halmashauri ya manispaa hiyo, hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa madiwani. Madiwani hao waliovuliwa nyadhifa zao jana, pia wametakiwa kulipa gharama za kesi hiyo.   Akisoma hukumu hiyo kwa zaidi ya saa mbili jana, Hakimu Mfawidhi wa

Ajali mbaya yatokea eneo la Makongo.... Watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha

$
0
0
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10.   Ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndio uliosababisha ajali hiyo kwani alipita upande usio wake. <!

Babu Seya na Mwanaye Papii Kocha watumbuiza kwenye maadhimisho ya Magereza Day

$
0
0
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani... Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa

Moto mkubwa Wazuka Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) Usiku

$
0
0
Uchunguzi umeanza leo  asubuhi kujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo. Athari za moto huo bado hazijajulikana.    Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika

Nuh Mziwada: Utaficha wapi Sura yako Shiole akikupiga chini?

$
0
0
Siku chache baada ya mpenzi wa Zuwena Mohamed 'Shiole'  Nuhu  Mziwanda  kuweka kwenye mtandao   wa  'instagram' picha zikionyesha tatoo aliyojichora yenye jina la mpenzi wake huyo, wadau wa filamu nchini wamesema kijana huyo atakuja kujuta siku akitemwa na kubaki na alama zake hizo kama kumbukumbu.Wakizungumza na mwanahabari  wetu kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema kuwa Shiole aliwahi

Mwimbaji wa kike wa Nigeria ajitoa kwa Boko Haram ili wasichana 200 waachwe huru....Asema yupo tayari kuhudumia wanaume 12 kwa Usiku mmoja

$
0
0
Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.   Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments  zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni bikira. Mwisoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana

Picha nyingine 6 za Ajali ya dalala iliyoua watu zaidi ya 10 jijini Dar leo mchana

$
0
0
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10.   Ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndio uliosababisha ajali hiyo kwani alipita upande usio wake.  

Lowassa atangaza Uamuzi Mgumu

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.    Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lomooti, Kata ya Lolkisale wilayani humo alipokwenda kutembelea boma la kisasa la mfugaji Isaya Lembekure,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images