Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Johari awaponda waigizaji wanaokatishwa Viuno mbele ya hadhara.....

$
0
0
Blandina  Chagula  'Johari'  ambaye  ni  mmoja  wa  washiriki  wa  filamu  mpya  ya  Wrong  Hope  amewaponda  wasanii  wa  filamu  wanaokubali  kukatishwa  viuno  mbele  ya  hadhara  na  kueleza  kwamba  kamwe  kwa  upande  wake  hawezi  kufanya  jambo  hilo  hata  kwa  malipo  namna  gani...!!! "Siwezi  kujidhalilisha  mbele  ya  umati  kwa  kukata  kiuno, ni  ulimbukeni  tu kukata  viuno

Boko Haram yateka wanawake wengine 20 nchini Nigeria

$
0
0
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.   Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya Gakini Fulani karibu na mji wa Chibok ambako zaidi ya wasichana wanafunzi 200 walitekwa nyara Aprili, mwaka huu. Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa wapiganaji hao waliokuwa wamejihami kwa

Tazama Picha za Diamond akiwa studio na Mafikizolo ambao wamemuomba afanye nao collabo

$
0
0
Tumezoea kuona wasanii wa Tanzania wakiomba kufanya collabo na wasanii wakubwa wa kimataifa kwa lengo la kujitangaza kimataifa, lakini Diamond Platnumz amefikia hadhi ya yeye kuombwa collabo na wasanii wakubwa. Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba hit maker wa ‘Number 1′ Diamond Platnumz afanye nao collabo, na jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko

Mfalme wa Mapenzi: Video nyingine inayotabiriwa kufungiwa hivi karibuni

$
0
0
June 9 ilitoka rasmi video ya wimbo wa msanii wa kike wa Kenya aitwae Sanaipei, unaoitwa Mfalme wa Mapenzi na ndani ya siku mbili tu uliangaliwa YouTube zaidi ya mara 59,000. Video hiyo iliyoongozwa na Mhando Brian imetabiriwa kufungwa isichezwe kwenye vituo vya television vya Kenya kwa kuzingatia kilichotokea kwa wimbo wa Sauti Sol, Nishike.   Mfalme wa Mapenzi inawezekana imeenda

Agness Masogange: Umaarufu wake, Skendo zake na Mafanikio yake

$
0
0
Unapozungumzia  warembo  wazuri  ndani  ya jiji  la  Dar  es  Salaam  ni  wazi  kwamba  huwezi  kuacha  kulitaja  jina  la  Agness  Gerald  maarufu  kama  Masogange. Jina  lake  limekuwa  kubwa  sana  kutokana  na  mrembo  huyu  kujishughulisha  na  upambaji  wa  video  za  wasanii  mbalimbali  wa  bongo  fleva...... Historia  ya  Masogange: Kumbukumbu  zinaonesha  kuwa  Masogange 

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 11 June 2014

$
0
0
                                          Magazeti  ya  leo  Jumatano  ya  tarehe  11  June  2014

"Nikifa sitaki kusifiwa" - Hii ni kauli ya msanii Riyama Ali

$
0
0
RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatazisikia.  “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa

Nuh Mziwanda adai kuwa tattoo ya jina la Shilole ni ya kudumu na atakufa nayo hata wakimwagana

$
0
0
Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo aliyochora yenye jina la mpenzi wake Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby’.   Wengi walihoji kuhusu tattoo hiyo kuwa ni tattoo inayodumu au ni ya kuonesha kwa muda itafutika.   Katika  Majibu yake, Mziwanda alieleza kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu katika kipindi chote atakachokuwa duniani na kwamba haitafutika

Malawi Yaanza Chokochoko zake.....Ndege yake yaonekana ikizunguka huko Ileje, wananchi waingiwa hofu....Mbunge ahoji ukimya wa Serikali

$
0
0
MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.   Mbunge huyo alisimama kutoa hoja hiyo baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuomba mwongozo wa Spika, Anne Makinda kuhusu suala hilo. Kibona alisema:   “Nazungumzia jambo mahsusi linalotokea katika mpaka wa Tanzania

Jennifer Lopez abadili mawazo, atashiriki ufunguzi wa kombe la dunia kesho

$
0
0
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jennifer Lopez amebadili msimammo wa kutohudhuria sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia, na kutangaza kuwa atakuwa sehemu ya sherehe hizo zitakazofanyika kesho huko Arena de São Paulo, mjini São Paulo.   J-Lo ambae hakutoa sababu za kutohudhuria sherehe hizo siku mbili zilizopita, amesema ameona kuna umuhimu wa kuhudhuria katika sherehe za

Vurugu kubwa zaibuka jijini Mwanza, Mabomu ya machozi yarindima kila kona...Barabara, maduka yafungwa

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wadogo  maarufu  kama  machinga waliokuwa wakipinga kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la Makoroboi jijini Mwanza. ...   Hatua hiyo imesababisha vurugu kubwa na kusimamishwa kwa shughuli mbalimbali za kijamii, ikiwemo kufungwa kwa maduka hadi katikati ya eneo la jiji na

Sad News: Majambazi wavamia kituo cha Polisi KimanziChana na kuua Askari.....Wamepora bunduki mbili na Risasi 100.

$
0
0
Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada.  Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la

Majibu ya Mbunge Salvatory Machemli wa CHADEMA kuhusu picha za utupu zilizosambazwa Mitandaoni zenye sura yake

$
0
0
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na wapenzi na zaidi ni namna  picha hizo  zilivyotoka  maana zingine zilikua ni zaidi ya nusu utupu.    Salvatory Naluyaga Machemli mbunge wa Ukerewe kupitia Chadema ni miongoni mwa

Breaking News: Moto wateketeza soko la Mitumba la Karume jijini Dar usiku huu

$
0
0
Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam  ambalo linateketea na moto usiku huu. Taarifa zilizotufikia katika meza ya habari usiku huu  zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika  kasi na

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka Anusurika Kufa baada ya gari lake kugonga Punda huko Kahama

$
0
0
Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali  kwa kugonga punda katika Kijiji cha Wendele wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.   Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11.07 jioni likijumuisha gari namba STK 5857 alilokuwa akisafiria  Waziri huyo akiwa na familia yake likiendeshwa na

Shilole azungumzia uamuzi wa Nuh Mziwanda kujichora Tattoo ya jina lake isiyofutika.....Asema yeye hana mpango wa kujichora

$
0
0
Mwanzoni mwa wiki hii, Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole aka ShiShi Baby alijichora tattoo ya kudumu yenye jina la Shilole.   Akiongea na The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Nuh Mziwanda alisisitiza kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu na kwamba atakufa akiwa na tattoo hiyo.   Aliongeza kuwa hata kama Shilole atakuja kumuacha yeye hajali kitakachotokea anachojali ni kuwa anampenda

Flora Mbasha azungumzia tuhuma za mumewe kubaka.....Azungumzia jinsi alivyomkaba na kumtishia kumuua

$
0
0
Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha hivi karibuni aliwashituwa watu mbalimbali baada ya kutuhumiwa kumbaka binti ambaye awali alitajwa kama mdogo wake Flora.   Akiongea na Global TV, Flora Mbasha amezungumzia tuhuma hizo na kuelezea kuwa kabla ya kufanya tukio hilo alikuwa hamuelewi kabisa mume wake ambaye Jumapili alimbadilikia kutoka na kile anachosema

Wizi NMB Mwanga: Wakenya wawili wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

$
0
0
Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani (Mike), wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), PC Michael Milanzi mwaka 2007.    Raia hao ambao walipambana na polisi jijini Arusha kwa saa sita wakijihami kwa silaha za kivita yakiwamo mabomu ya kurusha kwa mkono na bunduki aina ya Sub Machine

Serikali yawatoa Hofu Wananchi kuhusiana na Ndege za Malawi zilizoonekana Ileje na Kyela jijini Mbeya

$
0
0
SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo.   Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe wakati akijibu mwongozo wa Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona (CCM), aliyetaka ufafanuzi wa uwepo wa ndege hizo

Waganga wa kutibu kwa sharti la Ngono Wakamatwa jijini Dar.....Wakutwa na nguo za ndani za kike 22 za wanawake waliofanya nao Mapenzi

$
0
0
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.   Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images