Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kifo cha Recho Haule kimemfanya Jackline Wolper afute mipango yake ya kuzaa akihofia kufa

$
0
0
Staa  wa  kike  wa  filamu  za  kibongo, Jackline  Wolper  amefunguka  kuwa  kwa  sasa  hana  wazo  kabisa  la  kubeba  mimba  kwani  staili  ya  kifo  cha  Recho  Haule  inamuumiza   sana  kichwa.... Ingawa  Wolper  anaamini  kuwa  ni  wajibu  wa  kila  mwanamke  kuzaa, lakini  aina  ya  kifo  ambacho  rafiki  yake  kipenzi  Recho  amekufa  nacho  kimekuwa  ikimtesa  sana  moyoni  na 

Dude azikana tuhuma za Uchawi

$
0
0
Msanii  'kiwango'  wa  filamu  nchini  Kulwa  Kikumba  'Dude'  amekanusha  taarifa  za  kuwepo  kwa  imani  za  kishirikina  katika  misiba  inayoikumba  tasnia  ya  Filamu  kwa  kipindi  cha  mwezi  mmoja  sasa. Dude  amesema  kuwa, katika  vifo  hivyo  vya  wasanii  hakuna  uchawi  wowote  unaohusika  kama  watu  wengi  wanavyosema  ambapo  amedai  kuwa  vifo  hivyo  vimekuwa 

Millen Magese: Watu warefu na Weusi tunanyanyasika Viwanja vya Ndege

$
0
0
Kukamatwa  kwa  baadhi  ya  watanzania  katika  nchi  mbalimbali  wakihusishwa  na  ubebaji  wa  dawa  za  kulevya  kumeathiri  idadi  kubwa  ya  wasafiri  wanaotumia  hati  ya  kusafiria  ya  Tanzania  kutokana  na  kukaguliwa  kupita  kiasi.... Mmoja  wa  waathirika  wa  ukaguzi  huo  ni  Miss  Tanzania  wa  mwaka  2001, Happines ( Millen ) Magese  ambaye  alisema  kukamatwa  kwa 

Mke wa Chaz Baba amchapa makofi mke Mwenza Chooni

$
0
0
Mke  halali  wa Rais  wa  bendi  ya  mashujaa  musica  Charles  Gabriel  Cyprian  'Chaz Baba', Rehema  Sospeter  Marwa  mwishoni  mwa  wiki  jana  alizua  timbwili  la  mwaka  baada  ya  kumchapa makofi  msichana  mmoja  ajulikanaye  kwa  jina  la  Husna.... Tukio  hilo  lililoshuhudiwa  na  mwandishi  wetu  lilitokea  majira  ya  saa  nane  za  usiku  katika  ukumbi  wa  Letas ( zamani

Vilio vyatawala katika Wodi aliyolazwa Housigeli ( Mfanyakazi wa ndani ) aliyechomwa Pasi na kuteswa kwa miaka mitatu na bosi wake

$
0
0
Kelele za vilio jana zilisimamisha kwa muda shughuli katika Wodi ya Wanawake ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam baada ya mama mzazi wa msichana, Yusta Lucas (20) anayedaiwa kuteswa kwa kung’atwa na kuchomwa kwa pasi mwili mzima kumwona mwanawe kwa mara ya kwanza.    Zilikuwa dakika 10 ngumu kwa mama huyo, Modesta Simon kuamini hali aliyomkuta mwanaye aliyelazwa hospitali hapo

Kilichosemwa Bungeni juu ya picha chafu za Utupu za watu maarufu zinazosambazwa mitandaoni

$
0
0
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond wanazopiga wakiwa chumbani na

Picha: Kinachoendelea katika Msiba wa Mzee Small, Tabata Dar es Salaam

$
0
0
            Waombolezaji mbalimbali kwa sasa wamejumuika nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' eneo la Tabata, Mawenzi jijini Dar wakisubiri utaratibu wa mazishi ya msanii huyo mkongwe aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili.   Mwili wa marehemu utazikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea, Dar. (Credit: Global Publisher)

Picha za Rais Kikwete akiwa Msibani kwa Mzee Small kuwapa pole Wafiwa

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba.   Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi Mketema.   Wasanii wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, Shija Deogratius, Cathy na Sandra wakiungana na waombolezaji.   Mohammed Fungafunga 'Jengua' akiwa

Watuhumiwa wa Kesi ya Mtoto wa Boksi kusomewa Mahitaka Upya.....Wananchi wavamia gari ya Polisi na kuanza kuwazomea watuhumiwa

$
0
0
Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.   Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.   Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo. Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo

Picha za Mazishi ya Mzee Small katika makaburi ya Segerea jijini Dar

$
0
0
Jeneza la Mzee Small likiombewa.<!-- adsense -->

Jennifer Lopez kutoshiriki ufunguzi wa kombe la dunia Brazil

$
0
0
Mwanamuziki mashuhuri duniani Jennifer Lopez, amejiondoa katika shamra shamra za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia ambazo zitafanyika mjini Sao Paulo siku ya Al-khamisi, kabla ya mchezo wa kwanza fainali hizo ambao utashuhudia wenyeji Brazil wakicheza dhidi ya timu ya taifa ya Mexico.   Taarifa za mwanamuziki huyo kutoka nchini Marekani zimethibitishwa na shirikisho la soka duniani

Picha: Tuzo Nyingine Aliyoshinda Rihanna na Vazi Alilovaa....

$
0
0
Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji Kevin Hart Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, kivazi alichovaa kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza kutoa ushauri wake. Hata kabla wiki haijaisha, Rihanna alitangazwa tena kuwa mshindi wa tuzo ya Most Desirable Woman kwenye

Nuhu Mziwanda achukua Uamuzi Mgumu juu ya Penzi la Shilole

$
0
0
Mapenzi ya Nuhu Mziwanda na Shilole yanazidi kupiga hatua na kuwa surprise kwenye story za mahusiano ya mastaa wa bongo. Nuh Mziwanda ameamua kuuonesha upendo wake kwa vitendo zaidi kwa kujichora tattoo ya jina la Shilole ‘Shi Shi Baby’ na kwa msisitizo Tattoo hiyo haifutiki.    “Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn?”

Kauli ya Profesa Jay Baada ya Diamond Kukosa tuzo za MTV MAMA

$
0
0
Diamond Platinumz alikuwa mshiriki kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za MTV MAMA mwaka huu na kwa bahati mbaya hakushinda tuzo katika vipengele vyote viwili alivyokuwa akiwania. Msanii mkongwe Profesa Jay ambaye anakumbukwa kwa kufanya mapinduzi kwenye muziki na kuwashawishi wazazi kuwaruhusu watoto wao kuimba kupitia kazi zake, amemuandikia ujumbe Diamond kupitia Instagram.   “Hapo

Fahamu Gari la Kifahari la Nay wa Mitego alilojinunulia kama zawadi ya Birthday pamoja na Umri wake kwa sasa

$
0
0
Jana June 9 Nay wa Mitego alisharehekea siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni mwaka wake wa mafanikio zaidi katika muziki.   Nay ameweka wazi kuwa amefikisha umri wa miaka 29 na kwamba ameamua kufanya birthday party kwa mara ya kwanza tangu azaliwe, na pia amejinunulia zawadi ya gari la kifahari lenye thamani ya shilingi milioni 36. Kibongobongo ni pesa ndefu.   “Nimejinunulia gari aina ya

Magazeti ya Leo Jumanne ya tarehe 10 June 2014

$
0
0
                        Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  tarehe  10  June  2014

Mapacha wa Miaka 6 wafa Maji wakiokoana

$
0
0
Watoto mapacha wenye umri wa miaka sita, wamekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji wakati wakicheza.    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watoto hao  walitumbukia kwenye kisima kilicho jirani na nyumbani kwao.  Kwa mujibu wa kamanda huyo, tukio hilo ni la juzi saa 10 jioni katika Kijiji cha Pipani – Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa tarafa ya Msata wilaya

Upelelezi wa kesi ya Wilfred Rwakatare na wenzake bado haujakamilika......

$
0
0
Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare na mwenzake Ludovick Joseph, haujakamilika.    Wakili Mwandamizi wa Serikali, Tumaini Kweka alidai hayo jana mbele ya Hakimu Aloyce Katemana wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa.    Hakimu Katemana alisema kesi hiyo itatajwa tena Julai 8

Msichana wa kazi ( Hausigeli ) aliyechomwa Pasi na kuteswa kwa miaka mitatu na bosi wake akabidhiwa kwa wanaharakati

$
0
0
Hatimaye Yusta Lucas (20), binti aliyekuwa akiteswa kwa kuchomwa pasi na kung’atwa na mwajiri wake, Amina Maige ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Mwananyamala alikokuwa amelazwa na kukabidhiwa kwa wanaharakati wa Taasisi ya Jipange.    Hatua hiyo ilifikiwa baada ya maridhiano kati ya Ustawi wa Jamii, mama mzazi wa Yusta, Modesta Simon, Kamati ya Ulinzi na Usalama Kata ya Makumbusho na

Nick Minaj ayaanika Maziwa yake Jukwaani

$
0
0
Mwanamziki  Nick  Minaj  mwishoni  mwa  wiki  jana  alifanya  tukio  la  kushangaza  baada  ya  kuamua  kuonesha  matiti  yake  wakati  akitumbuiza  jukwaani  katika  tamasha  la  muziki  la  Summer  Jam  Hip-Hop  lililofanyika  New  Jersey  nchini  Marekani  ambako  wasanii  kadhaa  wa  Hip Hop  walitumbuiza..... Minaj  alipanda  jukwaani  hapo  huku  akiwa  amevalia  suruali  ya  kubana,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images