Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Jay Z amemtimua bodyguard aliyedaiwa kuchepuka na Beyonce!

0
0
Tuhuma za Beyonce kumsaliti Jay Z na kutoka na mlinzi wake aitwae Julius De Boer zilisambaa mwezi uliopita huku likiwaacha mashabiki wao midomo wazi.   Katika hali inayoonekana kuwa Jay Z amezifanyia kazi kwa msisitizo zaidi, Beyonce ameonekana mitaani akiwa mlinzi mwingine ambaye hakufahamika huku wengi wakiuliza nini kimemkuta Julius? Au ndio katimuliwa kabisa?   Taarifa za

Dodoma wamchefua Waziri Mkuu Pinda, agoma kukagua zahanati

0
0
ILE hali ya kufanya kazi kwa mazoea iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali jana iliwatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.   Akiwa katika eneo la kwanza ambalo alipangiwa kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mkonze, Waziri Mkuu alipokea taarifa ya ujenzi wa kituo na kubaini kuwa hawajafanya chochote ili

Lowassa ataka Viongozi wanaouza Ardhi Wang'olewe

0
0
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza zawadi ya bia na nyama choma.   Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa mara baada ya kuzindua bwawa la maji la Leken lililopo Kijiji cha Selela, Kata ya Selela

Babu wa miaka 97 asaka mtoto...Alioa akiwa na miaka 94, mkewe ana miaka 83...Wafunga safari hadi Zambia kufanya tambiko

0
0
BABU aliyefunga ndoa mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 94, Mathias Kisokota mkazi wa Kitongoji cha Isunta, Namanyere wilayani Nkasi ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 97, amehamia na mkewe katika Mji wa Mpulungu mwambao wa Ziwa Tanganyika nchi jirani ya Zambia miezi sita iliyopita kwa lengo la kufanya tambiko la kumwezesha mkewe mwenye umri wa miaka 83 kupata mtoto wa uzeeni.   Mke wa mzee

Millen Magese: Kifo cha Kanumba kiliharibu Mipango yetu

0
0
Mrembo  Millen  Magese  amekumbuka  kauli  ya  kwamba  mipango  si  matumzi, kutokana  na  kuwa  na  mipango  mingi  na  marehemu  Kanumba  enzi  za  uhai  wake  katika  kuikomboa  sanaa  ya  filamu  nchini, lakini  kabla  hawajakutana  naye  mauti  yalimkuta... Millen  na  muigizaji  mashuhuri  nchini  Nigeria, Ramsey Noah  walipanga  kukutana  na  Kanumba  lakini  kabla  siku  hiyo 

Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards 2014 ni kama Ifuatavyo.....

0
0
Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda hata  moja  kati ya hizo....   Tuzo ya best collabo imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.... Tuzo ya mwisho aliyokuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi

Tuzo za MTV MAMA 2014: Diamond hajabahatika kubeba tuzo yoyote, Mafikizolo wabeba tuzo kubwa zaidi, orodha kamili ya washindi iko hapa

0
0
Safari ndefu ya ya mchakato wa tuzo za MTV (MAMA2014) Ulioanza rasmi April 16 baada ya kutangazwa majina ya nominees na kuanza kupigiwa kura imefikia ukingoni usiku huu, ICC Arena, Durba Afrika Kusini.    Kwa mujibu ya matokeo ya mchakato mzima, Tanzania hatujabahatika kupata tuzo hata moja kati ya tuzo mbili alizokuwa anawania Diamond Platinumz (Best Male Artist na Best Collaboration)

Breaking News: Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Afariki Dunia

0
0
Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Wangamba amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.  Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. Mungu  alizale  Roho  ya  Marehemu  Mahali  pema  Peponi-Amina. <!--

Shamsa Ford afunguka baada ya Picha Chafu za Utupu zinazodaiwa Kuwa Zake akiwa na Mh. Mbunge Salvatory Machemli ( CHADEMA ) kusambaa mtandaoni

0
0
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu juzi.  Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi , ni za kutengenezwa ingawa Mpekuzi  haina  uhakika kwa asilimia zote kwa sababu msichana anayedaiwa

Kauli ya kwanza ya Diamond Platnumz baada ya kushindwa kuchukua tuzo za MTV MAMA-2014

0
0
Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini,  sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’.  Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana wetu toka nyumbani Tanzania akiwa ni miongoni mwa vijana wanaochuana kwenye tuzo hizo tena akiwa katika  vipengele viwili,ingawa

Picha ya Mzee Small akiwa na mtoto wake Jana kabla ya mauti kumfika

0
0
Pichani ni mzee Small akiwa na mtoto wake kipenzi Mahamood usiku wa kuamkia jana. Mtoto huyo anasema alimuaga baada ya chakula cha usiku kwamba anakwenda kulala,ilipofika asubuhi ya kuamkia jana hakuweza kuongea tena mpaka mauti yalipomfika majira ya Saa4 usiku wa kuamkia leo.   (Picha na Awadh Ibrahim KwanzaJamii akiwa nyumbani kwa marehemu) <!-- adsense -->

Mzee Small Kuzikwa Kesho Makaburi ya Segerea jijini Dar

0
0
MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Mzee  Small  alifikishwa  hospitalini  majira  ya  saa  mbili  asubuhi  ya  jumamosi  ya  June  7 ( jana )  baada  ya  kuzidiwa.

Watu 6 wafariki katika ajali ya basi la Ndejela jijini Mbeya

0
0
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya. Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya

Historia ya Marehemu Mzee Small

0
0
Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58). Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo hapa Bongo.   Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya Mingumbi huko Kilwa mkoani Pwani. Mbali na kuwa mkongwe, Mzee Small kila ulipozungumza naye alikuwa na kawaida ya kutamba kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza kabisa Tanzania Bara kuchekesha

Chanzo cha Ugonjwa wa Wasichana kuanguka Shuleni chatajwa

0
0
Ugonjwa wa kuanguka na kupiga kelele unaowakumba baadhi ya  wasichana katika shule mbalimbali nchini, umetajwa kusababishwa  na  maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa yasiyokuwepo.   Mtaalamu wa saikolojia na theolojia, Mchungaji  John Rowse  kutoka taasisi ya The Uhakika Christian Education Trust Fund kutoka Mbeya, alisema hayo hivi karibuni baada ya kutembelea

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 9 June 2014

0
0
                          Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  tarehe  9  June  2014

CHADEMA Yasambaratika chuo kikuu cha SAUTI Mwanza.....Mamia ya wanachama wake waikimbia na kujiunga CCM

0
0
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’ Chadema, baada ya kusomba wanachama wa chama hicho wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut), tawi la Mwanza, wakiongozwa na Rais wa Serikali ya Wanafunzi (Sautso), Philbert Saimon.   Wanachama hao wa Chadema waliamua kuhama chama hicho jana, katika mkutano wa hadhara uliofanyika

Wasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram waonekana Wakioga na kuwapikia wanamgambo hao.....Mabinti hao wamefichwa katika kambi tatu tofauti nje ya Nigeria

0
0
Mamia ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo.    Aidha taarifa zinaeleza wengi wa wasichana hao wanashikiliwa  katika kambi tatu tofauti nje ya Nigeria.    Mmoja wa viongozi wanaohusika katika majadiliano ya kutaka wasichana hao waachiliwe huru,  Dk Steven Davis alikaririwa na Shirika la Utangazaji

Penzi la Lulu Michael na Amir Nando wa Big Brother laanikwa hadharani

0
0
Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe.   Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu.   Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo

Mwanamke aliyeonekana Pichani na Kapten Komba asakwa.....Aliyevujisha naye matatani

0
0
Mrembo  aliyeonekana  kwenye  picha  inayodaiwa  kutengenezwa  kitaalam  akiwa  na  mbunge  wa  Mbinga  Magharibi, Kapten John Komba, anasakwa  kwa  udi  na  uvumba.... Kusakwa  kwa  mwadada  huyo  anayedaiwa  kuishi  maeneo  ya  Kinondoni  jijini  Dar  es salaam, kumekuja  siku  chache  tangu  mbunge  huyo  atoe  taarifa  kwamba  hauhusiki  na  picha  hizo  na  ana  imani  kwamba 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images