Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Bajeti kuu ya Serikali itasomwa leo Bungeni Dodoma....Watanzania wasubiria bidhaa zitakazopanda na kushuka, Wafanyakazi nao wasubiria mishahara mipya

$
0
0
Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.   Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti

Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 12 June 2014

$
0
0
                            Magazeti  ya  leo  Alhamisi  ya  tarehe  12  June  2014

Video: Bonyeza hapa ujionee jinsi soko la Karume lilivyoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo

$
0
0
Hali ilikuwa tete usiku wa kuamkia leo katika mabanda ya Wamachinga eneo la Soko Karume , Ilala jijini Dar  baada ya kutokea moto mkuwa na kuteketeza mabanda yote ya wafanyabiashara eneo hilo.  Fire walifika katika eneo la tukio na kuondoka baada ya kukubali kushindwa kuzima moto huo. Nguzo za umeme zimeungua pia.   Chanzo  cha  moto  huo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya Mama ntilie

Mwanamke mwingine abakwa na kuning’inizwa juu ya mti India

$
0
0
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 amekutwa amening’inizwa juu ya mti katika kijiji kimoja Kaskazini mwa India, likiwa ni tukio la tatu kutokea ndani ya wiki moja katika Jimbo la Uttar Pradesh.   Mwili wa mwanamke huyo umekutwa katika eneo la Moradabad ambapo familia yake imewaambia polisi kuwa alibakwa huku uchunguzi wa madaktari ukiendelea kufanyika.   Mwanamke mwingine

Exclusive Interview: Agnes Masogange afunguka jinsi maisha yake ya jela yalivyokuwa Afrika Kusini (Video)

$
0
0
Video vixen Agnes Gerald a.k.a Agnes Masogange amefunguka kuhusu matatizo aliyoyapata mwaka jana baada ya kukamatwa uwanja wa ndege wa Or-Tambo, Afrika Kusini (July 5 2013) na mzigo uliosemekana kuwa ni dawa za kulevya. Agnes ni miongoni mwa Watanzania waliokwenda Durban, Afrika Kusini kumsupport Diamond Platnumz katika Tuzo za MTV (MAMA) weekend iliyopita, na Bongo5  ilipata nafasi

Huu ni wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ...." Mdogo Mdogo", Bofya hapa kuusikiliza

$
0
0
  Diamond Platnumz leo ameachia kazi yake Mpya halisi ya wimbo uliovuja na kuwa hauitwi kitorondo unaitwa “Mdogo Mdogo” .Umetengenezwa na Tudd Thomas. Utazame  hapo  chini

Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014/2015

$
0
0
UTANGULIZI  1.Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2014/2015. Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu cha Kwanza ni makisio ya mapato; Kitabu cha Pili ni makisio ya matumizi ya kawaida kwa wizara, idara za Serikali zinazojitegemea,

Mechi ya Ufunguzi wa Kombe la Dunia: Brazili yapata ushindi wa mabao 3 dhidi ya Croatia walioambulia 1

$
0
0
Neymar akishangilia bao lake la kwanza. WACHEZAJI Neymar na Oscar wamepeleka vilio Croatia baada ya kuipa ushindi wa mabao matatu timu yao ya Brazil kwenye mechi ya ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 zinazofanyika nchini Brazil.   Croatia walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya 11 ambalo ni la kujifunga likiwekwa kimiani na beki Marcelo wa Brazil.   Baadaye wenyeji

Amina Maige anayetuhumiwa kumng’ata na kumchoma pasi msichana wa kazi apandishwa kizimbani....Wananchi wavamia mahakama na kuanza kumzomea, Shughuli za Mahakama zasitishwa kwa muda.

$
0
0
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es salaam ilisitisha kwa muda shughuli zake baada ya zomeazomea iliyosababishwa na umati mkubwa wa watu waliofika mahakamani hapo kushuhudia kesi inayomkabili Amina Maige aliyeshitakiwa kwa kosa la kumjeruhi binti kwa kumng'ata na kumuunguza kwa pasi ....   Ndivyo hali ilivyokuwa katika mahakama hiyo mara baada ya mtuhumiwa huyo kufikishwa

Washitakiwa wa mtoto aliyefungiwa Ndani ya Boksi na kufariki dunia wakabiliwa na kesi ya MAUAJI......

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imewabadilishia mashtaka  washitakiwa watatu katika kesi ya marehemu, Nasra Mvungi (4) waliokuwa wanakabiliwa na makosa  ya kula njama na kufanya ukatili, sasa wanashitakiwa kwa kosa la kusababisha kifo cha  mtoto huyo.   Watuhumiwa waliofikishwa, mahakamani hapo jana ni pamoja na  baba mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi (47), mkazi wa Lukobe  na

Unyama Mwingine: Hausigeli ( binti wa kazi ) mwingine Ajeruhiwa vibaya na bosi wake na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar

$
0
0
Hausigeli aitwaye Melina Mathayo mwenye umri kati ya miaka 15, ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na bosi wake aitwaye Yasintha Rwechungura mkazi wa Boko.   Akiongea na mwanahabari wetu akiwa katika hospitali hiyo, Melina amesema amekuwa akipigwa na bosi wake huyo mara kwa mara kwa kutumia waya, brenda

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 13 June 2014

$
0
0
                                  Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe  13  June  2014

Florah Mbasha awagawa Wachungaji.....Baadhi yao watangaza kususia hudumza zake, wadai hawawezi kuhudumiwa na mwimbaji Mzinzi

$
0
0
Mpasuko  wa  ndoa  ya  wasanii  wa  nyimbo  za  Injili, Emmanuel  Mbasha  na  mkewe  Florah  umewagawa  wachungaji  wa  makanisa  mbalimbali  nchini  baada  ya  kibao  kumgeukia  Flora  kwamba  ndiye  anadaiwa  kusuka  mpango  wa  kumwangamiza  mumewe  ili  afungwe  kwa  kosa  la  ubakaji..... Wakizungumza  na  wanahabari  wetu  kwa  nyakati  tofauti,  wachungaji  hao  walisema  endapo 

Unyama: Mtoto afungwa Minyororo kwa miezi minne

$
0
0
MATUKIO ya ukatili dhidi ya watoto, bado yameendelea kushika kasi kwenye maeneo mbalimbali nchini ambapo katika Mkoa wa Simiyu, mtoto mwenye umri wa miaka 17 (jina tunalihifadhi), mkazi wa Bariadi Mjini na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Bariadi, amejikuta akifungwa minyororo mikononi na miguuni kwa miezi minne nyumbani kwa mganga wa kienyeji.   Mganga huyo amefahamika kwa jina la Mdeli

Polisi aliyeuawa na Majambazi kuzikwa leo.....Majeruhi mmoja kati ya wawili Afariki dunia

$
0
0
WAKATI mwili wa askari polisi mwenye namba, D 9887 Koplo Joseph Ngonyani wa Kituo cha Polisi Mkamba, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani ukisafirishwa leo kwenda mkoani Songea baada ya kuuawa na watu ambao wanadhaniwa kuwa jambazi, majeruhi mmoja kati ya wawili Venance Francis ambaye ni mgambo, naye amefariki dunia.   Francis ambaye naye alijeruhiwa katika tukio hilo baada ya watu hao kuvamia

Lori la diesel lateketea kwa moto baada ya kugongana na lori lingine.

$
0
0
Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali.   Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es salaam

Baada ya miezi tisa ya kubeba Mimba, mwanamke ajifungua Mjusi...

$
0
0
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto.   Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho wakimtuhumu kwa uchawi ambapo sasa mamlaka za nchi hiyo zimetuma timu ya wataalamu kwa ajili ya kumaliza utata wa tukio hilo lisilo la kawaida.   Wanasayansi katika timu inayofanya

Mlipuko wa Bomu watokea huko Zanzibar na kuua mtu mmoja

$
0
0
Taarifa tulizozipata ni kuwa Bomu limelipuliwa baada ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na kuua  mtu  mmoja  aliyefahamika  kwa  jina  la  Muhammad mkombolaguha. Sheikh Abulfadh'li Qassim ambaye  anadaiwa  kuwa  mlengwa wa shambulio hilo amejeruhiwa mkono na mguu na yupo akipatiwa  matibabu  hospitalini . Tutaendelea  kukuhabarisha  tukipata   habari  mpya  kuhusiana  na  sakata

Wasomi 10,500 wasailiwa uwanja wa Taifa kujaza nafasi 70 tu za Uhamiaji.......

$
0
0
Katika hali inayoashiria ukubwa wa tatizo la ajira katika sekta rasmi nchini, wasomi wa ngazi ya Chuo Kikuu 10,500 walijitokeza jana (pichani) kwenye usaili wa Idara ya Uhamiaji nchini inayohitaji kuajiri watu 70 tu.   Wengi wakiwa ni vijana wasomi wa fani mbalimbali wenye umri wa kati ya miaka 22 na 30, walifurika kwenye uwanja huo uliopo Kurasini, katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam

Jack Wolper akutwa na Mume wa mtu wakiwa katika mahaba mazito

$
0
0
Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu.  Kwa muda mrefu Wolper amekuwa makini na picha zake za kimahaba tangu alipokuwa akitoka kimapenzi na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Abdallah Mtoro ‘Dallas’.   Awali, chanzo makini
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images