Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"SIWEZI KUMWACHA PREZZO HATA AWE MALAYA KIASI GANI....MUNGU ALIMZAA KWA AJILI YANGU"...DIVA WA CLOUDS FM

$
0
0
DIVA  AKIWA  NA  MKE  MWENZA... Jana Diva wa Clouds fm amevunja ukimya na  kufunguka  tena  kuhusu  penzi  lake  kwa  Mkenya  a.k.a  Prezzo... Diva  ndani  ya  pozi  la  nusu  uchi... HII  NI  KAULI  YAKE:  “Okay now that some bloggers blog about me and Prezzo and Prezzo kuwa womanizer …Prezzo this and that ..blah blah blah OGAWD. Guys Prezzo is the President……….he is grown

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ADAI KUWA UJIO WA RAIS OBAMA SI KWA AJILI YA RASILIMALI ZA MTANZANIA

$
0
0
Akiongea na waandishi wa habari jana, Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa  nini Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania? Ni kweli  Rais wetu anakuja malengo ya ziara yake yatajikita katika mambo ambayo ni malengo ya Marekani kwa

POLISI WA KITUO CHA MAGOMENI ATIMULIWA KAZI BAADA YA KUPIGA PICHA ZA NUSU UCHI

$
0
0
POLISI wa kike wa Kituo cha Magomeni, jijini Dar es Salaam aliyejulikana kwa jina moja la Anisa, ametimuliwa kazi  kwa madai ya kupiga picha ya utupu iliyosambaa mitandaoni. Chanzo makini ndani ya jeshi hilo kilisema Anisa alifukuzwa kazi wiki iliyopita baada ya kuhojiwa na mabosi wake wa makao makuu ya jeshi hilo na kukiri kuwa picha hiyo ni yake. “Anisa aliitwa makao makuu,

"SIKUHUDHU"RIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"... 20 PERCENT

$
0
0
Mwanamuziki aliyewahi kuvunja rekodi ya mwaka 2010 kwa kunyakua tuzo tano kwa mfululizo Abasi Kizasa" 20 pacent" ameibuka na kutoa sababu za msingi za kushindwa kwenda kushiriki kwenye mazishi ya mwanamuziki mwenzake Arbeth Mangwair kutokana na kuuguliwa sana babaake mzazi ambae ana kansa ya utumbo. Akiongea na Xdjayaz , 20 pacent alisema kuwa  baba  yake  alikuwa  ni  mgonjwa  kiasi 

LWAKATARE AMEACHIWA KWA DHAMANA YA MILIONI 10

$
0
0
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.  Lwakatare anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki. Waliomuwekea dhamana Lwakatare ni madiwani wawili wa Chadema kutoka kata ya Kimara na Sinza. 

KUNDI LA MATAPELI WANAODAI KUTOA MIKOPO BILA RIBA WAVAMIA ACCOUNT ZA DIAMOND NA KUTOA UJUMBE HUU...

$
0
0
Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.    Amepigiwa  simu  Diamond ambaye hakuwa na taarifa zozote kumuuliza kama ni yeye ndiye aliyeandika na amekanusha kuandika ujumbe huo. Ujumbe huo kwenye akaunti ya Facebook ya Diamond unasomeka: Naimani kuwa Serikali

MSHINDI WA REDD'S MISS NYAMAGANA 2013 AVULIWA TAJI HILO BAADA YA KUBAINIKA KUWA SIYO MTANZANIA NA ALIDANGANYA UMRI WAKE

$
0
0
Aliyekuwa mshindi katika shindano la kumtafuta mrembo wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Redd’s Miss Nyamagana 2013 Diana Amimo amevuliwa taji hilo baada ya kubainika kudanganya umri wake pamoja na urai, kasoro zilizompunguzia sifa za kuvaa taji hilo. Diana Amimo (katikati) Mratibu wa shindano hilo lililofanyika (May 11) jijini Mwanza, bwana Mukhsin Mambo wa Stoppers Entertainment,

"NIKIFA ASHA BARAKA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU, NA KAMA ATAKUFA YEYE BASI SITAENDA".....ALLY CHOKI

$
0
0
MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa.Katika maongezi yake  Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha Baraka (Mkurugenzi wa ASET) na Baraka Msilwa (Mwenyekiti wa ASET). Asha Baraka na Baraka Msilwa ni mtu na kaka yake.Kiongozi huyo wa Extra Bongo akaenda mbali zaidi kwa kusema: “Nikifa leo

MWANAMKE AFUNGWA MIAKA 3 KWA KOSA LA KUMNG'ATA MUMEWE SEHEMU ZA SIRI HUKO IRAMBA SINGIDA

$
0
0
MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida umemhukumu mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kisana wilayani humo, Sayuni Ramadhani (42) kwenda jela miaka mitatu baada ya kukiri kosa la kumng’ata mumewe sehemu zake za siri.Mwendesha mashitaka mkaguzi wa polisi, Vincent Ndasa alidai mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Iramba, Kariho Mrisho kuwa Juni 4 mwaka huu

IGP SAID MWEMA AKUTANA NA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI KUPANGA MBINU ZA KUIMARISHA ULINZI KANISANI

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini , IGP Said Mwema akizungumza katika kikao cha Mashauriano kati ya Jeshi la Polisi na viongozi wa makanisa ya kikatoliki.kikao hicho pia kilihudhuriwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Kardinali Pengo .Mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini

DHARAU ZA PAUL KAGAME KWA USHAURI WA RAIS KIKWETE .....

$
0
0
  DHARAU  za Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jakaya Mrisho Kikwete zimewagawa Watanzania  na  kuwafanya  wawe  na  mitazamo  tofauti. Wapo  wanaomuunga  mkono  Rais  Kagame  na  wapo  pia  wanaompinga  kwa  kauli  yake... Rais Kagame alimkejeli  Rais Kiwete kwa kuuita ushauri wake ni

AJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA AMEFARIKI DUNIA

$
0
0
  Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka.. Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki, <!-- adsense -->

PICHA ZA MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIE ( KASHI ) ALIYEFARIKI JANA

$
0
0
Msanii Kashi katika enzi za uhai wake               Pichani juu ni mazishi ya msanii ya mwigizaji  Jaji Khamis 'Kashi' aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar yaliyofanyika leo mchana majira ya saa nane kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Marehemu Kashi alikumbwa na umauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua. Mwenyezi

HII NDO VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE....

$
0
0
KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa  mwanamke  wakati wa  maombi  kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii. Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua. Tazama video ya mchungaji huyo hapa <!-- adsense -->

CCM YAPINGA UWEPO WA SERIKALI TATU....

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita. Chama hicho tawala kimesema bado kinaamini katika muundo wa Serikali mbili.   Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye aliwaambia waandishi wa habari mjini Dodoma jana kwamba mapendekezo

PICHA ZA WAKENYA WALIVYOANDAMANA JUNE 11 NA KINYAGO CHA NGURUWE NA DAMU WAKIPINGA MISHAHARA YA WABUNGE

$
0
0
Miungano ya kijamii ikiongozwa na Bunge la mwananchi,Muhuri na pawa 254 miongoni mwa mengine yameandaa maandamano ya pili kupinga juhudi za wabunge kuhujumu tume ya kuratibu mishahara nchini kenya SRC ili kujiongezea mishahara ya hadi laki nane kinyume na ilivyopendekezwa na SRC. Tofauti na wiki kadhaa zilizo pita ambapo waandamanaji waliwaelekeza nguruwe walioandikwa majina ya

WAFANYAKAZI WA SUPERMARKET HUKO MOSHI WAANDAMANA KUPINGA RUSHWA YA NGONO WANAYOOMBWA NA BOSS WAO

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama  WAFANYAKAZI wa Supermarket ya Nakumatt, iliyopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wameulalamikia uongozi wa duka hilo kwa madai ya kuwanyanyasa na kuwaomba rushwa ya ngono.Wafanyakazi hao ambao tayari walishafikisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama walidai wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya unyanyasaji ikiwemo kuombwa

UKUMBUSHO: TAREHE KAMA YA LEO, RAIS NELSON MANDELA ALIFUNGWA MIAKA 27 JELA

$
0
0
Siku kama ya leo (June 12) mwaka 1964 viongozi wapatao 8 wa chama cha ANC akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela walihukumiwa kwenda jela, ambako mzee Mandela alitumikia kifungo kwa miaka 27. Mzee Madiba ambaye leo anafikisha siku ya 5 akiwa amelazwa hospitalini akisumbuliwa na mapafu huko Afrika Kusini, ndiye alikuwa rais wa kwanza mweusi kwa taifa hilo. Kwa mujibu

FAMILIA YA NGWEA YAMKATAA MTOTO WAKE ALIYELETWA NA MAMA YAKE MAKABURINI

$
0
0
Siku chache baada ya aliyekuwa mkali wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth Mangweha ‘Ngwea’ kupumzishwa kaburini kufuatia kifo cha usingizini nchini Afrika Kusini kilichotokea Mei 28, mwaka huu, mambo kibao yanazidi kuibuka.  Mtoto wa Ngwea akiwa na baadhi ya wanafamilia wakati wa mazishi ya baba yake. Habari zinadai kuwa familia ya marehemu Ngwea imemkataa mtoto aliyeletwa na mama yake

MKE AMTWANGA MUMEWE BAADA YA KUMKUTA AKITAZAMA RUNINGA KABLA YA KUMALIZA KAZI ZA NYUMBANI

$
0
0
MWANAMUME mmoja katika mtaa wa Mwanzo, Eldoret anauguza majeraha baada ya kupigwa na mkewe kufuatia mzozo uliotokana na yeye kupatikana akitazama runinga kabla ya kumaliza kazi ya nyumbani.Kwa mujibu wa majirani mkewe mwanamume huyo, alirejea nyumbani jioni kutoka kazini mnamo Jumatatu na kumkuta akitazama televisheni. Mara moja, alimrukia na kumpiga vibaya.Mwanaume huyo aliokolewa na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>