Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

SAKATA LA HOUSE GIRL ALIYEJINYONGA KISA PENZI LA CHRISTOPHER

$
0
0
  Mfanyakazi wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.  Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa nyumbani kwa bosi wake eneo la Kitunda jijini Dar kwa wivu wa mapenzi.  Devotha alikuwa katika penzi na kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Christopher anayedaiwa kuwa na

MWANAUME AFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO MCHANA......

$
0
0
Difenda  ya  polisi  ikiuchukua  mwili  wa  marehemu... Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar.  Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake.  Mwili wa marehemu

WASHINDI WA TWEET ILIYOMKUNA REGINALD MENGI AKABIDHIWA KITITA CHA SH. MILIONI MOJA

$
0
0
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la,  "Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi.  Kulia ni mshindi wa pili, Peter George

WAASI WA M23 WAKUBALI KUREJEA KATIKA MEZA YA MAZUNGUMZO YA AMANI NA SERIKALI

$
0
0
Kiongozi wa kundi la M23 Bertrand Bisimwa Photo AFP / Isaac Kasamani Kundi la waasi la M23 la nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC linarejea katika mazungumzo ya amani na serikali ya Kinshasa mwishoni mwa juma hili mazungumzo ambayo serikali ya nchi hiyo inaona kuwa ni jambo sahihi katika utatuzi wa mgogoro huo. M23 chini ya kiongozi wake Bertrand Bisimwa walitangaza uamuzi

MFULULIZO WA VIFO VYA WASANII WAMFANYA DOKII AFUNGUKE KUWA NI MUNGU ANAWAADHIBU

$
0
0
MWIGIZAJI Bongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameibuka na kusema kuwa vifo vya wasanii vimetokea kutokana na kujisahau hivyo Mungu ameamua kuwaadhibu.  Akiongea na mwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders Club, Juni 5, mwaka huu ambapo mwili wa Mangwea ulikuwa ukiagwa, Dokii alisema matukio ya vifo vya wasanii mbalimbali yaliyotokea miaka miwili mfululizo ni pigo kubwa kwani wengi ni vijana

NAIBU WAZIRI WA JINSIA NA WATOTO AIBUA KASHIFA YA RUSHWA YA NGONO KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

$
0
0
Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni.Suala  hilo Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM), alipomaliza kujieleza bungeni akiomba kura kwa wabunge wamchague awe mjumbe kwenye taasisi hiyo. Baada ya Mbunge huyo kumaliza kujieleza, alisimama Mbunge wa Viti Maalumu, Naibu Waziri wa Jinsia na Watoto, Ummy Ally

TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS LIVE MTANDAONI...FUATILIA HAPA LIVE

$
0
0
Fuatilia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 live moja kwa moja hapa kuaniza tukio hili  la Red Carpet  likifatiwa na tukio la utoaji tuzo litakaloanza rasmi saa tatu usiku hadi litakapofikia mwisho. <!-- adsense -->

"MNAOWANIA URAIS MSIKUBALI KUPOKEA PESA ZA HUYU MFANYABIASHARA FISADI AMBAYE NI KINARA WA MADAWA YA KULEVYA".... REGINALD MENGI

$
0
0
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi ametoa ya moyoni kwa wote wenye mpango wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka miwili ijayo. Bwana Mengi ameyatoa maombi yake ya moyoni na kuyaweka hadharani kupitia akaunti yake ya twitter June 7, na hiki ndicho alichokiandika. “Nawaombea Mungu wanaotaka Urais wasipokee mshiko wa mfanyabiashara fisadi mkubwa ambaye

NDOA YA PREZZO ILIVUNJIKA KUTOKANA NA UMALAYA WAKE NA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA...... KAZI KWAKO DIVA

$
0
0
Siku za hivi karibuni rapper mwenye asili ya Kenya na Tanzania Prezzo alitweet kuwa anaenda mahakamani huko Kenya lakini hakuweka wazi alikuwa anakabiliwa na kesi gani. Yawezekana ukawa unashangaa kusikia story kila kukicha juu ya king wa bling ana date na warembo wengi kwa wakati mmoja, mara Goldie (marehemu), mara Huddah, mara Diva, na jana tumesikia ameonekana akikiss na

"NDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR

$
0
0
  Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku moja akaolewa na AY! Kama uliiangalia show ya Mkasi jumatatu ama marudio yake leo (jumamosi) ambapo crew nzima ya kipindi cha mkasi chini ya C.E.O na Producer wa show Ambwene Yesaya ‘AY’

MBUNGE WA MTWARA MJINI AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUCHOCHEA VURUGU ZA MTWARA

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda jijini Dar es Salaam. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Msemaji wa Jeshi la polisi nchini, Advera Senso zinaeleza kuwa Murji alikamatwa jana jioni nyumbani kwake maeneo ya

KALA JEREMIAH NA OMMMY DIMPOZ WATISHA BAADA YA KUJINYAKULIA TUZO TATU TATU KILA MMOJA

$
0
0
Mwaka huu umekuwa mwaka mzuri zaidi kimuziki kwa msanii toka rock City Mwanza Kala Jeremiaha ambae maombi yake kwa ‘Dear God’ yamesikika na amepata majibu kwa njia ya kipekee na wimbo wake ‘Dear God’ umeweza kuchukua tuzo tatu katika Kilimanjaro Music Awards 2013.     Kala Jeremiah ametumia mkuki mmoja kunasa ‘swala’ wake watatu muhimu mwaka huu, Dear God imeweza kumpa nafasi kubwa na

FEDHEHA : FATMA WA MALAWI NA NJEMBA IITWAYO ONEAL WAKIOGA PAMOJA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
<!-- adsense --> Jumba  la Big Brother  limeendela  kutowatendea  haki  akina  dada  wa  kiafrika  ambao  wako  ndani  ya  jumba  hilo  lililojaa  kamera  mpaka  chooni..... Chochote  kinachofanyika  hurekodiwa  na  kuachiwa  live  hadharani...... Video  nyingi  za  washiriki  wakiwa  bafuni   zimekuwa  zikisambazwa  na  jumba  hilo ..... Sasa  ni  zamu  ya    Fatma  na  Onel 

HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013

$
0
0
Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele. Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwele na TJ. Hii ni list nzima ya tuzo hizo. Wimbo bora wa mwaka Dear God – Kala

KIGODA CHA MWENGE WA UHURU CHAIBIWA JIJINI ARUSHA....

$
0
0
KATIKA hali isiyo ya kawaida na inayoashiria uzembe katika ulinzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, juzi kijana mmoja mkazi wa eneo la Phillips katika Kata ya Sekei jijini Arusha, Hamad Rashid (32) aliiba kiti (kigoda) cha kukalishia Mwenge. Kuibwa kwa kiti hicho kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. Kiti hicho hutumika kuwekea Mwenge wa Uhuru

BAADHI YA PICHA ZA WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013

$
0
0
Kala Jeremiah akipokea tuzo zake. Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee. Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae! Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora. Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee Chalz Baba akiwa na Tuzo zake! Ben Pol akiwa kwenye stage na

CHADEMA WANAJITEKENYA NA KISHA WANACHEKA WENYEWE

$
0
0
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Mbeya Mjini kimesema kuwa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) wilayani humo kimefikia hatua ya kujichekesha chenyewe kisha kucheka. Wakizungumza na waandishi wa habari Jijini Mbeya leo, Umoja huo umesema kuwa hatua hiyo ya Chadema inatokana na kuona dalili zote za kushindwa katika uchaguzi mdogo wa kata ya Iyela unaotarajiwa

RAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE

$
0
0
Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM,  Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe

MBUNGE WA MTWARA ASOMEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI NA KUREJESHWA RUMANDE BAADA YA KUKOSA DHAMANA

$
0
0
Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnein Murji (kushoto) akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara jana kusomewa shtaka la kufanya uchochezi. (picha: Haika Kimaro/MWANANCHI) Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini (CCM), eneo ambalo limekumbwa na vurugu hivi karibuni kusini mwa Tanzania, Hasnein Murji na watuhumiwa wengine 91 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu

"KAMA NINGEKUWA RUGE NINGEMPIGIA MAGOTI LADY JAYDEE NA KUMUOMBA MSAMAHA'....SEBO WA MAGIC FM

$
0
0
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika  tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika katika  jamii.  Mtangazaji huyo amesema kwamba Jaydee ni mwanamke mwenye uthubutu katika  harakati za kuyasaka maisha na kwamba yeyote mwenye
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images