Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MUUAJI WA DADA ALIYECHINJWA KAMA KUKU MIKOCHENI B AMEPATIKANA

$
0
0
MFANYAKAZI wa Jaji Kileo, Philemon Laiza (27) anadaiwa kumchinja mtumishi wa ndani wa jaji huyo, ambaye ni raia wa Kenya, Perpetua Mainab (30).  Mtuhumiwa huyo, ambaye alikuwa ni mtunza bustani katika nyumba ya Jaji Kileo, alifanya unyama huo wiki iliyopita.  Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova, alisema mwili wa mtumishi huyo wa

JIPATIE NAKALA YAKO YA RASIMU YA KATIBA MPYA HAPA ......

$
0
0
<!-- adsense --> Hii ni Rasimu ya Katiba mpya  kwa  watanzania  wenzetu ambao bado  hawajapata  muda  wa  kuisoma  kwa  makini   Bofya  hapo  chini... Rasimu.pdf (387.8 KB)

MWANA FA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA LADY JAYDEE

$
0
0
Baada  ya  kutibuana  na  Lady  Jaydee, Mwana  FA  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kuwataka  mashabiki  wachukulie  poa  maana  ni hali  ya  kawaida  tu  katika  maisha  ya  kibinadamu..... Ugomvi  wa  wasanii  hawa  ulianza  baada  ya  Mwana  FA  ku re -tweet  post  moja  ya shabiki  wake  ambayo  ilikuwa  ikiiponda  show  ya  Lady  Jaydee... Lady  jaydee  alijaribu  kumuonya  mara 

BAADA YA VIFO VINGI, WASANII WAHAMASISHANA KUMRUDIA MUNGU

$
0
0
KUTOKANA na vifo vya mara kwa mara vya wasanii, staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema ni wakati wa wasanii kumrudia Mungu. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Dude alisema kwa kipindi kifupi vimetokea vifo vingi vya wasanii tena wenye umri mdogo, hivyo anawataka wasanii wabadili mfumo wao wa maisha kwa kuachana na mambo maovu, anasa za dunia kwani

PICHA ZA MAMA ALIYEKAA JUU YA PAA KWA SIKU TANO KUZUIA NYUMBA YAKE KUUZWA NA BENKI YA TIB

$
0
0
Huyu mama alikaa juu ya paa kwa siku tano  tangu jumamosi kupinga nyumba yao kuchukuliwa na bank.Anasema mumewe alimdhamini mtu ambaye  alichukua mkopo bank miaka mingi iliyopita na kushindwa kulipa mkopo huo.  Kwa mujibu wa maelezo yake , kesi yao bado ipo mahakamani kwani tayari yule mdaiwa kuna mali zake zilizotaifishwa. Mdaiwa alikopa ml 240,  wameuza nyumba zake 2 na mabasi

LADY JAYDEE NA MWANAFA KESHO HAPATOSHI....SUGU AMPA SHAVU LADY JAYDEE NA ZITTO KABWE KALALA KWA MWANAFA

$
0
0
Ile the Big Square 1, show za magwiji wa muziki Tanzania mwana FA ‘The Finest’ na Lady Jay Dee ‘Miaka 13 ya Lady Jay Dee’ zitapigwa kesho June 14, huku presha ikiwa inaongezeka hasa kwa fans wanaotamani kuhudhuria show walioichagua na kuona ukubwa wa show kama walivyotarajia. Show hizi kubwa zina nguvu sana kutokana na ukubwa wa majina ya wasanii husika. Kwa mujibu wa lady Jay Dee

GARI AINA YA TOYOTA GLANZA TURBO INAUZWA KWA SH. MILIONI TANO ..

$
0
0
Toyota Glanza Spot (Turbo Charger) Inauzwa  kwa  sh.milioni  tano  tu .Gari ipo ipo Dar es Salaam .Piga Simu 0714604974 or 0684885441 kwa  mawasiliano  zaidi kuhusu hii Gari... Upande wa Nyuma <!-- adsense -->

BREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA

$
0
0
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa amefariki dunia.. Habari zinadai  kuwa , Msanii huyu alikumbwa na Malaria kali sana hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana. ENDELEA KUWA NASI.... <!-- adsense -->

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI

$
0
0
<!-- adsense --> HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NAMATUMIZI KWA MWAKA 2013/2014  ----------------------- KAMA HAISOMEKI VIZURI, BASI BOFYA HAPO CHINI  < <  HOTUBA  YA  WIZARA  YA  FEDHA>> KAMA HAISOMEKI VIZURI, BASI BOFYA HAPO CHINI  < <  HOTUBA  YA 

POST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO

$
0
0
<!-- adsense --> Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya imepata pigo jingine  kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop anaejulikana kwa jina la Langa Kileo.  Langa  amefariki dunia  akiwa  katika  hospitali ya  Taifa  ya  Muhimbili  baada ya  kulazwa  jana  akisumbuliwa  na  malaria  kali Zifuatazo  ni post za mwisho za

HUU NI UJUMBE ALIOTUMA MTANZANIA MWENZETU AMBAYE AMEFUNGWA ANGOLA BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda Afrika Kusini, wamepaza sauti kuomba msaada wa Serikali ili ndugu yao aje kufungiwa gerezani Tanzania.Khaleed Bin Abad amesema huyu Mtanzania aliondoka South Afrika na kwenda kufata dawa za kulevya Brazil na akafanikiwa kuchukua

KILICHOSEMWA NA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUHUSU KIFO CHA MSANII LANGA

$
0
0
Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka juzi jioni ambapo kutokana na sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili hospitali hawawezi kusema rapper huyu alikua anaumwa nini bali ndugu ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo.Kwenye

"NAFIKIRIA KUAHIRISHA SHOW YANGU ILA SI KWA KUMUOGOPA MWANAMKE"...MWANA FA

$
0
0
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo, kilichotokea leo  jijini Dar es Salaam.   Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho iliyopangwa kufanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na tayari ameanza kuwasiliana na meneja wake kwa

MAJINA NA KAMBI ZA JESHI WALIKOPANGIWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA 2013...TAREHE YA KURIPOTI NI 24 MWEZI HUU

$
0
0
TANGAZO MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.2. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOSOMA MASOMO YA MCHEPUO WA SAYANSI NA KUPATA DIVISION III.3. VIJANA HAO WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA

MTANDAO MPYA WA KIJAMII ( MAYOCOO) WAZINDULIWA

$
0
0
Mwanafunzi  wa  Chuo  kikuuu cha  Dodoma, ndugu  Justice  Donatus    amefanikiwa kutengeneza  mtandao  wake wa  kijamii  uitwao  MAYOCOO  ambao  utasaidia kuiunganisha  jamii  ya  kitanzania  na  kimataifa.. Akiongea  na  mwandishi  wetu  mjini  Dodoma, Justice  ambaye  ni  mwanafunzi  wa  mwaka  wa  tatu  katika  chuo  hicho  ameeleza  furaha  aliyo  nayo  kwa  kutimiza  ndoto yake  ya  

KINANA AMBURUZA KORTINI MBUNGE MSIGWA BAADA YA KUMWUITA JANGILI

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdul-rahman Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema), kutokana na kumtuhumu anajihusisha na ujangili na biashara haramu ya pembe za ndovu. Kinana amefungua kesi hiyo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutokana na kitendo cha Mbunge huyo kutoa tuhuma hizo dhidi yake kwa nyakati tofauti nje na ndani ya Bunge,

"TUMEFUKUZWA KAZI BAADA YA KUYAKAMATA MAGARI YA VIGOGO SERIKALINI AKIWEMO RAIS MSTAAFU SMZ".....HII NI KAULI YA POLISI

$
0
0
ASKARI 15 wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam waliofukuzwa kazi hivi karibuni kwa kosa la kupokea rushwa ili kupitisha mizigo bandarini kwa njia za magendo wameibuka na kutoa siri ya kufukuzwa kwao. Mmoja wa askari hao akizungumza kwa niaba ya wenzake, alisema sababu ya kufukuzwa kwao imetokana na wao kukamata magari ya vigogo serikalini, akiwemo aliyekuwa Rais

BAJETI YA SERIKALI YAPANDISHA BEI YA BIA NA SIGARA

$
0
0
Serikali imeendelea kuongeza kodi kwenye magari makuukuu, bia, vinywaji vikali, na baridi kama ambavyo kodi imekuwa ikifanya kila mwaka na kuwaathiri watumiaji.  Kutokana na hali hiyo wanywaji pombe na sigara pamoja na waagizaji magari watalazimika kutumia fedha nyingi zaidi ili kupata huduma hizo. Vilevile baadhi ya bidhaa zisizokuwa za mafuta nazo zimefanyiwa marekebisho na

KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMEKUFA HUKO MAGOMENI

$
0
0
Mwili  wa  mtoto  ukiwa  umetupwa Wakazi  wakishuudia mototo mchanga akiwa ametupwa na kufariki dunia katika eneo hilo na mtu asiyefaamika. Askari polisi wa kituo cha magomeni usalama wakiwa katika eneo ambalo ametupwa mototo mchanga akiwa amefariki kwa ajili yakumchukua kumpeleka sehemu husika Wakazi wa eneo la magomeni zilipovunjwa nyumba za( KOTA) jijini Dar

RATIBA YA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO ALIYEFARIKI JANA

$
0
0
Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hospitali ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production.  Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri. <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images