Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Yazifungia benki tano kuuza na kununua dola.....Barclays, Exim Watoa Ufafanuzi

$
0
0
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezifungia kwa mwezi mmoja benki za kibiashara tano kutojihusisha na ubadilishaji wa fedha za kigeni kutokana na sababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

Hatua hiyo ya BoT inatazamwa kama mwendelezo wa chombo hicho kikuu cha usimamizi wa fedha kudhibiti biashara ya utakatishaji na ubadilishaji wa fedha kiholela.

Takriban wiki mbili zilizopita BoT iliyafungia maduka kadhaa jijini Arusha kwa madai kuwa yanaendesha shughuli zake kinyume na sheria zinazosimamia biashara hiyo, baada ya hapo ilitangaza kuwa huduma za ubadilishaji fedha zitapatikana katika hoteli za kitalii, benki na ofisi zao.

Kwa mujibu wa taarifa ya BoT, benki zilizofungiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha kuanzia Novemba 23 ni Barclay, Exim, UBA, ABC na Azania.

“Hatua hii imetokana na kuvunjwa kwa taratibu na kanuni, waliofungiwa walikuwa aidha wanafanya biashara kinyume na viwango vinavyowekwa au walikuwa hawawasilishi taarifa za miamala waliyokuwa wanafanya,” alisema Alexander Mwinamila ambaye ni mkurugenzi wa masoko ya fedha wa BOT.

Aliongeza kuwa hatua iliyochukuliwa inalenga kusimamia kanuni na taratibu za soko la ubadilishaji fedha za kigeni kwa mujibu wa sheria za nchi hii.

Barclays Tanzania na Exim Wametoa ufafanuzi hapo chini



Tazama Hapa Mapingamizi Matatu Yaliyotolewa na Upande wa Jamhuri Katika Rufaa ya Freeman Mbowe na Ester Matiko

$
0
0
 Upande wa Jamhuri katika rufaa ya dhamana ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko umepinga rufaa hiyo na kutoa sababu za kufanya hivyo.

Jamhuri imeweka pingamizi la awali ikiwasilisha hoja tatu za kutaka rufaa hiyo itupiliwe mbali bila hata kusikiliza msingi wake.

Katika hoja ya kwanza, Wakili wa Serikali Mkuu, Dk Zainabu Mango amesema kuwa taarifa ya kusudi la kukata rufaa si sahihi.

Amesema kifungu cha sheria kilichotumika katika taarifa ya kusudio la kukata rufaa hakiipi Mahakama mamlaka ya kusikiliza rufaa hiyo kwa sababu siyo sahihi, hivyo inapaswa kutupiliwa mbali.

Katiika hoja ya pili, Wakili wa Serikali, Wankyo Simon amesema rufaa hiyo haijakidhi matakwa ya kisheria kifungu cha 362 (1) kuhusu mwenendo wa shauri kuambatanishwa katika rufaa.

Amesema mwenendo wa mambo mengi yaliyotokea siku za nyuma tangu kesi ya msingi ilipofunguliwa ambazo Mahakama ingezipata zingesaidia kuiongoza vyema Mahakama kutenda haki.

Amesema masharti ya dhamana ambayo kwa mujibu wa kifungu hicho yanaweza kukatiwa rufaa lakini tangu yalipotolewa kati ya Machi na Aprili mwaka huu hayajawahi kukatiwa rufaa, kuwasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa wala kuomba kuongezewa muda wa kukata rufaa.

Wakili Nchimbi amesema kwa hali hiyo inaonyesha kuwa wakata rufaa waliridhika na masharti hayo na hivyo haiwezekani kuja kuyaibua leo.

Baada ya hoja hizo, Mahakama kuu imesema  Kesho November 30, 2018  itatoa  uamuzi kama itatengua uamuzi wa Mahakama ya Kisutu ama kukubali .
 
Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai na Matiko wamekata rufaa Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana katika kesi ya jinai inayowakabili mahakamani hapo.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa DAR ANAPATIKANA MBAGALA ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,

Majeruhi wa Ajali Iliyoua Watu 16 Tarime Kutibiwa na Serikali

$
0
0
Serikali ya Tanzania imesema itagharamia matibabu ya majeruhi watatu wa ajali iliyohusisha mabasi mawili aina ya Toyota Hiace iliyosababisha vifo vya watu 16.

Mbali na kugharamia matibabu hayo, pia mkemia mkuu wa Serikali ataongoza kazi ya uchunguzi wa vinasaba kwa ajili ya kuwatambua marehemu wa ajali hiyo.

Ajali hiyo ilitokea Jumatatu wiki hii katika kijiji cha Komaswa wilayani Tarime baada ya mabasi hayo yanayofanya safari zake kati ya Musoma-Tarime, Tarime- Rorya kugongana uso kwa uso na kuwaka moto.

Akizungumza jana katika mazishi ya pamoja ya miili 14 ambayo haikutambulika kati ya 16 ya ajali hiyo katika kijiji cha Komaswa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema majeruhi watatibiwa hospitali yoyote nchini kulingana na maelezo ya madaktari.

Kuhusu uchunguzi wa vinasaba, Ummy alisema wizara yake imeamua kumleta mkemia mkuu kuhakikisha utambuzi wa miili ya marehemu unafanyika kwa haraka na kwa uhakika zaidi.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola alisema asilimia 80 ya ajali zinazotokea nchini husababishwa na uzembe hasa wa madereva na amewataka kuwa makini wanapotekeleza majukumu yao. Akizungumzia ajali hiyo alisema ingawa uchunguzi bado unafanyika, taarifa za awali zinaonyesha kuwa siku ya tukio kulikuwa na mvua kubwa pamoja na ukungu hivyo upo uwezekano wa madereva hao kuwa walishindwa kuona mbele na magari hayo kugongana uso kwa uso.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima alisema Serikali imetoa ubani wa Sh300,000 kwa kila familia iliyopoteza ndugu katika ajali hiyo.

Mkazi wa Kijiji cha Komaswa, Nyange Chacha aliyesaidia kuwaokoa majeruhi wa ajali hiyo alisema alitumia panga kukata kamba zilizokuwa zimefungwa katika moja ya magari hayo, kufanikiwa kuwatoa abiria wanne.

Rudisha Heshima ya Ndoa Yako.....Pata Tiba Bora ya Tatizo la Nguvu za Kiume

$
0
0
Wanaume wengi hawawaridhishi wake au wapenzi wao kwa kutokuwa na nguvu za kiume au uume mdogo? 

Kawaida mwanamke huwa anachukua dakika saba 7 adi kumi 10 ili aweze kufika kileleni na wakati wanaume wengi kwa sasa hutumia dakika tatu 3 hadi tano 5 ameshafika kileleni , hapo utagundua kabisa mke au mpenzi wako hujamtendea haki yake. Dr Nyalobi  anakuletea dawa imara na yenye nguvu tatu?

Simpo power; Hutibu matatizo yafatayo;

1.itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15-20 kwa tendo la kwanza

 2. itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi mara nne 

3 Huimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa 

4 Hutoa uchovu pale umalizapo kufanya tendo

 Je kwa nini uzidi kuona aibu pale ukutanapo na mpenzi wako kwa sabubu uume wako mdogo na mwembamba? 

Promix; hii ni dawa ya kuongeza uume saizi upendayo.Dawa zetu ni za mitishamba na hazina madhara yoyote na ni tofauti na ulizowai kutumia ata wazee hutumia 

Mkuya; hii ni dawa ya kisukari dozi siku 21 

Mwaru; hii ni dawa ya uzazi hufungua mirija ya uzazi ata kama uzazi umefungwa

Markusi; ni dawa ya presha zipo dwa za korodani kuvimba,, vindonda vya tumbo, kupunguza kitambi, na minyama uzembe 

Fika ofisini kwetu Buguruni Malapa na Mwanza yupo wakala wetu au piga simu 0752348593 -Dokta Nyalobi

Huna Sababu Ya Kuaibika tena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Na Mvuto Wa Mapenz

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0744391089  / 0653182109

Waziri Ummy Aagiza Hospitali Zote Za Rufaa Za Mikoa Kutoa Matibabu Ya Kinywa Na Meno.

$
0
0
Na WAMJW - MARA.
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amemwagiza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya kuhakikisha kuwa kabla ya March 30, 2019 Hospitali zote za Mikoa kutoa Huduma za matibabu ya kinywa.

Ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Madaktari wa Kinywa wenye lengo la kujadili njia bora za kuboresha huduma za Afya ya kinywa na meno na namna ya kuikuza kada hiyo, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Waziri Ummy alisema kuwa "hatuwezi kusema kuwa Afya ya kinywa na meno ni muhimu alafu leo ni Hospitali za rufaa za Mikoa 10 kati ya 28 ndio zinavitendea kazi" alisema Waziri Ummy.Pia Waziri Ummy aliwahasa Wananchi kupambana dhidi ya magonjwa ya kinywa na meno kwa kujiepusha matumizi ya sigara, tumbaku, unywaji wa pombe kupita kiasi, ulaji wa vyakula na vinywaji vyenye sukari.

"Magonjwa ya kinywa na meno yana visababishi vyake ikiwemo uvutaji wa sigara,sigara, tumbaku, unywaji wa pombe kupita kiasi, ulaji wa vyakula na vinywaji vyenye Sukari" alisema Waziri Ummy.Kwa upande mwingine Mhe. Ummy amewataka madaktari wa kinywa na meno kuwahamasisha wananchi ili kufahamu umuhimu wa kupiga mswaki japo mara mbili kwa siku ili kujiepusha katika hatari yakupata magonjwa ya kinywa na meno.

"Mnatuambia kwamba angalau tupige mswaki mara mbili kwa siku, hapo mnakazi kubwa sana ya kutushawishi, hivyo niwaombe tushirikiane nasi ili kuhakikisha kwamba tunaongeza elimu na hamasa kwa jamii katika suala hiki" alisema Waziri Ummy.

Akiwasilisha taarifa mbele ya mgeni rasmi, Rais wa chama cha Madaktari wa kinywa na meno Tanzania Dkt. Mwakitobe amesema kuwa idadi ya Wataalamu wa Afya ya kinywa na meno bado ni ndogo sana ukilinganisha uwiano wa watoa huduma na wagonjwa hali inayopunguza ufanisi kutokana na kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika.

"Idadi ya Wataalamu wa Afya ya kinywa na meno bado ni ndogo sana ukilinganisha uwiano wa watoa huduma na wagonjwa. Wataalamu hao no pamoja na dental therapist, Madaktari wasaidizi wa kinywa na Meno, Wataalamu wa maabara wa kinywa na meno, mafundi wa vifaa na vifaa tiba vya kinywa na meno, Madaktari wa kinywa na meno na Wabobezi kwenye maeneo hayo ya kinywa na meno" alisema Dkt. Mwakitobe.

Kwa upande mwingine Dkt. Mwakitobe alisema kuwa Huduma za msingi za kinywa na meno zinahitaji ushiriki mkubwa wa kila mtaalamu wa fani hiyo ya kinywa na meno, pamoja na kundi la wauguzi wa kinywa na meno, ambapo kwa sasa nchi yetu haina chuo kinachotoa mafunzo ya fani ya kinywa na meno.

Aidha, Dkt. Mwakitobe alisema kuwa idadi ya Madaktari bingwa wa kinywa na meno bado no chache na licha ya uhaba uliopo bado hawapati kipaumbele cha kujiendeleza

"Katika kipindi cha masomo cha mwaka 2018/2019 kipaumbele hakikutolewa kwa waombaji wanaodahiliwa katika fani za uzamili kwenye masomo ya Afya ya kinywa na meno kwani kada hiyo ni muhimu na inasaidia wananchi kama kada nyingine za Afya" alesema Dkt. Mwakitobe.

Lukuvi atangaza kiama wenye viwanja visivyoendelezwa Dar

$
0
0
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametangaza kiama kwa walionunua viwanja katika mradi wa viwanja 20,000  jijini Dar es Salaam, akisema visivyo na uzio mwisho wa kuvimiliki ni Desemba 2018.

Amesema ukifika muda huo vitakavyobainika kutoendelezwa Serikali itavichukua bila fidia yoyote.

Viwanja hivyo ni vile vilivyopo maeneo ya Bunju, Mpiji, Toangoma,  Mwanagati, Kibada, Gezaulole Mwongozo, Mbweni na Mbweni Malindi jijini Dar es Salaam.

Lukuvi ametoa kauli hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo Alhamisi Novemba 29, 2018 jijini Dar es Salaam.

Amesema mradi wa viwanja hivyo ulisimamiwa na Serikali na viliuzwa kwa wahusika na kwamba zaidi ya asilimia 50 havijajengwa wala kuendelezwa.

"Wale wachache waliojenga hawakai kwa raha kuna watu wanawavamia na kuwasumbua, hivyo watakwenda kuvifuatilia na kujua wamiliki ni kina nani,” amesema.

"Nitamsamehe yule tu aliyeweka angalau uzio, tofauti na hapo Desemba mwisho wao navichukua.”

Waziri Mkuu: Serikali Kuwanufaisha Wachimbaji Wadogo

$
0
0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananchi hususani wachimbaji wadogo wadogo wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.

Hivyo, Waziri Mkuu amewashauri wachimbaji wadogo wadogo wajiunge katika vikundi ili Serikali iweze kuwapatia misaada mbalimbali ikiwemo mkopo ili waongeze mitaji. 

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Novemba 29, 2018) alipozungumza na wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi jengo la halmashauri ya Mbogwe.

Amewahamasisha wachimbaji hao watumie taasisi mbalimbali za kifedha na kukopa fedha na kununua mitambo ya uchimbaji na uchenjuaji kwa lengo la kujiongozea tija. Waziri Mkuu ambaye yuko mkoani Geita kwa ziara ya kikazi, amesema wachimbaji wadogo wadogo waendelee kuwa na imani na Serikali yao, kwa kuwa imewapangia mambo mazuri.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewahakikishia wananchi wa wilaya hiyo kwamba Serikali imedhamilia kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama. Amesema katika kumaliza tatizo la maji Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni moja kwa ajili ya  uchimbaji visima virefu 11 na visima vifupi 43 katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.

Amesema Serikali ya Awamu ya Tano ina mikakati ya kumaliza tatizo la maji nchini kupitia Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani. Waziri Mkuu amesema kampeni hiyo inalenga kuhakikisha wananchi katika maeneo yote wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na maeneo yao ya makazi.

“Serikali imedhamiria kuhakikisha wananchi wote nchini wakiwemo na wa wilaya ya Mbogwe wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na makazi yao.” Kuhusua suala la wanafunzi kukatishwa masomo kwa kupata ujauzito wilayani Mbogwe, Waziri Mkuu ameitaka jamii kukemea vitendo hivyo. Wanafunzi 54 wamepata ujauzito.

Amesema katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Septemba mwaka huu wanafunzi 20 wa shule za msingi na 34 wa sekondari wameacha shule baada ya kupata ujauzito. “Hali ni mbaya, Mbogwe inatia aibu kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto waliopewa ujauzito. Naagiza msiwaguse wanafunzi wa kike ni moto utawaunguza. Tukikukamata jela miaka 30.”

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko amesema wilaya ya Mbogwe inafanya vizuri katika sekta ya madini, ambapo ina viwanda 27 vya kuchenjulia dhahabu. Amesema katika kuhakikisha wachimbaji wadogo wadogo wanawezeshwa kufanya shughuli zao vizuri, Serikali imetenga eneo la hekta 547.64 kwa ajili ya kuwagawia wachimbaji hao.

Akizungumzia kuhusu leseni za uchimbaji mkoani Geita amesema kuna jumla ya leseni 971 za uchimbaji mdogo wa madini na kati yake zinazofanyakazi ni leseni 184 tu.Waziri huyo amewataka wachimbaji wadogo wadogo waendelee na shughuli zao za uchimbaji kwenye maeneo yao waliyopangiwa na kwamba hakuna atakayewaondoa.

Awali, Waziri Mkuu alikagua na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa ofisi ya halmashauri ya wilaya ya Mbogwe katika kijiji cha Kasosobe. Ujenzi huo utagharimu sh. bilioni 4.3. Pia alikagua mradi wa uboreshaji miundombinu na kuzindua maabara ya Kituo cha Afya Masumbwe.

Katibu Mkuu Meja Jenerali Jacob Kingu ataka Magereza na Polisi kuondoa msongamano wa wafungwa magerezani

$
0
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu, amewataka watendaji wa Idara ya Huduma za Uangalizi , Jeshi la Polisi na  Magereza kushirikiana kwa pamoja ili kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani.

Meja Jenerali Kingu ameyasema hayo leo wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Maafisa Wafawithi wa Mikoa waliokutana katika Ukumbi wa Magadu Officers Mess mjini Morogoro, kwa lengo la kutathmini utendaji kazi wao zikiwemo mafanikio pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu yao.

Meja Jenerali Kingu amesema kuwa, Idara ya Huduma za Uangalizi zamani ilikuwa ikiitwa Huduma kwa jamii ambayo ndio inayohusika na utoaji wa adhabu mbadala wa vifungo Magerezani, imeanzishwa ili kuhakikisha kuwa wafungwa wenye makosa madogo yasiyo hatarishi kwa jamii na taifa, wanatumikia adhabu zao kwenye jamii nje ya magereza.

“ Kwa  kufanya hivyo kungesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongamano  Magerezani hivyo kuipunguzia  Serikali  gharama za kuwahifadhi  wafungwa  Magerezani”. Amesema Meja Jenerali Jacob Kingu.

Meja Jenerali Kingu amewataka watendaji hao wa Idara ya Huduma za Uangalizi kubainisha changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao ili ziweze kutatuliwa kwa haraka, jambo litakalosaidia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi hivyo kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani.

Akizungumzia suala la nidhamu kazini, Katibu Mkuu huyo amesema hatosita kumchukulia hatua mtumishi yeyote yule atakayebainika  kwenda kinyume  na maadili ya utumishi wa Umma na sheria za nchi.

Katibu Mkuu huyo amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ungalizi Aloyce Musika kupeleka watendaji katika mikoa mitatu  Lindi, Katavi na Ruvuma ili wakazi wa mikoa hiyo waweze pia kupata huduma zinazotolewa na Idara hiyo, kwani kwa sasa Idara hiyo ina watendaji wawakilishi katika Mikoa 23 hapa Tanzania.

Na Mwandishi wetu, Morogoro

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu, amewataka watendaji wa Idara ya Huduma za Uangalizi , Jeshi la Polisi na  Magereza kushirikiana kwa pamoja ili kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani.

Meja Jenerali Kingu ameyasema hayo leo wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Maafisa Wafawithi wa Mikoa waliokutana katika Ukumbi wa Magadu Officers Mess mjini Morogoro, kwa lengo la kutathmini utendaji kazi wao zikiwemo mafanikio pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu yao.

Meja Jenerali Kingu amesema kuwa, Idara ya Huduma za Uangalizi zamani ilikuwa ikiitwa Huduma kwa jamii ambayo ndio inayohusika na utoaji wa adhabu mbadala wa vifungo Magerezani, imeanzishwa ili kuhakikisha kuwa wafungwa wenye makosa madogo yasiyo hatarishi kwa jamii na taifa, wanatumikia adhabu zao kwenye jamii nje ya magereza.

“ Kwa  kufanya hivyo kungesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongamano  Magerezani hivyo kuipunguzia  Serikali  gharama za kuwahifadhi  wafungwa  Magerezani”. Amesema Meja Jenerali Jacob Kingu.

Meja Jenerali Kingu amewataka watendaji hao wa Idara ya Huduma za Uangalizi kubainisha changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao ili ziweze kutatuliwa kwa haraka, jambo litakalosaidia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi hivyo kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani.

Akizungumzia suala la nidhamu kazini, Katibu Mkuu huyo amesema hatosita kumchukulia hatua mtumishi yeyote yule atakayebainika  kwenda kinyume  na maadili ya utumishi wa Umma na sheria za nchi.

Katibu Mkuu huyo amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ungalizi Aloyce Musika kupeleka watendaji katika mikoa mitatu  Lindi, Katavi na Ruvuma ili wakazi wa mikoa hiyo waweze pia kupata huduma zinazotolewa na Idara hiyo, kwani kwa sasa Idara hiyo ina watendaji wawakilishi katika Mikoa 23 hapa Tanzania.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Akagua Mendeleo ya Maboresho ya Uwanja wa Taifa kwa Ajili Mashindano ya AFCON U17

$
0
0
Na Eliphace Marwa- WHUSM, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Susan Mlawi amemtaka mkandarasi anayeboresha Uwanja wa Taifa kuhakikisha anamaliza kazi kwa wakati kuelekea mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 yanayotarajiwa kufanyika mapema mwaka 2019.


Bibi. Susana ametoa kauli hiyo hivi karibuni Jijini Dar es salaam alipotembelea uwanja huo lengo ikiwa ni kuangalia na kukagua maboresho yanayoendelea katika uwanja huo chini ya usimamizi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co Ltd.


“Ni heshima kubwa tumepewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika kwa kuwa waandaaji na wenyeji wa mashindano haya makubwa ni vema mkamilishe kazi hii kwa wakati ili kufanikisha mashindano hayo” alisema Katibu Mkuu Bibi. Susan Mlawi.

Aidha kwa upande wa Mkandarasi toka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co Ltd. Bw. Zhang Jiawa amemuhakikishia Katibu Mkuu huyo kuwa kazi hiyo ya maboresho itakamilika kwa wakati na kuahidi kuwa anatarajia kukabidhi kazi hiyo mapema mwanzoni mwa mwaka 2019 kabla ya kuanza kwa mashindano hayo.

“Nahaidi kuwa ifikapo mwezi Februari mwaka 2019 kazi uliyonipa ya kuboresha uwanja huu itakuwa imekamilika , tayari kwa kufanya mashindano hayo” alisema Bw. Zhang Jiawa.

Naye Meneja wa Uwanja wa Taifa Bw. Nsajigwa Gordon amemuhakishia Katibu Mkuu kuwa anaridhishwa na kasi ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika uwanja huo.

“Naomba nikuhakikishie Katibu Mkuu kuwa kazi inayoendelea kufanyika inaridhisha na mkandarasi anafanya kazi kwa kasi ili kuweza kuimaliza kwa wakati na kuweza kufanikisha mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 yatakayofanyika mapema mwakani”, alisema Bw. Nsajigwa.

Mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 yanatarajiwa kufanyika hapa nchini mapema mwezi Aprili mwakani na kushirikisha nchi nane

Serikali Ya Norway Yaridhishwa Na Ukarabati Wa Vituo Vya Kuzalisha Umeme Nchini

$
0
0
SERIKALI ya Norway imefurahishwa na jitihada zilizofanywa na serikali nchini katika kusimamia fedha walizotoa mwaka 1995 kugharamia miradi ya ukarabati wa vituo vya kuzalisha umeme vilivyopo hapa nchini.

Akizungumza leo baada ya kutembelea kituo cha New Pangani Falls, katika ziara yake ya kukagua miradi wanayoifadhili, Waziri wa Maendeleo nchini Norway Nicolai Astrup, alisema walitoa fedha hizo kwa serikali kutokana na uhusiano uliopo baina ya mataifa hayo ikiwemo usimamizi mzuri uliofanywa na serikali ya awamu ya tano.

Waziri huyo pia alisema kuwa serikali yake imeongeza mkataba wa kusaidia uwekaji wa nishati ya umeme katika maeneo ya vijiji kutoka mwaka 2020-2021 baada ya kuridhika na usimamizi mzuri uliofanywa katika ukarabati wa vituo hivyo.

“Nipo hapa Pangani Falls, Norway na Tanzania wanahusiano muda mrefu, nimekuja kufuatilia matokeo ya msaada tuliotoa mwaka 1995, kwa vituo vya kuzalisha umeme ‘Hydro Power Plants’,” alisema.

Baadaye akizungumza na wananchi wa mji wa Bagamoyo wilayani Korogwe Waziri huyo alisema kwamba nishati ya umeme ni muhimu katika maendeleo ya wananchi katika kufanya shughuli zao za kiuchumi na kwamba serikali yao itanedelea kushirikiana na Tanzania kusaidia nishati hiyo.

Serikali ya Norway ilitoa kiasi fedha za Kimarekani dola milioni 126 awamu ya kwanza na kisha awamu ya pili ya ukarabati wa vituo vya kuzalisha umeme vya New pangani Falls, Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Mtera ukarabati uliomalizika Aprili mwaka huu walitoa jumla ya shilingi bilioni 21.

Awali akizungumza Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu alisifu juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya Norway kuwekeza kwenye sekta ya nishati kwa nchi hatua ambayo imewezesha maeneo mengi kunufaika na huduma hiyo muhimu.

Licha ya kufanyia ukarabati lakini pia walishiriki katika ujenzi kwa kutoa zaidi ya asilimia 42 pamoja na Serikali ya Sweeden kwenye ujenzi wa kituo hicho hatua ambayo imesaidia kuweza kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.

Alisema serikali ya Norway ni wadau wakubwa kwenye utekelezaji wa umeme vijijini na mkoa wa Tanga ni miongoni mwa mikoa iliyopata fursa ya uwepo wa vijiji vinavyofadhiliwa na katika mradi wa umeme vijijini ujazilizi.

“kwa kweli kama Naibu Waziri naishukuru sana Serikali ya Norway kwa jitihada kubwa wanazofanya kwa uwekezaji kwenye sekta ya nishati katika nchi yetu sio suala la kupeleka umeme vijijini pekee lakini wamekuwa wakiwekeza kwenye sekta za mafuta na gesi”Alisema Naibu Waziri Mgalu.

Aliongeza kuwa licha ya uwekezaji wao katika maeneo hayo lakini pia katika sekta ya nishati jadidifu kwa kuangalia maeneo yaliyopo mbali kuweza kuyawekea miundombninu ya umeme ambao umesaidia kuchochea kazi ya ukuaji wa maendeleo kwenye baadhi ya maeneo.

“Sisi tunaona katika hili wametupa fursa na wamehaidi kuendelea kushirikiana na serikali kwenye maeneo mbalimbali hasa ya vijijini kuhakikisha yanapata nishati ya umeme na wamefadhili mpaka 2021 kuona vijiji vinapata umeme”Alisema.

Ziri Lugola Awataka Majambazi Wajisalimishe Pamoja Na Silaha Zao, Polisi Hawatalala Mpaka Jambazi Wa Mwisho Ametiwa Mbaroni

$
0
0
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka majambazi popote walipo nchini kujisalimisha pamoja na silaha zao wakati Polisi wakiendelea na msako mkali mpaka jambazi wa mwisho anatiwa mbaroni. Lugola amesema Jeshi la Polisi lipo imara na litawasaka majambazi hao usiku na mchana popote walipo na litahakikisha nchi inaendelea kuwa salama na wananchi wema wakiendelea kufanya shughuli zao za maendeleo kwa kulijenga Taifa. 

Akizungumza na mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kasahunga, Kata ya Neluma, Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, leo, Lugola amesema usalama wa nchi hauchezewi na mtu yeyote na watu wasijaribu kutikisa kiberiti kwa kulichezea Jeshi la Polisi. Lugola amesititiza kuwa, Serikali ya Awamu ya Tano ambayo inaongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ujambazi hauna nafasi na pia amewataka majambazi hao wafanye kazi nyingine ya kuwaingizia kipato kwa njia halali.

“Msijaribu kukitikisa kiberiti, Serikali ipo macho muda wote, Jeshi lenu lipo imara, majambazi wanaofanya uvamizi, tutahakikisha tunawasaka popote walipo jambazi mmoja baada ya mwingine, hatutalala wala kupumzika hadi jeshi letu litakapomtia mbaroni jambazi wa mwisho,” alisema Lugola.
Kutokana na msako huo, Lugola alisema majambazi hao wajisalimishe wenyewe pamoja na dhana zao kwenye kituo cha polisi wanachoona kipo jirani na wao, vinginevyo hawatasalimika na hawatabaki salama.

“Kama kuna ndugu zetu, watoto wetu, majirani zetu tuwaambie serikali hii ya magufuli nafasi hiyo ya kufanya ujambazi haipo, nimepata taarifa za uhalifu, wizi wa mifugo na uvamizi wa aina mbalimbali, tuone taarifa polisi ili tuweze kuwatia mbaroni majambazi hao kwa wale wote ambao mnahisi wanajihusisha na uhalifu, toeni ushirikiano bila woga ili meneo yetu yazidi kuwa na amani,” alisema Lugola.

Hata hivyo, Lugola alisema ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Wizara yake ambavyo anavisimamia wapo baadhi ya askari wachache ambao wanajihusiha na vitendo vya rushwa na alishatoa onyo mara nyingi, hivyo atakao wakamata hatawaonea huruma. “Kuna baadhi ya mazingira ambayo yanachangia rushwa zaidi ndani ya Jeshi la Polisi ikiwemo kutokutolewa kwa dhamana katika siku za mapumziko Jumamosi na Jumapili, baada ya kuona kunamianya ya rushwa nikatangaza nchi nzima vituo vyote vya polisi vitoe dhamana saa 24 na siku 365 na robo, pia kutowekwa mahabusu watuhumiwa ambao wanamakosa madogo madogo,” alisema Lugola.

Lugola anaendelea na ziara jimboni kwake ya kuhamasisha wananchi kuanza maandalizi ya kilimo pamoja na kuendeleza miradi ya maendeleo huku wakiendelea kuheshimu sheria za nchi.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Novemba 30

Polisi Dar Yaua Majambazi Hatari 6

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe Novemba 29, 201 katika maeneo ya Ubungo UFI kupitia Kikosi Kazi Maalum cha Kupambana na Ujambazi, lilifanikiwa kuwaua majambazi sita na kukamata silaha moja aina ya AK 47, risasi 11, kitambulisho chenye namba OP 0216239 kwa jina la THEOPHILI MANIRAKIZA mkazi wa Rukana Rugombo nchini Burundi na kitambulisho cha kazi kinachotumiwa na kikundi cha CNDD-FDD chenye jina hilo la Theopili Manirakiza katika majibizano ya risasi.

Majambazi hao waliuwawa baada ya mtego uliowekwa na askari kufuatia taarifa za watuhumiwa watatu waliokuwa wamekamatwa (WILLY IRAKOZES@Commando raia wa Burundi, JEAN MUGISHA raia wa Burudi na Mtanzania OMARY NASSORO) waliokuwa na bunduki tatu aina ya AK47 na magazine 08, risasi 217 na mabomu ya kutupa kwa mkono 8, ambao walipanga tarehe 29/11/2018 majira ya saa 10 :30 alfajiri kufanya tukio la kumpora mfanyabiashara aliyekuwa akisafiri kuelekea Morogoro akisadikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha fedha.

Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Kanda maalum inaeleza kuwa watuhumiwa hao walikamatwa baada ya kuwepo kwa matukio ya uhalifu yaliyotokea huko Mabibo External tarehe 03 Nov 2018 ambapo mfanyabiashara wa TIGOPESA/MPESA aliporwa Tshs. 50 milioni na huko Tegeta tarehe 15 Nov 2018 mfanyabiashara raia wa China ambaye aliporwa Tshs. 10 milioni.

Aidha jambazi huyu WILLY IRAKOZES@Commando amekuwa akitafutwa kwa kufanya matukio mbalimbali ya unyang’anyi wa kutumia silaha hasa katika tukio la kuvamia Benki ya NMB Temeke ambapo aliua askari wawili (02) na raia.

Tarehe 15 March 2011 akiwa anashikiliwa kituo cha Polisi Kagongwa Kahama kwa makosa mbalimbali yeye na wenzake walitoroka baada ya kuwaua askari polisi 02 na kutoroka na silaha mbili aina ya AK47.

Aidha matukio mengine waliyoshiriki ni pamoja na kuteka mgodi wa Tulawaka Geita mwaka 2011, kuvamia maduka ya kubadilishia fedha za kigeni huko Zanzibar, Mwaka 2012 walivamia kituo cha mafuta huko Kagera na kufanya mauaji, Pia walivamia maduka yaliyopo karibu na kituo cha Polisi Chato na hivyo kukishambulia kituo ili kurahisisha uporaji ambapo walipora Tshs,3 milioni na mwaka 2010 walivamia mgodi wa Nyamongo na kufanya mauaji ya askari 01 na kujeruhi wengine.

LAZARO B. MAMBOSASA-SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
29/11/2018

Dr.Mjukuu wa kushosha : Pata Tiba Asili ya Tatizo la Uzazi, Kutopata Hedhi kwa Mpangilio, Nguvu za Kiume, UTI Sugu

$
0
0
SIX(6) power; Ni dawa ya Nguvu za kiume inayofanya kuchelewa kufika kileleni dkk 30 Hadi 46 unaweza kurudia tendo utakavyo,pia inarutubisha mbegu za kiume kwa wasio na sifa ya kupata mtoto,dozi Ni siku sita mabadiliko masaa manne.Tumia six(6) power ndio kiboko wa yote usisubiri kuhadithiwa.

SHOOLA 4 POWER; Wenye maumbile madogo (KIBAMIA) inanenepesha na kurefusha uume,kama tatizo Ni la kuzaliwa siku 12 Kama Ni la ukubwani siku 6.

MBUKE; Dawa ya Uzazi kwa aliyefungwa na kutofanikiwa kupata mtoto,kwa asie pata hedhi kwa mpangilio mzuri tatizo huisha kabisaa..Ni ya unga.

LYONGO;dawa ya mvuto wa mapenzi Kama umeachwa yote yatakwisha aliembali atakuhudumia mwenza wako atarejea ndani ya SAA 12 hata Kama yupo mbali.

HOLAZA; Ni dawa ya kumaliza matatizo mengi mengi Kama kesi,dhuluma,kushindwa kuuza eneo nyumba na Kama biashara haziendi.

TALIGULA;dawa ya kufungua kitu kilichofungwa kuchawi,kimizimu,majini wabaya mashuleni,kutokupata ajira,kuoa au kuolewa na Safari zilizofungwa
 
KASELA;Ni kiboko ya kusafirisha mizigo na kufika salama..iwe majini,migodini pia katika kilimo na ufugaji.

DR.Mjukuu wa kushosha asema kwanini usumbuke na maradhi mwilini wakati tiba zipo?? ,Amini tiba asilia Sasa maradhi yako yatakwisha .

Je,wewe una maradhi gani mwilini mwako??

(1)Sukari ya kupanda na kushuka(TUNDWA)Ni ya unga inayochemshwa ,dozi Ni siku 20.

(2)Presha ya kupanda na kushuka(NGADA) ni dawa ya unga dozi siku 14

(3)maleria sugu(NINJIWE) dozi siku 8 unapona kabisa

(4)U.T.I sugu(GUMO)Dozi siku 4 habari kwisha kabisa.

(5)Typhoid sugu(IKWATA) Dozi siku 3

(6)Kifua kubana,moyo,Figo(LUGALA)dozi siku 7

(7)Tezi dume(Dozi siku 8 - unga),ngiri,busha bila operation (SALIUNGU)dozi siku 14

(8)Miguu kuwaka moto (JIMYA) dozi siku 6

(9) kilungulia,kwikwi(INJACHI)dozi masaa 6.

(10)msongo wa mawazo.

(11) vidonda vya tumbo (MPALALA) Dozi siku 7.

Hizo Ndizo Huduma Zitolewazo Na Nyingine Nyingi,usitume Meseji Wala Kubip,nahudumia Duniani Pote Ulipo.

Ofisi Zipo Katika Mikoa Miwili Shinyanga Wilaya Ya Kahama Na Dar Es Salaam Wilaya Ya Ilala..Sehemu Zingine Nasafirisha..niulize Kwa Mawasiliano Yafuatayo...

     0744 922 982
     0716 608 959
     0784 475 946.

Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yatenga Mamilioni Kuwezesha Ufugaji Nyuki Kisasa

$
0
0
NA LUSUNGU HELELA-GEITA
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imetenga kiasi cha Sh700milioni kwa ajili ya kuwawezesha wananchi  kufuga  nyuki kwa njia ya kisasa kwa mikoa nane.

Kauli hiyo imetolewa leo Mbogwe katika mkoa wa Geita na Naibu Waziri wa Maliasili na Utaii, Mhe,Constanine Kanyasu  wakati  akizungumza na wananchi  kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

 Ametaja baadhi ya   wilaya katika mkoa wa Geita zitakazonufaika na mradi huo kuwa ni wilaya ya Ushirombo pamoja na Mbogwe.

Kufuatia hali hiyo, Mhe. Kanyasu  amezitaka wilaya hizo kujiepusha na ukataji miti ovyo kwa  vile nyuki ni rafiki wa mazingira  badala yake zijikite zaidi  katika kupanda miti.

Akizungumzia kuhusu fungu hilo, Mhe, Kanyasu amewataka wakazi wa wilaya hizo wajiunge  katika vikundi  ikiwa ni moja ya vigezo vitakavyozingatiwa katika utoaji wa pesa hizo  kwa ajili ya ufugaji nyuki kwa njia ya kisasa.

Aidha,Naibu Waziri huyo amesema  wafugaji hao wataokakuwa wamejiunga katika vikundi hivyo watapatiwa elimu ya ufugaji nyuki kwa njia ya kisasa pamoja na kuwezeshwa pesa zitakazotumika kwa ajili ya kununulia  mizinga ya kisasa itakayosaidia kuzalisha mazao ya nyuki yatakayokidhi soko la kimataifa,

Ameongeza kuwa baadhi ya pesa hizo zitatumika katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo vitakavyowasaidia wafugaji hao  kuchakata na kufungasha mazao ya asali yenye viwango bora duniani.

Katika hatua nyingine, Mhe. Kanyasu amewahakikishia wananchi hao kuwa tayari Wizara imepata soko la uhakika la  asali watakayoizalisha.

Ameongeza kuwa licha ya nchi ya  Tanzania kusifika katika uzalishaji  wa asali kwa wingi,,Wafugaji walio wengi wamekuwa wakifuga nyuki kimazoea

Kufuatia hali hiyo amesema Wizara imedhamiria kuleta mapinduzi katika uzalishaji wa mazao ya nyuki kwa kuwawezesha wananchi kufuga kisasa hali itakayosaidia wananchi kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kuhifadhi misitu.

Lukuvi Aipiga Kufuri Idara ya Ardhi Dar....Aagiza Watumishi Wote Warudishwe Wizarani Kupangiwa Majukumu Mengine

$
0
0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amefanya uamuzi mgumu kwa kuifuta Idara ya Ardhi iliyokuwa katika ofisi za Jiji la Dar es Salaam na kuamuru watumishi wote waliokuwa katika idara hiyo, kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine.
 
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya ziara katika ofisi za Jiji jana, Lukuvi alisema Idara ya Ardhi ya Jiji imekuwa chimbuko la utapeli wa ardhi katika jiji hilo.

“Hapa ndio chimbuko la utapeli wa ardhi, wizi, kuonea maskini hasa viwanja vya Mbezi na Tegeta, kwa kupitia ofa, ilimradi mtu ajifunze kuandika mwaka wa nyuma sana,” alisema Waziri Lukuvi.

Alisema mawasiliano ya ardhi ya Dar es Salaam yatafanywa na manispaa husika kupitia mkoani hadi wizarani na siyo jiji tena.

“Hawa wa Jiji wataendelea kushughulika na shughuli zao nyingine tu walizopangiwa kwa sababu hawamilikishi, hawana ardhi, hawapangi, hawapimi, kwa hiyo watumishi wote waliopo hapa wa sekta ya ardhi, kesho (leo) wakaripoti kwa Kamishna wa Kanda, watapangiwa kazi nyingine na hata ofisi ya masijala ya hapa naifunga leo (jana),” alisema Lukuvi.

Alisema ili kupunguza migogoro ya ardhi, wizara inatarajia kuweka nyaraka zote za ardhi katika Jiji la Dar es Salaam katika mfumo wa kielektroniki kuanzia mwezi ujao.

“Tangu nimeanza kazi hii mwaka 2015 katika Wizara hii ya Ardhi, nimekuwa napambana sana na matapeli na udanganyifu wa ardhi katika Mkoa wa Dar es Salaam, lakini leo nimefikia kwenye chimbuko la udanganyifu mkubwa linatoka kwenye ofisi ya Jiji, nyaraka za jiji ndizo zinasababisha udanganyifu,” alisema Lukuvi na kuongeza:

“Jiji la Dar es Salaam halina ardhi, halipangi, halipimi, halimilikishi, halikusanyi kodi, lakini bado wanaendelea kutoa ofa za umiliki wa ardhi na ndizo zinatusumbua sana, na inawezekana hazitolewi na Jiji, lakini huko mtaani zinatolewa sana, wakati hawana mamlaka ya kufanya hivyo,” alisema.

Alisema ofa hizo hazina uhalali wa kumilikisha ardhi, lakini bado zimeendelea kutolewa, hivyo kuongeza migogoro katika ardhi.

Alisema kuanzia sasa mtu yeyote ambaye anamiliki ardhi kupitia ofa hiyo haitatambulika tena na kuwaomba maofisa ardhi katika Mkoa wa Dar es Salaam kutozitambua zinazokuwa na mhuri wa Jiji hilo.

“Kuna watu wamekaa mkao wa kula hapa Dar es Salaam, kazi ni kuchapisha ofa za Jiji kwa viwanja ambavyo vimeshamilikishwa na mamlaka za Manispaa, ilimradi tu kutuchanganya.

"Na nilishatoa muda katika kipindi cha miaka miwili iliyopita kwamba kila mtu anayemiliki ardhi kwa ofa kufanya mpango wa kupata hati, wale ambao bado wamebaki na makaratasi haya ya hati imekula kwao, hakuna ofisa ardhi atakayepokea ofa kwa sasa, na mtu asinunue kiwanja chenye ofa haipo,” alisema Lukuvi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Jiji hilo, Sipora Liana, alisema wameshaanza kuhamisha nyaraka za ardhi kupeleka katika wilaya hizo.

“Kwa sasa tunapeleka mafaili yenye nyaraka za ardhi kila sehemu yanakohusika kama ni Temeke, Kinondoni, Ilala na Kigamboni,” alisema Liana.

Serikali ya Misri yawasilisha andiko la kwanza la nia ya kuwekeza nchini

$
0
0
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Misri hapa nchini Bibi. Nevine El-Saeed pamoja na kupokea andiko la awali la nia ya serikali ya Misri kutaka kuwekeza nchini katika sekta ya mifugo.

Kaimu Balozi wa Misri ambaye ameambatana na Mkuu wa Idara ya Uchumi katika ubalozi huo Bw. Mohamed Ibrahim katika ofisi ndogo za wizara ya mifugo na uvuvi zilizopo jijini Dar es Salaam, amesema serikali ya nchi hiyo inahitaji kuwekeza ili kufungua fursa mbalimbali ambazo zitapatikana kupitia uwekezaji huo.

Akizungumza na maafisa hao pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao hicho, Katibu Mkuu Ole Gabriel amesema nchi ya Tanzania ina mifugo mingi na kwamba ikitumika vizuri kupitia uwekezaji, ambapo nia ya serikali ya awamu ya tano imejikita zaidi kupitia kufufua na kuanzishwa kwa viwanda vipya kutaongeza fursa nyingi zaidi zikiwemo za ajira.

Aidha, amesema nia yake ni kuhakikisha anasimamia nia ya serikali ya Misri kufanikisha uwekezaji huo ambao anasema wizara yake itahakikisha inaweka mazingira yatakayofanya uwekezaji huo uwe endelevu na kuleta tija kwa nchi zote mbili.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na wakuu wa idara zilizo chini ya ofisi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wawakilishi kutoka Dawati la Sekta Binafsi, Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Kituo cha Kuendeleza kilimo Nyanda za juu Kusini (SAGCOT) na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki.

Ofa! ofa!, Viwanja vimeshuka bei: Bunju na Mapinga (Baobab Sec)

$
0
0
Ofa! ofa!, Viwanja vimeshuka bei: Bunju na Mapinga (Baobab Sec)

Kwa Mapinga, bei imeshuka kutoka tsh 15,000 mpaka tsh 12,000 kwa sqm moja. Hapa vipo viwanja vya (mita 20/20 = 4.8 mil), (mita 20/30 = tsh 7.2 mil), (mita 20/40 = tsh 9.6 mil), (mita 35/40 = tsh 16.8 mil ), (mita 30/50 = tsh 18 mil), (mita 40/50 = tsh 24 mil), (mita 40/60 = tsh 28.8 mil) na (mita 50/60 = tsh 36 mil )

Viwanja vyote viko umbali wa km 3 tu kutoka main road (Bagamoyo Road) na Luksa kulipa kwa awamu. Huduma za maji na umeme ziko karbu sana.

Kwa Bunju, tumeshusha bei kutoka tsh 35,000 mpaka tsh 30,000 kwa sqm moja. Bunju vipo viwanja vya (mita 20/30 = tsh 18 mil), (mita 30/40 = tsh 36 mil) na (mita 35/50 = tsh 51 mil)

Ukipata ujumbe huu mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.
Hakuna dalali, contact mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709, email: menejadar@yahoo.com
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images