Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mume wa Jack Patrick alinasa penzi la Miss Tanzania 2011, Salha Israel.

$
0
0
Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel.  ********** Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif Fundikira ‘Tifu’ anadaiwa kumnasa kimahaba Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Tifu, wawili hao hivi sasa wako kwenye ‘

Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 5 April 2014

$
0
0
Magazeti ya  leo  Jumatatu  ya  tarehe  5  April  2014

SMS za Ngono za Lulu zanaswa....Alikuwa akimtumia kigogo mume wa mtu, Mke azinasa na kuziweka hadharani..."Mimi nina utumbo, we njoo na ndizi, love youu"

$
0
0
  "Ni  muda  mrefu  nimekuwa  nikifuatilia  mienendo  ya  mume  wangu  kutokana  na  tabia  yake  kubadilika  sana  siku  za  hivi  karibuni, nikabaini  kuwa  kuna  msichana  anawasiliana  naye  kwa  kutumiana  meseji  za  mapenzi, sikuwa  na  haraka  nikaamua  kufanya  uchunguzi  wangu  kimyakimya" "Wiki  iliyopita  mume  wangu  akiwa  amekwenda  kuoga  akasahau  kuzima  simu  yake,na  siyo

Siri yafichuka : Juma Nature na Jokate Mwegelo wanatafuta Kick....Lengo ladaiwa ni kupandisha chati kandambili za Jokate

$
0
0
Mgogoro  unaodaiwa  kuwepo  kati  ya  Juma Nature  na  Jokate  Mwegelo  inasemekana  ni  kamba  za  mchana  na  kwamba  hilo  ni  dili  linachezwa  na  wawili  hao  ili  kupandisha  chati  kandambili  za  Jokate.... Hivi  karibuni  Nature  alidai  kufurahishwa  na  Jokate  kuiga  wazo  la  kutengeneza  kandambili  zenye  jina  na  sura  yake, huku  akidai  kuwa  angekuwa  ni  mwanaume 

Mganga wa Diamond atoboa siri nzito juu ya tuzo 7 za Kili Music Awards 2014 alizopewa msanii huyo

$
0
0
  Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambaye aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.   Akiongea na gazeti  la Makani Bongo kwa njia ya simu( 0788844490) toka Mwanza alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma, mganga huyo alisema:  "Niliongea na

Miongoni mwa stori zilizobamba wikiendi hii ni hii ya huyu mamba mkubwa kuuawa kwa risasi nne Kinondoni Dar

$
0
0
Miongoni mwa stori za mjini  zilizobamba wikiendi  hii ni hii ya Mamba kuuawa Block 41 Kinondoni Dar es salaam kwenye eneo  ambalo wanaishi watu kadhaa maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi cha Mizinga, hii ni nyuma ya bestbite, Mamba huyu akiwa ametokea kwenye bwawa  nyuma ya 41 Records.  Bwawa limezungukwa na nyumba kwenye eneo la kwa Kisamo zamani Kajima ambapo kwenye hili

Padri wa kanisa Katoliki na Katekista wafariki dunia katika ajali ya gari mkoani Katavi wakiwa njiani kwenda kumpokea askofu aliyehamishwa toka Dodoma kwenda Mpanda

$
0
0
 Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo katoliki la Mpanda akibusu Ardhi  katika kijiji cha Kamsisi ikiwa ni ishara ya kuhamia rasmi kuliongoza jimbo la Mpanda akitokea jimbo katoliki la Dodoma  Askofu Gervas Nyaisonga wa jimbo la Katoliki la Mpanda akisalimiana na Mapadri wa jimbo hilo katika eneo la mto koga  ambapo ndipo linapoanzia Jimbo katoliki la Mpanda wakati alipokuwa akiwasili

Kinana afuta nyayo za UKAWA Zanzibar, maelfu ya wananchi wahudhuria mkutano wake.....Wazanzibar wadai serikali mbili zinawatosha

$
0
0
 Umati  wa  wananchi  uliohudhuria  mkutano  huo    Wazanzibar  wanasema  Serikali  mbili  zinawatosha  Wananchi wakishangilia na kuonesha vidole kuunga mkono serikali mbili za Muungano wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM  kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.  Mama Fatma Karume akihutubia katika mkutano huo na kukemea Ukawa wanaotaka kuuvunja Muungano kwa kutaka

Kilio cha produza wa Diamond...."Kwa nini KTMA wameninyima tuzo wakati nimetayarisha wimbo (#Number One) uliochukua tuzo ya wimbo bora wa mwaka?"

$
0
0
  Kama ilivyo siku zote yanapofanyika mashindano lazima kuwe na pande mbili, moja ikiwa ni ya wale watakaofurahia matokeo kutokana na kushinda na upande wa wale ambao hawatafurahia kutokana na kushindwa na mara nyingine kutoridhishwa kabisa na matokeo.   Producer aliyetengeneza hit ya ‘Number One’ ya Diamond Platnumz, Sheddy Clever ni miongoni mwa wale ambao hawakubahatika

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya korodani za mbuzi na kuku na dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo

$
0
0
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa. Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

Hivi ni vielelezo vya mabadiliko ya uelekeo wa daladala jijini Dar.....Bofya hapa kuvisoma

$
0
0
Kielelezo  kinaonyesha  mabadiliko  jinsi  daladala  zinazoingia  katikati  ya  jiji  kutokea  barabara  ya  Morogoro.... Kielelezo  kinachoonyesha mabadiliko  jinsi  daladala  zinazoingia  katikati  ya  jiji  kutokea  barabara  ya  Ally  Hassani  Mwinyi.....  Kielelezo  kinaonyesha  mabadiliko  jinsi  daladala  zinazoingia  katikati  ya  jiji  kutokea  barabara  ya  Uhuru......

Picha za mazishi ya sheikh Ilunga Hassan Kapungu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo.....Mazishi yake yalikuwa ni ya kihistoria, mchanga wa kaburi umefukiwa kwa mikono badala ya jembe

$
0
0
 Maalim Seif akishiriki katika mazishi ya Sheikh Ilunga Shekh Hassan Kapungu yaliofanyika katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni Dar es Salaam  Sheikh Ilunga Shekh Hassan Kapungu enzi za uhai wake      Wananchi wakishiriki katika mazishi ya Shekh Ilunga  Hasaan Kapungu katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar-es-Salaam.(Picha na Salmin Said OMKR)  ****** Na Hassan Hamad.

AJALI: Tanki la mafuta lalipuka moto maeneo ya Shelui mkoani Singida ....Barabara ya Mwanza - Dodoma yafurika moshi, wasafiri wakwama kwa muda

$
0
0
     Msururu wa magari ukiwa mkubwa katika eneo hilo baada ya kushindwa kupita kutokana na moto mkubwa uliokuwa ukiwaka. Wananchi na wasafiri mbalimbali wakitoka kuangalia tukio hilo. Askari wa usalama barabarani akihakikisha mambo yanakwenda sawa na usalama unaimarishwa katika eneo hilo. **** Tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction  limelipuka  na kuwaka  moto

Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 6 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  6  May  2014 <!-- adsense -->

Bunge la Bajeti linaanza leo na hizi ni posho mpya walizoongezewa wabunge hao

$
0
0
Baada ya kuhairishwa kwa Bunge la maalum la Katiba,Bunge la bajeti linaanza leo Mei 06 Dodoma ambapo wabunge wanatarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho ambapo itakua ni shilingi 300,000 kwa siku ambayo ni sawa na viwango sawa na walivyokuwa wakilipwa wajumbe bunge maalum la katiba. Kabla ya kupandishwa kwa posho hizo Wabunge walikua wakilipwa 200,000 kwa siku ambayo mgawanyo

Mabinti wajiuza kwa sh. 2000/= bustanini.....sh. 5000/= kinyume na maumbile na sh 10,000/= ndani ya gari la mteja

$
0
0
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za usiku kwenye baadhi ya barabara za katikati ya mji na bustani za kupumzikia.   Wamesema hatua hiyo, itasaidia kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelezwa bila woga na kudhibiti kasi ya ongezeko

Freemasons nyuma ya ajali ya basi la Summry iliyoua watu 19

$
0
0
IMANI ya kuabudu inayotiliwa shaka duniani ya Freemason imetajwa kuwa nyuma ya pazia la ajali mbaya ya Basi la Sumry iliyotokea katika Kijiji cha Ulyampiti mkoani Singida mwanzoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wa usalama barabarani wanne. Habari za uhakika kutoka kijijini hapo zinasema siku moja baada ya ajali hiyo mbaya, basi moja linalosafiri

Yaliyojiri leo Bungeni: Wabunge wapya Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa waapishwa

$
0
0
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa

Kiongozi wa Boko Haram asema atawauza wanafunzi wa kike aliowateka nyara....“Nimewateka nyara wasichana wenu. Nitawauza sokoni, kwa jina la Mungu.”

$
0
0
Hofu inazidi kutanda nchini Nigeria na matumaini ya kuwapata wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram yanapungua baada ya kiongozi wa kundi hilo kutangaza kuwa amepanga kuwauza.   “Nimewateka nyara wasichana wenu. Nitawauza sokoni, kwa jina la Mungu.” Alisema kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekau kwenye video ambapo aliongea kwa lugha ya Hausa na

Diamond kunyakua tuzo 7 za KTMA ....Imebainika Wema Sepetu ndo HIRIZI yake, Diamond ashauriwa kutohangaika tena kwa waganga wa Jadi

$
0
0
Ama  kweli  kila  nyuma  ya  mafanikio  ya  mwanaume  kuna  mwanamke   imara.Hili  limejidhihirisha  mwishoni  mwa  wiki  iliyopita  wakati  msanii  kiwango  wa  bongo  fleva  Naseeb  Abdul  'Diamond  Plutnumz'  alipoweka  rekodi  ya  msanii  aliyechukua  tuzo  nyingi  za  Kili  Music  tangu  tuzo  hizo  zianzishwe..... Diamond  akiwa  ameongozana  na  mpenzi  wake  Wema  Sepetu  kwenye 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images