Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Masikini Ray C, augua ghafla, alazwa

$
0
0
MWANAMUZIKI mwenye sauti ya mvuto, Ray C, amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na homa kali.   Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya hospitalini hapo, alifikishwa hapo jana Jumatatu asubuhi na baadhi ya madaktari walibainisha kuwa Ray C anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue

Hizi ni Picha Za Tattoo Mpya Ya Agnes Masogange aliyoichora chini ya maziwa yake

$
0
0
  Video queen maarufu Tanzania Agness Masogange uliyemuona hvi karibuni kwenye video ya Tunda Man ft Ali Kiba, Msambinungwa ameongeza tattoo nyingine kwenye mwili wake  iliyoko  chini  ya  maziwa  yake.Tattoo hii inaujumbe kwa watu kuwa Huru zaidi na kujiamini duniani. <!-- adsense -->

Chama cha akina Zitto Kabwe ( ACT-Tanzania ) chapata usajili wa kudumu.....Yadaiwa Dr. Kitila Mkumbo ni mwanachama mwanzilishi na Zitto Kabwe ni mlezi

$
0
0
CHAMA  cha  siasa  cha  Alliance  for  Change  and  Transparency ( ACT-Tanzania )  ambacho  kinatajwa  kuasisiwa  na  mwanasiasa  machachari, Zitto Kabwe  na  vigogo  wa  zamani  wa  CHADEMA, jana  kilipatiwa  usajili  wa  kudumu  na  msajili  wa  vyama  vya  siasa  nchini,Jaji Francis  Mutungi.... Jaji  Mutungi  alikabidhi  cheti  cha  usajili  wa  kudumu  kwa  kaimu  mwenyekiti  wa 

Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kuhusiana na Bomu lililolipuka ndani ya kanisa la KKT Makongoro na kujeruhi mtu mmoja

$
0
0
Mmoja wa majeruhi wa  bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana  saa mbili  usiku.  ************* Mtu mmoja amenusurika kufa baada ya kulipukiwa na bomu lili lotengenezwa kienyeji kisha kuhifadhiwa katika mfumo wa zawadi na kutegwa katika nyumba ya kupumzikia wageni iliyopo

Kumbe Nay wa Mitego ndiye aliyevunja ndoa ya Skaina iliyodumu kwa mwezi mmoja tu na kuvunjika...!

$
0
0
SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’. Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi kwenye gunia’, kwani bidada huyo alikuwa na

Anti Lulu: "Najuta kumvulia nguo Amani, sikujua kama ana wivu mkubwa kiasi hiki"

$
0
0
MSANII   wa  filamu  Bongo,Lulu Semagongo  'Aunty Lulu'  anadai  kuwa  anajuta  kumvulia  nguo  mwandani  wake  aliyemtaja  kwa  jina  la  Amani  ambaye  hivi  karibuni  alimshushia  kipigo  kikali  baada  ya  kutaka  kwenda  kujirusha  usiku  kwenye  kumbi  za  starehe.... Akizungumza  na  Mpekuzi  wetu,Aunty  Lulu  alisema  katika  siku  ya  tukio  ni  kweli  alitaka  kwenda  kupata 

Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho...Baraza hilo litawajumuisha wabunge kutoka vyama vingine nje ya Chadema ambavyo ni CUF na NCCR – Mageuzi.

$
0
0
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.    Kwa mara ya kwanza tangu Uchaguzi Mkuu uliopita wa 2010 na baadaye kuzinduliwa kwa Bunge la 10, baraza hilo litawajumuisha wabunge kutoka vyama vingine nje ya Chadema. Vyama vitakavyojumuishwa ni CUF na NCCR – Mageuzi.   “Nitalitangaza baraza langu jipya la mawaziri Alhamisi (

Uchaguzi Serikali za Mitaa watengewa Sh5 bilioni

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana aliwasilisha bungeni, bajeti ya ofisi yake na mfuko wa Bunge inayofikia Sh5.21 trilioni. Kati ya hizo, Sh5 bilioni zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.    Hayo yalielezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakati wa maelezo kuhusu kazi zilizotekelezwa

Vai wa Ukweli ameshindikana.....Afumwa akifanya mambo ya aibu mbele ya wanaume, Hii ni mara ya sita kushiriki matendo ya uzinzi

$
0
0
Ukiwa  umepita  mwezi  mmoja  tangu msanii  wa  Tasnia  ya  Filamu  anayejulikana  kwa  jina  la  Isabella  Francis  'Vai  wa  Ukweli'  kuripotiwa  kujiuza, sasa  msanii  huyo  amekumbwa  na  kashfa  nyingine  ya  kupiga  picha  za  uchi  zikimuonesha  akivua  nguo  mbele  ya  wanaume.... Akiongea  na  mpekuzi  wetu, mtu  mmoja  aliyejitambulisha  kwa  jina  la  Bonny  alisema  picha 

Isabela, Luteni Karama mahaba hadharani....Mpambe wetu awanasa wakidendeka hadharani

$
0
0
Wasanii  wasioishiwa  vituko  Tanzania, Miss  Ruvuma  2005  Isabela  Mpanda  na  Luteni  Karama  wameonekana  katika  viwanja  mbalimbali  vya  burudani  wakipeana  mahaba  momoto   na  kudai kuwa  wanawakomesha  waliotia   doa  mapenzi  yao  na  kusababisha  yasambaratike.... Isabela  na  Karama  ambao  waligombana  na  kutengana  kabisa  kwa  madai  kuwa  Karama  siyo  mwaminifu  katika

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 7 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Jumatano  ya  tarehe  7 May  2014

Ray C apata nafuu, aruhusiwa kutoka Hospitali

$
0
0
Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa. Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya hospitalini hapo, alifikishwa hapo juzi Jumatatu asubuhi na baadhi ya madaktari walibainisha kuwa Ray C alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue ambao umelipuka katika maeneo mengi jijini

Msanii nyota wa kike, Keisha ajifungua mtoto wa pili wa kiume..."Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri"

$
0
0
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Akizungumza nasi  leo, Keisha amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.   “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.

Vurugu kubwa Kibaigwa mkoani Dodoma.....Gari la mbunge lapigwa mawe, Maduka yavunjwa...Gari la Polisi nalo lavunjwa vioo, Watu 34 wakamatwa

$
0
0
  Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.   Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP

Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha wavua nguo kupinga wenzao kuachiwa

$
0
0
Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha watuhumiwa wawili wa dawa za kulevya kuachiwa kinyemela.    Watuhumiwa wanaolalamikiwa ambao mashtaka yao yalibadilishwa mara mbili ili wapewe dhamana ni Dharam Patel (26) na Nivan Patel (20)

Dr Cheni alazwa hospitali kutokana na ugojwa wa Dengue

$
0
0
Msanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelazwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue. Akizungumza nasi  leo Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu.   “Bado ni nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili gonjwa jipya,sijui unaitwa Dengue,” amesema. “Bado hali yangu sio nzuri

Picha za basi la Princes Muro lililopata Ajali Mikumi Mkoani Morogoro leo

$
0
0
    BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.<!-- adsense -->

Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 8 May 2014

$
0
0
              Magazeti  ya  leo  Alhamisi  ya  tarehe  8  May  2014

Mwanamke Azalia kwenye ndoo na kukitupa kichanga chooni.....Polisi wamtia pingu na kumtupa nyuma ya Nondo

$
0
0
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni. Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona, lakini ghafla siku ya tukio baadhi ya ndugu

Nafasi za Mafunzo na kazi toka RafikiElimu Foundation......Baada ya mafunzo haya wahitimu watapata nafasi ya kufanya kazi katika mradi wa 'Wanawake Salama Tanzania'

$
0
0
Taasisi  Ya  RafikiElimu  FOUNDATION   inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UENDESHAJI  NA  USIMAMIZI  WA  TAASISI  ZISIZO  KUWA  ZA  KISERIKALI. (  NGO  MANAGEMENT & OPERATION  )  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo : i. Awe  wa  jinsia  ya  kike. ii. Elimu  Ya  Kuanzia  Kidato  Cha  Nne , Sita  na  kuendelea. iii.Uwezo  wa  kuwasiliana  kwa  ufasaha  kwa  lugha  za  Kiswahili  na 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images