Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

UKAWA waanza mivutano...baadhi wataka kurejea bungeni, yapo madai ya kutolewa fedha toka nje ya nchi

$
0
0
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.   Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa

Mbowe kupangua mawaziri bungeni ili kushirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani ( UKAWA )

$
0
0
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema anatarajia kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri Vivuli, litakaloshirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).   Aidha, alisisitiza kasi ya Ukawa katika kuizunguka nchi na kufanya mikutano mbalimbali, kamwe haijapungua.   Alisema hayo juzi katika viwanja

Pendo Joachim, mkazi wa Shinyanga afungwa jela mwaka mmoja kwa kosa la KUMBAMBIKIA mtoto mwanaume ili apate fedha ya matumizi

$
0
0
MAHAKAMA ya Mwanzo Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, imemhukumu Pendo Joachim (33) mkazi wa kijiji hicho, kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Sh milioni moja.   Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kusingizia mtoto kwa mwanamume mwingine ili apate pesa za matumizi.   Akisoma hukumu hiyo, Hakimu wa Mahakama hiyo, Christian

Angel Kisoga aweka wazi mipango yake ya kufanya fashion....."Umbo langu linamvuto, naamini litanifaa nikiwa Model"

$
0
0
Mrembo  aliyewahi  kutinga Top ten Miss Tabata 2012  Angel Kisoga ambaye hivi  sasa ana-hit kwenye video ya Lady Jaydee ‘Joto Hasira’ na kichupa cha Bagdad ‘Nishida’  ameweka  wazi  mipango  yake  ya  kufanya  fashion  katika  kampuni  yoyote  inayohusika  na  u model Akizungumza  na  Mpekuzi  wetu juzi kati, Angel  alisema  anapenda  sana  fashion  na  anatamani  siku  moja  apate  shavu 

Hamisa Mabeto atishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.... Mvuto wake wadaiwa kuwakosesha usingizi

$
0
0
Mwanamitindo  maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacqueline Wolper. “Wasanii wajiangalie nafasi zao baada ya Mabeto kuingia kwenye filamu maana ndani ya VIP amekamua sana na wasipokuwa makini atawasumbua kutokana na mvuto

Shilole ashauriwa kuachana na "CHUNA BUZI"....Marafiki wadai litamchafua mbele ya jamii

$
0
0
  Mwanamuziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amebadilisha jina la Hoteli yake mpya anayotarajia kuifungua maeneo ya Mwananyamala.Awali jina la Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini baada ya ushauri sasa anaipa jina la Igunga One Restaurant. “Nimeamua kubadili jina baada ya kushauriwa na rafiki zangu, maana jina la kwanza lilikuwa na utata, na hata lilikuwa na maswali

Huyu ni shemeji yangu kabisa, mke wa kaka yangu....Lakini utani wake umepitiliza....Nipeni ushauri wadau

$
0
0
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani,  kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza. “Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema

Picha za msiba wa mfanyakazi wa IKULU aliyefariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

$
0
0
Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini Dar es salaam. Mama Salma Kikwete akijumuika na wafiwa katika kuomboleza msiba nyumbani kwa marehemu Rashidi Chilangwa

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 3 May 2014

$
0
0
                        Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  3  May  2014 <!-- adsense -->

Rayuu asaka mume wa kumuoa....Kama upo single, kazi kwako mdau

$
0
0
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi “Rayuu” amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.   "Natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye

Ripoti ya polisi wa Kenya kuhusu gari la Freeman Mbowe kukamatwa nchini humo likihusishwa na ugaidi

$
0
0
Kwenye magazeti ya April 30 2014 Tanzania miongoni mwa stori kubwa ilikua ni hii ya kukamatwa kwa gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ambae pia ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ambapo baadhi ya vichwa vya habari vilisema ni kutokana na kuhisiwa kutumika kwa ugaidi. Mtangazaji  Millard Ayo  amepata  nafasi ya kuzungumza na msemaji

Taarifa ya IKULU: Rais Kikwete aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni Tokomeza

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni Tokomeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi (Commission Inquiry)Kuhusu Vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam jioni ya  Mei 2, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni

Tazama LIVE Online Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 toka katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam usiku huu

$
0
0
Hii  ni LIVE Video ya hafla ya kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 zinayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji wa muziki waliofanya vizuri mwaka 2013.

Live kutoka Mlimani City katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards 2014.....Hizi ni Picha za RED CARPET

$
0
0
 Picha  za  RED  CARPET <!-- adsense -->

Hawa ndo washindi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014

$
0
0
  Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.   Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo.   ********************** 1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive 2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer  3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee 4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond

Diamond atwaa tuzo 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 usiku huu......Fid Q na Weusi watamba kwenye hip hop

$
0
0
Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo.  Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu .  Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.  Msanii mwingine aliyeshangaliwa zaidi katika usiku wa tuzo hizo ni Fid

Waethiopia 55 wanaswa kichakani Himo,Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro

$
0
0
Waethiopia 55 wamekamatwa na wanakijiji cha Chekereni Pabliki kilichopo Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejificha kichakani na mkazi mmoja wa kijiji hicho.   Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz, amethibitisha kutokea tukio hilo na kwamba watu hao walikamatwa ...  “Wanakijiji walitoa taarifa polisi baada ya kuwaona watu hao, na sisi tulifika mara moja

Wema Sepetu atoa neno tamu kwa Diamond......"I must say Iam a proud wife to be….. I am very proud of my baby”

$
0
0
Msanii wa filamu hapa Tzee Wema Sepetu aka Mrs. Ngololo, siku ya jana  usiku  aliweza kuelezea furaha yake kwenye tuzo za Kili Music Awards 2014 baada ya Diamond Platnumz aka Mr. Ngololo kupokea tuzo  saba na kusema “I must say Iam a proud wife to be….. I am very proud of my baby” kwa kauli hiyo ilifanya watu kutoa shangwe za kutosha kwa kukubaliana na hali halisi ya mwanadada huyo.

Mgambo wa manispaa ya Arusha wakimsulubu muuza miwa

$
0
0
Hawa ni mgambo wa manispaa ya arusha wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo miwa yake na kuondoka nayo wakidai anafanya biashara eneo lisilo rasmi.Kweli hapa tutaendelea na je huyo kijana haki yake ataipata wapi ikiwa wamechukua miwa yake na kuondoka nayo na hajui wataipeleka wapi au ndo kugawana. <!-- adsense -->

Mtoto afariki dunia baada ya kunajisiwa mkoani Geita....Mtuhumiwa alisema lazima awabake wote watatu akiwamo mtoto huyo ili awaambukize Virusi Vya Ukimwi.

$
0
0
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala, mjini Geita, amefariki dunia baada ya kunajisiwa na mtu asiyejulikana nyumbani kwao, usiku wa kuamkia juzi.   Tukio hilo ni mwendelezo wa vitendo vya ukatili, mateso na udhalilishaji dhidi ya watoto ulio kinyume na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009, inayoeleza kwamba mtoto anapaswa kulindwa na kuthaminiwa.   Kamanda wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images