Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Alichosema bungeni Mh. Wassira kuhusu Tundu Lissu

$
0
0
  April 16 2014 saa saba kasoro mchana makamu mwenyekiti wa bunge la katiba hapa Dodoma aliwasha kipaza sauti na kuzungumza kuhusu matangazo mawili yaliyomfikia, moja la wageni na la pili ni la hati ya muungano ambayo hatimae imepelekwa bungeni baada ya kuzungumziwa sana na Wajumbe mbalimbali hasa wanaotaka uwepo wa serikali tatu waliosema hati hiyo haipo.   Makamu Mwenyekiti alisema ‘

Hati ya Makubaliano ya Muungano yawasilishwa Bungeni.

$
0
0
Makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, Samia Suluhu Hassan amesema amepokea hati ya makubaliano ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyothibitishwa kisheria.   Hati hiyo imefikishwa bungeni hapo baada ya mjumbe wa bunge hilo, Tundu Lissu kuomba hati hiyo ioneshwe hadharani siku mbili zilizopita.   Waziri wa nchi ofisi ya rais, Stephen Wasirra alieleza kuwa ametimiza

Muasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere

$
0
0
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.    Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na

VIDEO: Sikiliza mchango wa Profesa Lipumba uliopelekea wajumbe wa UKAWA kususa na kutoka nje ya bunge la Katiba leo jioni

$
0
0
Audio na Video za mchango wa Prof. Ibarahim Lipumba alioutoa Bungeni siku ya Jumatano, Aprili 16, 2014 na kutamatia kwa baadhi ya wajumbe kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba ipo hapo chini baada ya mchango huo kwa maandishi ifuatavyo:- Mhe. Mwenyekiti gazeti la Mwananchi la tarehe 14 Aprili 2014 limeandika kuwa “Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William

Wajumbe wa Bunge la Katiba toka vyama vya upinzani leo jioni waligoma na kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge.....Hizi ni picha za tukio hilo

$
0
0
 Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaunga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoa katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaunga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoa katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao *********** Wajumbe karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki

Taarifa ya TAHADHARI ya mvua kubwa katika Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es Salaam.

$
0
0
Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa. Taarifa Na. 201404-02 Muda wa Kutolewa Saa 10:00 Alasiri Saa za Afrika Mashariki Daraja la Taarifa: Tahadhari Kuanzia: 17 Aprili, 2014 Tarehe Mpaka: 18 Aprili, 2014 Tarehe Aina ya Tukio Linalotarajiwa Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24, ukanda wa pwani.

Bunge maalumu la Katiba kuendelea leo licha ya baadhi ya wajumbe ( UKAWA ) kususia kikao hicho jana jioni

$
0
0
Vikao vya Bunge Maalum la Katiba vitaendelea tena leo kwa kujadili sura ya 1 na ya ile ya 6 ya Rasimu ya Katiba licha ya baadhi ya wajumbe kususia kikao hicho jana jioni na kutoka nje ya ukumbi kwa kile walichodai ni kuchoshwa na matusi, dharau na ubaguzi . Kauli ya kuendelea kwa kikao leo ilitolewa usiku wa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema  kabla ya

Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 17 April 2014

$
0
0
                                                    Magazeti  ya  leo  Alhamisi  ya  tarehe  17  April  2014 <!-- adsense -->

Mwanafunzi wa chuo cha IFM akamatwa na Bangi kilo 50

$
0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati) Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.Basi la New Force lililokamatwa

UKAWA wamegoma kabisa kuhudhuria mkutano wa bunge maalum la katiba

$
0
0
Umoja wa katiba ya wananchi bungeni -UKAWA- umegoma kabisa kuhudhuria mkutano wa bunge maalum baada ya kutoka katika mkutano uliofanyika Aprili 16 kwa madai ya mkutano huo kugubikwa na matusi, kashfa na vitisho vinavyofanywa na baadhi ya viongozi kwa wananchi.    Akizungumzia masikitiko yake mwenyekiti wa kamati ya bunge maalum, Mhe. Samweli Sita amesema licha ya bunge hilo kumwita

Rais Kikwete akerwa na kitendo cha wanasiasa kumtukana Mwalimu Nyerere....Asema ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Tanzania

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu unaoonyeshwa na baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.    Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi alipokuwa kwenye mahojiano maalumu na wahariri wa baadhi ya vyombo vya habari (wa Mwananchi hawakuwapo) ya kuadhimisha

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 18 April 2014

$
0
0
                                            Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe  18  April  2014 <!-- adsense -->

Martin Kadinda amwita Lulu Michael Nyau

$
0
0
Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.   Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Mwandishi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:   “Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu akiwa anasoma sekondari pale Perfect Vision

Mwigulu Mchemba asimamisha malipo ya posho ya wabunge wote waliosusia vikao vya bunge juzi

$
0
0
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba amesema serikali imesimamisha malipo ya posho ya wabunge wote waliosusia vikao vya bunge juzi. Pia, amesema wajumbe ambao ni watumishi wa umma, wataripotiwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa ajili ya hatua za kinidhamu.   Alisema licha ya kuwa wajumbe hao wameshalipwa posho hizo hadi Aprili 26, mwaka huu, tayari amesitisha malipo hayo ambayo yalikuwa

Stephen Wasira afunguka....Asema hashangazwi na kitendo cha kutoka nje ya bunge wajumbe wa UKAWA kwani, ni matukio yaliyopangwa muda.

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema hakushangazwa na kitendo cha kutoka nje ya bunge wajumbe wa UKAWA kwani, ni matukio yaliyopangwa muda. Wasira alisema UKAWA walikuwa na mpango huo muda mrefu baada ya kuona hoja yao kuhusu kutokuwepo kwa hati ya muungano kukosa ukweli. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Wasira alisema sababu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 kuahirishwa....“Nikiri nafasi ni finyu sana ila tutalizungumza serikalini,” asema Rais Kikwete

$
0
0
UCHAGUZI wa serikali za mitaa, ambao hufanyika mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, huenda usifanyike mwaka huu, imeelezwa. Hatua hiyo inatokana na uchaguzi huo kuingiliana na masuala ya kupata Katiba mpya, ambayo mchakato wake bado unaendelea.   “Nikiri nafasi ni finyu sana ila tutalizungumza serikalini,” alisema Rais Jakaya Kikwete, alipozungumza na baadhi ya wahariri Ikulu mjini Dar

Taarifa ya mabadiliko ya uelekeo wa barabara jijini Dar.....

$
0
0
MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. (TRAFFIC CIRCULATION AT CBD) Ufunguo wa ramani iliyopachikwa hapo juu:- RANGI YA NJANO - Njia ya uelekeo mmoja (One Way) RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya mielekeo miwili (Two Way) RANGI YA KIJANI - Mitaa ya kutembea kwa miguu, magari marufuku (Walking streets) RANGI NYEKUNDU - Barabara

Taarifa ya jeshi la Polisi kuelekea sikukuu ya pasaka.....

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao. Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kusitishwa Mkutano wa hadhara wa UKAWA uliopangwa kufanyika kesho Jumamosi 19/04/14

$
0
0
YAH: TAARIFA YA KUSITISHWA MKUTANO WA HADHARA Naomba urejee barua yangu Kumbu. Nam. W/MGH/SO/7/2/A/4 ya tarehe 17 Aprili, 2014 inahusika.   Ninakujulisha rasmi kuwa mkutano huo uliokuwa ufanyika kesho tarehe 19 Aprili, 2014 hapo Viwanja ya Demokrasia Kibanda Maiti umesitishwa kwa sababu za KIUSALAMA WA NCHI.   Kwa barua hii unatakiwa kuwajulisha Wanachama na wapenzi wote wa

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 19 April 2014

$
0
0
                                                  Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  19  April  2014
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images