Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Jokate Mwegelo akanusha kupiga picha za Uchi.....

$
0
0
Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.   Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu  mwingine na kudai ni yeye.   “Mitandao ya kijamii inakera sana. Kila mtu anaandika habari itakayowafanya watu wafungue ‘blogi’ yake, siwezi kupiga

Johari akanusha kutaka kufunga ndoa na Ostaz Juma

$
0
0
Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na meneja wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma. Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio, Johari alisema kuwa hajawahi kuwa na uhusiano ya kimapenzi na Ostaz Juma wala Ray. “Ni kweli haya mambo yanakuwa yanatokea na kuzushwa lakini ukweli kwamba sijawahi

Ray C Foundation yaandaa kipindi cha TV "Pamoja Inawezekana" ambacho kitaelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya

$
0
0
Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya. Ray C kupitia instagram yake amesema: "Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja inawezekana,stay tuned people more to come.  

Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 20 April 2014

$
0
0
                                            Magazeti  ya  leo  Jumapili  ya  tarehe  20  April  2014 <!-- adsense -->

"Hatuna mpango wa kurudi Bungeni tena....Tutakachokifanya ni kuzunguka mikoani ili `kushitaki’ kwa wananchi"..UKAWA

$
0
0
  LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuwa tayari kuzungumza na wajumbe wa Bunge hilo wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wajumbe hao wametangaza kutokuwa tayari kurudi mjini Dodoma kwa majadiliano ya aina yoyote.   Badala yake, umoja huo umetangaza kuendelea na dhamira ya kuzunguka katika mikoa mbalimbali nchini ili `kushitaki’ kwa wananchi, kwa

Waziri mkuu mstaafu , Cleopa Msuya asitaafu siasa...Rais Kikwete ampongeza

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania mara mbili katika awamu mbili tofauti, Mzee Cleopa David Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye amestaafu rasmi siasa baada ya kuitumikia

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 25 April 2014

$
0
0
                            Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe  25  April  2014

Wema Sepetu afunguka......"Najuta kumlipia Kajala milioni 13, bora ningemuacha akaenda Jela..."

$
0
0
  KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo! Hicho ndicho amekifanya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kwa kuweka kweupe chanzo cha ugomvi wake na staa mwenzake, Kajala Masanja huku akijuta kumlipia mwanadada huyo zile Sh.

Maneno na Ratiba ya Maandamano na Mikutano ya Hadhara waliyotoa Kamati ya TANZANIA KWANZA nje ya Bunge

$
0
0
Kamati ya Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba  jana  wametoa ya moyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa Bunge maalum la Katiba baada ya kutoridhishwa na kuonyesha ni kwa jinsi gani wajumbe hawana mapenzi ya dhati ya kutengeneza Katiba mpya.  Augstino Matefu ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Tanzania kwanza alianza kwa kusema: "Ukiangalia wajumbe wengi

Siku 67 za Mipasho na matusi bungeni.....Bunge la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240

$
0
0
Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.    Badala yake Bunge hilo likiongozwa na Samuel Sitta “Mzee wa Kasi na Viwango” linaahirishwa hadi Agosti, mwaka huu likiendelea kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita zenye jumla ya Ibara 19, zinazohusu masuala yanayojenga msingi wa aina ya

Rais Kikwete amtolea uvivu Dr. Mwakyembe.....Ni kuhusu upitishaji dawa za kulevya Airport, atoa mwezi mmoja....Aahidi kutimua watendaji

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema anaumia, kuchukizwa sana anapoona Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam (JNIA) na Kilimanjaro (KIA), vinapokuwa uchochoro wa kusafirisha dawa za kulevya kwenda mataifa mbalimbali.   Kutokana na hali hiyo, Rais Kikwete ametoa mwezi mmoja kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe na watendaji wake akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya

Kigogo wa CHADEMA atupwa jela miaka 7

$
0
0
MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Itiji, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Ezekiel King (52) na mwenzake Bw. Antony Simon (53) wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la shambulio la kumdhuru mwili Bw. Nicholaus Mwakasinga (56), mkazi wa mtaa huo.   Hukumu hiyo imetolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Mbeya, Maria Batulaine,

Mfanyabiashara wa Kariakoo afumaniwa gesti na mke wa Rafiki yake.....Akimbilia chooni kukwepa aibu, mke wa mtu abaki akilia kama mtoto mdogo

$
0
0
Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mtoa habari makini alidai kuwa kisa kizima kilianza baada ya mwenye mali (mume) kukuta ujumbe mfupi wa simu katika kilongalonga cha mkewe

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na UFUMBUZI wake kwa kutumia Korodani za wanyama na vyakula asilia

$
0
0
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa. Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

Rais Kikwete amekubali kuongeza siku 60 za shughuli za Bunge Maalum la Katiba.....Bunge limeahirishwa hadi Mwezi wa 8 tarehe 5

$
0
0
Bunge maalum la katiba limeahirishwa hadi agasti tano mwaka huu huku wabunge wa wakitahadharishwa kuacha kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji mstaafu Joseph Warioba au mjumbe yeyote binafsi wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.    Akitoa maoni kabla ya kuahirishwa kwa bunge hilo,mwanasiasa mkonge ambae pia ni mbunge wa bunge hilo, Mhe

Mtoto wa Kajala aumizwa na ugomvi wa mama yake na Wema "Nampenda sana Wema"

$
0
0
Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda. Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.   “Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea kuwa mama yangu,” alisema.  “

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014

$
0
0
                                            Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  26  April  2014 <!-- adsense -->

Mwanamke achomwa kisu kisa mume wa mtu.....Aliyemchoma ni mwenye mume, kisu chazama na kukatalia ndani

$
0
0
JESHI la polisi mkoani Tabora  linamshikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Pima Mabubu kwa tuhuma za kumchoma kisu mpaka kumjeruhi vibaya mwanamke mwenzake, Amina Hussein akidai ana uhusiano wa kimapenzi na mumewe, Adam Ndekeja... Tukio hilo lililowaacha watu vinywa wazi, lilijiri Aprili 22, mwaka huu shambani katika Kijiji cha Kigwa, Kata ya Ukondamoyo wilayani Uyui, Mkoa wa

Mzimu wa Zitto Kabwe wamfiksha katibu wa CHADEMA , CCM

$
0
0
MZIMU wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe umeelezwa kumkimbiza hadi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje.   Hatua ya Ngwalanje kujitoa Chadema na kujiunga na CCM imeelezwa na baadhi ya wafuasi wa Chadema kuwa ni pigo kubwa kwa chama hicho.   Akizungumzia kujitoa kwa Ngwalanje,

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar watimiza miaka 50......

$
0
0
Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati,  Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.   Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, huku akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar, Abeid Aman Karume, (wa tatu kushoto) na Mhe. Rashind
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images