Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hati ya Muungano kuwasilishwa Bunge Maalum la Katiba baada ya siku mbili....

$
0
0
  Na  Magreth Kinabo/MAELEZO, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaribu, Stephen Wassira amesema Serikali itawasilisha Hati ya Makubaliano ya Muungano  katika  Bunge Maalumu la Katiba baada ya siku mbili zijazo. Wassira ambaye  ni Mwenyekiti wa Kamati Namba Sita ya Bunge hilo ambazo zilikuwa zikijadili Sura ya Kwanza na ya Sita za Rasimu ya Katiba, alitoa

Tamko la Katibu Mkuu Kiongozi kwa Vyombo vya habari kuhusu Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ---Ikulu Dar es Salaam.

$
0
0
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014 _________________________________________ Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wamezaliwa watu ndani ya Muungano huu na wengine wana

Waombolezaji katika msiba wa mzee Muhidin Maalim Gurumo nyumbani kwake Jana

$
0
0
Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata Makuburi),jana.  Mmoja wa wanamuziki wa zamani na aliewahi kufanya kazi Pamoja na Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo,Mzee Shaaban Dede (wa pili kushoto) akiwa ni miongoni mwa waombolezaji

Masaa 72 ya mwisho wa Muhidini Maalim Gurumo.....Alipewa chakula, akala, aliposhiba akasema hatakula tena

$
0
0
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa dansi, aliyeaga dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar, alikutana na mateso ya kwa saa 72 za mwisho wake baada ya kulazwa akiwa taabani kwa siku tatu. Mtoto wa marehemu anayejulikana kwa jina la Abdalah aliliambia Uwazi  kuwa siku mauti

Mafuriko jijini Dar.....Waliopoteza maisha wafika 13

$
0
0
Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko jijini Dar es Salaam imefikia watu 13 kufikia Jumatatu. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadiq Meck Sadiq amesema idadi hiyo huenda ikaongezeka baada ya kupata taarifa za matukio ya mafuriko kutoka maeneo yote ya mkoa wa Dar es Salaam.    Kwa siku tatu mfululizo tangu Ijumaa iliyopita, mvua kubwa ziliendelea kunyesha na kusababisha madhara makubwa

Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 April 2014

$
0
0
                                        Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  15  April  2014 <!-- adsense -->

Akamatwa kwa kufukua maiti ya mtoto, kuipika mchuzi na kuila

$
0
0
  Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila viungo vya wenzao Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya kulipiza kisasi dhidi ya watu waliowadhulumu katika uongozi uliong'olewa mamlakani wa Seleka.   Nchini Pakistan Polisi wamewakamata wanaume wawili kwa makosa ya kuiba maiti ya mtoto kutoka

Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

$
0
0
Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Video ipo hapo JUU....Ni matangazo ya moja kwa moja toka mjini Dodoma

Majambazi yavamia na kupora fedha katika Benki ya Barcrays tawi la KINONDONI jijini Dar Es Salaam

$
0
0
Watu wanaosadikiwa ni majambazi wamevamia Benki ya Barcrays tawi la KINONDONI jijini Dar Es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Tukio hilo limetokea leo likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.   Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam, Suleiman Kova amefika katika eneo la tukio na kuahidi

Safari ya Mwisho ya Marehemu Muhidin Gurumo katika makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani

$
0
0
    Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko.  ******* Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili Aprili 13, 2014.  (Picha  kwa  hisani  ya  Global publishers) <!-- adsense -->

Waliolipua bomu Arusha Kunaswa.....

$
0
0
WATU waliohusika na kutega bomu linalohisiwa kuwa ni la kienyeji katika baa ya Arusha Night Park huenda wakanaswa kirahisi baada ya polisi kuchukua mitambo ya usalama (CCTV) iliyofungwa kwa ajili ya kufanya uchunguzi. Katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, jumla ya watu 17 walijeruhiwa, baadhi yao vibaya sana wakati wakinywa na kufuatilia katika televisheni

Mvua yailazimisha DAWASCO kuzima mitambo ya maji

$
0
0
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar es Salaam. Hatua ya DAWASCO imetokana na mvua kubwa zilizonyesha kusababisha madhara mbalimbali katika miji ya Kibaha, Pwani na Dar es Salaam. Taarifa ya DAWASCO kwa vyombo vya habari jana

Picha za Rais Kikwete alipohani Msiba wa Muhidin Maalim Gurumo Ubungo Makuburi jana jioni

$
0
0
Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo pamoja na mazishi yake kwa Mhe. Rais Jakaya M. Kikwete (picha: IKULU) Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msiba huo Ubungo Makuburi   jana jioni ya  April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa

Maafisa wa jeshi la India wafutiwa kesi ya ubakaji baada ya kukubali kumuoa waliyembaka na mdogo wake pia

$
0
0
Maafisa wawili wa jeshi la India ambao walikuwa wakikabiriwa na kesi nzito ya kumbaka msichana mmoja wameachiliwa huru baada ya kukubali kumuoa msichana waliyembaka pamoja na mdogo wake.   Kwa mujibu wa Daily Mail, mafisa hao waliotajwa kwa majina ya Sachin Gupta (27) na Saurab Chopra (25) walikuwa wakishitakiwa kwa kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 21 ndani ya hotel

Kabla Mzee Gurumo hajafariki alimwandikia wimbo Diamond Platnumz, lakini bahati mbaya alikuwa hajamkabidhi

$
0
0
  Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz amesema kuwa siku chache kabla mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo hajaaga dunia alikuwa amemuandikia wimbo kama shukrani kwa kumpa zawadi ya gari mwaka jana. Platnumz amesema meneja wake Babu Tale alimpa taarifa hiyo njema ya kuandikiwa wimbo na Gurumo lakini kwa bahati mbaya mzee Gurumo alifariki kabla hajamkabidhi wimbo

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 16 April 2014

$
0
0
                                Magazeti  ya  leo  Jumatano   ya  tarehe  16  April  2014

Wamiliki wa magari aina ya Toyota ( RAV 4, Hilux na Fortuner ) watakiwa kuyarudisha kwa ajili ya uchunguzi.....

$
0
0
Wamiliki wa magari ya Toyota nchini wametakiwa kuhakiki magari yao na kuyarejesha kwa uchunguzi yale yatakayobainika kuwa na hitilafu za kiufundi katika mfumo wa baadhi ya vifaa vyake.    Taarifa ya Toyota Tanzania kwenye vyombo vya habari ilieleza jana kwamba magari yanayohusika ni RAV 4, Hilux na Fortuner yaliyotengenezwa kati ya mwaka 2006 na 2010.   Hatua hiyo imekuja baada ya

Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa Aprili 25 mwaka huu ili kupisha Bunge la Bajeti

$
0
0
Na Magreth Kinabo, Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema Bunge hilo litahairishwa  Aprili 25, mwaka  huu. Bunge hilo, litaihirishwa  ili kuweza kupisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea na shughuliza maandalizi ya  Bajeti Kuu ya  Serikali. Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti huyo mara baada ya kuanza kwa kikao cha

Jeshi la Polisi latangaza kitita cha Sh. Milioni 10 kwa mtu atakayesaidia kukamatwa kwa watu waliolipua bomu juzi jijini Arusha katika baa ya Night Park

$
0
0
  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI),Isaya Mngulu  ***** Jeshi la Polisi nchini limetangaza zawadi ya Sh. milioni 10 kwa atakayewezesha kukamatwa kwa  watu waliotumia mabomu kulipua  baa ya Night Park mwishoni mwa wiki iliyopita.  Katika mlipuko huo, watu 17 wameripotiwa kujeruhiwa kati ya hao, waliobaki wodini kuendelea na matibabu ni nane baada ya wengine kuruhusiwa

Mafuriko jijini Dar.....Idadi ya waliofariki yafikia 41

$
0
0
Mafuriko  yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema vifo 25 vimethibitishwa. Ameagiza polisi kufanya uchunguzi zaidi kubaini watu wengine ambao hadi sasa hawaonekani waliko.   Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa, eneo la Ilala, vilitokea vifo 11 ingawa inahisiwa watu wengine wawili hawaonekani.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images