Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Magari yakwama Daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.....

0
0
Baadhi ya Malori yakiwa katika foleni kubwa katika daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Sehemu kubwa ya maji eneo la Ruvu. <!-- adsense -->

Daraja la Mbagala ---Kongowe nalo lakatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar

0
0
Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Daraja la Mbagala-Kongowe nalo limekatika na kufanya safari zote za kusini kusimama kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. <!-- adsense -->

Morogoro nayo yakumbwa na Mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.....

0
0
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha mafuriko pia katika mkoa wa Morogoro kama picha (juu na hapo chini) zilizopigwa katika maeneo ya Nane Nane, Mwembesongo na Mji Mpya zinavyoonyesha. Vijana wa Kichangani, Manispaa ya Morogoro  wakipita eneo la maji ya mafuriko Wakazi wakishikana mikono kupita eneo la mafuriko ya maji ya mvua eneo barabara inayounganisha

Mvua yaua watu 10 jijini Dar, madaraja sita yabomoka.....Wakazi Jangwani wazikimbia nyumba zao

0
0
Mvua kubwa ziliyonyesha mfululizo kuanzia juzi maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimesababisha vifo vya watu kumi na kuharibu miundombinu ya barabara ikiwamo madaraja sita kubomoka.   Aidha, mradi wa mabasi yaendayo kasi (Dart) umelazimika kusimamisha shughuli zake, baada ya ofisi zake za Jangwani kukumbwa na mafuriko na kusababisha hasara ya zaidi ya Dola za Kimarekani 30,000.

Video Mpya : Lady Jaydee aachia rasmi video ya single yake mpya ...."NASIMAMA"

0
0
  Judith Wambura aka Lady Jaydee ameachia rasmi video ya single yake mpya iitwayo ‘Nasimama’. Audio imetayarishwa katika studio ya Sharobaro Records na video imeongozwa na director Hefemi.  Audio: <!--Youtube player code generated @ http://gaf210.imvustylez.net --> Video

Athari ya Mvua jijini Dar : Walikubaliana ambebe mgongoni ili amnusuru asilowe....Bahati mbaya jamaa aliteleza, dada kalowa mwili mzima

0
0
    Mrembo akisaidiwa kutolewa kwenye maji baada ya kudondoka na aliyekuwa amembeba. <!-- adsense -->

Rais Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko mkoa wa Pwani

0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani

Mzee Gurumo afariki dunia.....

0
0
Mkongwe wa Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki  dunia.    Mwanamuziki huyo amefariki leo  alasiri  katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.   Mzee  Gurumo  amefariki  dunia  baada  ya  kusumbuliwa  na  maradhi  kwa  muda  mrefu, hali  iliyomfanya 

Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 April 2014

0
0
                                      Magazeti  ya  leo  Jumatatu  ya  tarehe  14 April  2014 <!-- adsense -->

Wanaswa kwa tuhuma ya kuwa na heroin kwenye kondomu

0
0
  VIJANA wawili wenye asili ya kiasia, wakazi wa jiji la Arusha, wametiwa mbaroni na polisi mkoani hapa kwa tuhuma ya kukutwa na kete 170 za dawa za kulevya aina ya heroin na bangi kete 300.   Walihifadhi dawa hizo kwenye mfuko mweusi aina ya sandarusi na zingine kete 170 zikiwekwa kwenye mpira wa kiume (kondomu) ndani ya gari.   Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas aliwataja

Rose Muhando roho mkononi....Anusurika kutekwa, akimbilia Dar.....Ajali ya Msama yahusishwa

0
0
Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa kuichukua roho yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose anaishi kwa machale jijini Dar akikimbia Dodoma baada ya taarifa kwamba mtu mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Nasani na wenzake wanataka kumdhuru kama si kumtoa roho kabisa. “

Alex Msama anaendelea vizuri na matibabu baada ya kupata ajali mkoani Dodoma

0
0
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16.     Msama  anaendelea vizuri na matibabu na amesema hali yake

Bomu lajeruhi watu 15 mkoani Arusha waliokuwa kwenye baa moja iitwayo Arusha Night Park wakitazama mpira

0
0
Watu 15 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu katika baa maarufu ya Arusha Night Park katika eneo la Mianzini katika jiji la Arusha.   Tukio hilo lilitokea jana saa mbili usiku wakati mamia ya watu wakiwa katika baa hiyo wakiangalia  mechi ya soka ya Ligi Kuu ya England kati ya Chelsea na Swansea. Chelsea ilishinda 1-0.   Mmoja wa wamiliki wa baa hiyo, Angelo Mwoleka pia

Mr Nice apata ajali akiwa kwenye Bajaji ....Abiria mwenzake afariki dunia papo hapo

0
0
  Msanii mkongwe Mr Nice amepata ajali juzi  ndani ya bajaji akiwa na abiria mwenzake  jijini  Dar.  Ajali hiyo ilitokea  baada  ya  gari  moja  "kuwachomekea ", hali  iliyomfanya dereva wa Bajaji hiyo kuikwepesha na kugonga mti.    Hali ya Mr Nice sio nzuri sana,kwani amevimba kichwa na kuumia sana sehemu za usoni na abiria mwenzake ambaye hajafahamika jina alifariki papo hapo <!--

Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kahama agonga watu watatu kwa gari....Alianza na dereva bodaboda, watu wakamzingira, akaondoa gari kwa kasi na kumfumua tumbo mtu mwingine

0
0
Majeruhi wa awali Joseph Malugu akiwa hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kuumia vibaya mguu wake na sehemu nyingine za mwili. *** via gazeti la MAJIRA -- Watu watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya kugongwa na gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Bw. Elia Haway.  Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ambapo

Rais Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki Muhidini Maalim Gurumo.

0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki maarufu na wa siku nyingi, Muhidini Maalim Gurumo kilichotokea tarehe 14 Aprili, 2014 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)

Gari Dogo laangukiwa na lori lililokuwa limebeba mchanga....Juhudi za JWTZ, kikosi cha zimamoto na uokoaji zafanikiwa kumnasua dereva wake

0
0
Picha za ajali iliyotokea asubuhi ya leo huko Makongo jijini Dar es Salaam ambapo lori lililokuwa limebeba mchanga lililiangukia gari dogo. Juhudi za Askari wa Jeshi la Wananchi wakishirikiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji zilifanikisha kumnasua kutoka kwenye mchanga dereva wa gari dogo mwendo wa  saa moja u nusu hivi asubuhi baada ya kuwemo ndani ya gari hilo tangu saa 11 afajiri.

Picha mbalimbali toka jijini Arusha baada ya mlipuko wa bomu la jana

0
0
 Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.  Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana  Majeruhi baada ya bomu kulipuka Mmoja wa majeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko. Credit: Global publishers

Ratiba ya mazishi ya msanii Maalim Gurumo aliyefariki jana.....

0
0
  Leo saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa marehemu Tabata-Kisukulu jijini Dar es Salaam.  Kesho saa 3 asubuhi mwili wa marehemu utawasili nyumbani kwake kwa ajili ya sala.Saa 4 asubuhi safari ya kuelekea kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa maziko  itaanza. Ndugu wa marehemu Gurumo wakiwa katika picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni mtoto wake Mwalimu Muhidin,

Profesa Mwandosya atoa taarifa rasmi kuhusu ajali ya helicopter iliyotokea jana na kuwahusisha makamu wa rais, Kova na Magufuli.....Aomba wajumbe watoe posho ya siku kuchangia wahanga wa mafuriko

0
0
Waziri wa nchi ofisi ya rais, Profesa Mark Mwandosya ametoa taarifa rasmi kufuatia ajali ya helicopter iliyotokea jana na kuwahusisha makamu wa rais , Dr. Gharibu Bilali, Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick.   Prefesa Mwandosya ametoa taarifa hiyo leo katika bunge maalum la katiba mjini Dodoma ambapo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images