Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi anaswa akifanya mapenzi na Mbwa....Mtuhumiwa akimbia, Polisi inamsaka mbwa huyo kumfanyia uchunguzi

$
0
0
KATIKA hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz, alitaja jina la mtu huyo (jina tunalihifadhi), akisema anadaiwa kukutwa akifanya kitendo hicho usiku wa kuamkia jana kwenye chumba chake.   Kamanda Boaz alisema majirani zake, ndiyo

Diamond Platnumz kufanya video nyingine mpya nchini Uingereza

$
0
0
  Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kuwa yeye ni mfano wa kuigwa kutokana na jitihada kubwa anazozifanya za kujiimarisha na kujitangaza katika soko la Afrika. Baada ya kufanya collabo na baadhi ya wasanii wa Nigeria aliko hivi sasa, ameweka wazi mpango wake wa kufanya video nyingine nchini Uingereza. Platnumz ambaye amefanikiwa kufanya collabo na Kukere master Iyanya, amesema mara

Scenes za Uchi kwenye filamu ya TITANIC bado zinamsumbua Kate Winslet ambaye alikubali kusaula nguo zake kwenye filamu hiyo ili Leonardo DiCaprio’ alichore umbo lake

$
0
0
  Kate Winslet bado anasumbuliwa na scene yake ya uchi  kwenye filamu ya ‘Titanic.’ Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar aliyeigiza kama Rose DeWitt Bukater, alisaula nguo zake kwenye filamu hiyo ya mwaka 1997 ili Leonardo DiCaprio’ aliyeigiza kama Jack Dawson alichore umbo lake tupu, anakubali kuwa hukosa amani kuangalia sehemu za filamu hiyo na hukataa kusaini picha zilizochorwa kuigiliza

Daz Baba akanusha kutumia Bangi na Madawa mengine ya kulevya ....Adai bado yupo physically and mentally fit

$
0
0
Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani. Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yupo fit kuendeleza gurudumu lake la muziki.   “Kikumbwa mashabiki wangu wajue zile habari walizokuwa wanazisikia kwenye magazeti ni uzushi tu,” alisema.  “

Afrika Kusini yaanza kugawa bure kondom zenye rangi na harufu nzuri kwa wanafunzi wa sekondari

$
0
0
Serikali ya Afrika Kusini imeanza mpango wa kuwapa bure vijana wa shule za sekondari kondom zenye rangi tofauti tofauti na ambazo zina harufu nzuri ya kuvutia.   Mpango huu unalenga kuzuia wanafunzi kuchoka kutumia mipira ya kawaida ya kondom wanaposhiriki ngono. Waziri wa afya Aaron Motsoaledi, ameyasema hayo baada ya utafiti uliofanywa nchini humo kuonyesha kuwa matumizi ya mipira

Mwalimu amchapa mwanafunzi wa darasa la saba hadi kufariki dunia

$
0
0
Hii ni taarifa kutoka Kenya ambapo inasemekana Wazazi katika kaunti ya Kirinyaga mkoa wa Kati nchini Kenya wameandamana kwa hasira baada ya mwalimu mmoja kumchapa mtoto mmoja wa shule ya msingi hadi kupoteza maisha. Mtoto huyo inasemekana alichapwa kichwani na mwalimu na kuzirai na alipokua akipelekwa hospitali alifariki dunia,ambapo wazazi hao wameandamana kwa amani wakitaka hatua

Watu watatu wafariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi machimboni Dar es Salaam

$
0
0
 Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam  wamefariki dunia.  Shughuli ya uokoaji ikiendelea.  Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.  Watu waliofika eneo la tukio kuwatambua marehemu. Watu  watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana  wa leo wamefariki dunia

Jaji Augustino Ramadhani awataka wajumbe kujadili Rasimu ya katiba kwa makini.....

$
0
0
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative For  Eastern African Tanzania (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa

Mgombea ubunge Chalinze, Ramadhani Mgaya avamiwa na kukatwa mapanga

$
0
0
Mgombea  Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.   Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usiku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.   "Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu

Walimu Wapya waliopangiwa Mkoani Kigoma wapokelewa kwa Shangwe kubwa....Wapewa magodoro, taa na pesa ya ziada ya kujikimu

$
0
0
   Walimui zaidi ya 350 wa shule za msingi na sekondari waliopangiwa kufanyakazi ya kufundisha katika halmashauri ya wilaya ya kigoma wamepokelewa kwa mbwe mbwe na bashasha huku wakipewa motisha mbali mbali kwa kuwahamasisha kufanya kazi kwa bidii hatua inayotarajia kuinua kiwango cha elimu wilayani humo na mkoa wa kigoma kwa ujumla kwa mpango wa matokeo makubwa sasa.   Walimu hao

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 5 April 2014

$
0
0
                        Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  5  April  2014

Lulu Michael awataka wasichana kujishughulisha ili wapate pesa za kujikimu badala ya kutegemea Kuhongwa na wanaume

$
0
0
  Elizabeth  Michael ‘Lulu’   ambaye  kwa  sasa  yupo  jijini  Mwanza  kusaka  vipaji  vya  Bongo  Movie amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali  za  kuwaingizia  pesa   badala ya kutegemea  kuhongwa fedha na matajiri  wa kiume  kwani ni aibu. Akizungumza  nasi  pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alifunguka:   “Jamani wasichana

Muimbaji wa kike wa Nigeria adai ataitoa bikira yake kwa mwanaume atakayemnunulia mama yake ndege

$
0
0
Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi. Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema: Hujawahi kuona msichana mrembo ambaye ni bikira? Mtu yeyote atakayemnunulia mama yangu ndege binafsi nimemuahidi (mama yangu) ataushika moyo wangu.” Aliongeza kuwa haamini katika

[Audio]: Ridhiwani Kikwete asema anauhitaji ukatibu mkuu wa CCM kuliko Urais ....."Na siku moja nitakuwa tu"

$
0
0
Mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete ameeleza nia na ndoto yake ya kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku za usoni.   Ridhiwani Kikwete ameeleza ndoto yake hiyo katika kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm, wakati akijibu swali kuhusu nafasi ya uongozi anayoipenda zaidi, swali lililoulizwa na Fred ‘Fredwaa’ Fedilis.   “Mimi wishes zangu…

Mtambo wa kudhibiti simu uliozinduliwa na Rais Kikwete wakabiliwa na changamoto

$
0
0
Mamlaka  ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema  mtambo uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kudhibiti udanganyifu katika mitandao ya simu za kimataifa, unakabiliwa na changamoto ikiwamo kutokuwa na uwezo wa kubaini uhalifu wa simu unaofanywa ndani ya nchi. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy, kwa niaba

UKAWA waumbuana ndani ya bunge......Ni kwa kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara

$
0
0
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa

Ibara muhimu sura ya kwanza na ya sita zakataliwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba

$
0
0
Baadhi ya ibara muhimu za sura ya kwanza na ya sita za Rasimu ya Katiba zimekataliwa na wajumbe wa kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba baada ya kukosa theluthi mbili kutoka kila upande wa Muungano Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa wenyeviti wa kamati hizo imeshindikana kutoa uamuzi kutokana na kanuni kuelekeza idadi ya wajumbe wanaopaswa kufanya maamuzi kufikia

Michango Imeshindikana....Mtanzania mwenzetu Agustine Michael Lukindo imebidi ACHOMWE MOTO huko Wisconsin, Marekani

$
0
0
Watanzania wa Wisconsin, Marekani wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Agustine  Michael  Lukindo.... Pamoja na jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda kuchukua

Wananchi wa Chalinze kumchagua mbunge wao leo.....

$
0
0
Baada ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi.  Katika kipindi chote cha kampeni, vyama vitano vilichuana kumwaga sera  usiku na mchana katika Kata 15 za jimbo hilo, kila kimoja

Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 6 April 2014

$
0
0
                Magazeti  ya  leo  Jumapili  ya  tarehe  6  April  2014 <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>