Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ray C kuonekana kwenye TV na Cover ya wimbo mpya hivi punde, apiga picha za ujio wake

$
0
0
Subira ya mashabiki wa Ray C inaelekea ukingoni huku hamu ya kusikia sauti yake tena ikiongezeka kila anapo-tease ujio wake.   Jana, Ray C amepost kwenye Instagram picha ambazo zinaonekana kuwa ni maalum kwa ajili ya utambulisho wa ujio wa kazi zake huku maandishi yake kwenye post moja yakiashiria huenda picha hizo zikawa ni sehemu ya video ya wimbo wake.   “Behind the seen @

Uchawi: Chungu cha ajabu chaibuka juu ya kaburi la mtoto huku kikivuja damu

$
0
0
Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu. Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa  na damu, maini na kichwa cha ndege. Wananchi wakishuhudia chungu hicho cha ajabu kilichopo kushoto karibu na jembe. Baba wa mtoto Agnes Mlawa akichimbua chungu hicho. Baba  wa mtoto huyo kulia

Wagombea ubunge jimbo la Chalinze wapiga kura zao

$
0
0
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akihakiki taarifa zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kata namba 3 Bwilingu, Chalinze. Aziza ambaye ni mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia baba yake kuweka kura kwenye sanduku la kura. Ridhiwani alipigia kura yake

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waungana na wanaChalinze kumchagua mbunge wao leo

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Matokeo ya awali Jimbo la Chalinze yanaonesha kuwa Ridhiwani Kikwete ( CCM ) anaongoza kata zote 15 kwa kishindo

$
0
0
Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo yanaonesha kuwa mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kata  zote 15....   Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze imemalizika  na matokeo  rasimi  yatatangazwa muda wowote kuanzia sasa. Aziza ambaye ni mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia baba yake kuweka kura kwenye sanduku

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 7 April 2014

$
0
0
                          Magazeti   ya  Leo  Jumatatu  ya  tarehe  7  April  2014 <!-- adsense -->

Ridhiwani Kikwete ashinda kwa asilimia 86 ( 86.8 % ) uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Chalinze.....

$
0
0
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ilyosomwa TBC saa moja asubuhi ya Aprili 7, 2014, Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo  la Chalinze, Samuel Sarianga amemtangaza aliyekuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa ndiye mshindi. Mgombea huyo amepata jumla ya kura 20,828 (86.8%). Washiriki wengine na kura walizopata ni CHADEMA 2,544 (10.5%) CUF

Mamalaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ) imetoa TAHADHARI 15 muhimu dhidi ya uhalifu unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi

$
0
0
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za

Penny afunguka....Adai bado yupo SINGLE tangu amwagane na Diamond, asema akipata mwingine lazima kila mtu ajue

$
0
0
Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri. Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na  gazeti la Ijumaa kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.   “Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama

CHADEMA mkoani Katavi yabariki kung'olewa madarakani kwa mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho na kuwavua uanachama baadhi ya madiwani

$
0
0
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema mkoani Katavi wameridhia kwa kauli moja na kubariki uamuzi wa kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho, John Malack na viongozi wengine watatu waandamizi wa chama hicho, Jimbo la Mpanda Mjini.   Viongozi hao watatu ni pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Mpanda Mjini, Seif Sipia, Katibu wa jimbo hilo, Joseph Mona ambaye pia ni Katibu

Serikali YABANA usajili wa Sekondari....Kuanzia sasa shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma

$
0
0
KUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza.   Wakati agizo hilo linagusa shule za Serikali pamoja na za binafsi zinazojengwa, kwa upande wa shule zilizopo ambazo hazina mahitaji hayo, unaandaliwa mkakati hatimaye zote ziwe na maabara na maktaba.   Akizungumza na mwandishi katika mahojiano

Watanzania wanne wakamatwa na polisi wa Macau China wakijihusisha na biashara ya ngono

$
0
0
  Wanawake wanne wa Kitanzania  wamekamatwa katika jimbo linalojitegemea la Macau, nchini china wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba na wengine kwa kusafirisha watu kwa lengo la kufanya biashara ya ngono. kinyume cha sheria (human trafficking).... Polisi walipewa fununu kuwa kuna biashara ya ukahaba inafanyika katika hoteli moja iliyopo jimboni humo. Polisi walipofanya msako,

Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea....."R.I.P daddy angu"

$
0
0
  Leo (April 7), ni miaka miwili tangu afariki Steven Kanumba, muigizaji aliyeacha pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.   Aliyekuwa mpenzi wake na muigizaji aliyeshirikiana nae katika kazi ya uigizaji wa filamu tangu akiwa mdogo, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amepost video yenye picha kadhaa za Kanumba na za kwake na ameandika ujumbe maalum kwa ajili

Timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania yatwaa ubingwa wa dunia

$
0
0
Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada ya kuilaza Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa jana (Aprili 6), jijini Rio de Janeiro, Brazil.   Mshambuliaji Frank William alifunga mabao matatu katika mechi hiyo iliyochezwa uwanja mkongwe na maarufu wa klabu ya Fluminense huku mgeni rasmi akiwa Waziri wa Fedha wa

Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 8 April 2014

$
0
0
                            Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  8  April  2014 <!-- adsense -->

Viongozi wanne wa CHADEMA Mkoani Arusha wajivua Uongozi, Warudisha kadi za chama na kujivua uanachama wa chama hicho

$
0
0
Viongozi wanne wa CHADEMA toka ngazi ya Wilaya na Kata katika Mkoa wa Arusha wameachia nyadhifa zao na kujitoa uanachama wa chama hicho.   Viongozi hao, Amani Torongey (Mwenyekiti Monduli), Revocatus Parapara (Mwenyekiti Ngorongoro), Gerald Majengo (Mwenyekiti Kata ya Terati) na Prosper Mfinanga (Katibu Mwenezi Kata ya Olorien) wamekutana na wanahabari kueleza kuwa wameamua kuwa raia

Rais Kikwete na Rais wa Zanzibar waongoza mamia kumuombea dua Abeid Karume

$
0
0
  Rais Jakaya Kikwete na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  jana  wamewaongoza mamia ya wananchi katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi marehemu  Abeid Amani Karume.   Karume aliuawa April 7 mwaka 1972 akiwa katika jengo lililokuwa Makao Makuu ya Chama cha Afro Shirazi huko Kisiwandui mjini

Polisi wa Uganda wakiwa na bunduki wavamia Tanzania na kuanza kufyatua risasi ovyo.....Watanzania wawili wajeruhiwa kwa risasi

$
0
0
Askari  saba kutoka nchini Uganda wakiwa na bunduki ambazo idadi yake haijafahamika, wamevamia eneo la Mutukula, mkoani Kagera, na kuanza kufyatua risasi ovyo.Hali hiyo ilizua hofu na kusababisha tafrani kubwa miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Habari kutoka eneo hilo zinaeleza kuwa askari hao waliokuwa wamevalia kiraia, walifanya uvamizi huo majira ya saa 11:00 jioni, kwa kile

Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba atembelea viongozi wa dini.....

$
0
0
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kulia) ofisini kwake leo mjini Dar es salaam kuhusu maendeleo ya Bunge Maalum. Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo. Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Simba akiwa ofisini kwake

Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa taarifa ya Mfumuko wa Bei nchini....Yadai kuwa mfumuko wa bei umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita

$
0
0
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini unapimwa kwa kipimo cha mwezi. ( Na. Aron Msigwa/MAELEZO - Dar es salaam) Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini  kwa mwezi Machi umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images