WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano), Bw. Stephen Wassira aliwavunja mbavu waombolezaji waliofika kwenye
mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara marehemu John Gabriel Tuppa
yaliyofanyika nyumbani kwake Kilosa mjini, mkoani Morogoro.
Akitoa salamu za rambirambi kwa
niaba ya wabunge wa mkoa wa Mara, Bw. Wassira alisema watu wote waliohudhuria
mazishi hayo wanataka kwenda peponi
Wassira avunja mbavu waombolezaji mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara marehemu John Gabriel Tuppa
↧
↧
Rais Kikwete astushwa na ajali kubwa iliyotokea Jumamosi, Machi 29, 2014 na kusababisha vifo vya watu 21 na majeruhi 11
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amestushwa
na kuhuzunishwa na ajali kubwa iliyotokea usiku wa Jumamosi, Machi 29,
2014, katika Mkoa wa Pwani ikihusisha magari matano na kusababisha vifo vya
watu 21 na majeruhi 11.
Rais
Kikwete amevielezea vifo hivyo kuwa siyo vya lazima na ni upotevu wa bure wa
maisha ya Watanzania.
Katika
salamu za
↧
Majina ya walimu wa Ajira Mpya waliokubaliwa kubadilisha Vituo vya kazi
WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya
mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada ya
kupokea na kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu walioomba
kubadilishiwa vituo.
Hivyo walimu wote walioomba kubadilishiwa vituo lakini majina yao hayapo katika orodha hii kwa ngazi
↧
Watu 6 wauawa kwa milipuko jijini Nairobi Kenya.....
WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya
milipuko miwili kutokea eneo la Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana
usiku.
Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa mdogo na kituo cha mabasi kilichopo eneo hilo la Eastleigh.
Polisi wameeleza kuwa waliopoteza maisha walikuwa wamekwama ndani ya mghahawa huo wakati wakisubiri kununua chakula cha
↧
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 1 April 2014
↧
↧
Bunge la katiba: Hofu yatanda upitiaji Rasimu.....Wajumbe wahofia misimamo ya vyama kuhusu serikali mbili au tau
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Bw. Samuel Sitta, jana ameahirisha shughuli za Bunge hilo hadi Aprili 4 mwaka huu, ili kutoa fursa kwa kamati 12 zilizoundwa kujadili Rasimu ya Pili ya Katiba kuanzia sura ya kwanza hadi ya sita.
Alisema sura hizo ndizo zilizobeba mfumo mzima wa Serikali, Bunge, Mahakama, Haki za Binadamu na mambo mengine.
Akiahirisha shughuli za Bunge hilo mjini
↧
Mtumbwi wazama mto Rufiji....Watu saba hawajulikani walipo mpaka sasa
MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba hawajulikani walipo baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvuka Mto Rufiji, kupinduka na kuzama majini.
Tukio hilo lilitokea juzi saa mbili usiku katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani baada ya mtumbwi huo kugonga kivuko kilichokuwa majini ambapo ajali hiyo ilichangiwa na mto huo kujaa maji.
Akizungumzia ajali hiyo, Kamanda wa Polisi mkoani
↧
Taarifa Muhimu kuhusu ziara ya Rais Kikwete nchini Uingereza
Uingereza
inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea
kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo .
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa
mazungumzo yaliyofanyika 10 Downing Street, tarehe 31 March, 14,
ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza.
"Tunafurahia sana uhusiano
↧
Wahanga wa shambulizi la kigaidi kwenye ubalozi wa Marekani wa Kenya na Tanzania (1998) kulipwa $907m
Jaji John Bates
Jaji wa mahakama ya Washington nchini Marekani ameamuru kulipwa jumla
ya dola milioni 907 za Marekani kwa wahanga wa shambulio la kigaidi la
bomu kwenye ubalozi wa Marekani jijini Nairobi, Kenya na Dar es Salaam,
Tanzania mwaka 1998.
Hukumu hiyo ilitolewa March 28 na Jaji John D. Bates. Katika shambulio hilo la August 1998 kwenye balozi za Kenya na
Tanzania zaidi ya
↧
↧
Mtoto asababisha FUMANIZI zito ndani ya hospitali ya Mwananyamala.....
TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.
Mwandishi ambaye alikuwa hospitalini hapo saa 5 usiku, alishuhudia mke huyo anayedaiwa kuwa wa ndoa akimpiga ngumi ‘nyumba ndogo’
↧
Matukio katika picha kwenye kamati za Bunge Maalum la Katiba.
Mwenyekiti
wa Kamati namba tano(5) ya Bunge Maalum la Katiba Hamad Rashid Mohamed
(katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia
vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti
wa Kamati namba kumi(10) ya Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti (katikati)
akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu
mbalimbali vya
↧
Kamati za Bunge Maalum la Katiba zaanza kazi vizuri, ila baadhi wasema muda wa siku mbili hautoshi kujadili sura ya 1 na sura ya sita.
Mwenyekiti
wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba
Anne Kilango Malecel akifafanua jambo kwa waandishi wa habari hawapo
pichani katika ukumbi wa mikutano wa St. Gasper leo mjini Dodoma.
*******
Na Magreth Kinabo – Dodoma
Kamati 12 za Bunge Maalum
zimeaanza kazi vizuri ya kuchambua Rasimu ya Katiba, huku baadhi ya wenyeviti
wakisema kuwa muda wa siku mbili wa kujadili sura ya
↧
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 2 April 2014
↧
↧
Watoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto.....
Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo
wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya
kuteketea kwa moto ndani ya nyumba.
Tukio hilo lilijiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa
Rufita, Mwanza-Road mjini Tabora baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi
kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani.
Habari za awali zilieleza
↧
Zoezi la kuondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es salaam limeanza.
Zoezi la kuwaondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam
limeanza ambapo halmashauri ya manispaa ya temeke imefanikiwa kuwakamata
baadhi ya ombaomba walioonekana katika maeneo ya manispaa yao kwa lengo
la kuwafikisha mahakamani na wengine kurejeshwa makwao.
Zoezi hilo limeendeshwa na maafisa wa manispaa ya
Temeke kwa kuzungunguka katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo kwa
↧
Jini Kabula afunguka......Adai kuwa UKIMWI utawamaliza wasaii wengi wa Bongo Movie kwa kuwa wanapenda maisha ya anasa
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida na kustua ,msanii mkongwe katika kiwanda cha Bongo
movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema
kuwa hakika gonjwa hatari la UKIMWI litawateketeza wasanii wote wa
Bongo movie na hakuna atakayebaki kama hawatobadilika kitabia.
Akiongea
na gazeti la Maskani Bongo Jini Kabula alisema kuwa wasanii wengi wa bongo movie
↧
Bunge la Afrika Mashariki lavunjika
Arusha. Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeanza kuonekana kufanana na Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma.
Bunge hilo jana limevunjika bila kujulikana
litakutana tena lini baada ya kuibuka mabishano ya kisheria kuhusu hoja
ya kutokuwa na imani na Spika, Margret Zziwa.
Hoja ya kumng’oa Spika Zziwa ilianza
↧
↧
Kiongozi wa kidini mjini Mombasa, Sheikh Abubakar Shariff (Makaburi) auawa kwa kupigwa risasi
Kiongozi wa
Waislam wa mlengo wa siasa kali anayeitwa Abubakari Sharif maarufu kama
Makaburi ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Kenya usiku wa kuamkia leo.
Habari zinasema kuwa Makaburi aliuawa katika mtaa wa Shanzu mjini Mombasa ambako alikuwa anaishi.
Polisi wamekuwa wakimtuhumu Makaburi kwa kueneza itikadi kali za
kiisilamu miongoni mwa vijana wa kiisilamu mjini
↧
Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA yapigwa kalenda hadi Mei 29.
KESI ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Kabwe Zitto dhidi ya chama hicho, imeahirishwa hadi Mei 29 mwaka huu, itakapotajwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Msajili wa Mahakama Kuu, Amir Msumi aliahirisha kesi hiyo jana kwa kuwa Jaji John Utamwa anayeisikiliza, anaumwa.
Katika kesi hiyo, Zitto anaomba Mahakama itoe zuio kwa Kamati Kuu au
↧
Inasikitisha sana: Kijana auawa kwa KUCHOMWA MOTO wilayani Ilemela Mkoani Mwanza baada ya kutuhumiwa kuiba pikipiki na paneli ya Solar
Mtu mmoja anaesadikiwa
kuwa ni jambazi ambaye hakufahamika jina anayekadiliwa kuwa na umri wa
miaka 25 ameuwawa kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na mwingine
kunusurika kuuwawa.
Tukio
hilo limetokea jana
alfajiri katika kijiji cha Shibula kata ya Bugongwa wilayani
Ilemela Mkoani Mwanza kufuatia tukio la wizi lilotokea usiku wa kuamkia
jana katika mtaa wa Nyamwilolelwa
↧
More Pages to Explore .....