Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lembeli atangaza kurejea CCM

$
0
0
Mbunge wa zamani wa Kahama, James  Lembeli ametangaza kurejea CCM.

Ametangaza uamuzi huo leo Juni 13, 2018 muda mfupi baada ya kutangaza kuachana na siasa akidai ni kwa sababu ya kubanwa na utaratibu wa mashirika ya kimataifa anayofanyia kazi yasiyotaka mtu anayejihusisha na siasa.

Mbunge huyo wa zamani wa Kahama kwa miaka 10 amefikia uamuzi huku akilia baada ya mama yake mzazi, Maria Lembeli (80), kumshurutisha hadhari kurejea CCM.

Maria ameeleza kusononeshwa na uamuzi wa mwanaye kuhamia Chadema mwaka 2015.

Kauli hiyo ilipokewa kwa nderemo na vifijo na watu umati uliohudhuria shughuli hiyo

Awali, Lembeli alitangaza kuachana na siasa akitaja sababu kuu mbili; kwanza, mashirika na taasisi anazofanya nazo kazi zimemwambia achague moja kubaki kwenye siasa au kuendelea kushirikiana na taasisi hizo.

Akizungumza nyumbani kwake katika kKjiji cha Mseki, kata ya Bulungwa wilayani Ushetu, alisema sababu ya pili iliyomfanya aachane na siasa ni matatizo ambayo familia yake inayapitia baada ya yeye kujiunga na Chadema.

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) wataka uchunguzi tukio la daktari kupigwa na polisi

$
0
0
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kimelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza na kuweka taarifa sahihi kuhusu tukio la kushambuliwa na polisi kwa Mkuu wa Kituo cha Afya cha Katoro, Geita Dk Peter Janga.

Katika taarifa iliyotolewa na MAT leo Juni 13, na kusainiwa na Rais wa chama hicho Dk Obadia Nyongole, Dk Janga alishambuliwa na polisi akiwa kazini Juni 6 mwaka huu.

“Chama cha Madaktari Tanzania tunatoa pole kwa daktari na watumishi wenzake kwa kitendo dhalimu kilichofanywa na jeshi la polisi wilayani geita. Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa wazi na shirikishi ili kuweka taarifa sahihi,” imesema taarifa hiyo

 Kadhalika taarifa ya MAT imezitaka mamlaka husika  kuchukua hatua kali kwa wote waliohusika na unyama huo.

“Tunawaomba madaktari kuwa watulivu wakati huu mgumu kwa mwenzetu huku tukiendelea kufuatilia kwa karibu tukio hili.” Imesema taarifa hiyo

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally aonyesha makali yake CCM

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema atawafukuza uanachama watendaji wote watakaoonekana wanabeba mikoba ya wagombea na kushabikia makundi ya siasa ndani ya chama hicho.

Dk Bashiru ameyasema hayo leo Juni 13 akiwa katika makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma wakati akizungumza na wanachama pamoja na watumishi wa chama hicho mkoani hapa.

Amesema ni marufuku watendaji wa chama hicho kuwa na makundi ya siasa ndani kwani hali hiyo ikitokea chama hakiwezi kuendelea mbele.

“Ni marufuku mtendaji wa chama kumshangilia mgombea wa kisiasa, kwani hiyo inapelekea kuwa na makundi, sasa tujiulize kila mtendaji akiwa na mgombea wake chama kitakalika?

“Hivyo nitawafukuza watendaji wote ambao wataonekana wanabeba mikoba wa wagombea, waacheni wanachama wa kawaida wafanye hivyo ila si ninyi watendaji ambao mnalipwa hela za wananchama,” amesema.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya June 14

Je! Ni Kweli Mtu Akichanjiwa Lufakale Hawezi Kufa ?

$
0
0
Lufakale  ni  mti  unao patikana  porini.  Ni  mti mzito  na wenye  mambo  mazito sana. Mti  huu  una sifa  nyingi lakini  inayo julikana  zaidi  na  watu  ni  sifa  moja.  Nayo  ni  kwamba mtu  akichanjiwa  mti  huu  basi  hatokufa.

Ukitaka  kuuchuma  mti  huu  porini  unatakiwa  kuwa  makini  sana  upepo  usikupulize  wakati  una  uchuma  yaani  ukae  upande  unakotoka  upepo na  sio  upande  unakoelekea  upepo  vinginvevyo  utakufa.

Kama  utataka  kuchimba  mizizi  yake  basi  uchimbe  bila  kuhema. Unachimbwa  siku  maalumu  na  muda  maalumu. Usiuchimbe  wakati  wa  mchana  wa  jua  kali  kwani  unapokuwa  unauchimba kivuli  chako  hakitakiwi  kuakisiwa  kwenye  mti.  Na  endapo  utaenda  kinyume  basi  utakufa.

Wachawi wana  upenda  sana  mti  wa  Lufakale. Wanautumia  kufanya  mambo  mengi  mazito  mazito  ikiwemo  kujikinga  dhidi  ya  wachawi  wenzao au  maadui  zao.

Mtu  akichanjiwa  mti  wa  Lufakale  basi  hawezi  kuuliwa  kwa  uchawi  wa  aina  yoyote  ile  wala  kulogwa  na  mchawi  wa  aina  yoyote  ile.  Hata  wachawi wenyewe  wanautumia  mti  wa  Lufakale  kutenegeneza  kinga dhidi  ya  wachawi  wenzao.

Sifa  kubwa  ya  mti  wa  Lufakale  ni  kwamba  anae  chanjiwa  mti  huu  hafi.  Je  ni  kweli  kwamba  mtu  akichanjiwa mti  wa  Lufakale  hafi ?

Kwanini  watu  wanasema  mtu  akichanjiwa  Lufakale  hawezi  kufa ?

Mtu   akichanjiwa  Lufakale  hawezi kufa  kwa  sababu  moja  kuu  nayo  ni  kwamba majini wa mti  huu  huendelea  kuushikilia mwili  wa  mtu alie  chanjiwa  hata  baada  ya  roho  ya  mtu  huyo  kuuacha  mwili.  Na  kama  ndugu  wa  mhusika hawatakuwa  wajanja  basi  majini  hao  wanaweza  kuendelea  kuushikilia  mwili  wa  mhusika  kwa   miongo na  miongo. Mnakuwa  mnaishi  na  mtu  ndani  ambae  anaonekana  amekufa  kabisa  na  ana onyesha  dalili  zote  za  mtu  alie  kufa  ikiwemo  kutoa  harufu  mbaya  lakini  anakuwa  bado  anapumua.

Kwa  kawaida  mtu  alie chanjiwa  Lufakale  huishi  miaka  mingi  sana  . Mtu  huyo  huzeeka  kiasi  cha  kufikia  hatua  ya  kutokuwa  na  uwezo  wa  kutoka ndani  mwenyewe.

Anakuwa  wa  kitandani  tu.  Vitukuu  wake  wanakuwa  wanambeba  wanamtoa  nje  kuota  jua  na kumrudisha  ndani. Hali  hii  inaweza  kuendelea  kwa  miongo  na  miongo.  Vitukuu  watapata  watoto  wajukuu  na  vitukuu  lakini  yeye  anakuwa  yupo  tu  katika  hali  hiyo  hiyo  ya  kubebwa  na  kurudishwa  ndani.

Kimuonekano, anakuwa  anaonekana  amekufa  kabisa  na  anakuwa  anaonyesha  dalili  zote  za  mtu  aliekufa  ikiwemo  kuoza  na  kutoa  harufu  lakini  bado  anakuwa  na  uhai.

Ndio  lilipo  zaliwa  jina  Lufakale  yaani  ameshakufa  tangu  kale.

Msipokuwa  na  ufahamu  kuhusu  mti  huo  wa  Lufakale  na  taratibu  na  masharti  yake  mnaweza  kuhangaika  na  mtu  wenu  hata  kwa  miongo  minne.

Kiukweli  kabisa  mtu  huyo  anakuwa  tayari  ameshakufa, yaani  roho inakuwa  imeuacha  mwili. Kinacho  baki  kushikilia  mwili  wake  ni  hao  majini  wa mti  wa  Lufakale.

Kwa  bahati  mbaya  au  nzuri  siku  hizi  watu  wengi  wanao ogopa  sana  kuchanjiwa  Lufakale.  Ila  miaka  ya  nyuma  ilikuwa  watu  wakiona  hali  kama  hiyo  basi  wali chokuwa  wanakifanya  ni  kuezua  manyasi  ya  kwenye  nyumba  ili  mwanga  wa  jua  umpige  mtu  huyo  akiwa  ndani  ya  nyumba  na  mtu  alipopigwa  tu  na  mwanga  wa  jua  majini  hao  wanao  shikilia  mwili  wake  humwacha  na hatimaye  mtu  huyo  kwenda  kuzikwa.

Mti  wa  Lufakale  pamoja  na  kujulikana  kutumika  zaidi  katika  kinga  dhidi  ya  maadui  wa  kichawi, lakini  pia  una matumizi  mengine  mengi.

Baadhi  ya  matumizi  ya  mti  wa Lufakale  ni  pamoja  na  kutumiwa  na  wachawi  kuwalisha  misukule  siku  moja  baada mazishi  batili  ya  misukule  hao  kufanyika.

Msukule  akisha  nyweshwa  Lufakale  basi  atasahau  kila  kitu  alicho  kuwa  anakijua kuhusu yeye  mwenyewe , kuhusu  ndugu  zake  na  maisha  yake  kwa  ujumla.

Ndio  maana  wachawi  wakisha mchukua  mtu  msukule  na  kunyweshwa  dawa  ya  Lufakale  kabla  hata  ya  kumkata  ulimi  huwa  lazima  wampitishe  nyumbani  kwao  na  kumuonyesha  watu  wa  nyumbani  kwao  ili  kuona  kama  atawakumbuka.

Lufakale  hutumika  pia  katika  mapenzi  na  biashara.

Maelezo ya  kina  kuhusu  mti  wa  Lufakale  nimeyaelezea  ndani  ya  kitabu  change  kiitwachao  MAMBO  TISA  YANAYO  UNDA  NYOTA  YA  MWANADAMU : UHUSIANO  KATI  YA  NYOTA  YA  MTU  NA  MAFANIKIO  YAKE  KATIKA  MAISHA.

Kitabu  hicho  kitakuwa  mtaani   kati kati  ya  mwezi  Julai  mwaka  huu. Mbali  na  habari  kuhusu  mti  wa  Lufakale  ndani  ya  kitabu  hicho  utapata  kujifunza  kuhusu  mambo  mengi  sana  muhimu  katika  ulimwengu  usio  onekana. Kufahamu  kuhusu  mambo  utakayo  jifunza  kupitia  kitabu  hicho, tembelea: http://mungwakabhili.blogspot.com/2018/06/mambo-tisa-yanayo-unda-nyota-ya.html

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  DOKTA  MUNGWA  KABILI. ANAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA  0744  000  473.

Waziri Ummy Aziagiza Halmashauri Zote Nchini Kuweka Kambi Za Uchangiaji Damu Mara Tatu Kwa Mwaka

$
0
0
Na.Alex Sonna,Dodoma
Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amezitaka halmashauri zote nchini kuweka kambi za uchangiaji damu mara tatu kwa Mwaka ili kuweza kufikia lengo la kukusanya damu kwa asilimia 60 kwa Mwaka.

Amesema hayo jana wakati  wa kuelekea katika Maadhimisho ya Siku ya Uchangia Damu Duniani ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho,Asubuhi katika Jiji la Dodoma maeneo ya Nyerere Square na kuwaomba wananchi na wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi katika Zoezi hilo ambalo ni muhimu kwa Taifa.

Amesema Matukio ya Uchangia damu yamekuwa yakiokoa maisha hasa kwa kina Mama pamoja na Watoto kwa hiyo ni wajibu wa kila Halmashauri kuratibu na kusimamaia zoezi hilo kwa utaratibu mzuri kwani hadi sasa Tanzania imefanikiwa kukusanya kiasi cha Asilimia 45 ya mahitaji ya damu.

Hata hivyo amesema kuwa kiwango cha Damu kinachohitajika kukusanya kwa mwaka kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani WHO ni asilimia moja ya idadi ya watu ambapo Tanzania inahitaji kukusanya chupa laki tano na arobaini ambayo bado haijafikiwa.

Pia Mhe.Mwalimu, amesema kuwa kwa sasa watajikita katika kukusanya damu za makundi adimu ambayo yamekuwa yakikosekana kwenye benki za damu kama kundi A negative,B negative, 0 negative na AB negative.

Kwa Upande wa Dk Magdalena Lyimo  ambaye ni meneja wa mpango wa damu salama amesema kuwa bado Tanzania haijafikia idadi ya chupa za damu zinazohitajika huku Kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk.Nasoro Mzee  ameeleza kuwa kiasi cha damu kilichopo mkoa wa Dodoma bado ni kidogo hivyo Wadau wanahitajika kuhamasisha jamii ili iwe na utayari wa kuchangia damu bila wasiwasi

Siku ya uchangiaji damu duniani inaadhimishwa kila ifikapo 14 amapo Tanzania inategeea kuwatumia wasanii mbalimbali katika kuhamasisha uchangiai wa damu ili kuokoa maisha ya watanzania.

BAKWATA yapiga marufuku kutangaza Eid

$
0
0
Baraza Kuu la waislam Tanzania (BAKWATA) limepiga marufuku utangazaji wa sherehe za Iddi na sherehe zozote zile za dini ya Kiislam bila kupata vibali vya baraza hilo ambalo ndio chombo kikuu cha kusimamia dini hiyo nchini.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Taifa BAKWATA na Msemaji Mkuu wa Mufti Mkuu Tanzania, Sheikh Khamis Mataka mbapo amesema kumekuwa na mkanganyiko wa siku na tarehe za sikukuu za Iddi kutokana na baadhi ya watu kujiamulia kutangaza bila kuwa na vibali vya dini hiyo hali ambayo imekua inaleta shida kwa waumini wa dini hiyo.

"Kufuatilia na kutangaza mwezi mwandamo ni suala muhimu na lenye kupewa uzito mkubwa sana na dunia kote jambo hilo huwa kuna mamlaka maalum ambayo inautangaza huo mwezi baada ya  kuuthibitisha", amesema Mataka

Pamoja na hayo, Sheikh Mataka ameendelea kwa kusema "leo Alhamisi Juni 14 ndio tarehe 29 Ramadhani na magharibi yake mwezi ufuatiliwa ili kama umeandama inatangazwa Eid Al Fitr".

Kwa upande mwingine,  Sheikh Mataka amewaomba umma wa kiislamu endapo watafanikiwa kuuona mwezi muandamo basi watoe taarifa kwa sheikh wake au Imam wa msikiti  ili mamlaka zinazohusika na kuutangaza ziweze kuujuza umma.

EID OFA Punguzo 20%, Pata saa Hii ya Automatic Hapa

$
0
0

  • bonyeza buy now kuagiza saa hii jaza detail zako tutaleta utalipa mzigo ukifika majiji yote TanzaniaSPECIFICATION
  • 1.automatic watch
  • 2.made with steel
  • 3.water proof 3atm
  • 4.full boxed

Mbowe na Wenzake Wasomewa Mashitaka Mapya 13

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na vigogo wengine saba wa chama hicho wamesomewa mashtaka mapya 13 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mbowe na wenzake walisomewa mashtaka hayo jana  Juni 12 na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Hayo yamejiri baada ya upande wa mashtaka Juni 11, 2018 kuamriwa na mahakama wafanye marekebisho katika hati ya mashtaka baada ya kuonekana kuna ubatili na mapungufu ya kisheri.

Akisoma hati hiyo mpya iliyofanyiwa marekebisho katika kesi hiyo Namba 112 ya 2018 Nchimbi aliwasomea mashtaka washtakiwa nane kwa kuwa mwenzao Esther Matiko mbunge wa Tarime mjini hakuwepo mahakamani kwa kuwa ni mgonjwa.

Hivyo, Nchimbi aliwasomea mashtaka Mbowe, mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu bara na Mbunge wa Kibamba John Mnyika.

Wengine ni Katibu wa chama hicho Dk  Vicenti  Mashinji, mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa Kawe Halima Mdee na  Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya.

Baadhi ya mashtaka waliyosomewa ni kula njama na kufanya mkusanyiko usio halali, wenye ghasi na kukiuka tamko la kutawanyika, kufanya mkusanyiko usio halali na kusababisha watu waogope.

Wanadaiwa kutenda makosa hayo, Februai 16 mwaka huu, barabara ya Kawawa Kinondoni Mkwajuni.

Mahakama ilielezwa kuwa, mkusanyoko huo ulipeĺekea hofu na hatimaye kifo cha Akwilina Akwilini, mwanafuni wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Usafirishaji(NIT)

Hakimu alisema mahakama itasikiliza maelezo ya awali Julai 18, mwaka huu.

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za Kupandisha nyota , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Kombe La Dunia Kuanza Leo, Wenyeji (Urusi) Wanafungua Michuano Na Saudi Arabia

$
0
0
Sherehe ya ufunguzi inabidi kuanza nusu saa kabla ya Urusi kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Saudi Arabia (mishale ya saa 18:00 za jioni) Sherehe hizo zitadumu kwa muda wa nusu saa tu ili kupisha mechi.

Urusi ndiyo wenyeji wa michuano hiyo na wanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri ingawa timu yao haina wachezaji wenye majina makubwa, mechi hiyo ambayo itaanza saa 12 jioni kwenye Dimba la Luzhinki, inatarajiwa kuonyesha picha halisi ya michuano hiyo itakavyokuwa.

Hofu kwa mashabiki wa Urusi ni kitendo cha nchi yao hiyo kushindwa kushinda mchezo hata mmoja wa kujiandaa na michuano hiyo ingawa wachambuzi wengi wa soka wanaamini kuwa siyo kipimo sahihi.

Timu hiyo iliyopo chini ya kocha Stanislav Cherchesov, ipo Kundi A na Misri, Saudia Arabia wenyewe na Uruguay ambao wanapewa nafasi kubwa ya kuwika kwenye kundi hilo.

Naibu Waziri Mabula Apata Pigo Tena

$
0
0
Naibu  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula.  amepata pigo la kuondokewa na mumewe aliyefariki dunia jana Jumatano, Juni 13, 2018 majira ya saa 11 jioni katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza.

Taarifa ya msiba huo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,  na kusomwa na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge,  ambaye amesema marehemu anatarajiwa kuzikwa Mwanza, keshokutwa Jumamosi.

Mwezi Aprili mwaka huu, Angelina Mabula alipata pigo kwa kufiwa na baba yake mzazi, Sylvester Lubala Shimba.

Mahakama yatengua kifungo cha miaka 15 jela cha Askari Polisi aliyemuua Mwangosi na kuamuru ashtakiwe upya

$
0
0
Mahakama ya Rufaa imetengua kutiwa hatiani kifungo cha miaka 15 jela alichopewa askari polisi, Pacificus Simon aliyeshtakiwa kwa kumuua mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi na kuamuru ashtakiwe upya.

Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa, Bernard Luanda, Shaaban Lila na Rehema Mkuye katika kikao kilichofanyika mkoani Iringa Juni 4, limesema utaratibu wa usikilizwaji wa kesi ulikiukwa kwa jaji aliyetoa hukumu kutorekodi na kuwasomea wazee wa baraza majumuisho ya kesi hiyo ili watoe maoni kama sheria inavyotaka.

“Kwa kutumia mamlaka ya Mahakama hii kama ilivyowekwa chini ya kifungu cha 4(2) cha Sheria ya Mamlaka ya Mahakama ya Rufaa (Aja), tunatamka kuwa mwenendo wote wa kesi na hukumu ni batili. Tunafuta hatia na kuamuru mrufani ashtakiwe upya mbele ya jaji mwingine na wazee wapya wa baraza,” inasema hukumu ya majaji hao.

Majaji hao walisema kabla ya kuanza kusikiliza rufaa, walibaini upungufu wa kisheria kuhusu mwenendo wa usikilizaji wa kesi.

Kifungu cha 298 (1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinatamka wazi pindi pande mbili zinapofunga kesi, jaji atatakiwa kutoa majumuisho ya ushahidi wa upande wa mashtaka na utetezi, na kuwataka wazee watoe maoni yao kuhusu kesi na kurekodi mwenendo huo kwa maandishi.

Majaji hao wamesema katika kesi hiyo inaonekana majumuisho yalifanywa kwa mdomo.

“Kama yalifanywa kwa mdomo tutajuaje kama jaji alifanya majumuisho ya kesi hiyo sawasawa na kama inavyotakiwa na sheria?” wanahoji katika hukumu hiyo.

Hukumu inasema, “Ni pale tu majumuisho ya kesi yanapokuwa katika maandishi tunaweza kuona kwa mfano, wazee wa baraza walijulishwa mambo yanayounda kosa la kuua, nani ana jukumu la kuthibitisha na kwa kiwango gani.”

Majaji wanasema kushindwa kuonyesha majumuisho ya kesi kwa wazee wa baraza kwa maandishi kumebatilisha mwenendo mzima wa kesi.

Julai 2016, Mahakama Kuu ilimhukumu kwenda jela miaka 15 askari Simon baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Mwangosi bila kukusudia.

Mwandishi huyo aliuawa Septemba 2, 2012 eneo la Nyololo wilayani Mufindi mkoani Iringa baada ya kutokea kutoelewana kati ya wafuasi wa Chadema na polisi waliotaka kuzuia mkutano wao.

Jaji aliyesikiliza kesi hiyo, Paul Kihwelo alisema aliridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka na kwamba kifungo cha miaka 15 kingemtosha mshtakiwa.

Hashim Rungwe Asema Yuko Tayari Kujiunga na Akina Mbowe ili Kuongeza Nguvu

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe amesema kuwa yupo tayari kuungana na upinzani pale muda utakapofika na kujiridhisha kuwa mipango inatekelezeka.

Rungwe amesema hayo wakati akizungumza na eatv.tv ambapo amefunguka kuwa endapo ataridhishwa na muungano huo wa vyama vya upinzani atajiunga ili kuongeza nguvu.

“Bado sijajua wanatekeleza vipi sera zao lakini pindi nitakapopata muda na kueleweshwa zaidi nitaungana nao kwakuwa muda ni kila kitu”, amesema Rungwe.

Rungwe ameongeza kuwa kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa kunapunguza hamasa kwa wananchi katika masuala mbalimbali kwa kile alichodai kuwa mikutano ya kisiasa imekuwa ikiongeza hamasa kwa wananchi.

Hivi karibuni viongozi hao wa vyama vya upinzani nchini ACT-Wazalendo pamoja na Chama cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA) walitangaza kuunda umoja utakaokuza na kuhamasisha demokrasia unaokwenda kwa jina la ‘United Democratic Front’ utakaohusisha asasi zingine pia na sio siasa pekee.

Waziri Mpango: Akiba ya Fedha za Kigeni Imeongezeka na Kupita Viwango vya EAC

$
0
0
Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango amesema akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa mwaka 2017, na kupita viwango vilivyowekwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Amesema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha mwenendo wa uchumi kwa mwaka 2017.

Dk Mpango amesema akiba hiyo imeongezeka kutoka Dola 5.9 bilioni za Marekani zinazotosha kuagiza hiduma na bidhaa kwa miezi 5.1 kutoka Dola 4.3 bilioni za mwaka 2016.

Waziri huyo amesema EAC inazitaka nchi wanachama kuwa na akiba inayotosha miezi 4.5.

Mbunge aiomba serikali kutoa elimu bure kidato cha tano na sita

$
0
0
Serikali kupiti Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia, William Ole Nasha amesema lengo la serikali huko mbeleni kadiri uwezo utakavyo ruhusu itatoa elimu bure hadi chuo kikuu.

Nasha ameyabainisha hayo, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge George Lubeleje aliyehoji “Kwa kuwa elimu bure ni kuanzia la kwanza mpaka la 12 lakini kidato cha tano na cha sita hawamo, hawa wote ni watoto wa mtu mmoja kuna sababu gani za msingi form five na Six wakaacha kusamehewa karo ? ninaomba Waziri atoe maelezo maana wote watoto ni wa kwake kwanini hao waachwe?

“Ni kweli kama alivyosema kwamba watoto wote ni watoto wa Taifa hili kwahiyo haitakiwi kuwa na ubaguzi, naomba nimuhakikishie Mh. Mbunge ni kwamba lengo la serikali huko mbele kadiri uwezo utakavyo ruhusu tutatoa elimu ikiwezekana hadi chuo kikuu bure,” amesema Nasha.

“Lakini kwasasa kutokana na hali halisi ya kifedha tutaendelea kwanza kuimarisha miundo mbinu na mazingira katika shule za ngazi ya elimu msingi kwa maana kwamba kuanzia shule za awali mpaka kidacho cha nne na kuendelea kutoa elimu bure na uwezo ukiongezeka hatuna shida ya kuongeza kidato cha tano na cha sita, lakini vilevile kama mnavyofahamu serikali inatoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wa elimu ya juu kwahiyo anachosema ni kitu cha kweli kwahiyo uwezo ukiongezeka kidato cha tano na sita elimu bure.”

Ratiba Ya Mechi Za Ligi Kuu England Imetoka.....Arsenal Kuanza Na Manchester

$
0
0
Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018.

Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku Man United wakianza na Leicester City.

Ratiba kamili hii hapa
 
Saturday, 11 August 2018
Arsenal v Man City
AFC Bournemouth v Cardiff City
Fulham v Crystal Palace
Huddersfield Town v Chelsea
Liverpool v West Ham
Man Utd v Leicester City
Newcastle United v Spurs
Southampton v Burnley
Watford v Brighton
Wolves v Everton

Saturday, 18 August 2018
Brighton v Man Utd
Burnley v Watford
Cardiff City v Newcastle United
Chelsea v Arsenal
Crystal Palace v Liverpool
Everton v Southampton
Leicester City v Wolves
Man City v Huddersfield Town
Spurs v Fulham
West Ham v AFC Bournemouth

Saturday, 25 August 2018
Arsenal v West Ham
AFC Bournemouth v Everton
Fulham v Burnley
Huddersfield Town v Cardiff City
Liverpool v Brighton
Man Utd v Spurs
Newcastle United v Chelsea
Southampton v Leicester City
Watford v Crystal Palace
Wolves v Man City

Saturday, 1 September 2018
Brighton v Fulham
Burnley v Man Utd
Cardiff City v Arsenal
Chelsea v AFC Bournemouth
Crystal Palace v Southampton
Everton v Huddersfield Town
Leicester City v Liverpool
Man City v Newcastle United
Watford v Spurs
West Ham v Wolves

Saturday, 15 September 2018
AFC Bournemouth v Leicester City
Chelsea v Cardiff City
Everton v West Ham
Huddersfield Town v Crystal Palace
Man City v Fulham
Newcastle United v Arsenal
Southampton v Brighton
Spurs v Liverpool
Watford v Man Utd
Wolves v Burnley

Saturday, 22 September 2018
Arsenal v Everton
Brighton v Spurs
Burnley v AFC Bournemouth
Cardiff City v Man City
Crystal Palace v Newcastle United
Fulham v Watford
Leicester City v Huddersfield Town
Liverpool v Southampton
Man Utd v Wolves
West Ham v Chelsea

Saturday, 29 September 2018
Arsenal v Watford
AFC Bournemouth v Crystal Palace
Cardiff City v Burnley
Chelsea v Liverpool
Everton v Fulham
Huddersfield Town v Spurs
Man City v Brighton
Newcastle United v Leicester City
West Ham v Man Utd
Wolves v Southampton

Saturday, 6 October 2018
Brighton v West Ham
Burnley v Huddersfield Town
Crystal Palace v Wolves
Fulham v Arsenal
Leicester City v Everton
Liverpool v Man City
Man Utd v Newcastle United
Southampton v Chelsea
Spurs v Cardiff City
Watford v AFC Bournemouth

Saturday, 20 October 2018
Arsenal v Leicester City
AFC Bournemouth v Southampton
Cardiff City v Fulham
Chelsea v Man Utd
Everton v Crystal Palace
Huddersfield Town v Liverpool
Man City v Burnley
Newcastle United v Brighton
West Ham v Spurs
Wolves v Watford

Saturday, 27 October 2018
Brighton v Wolves
Burnley v Chelsea
Crystal Palace v Arsenal
Fulham v AFC Bournemouth
Leicester City v West Ham
Liverpool v Cardiff City
Man Utd v Everton
Southampton v Newcastle United
Spurs v Man City
Watford v Huddersfield Town

Saturday, 3 November 2018
Arsenal v Liverpool
AFC Bournemouth v Man Utd
Cardiff City v Leicester City
Chelsea v Crystal Palace
Everton v Brighton
Huddersfield Town v Fulham
Man City v Southampton
Newcastle United v Watford
West Ham v Burnley
Wolves v Spurs

Saturday, 10 November 2018
Arsenal v Wolves
Cardiff City v Brighton
Chelsea v Everton
Crystal Palace v Spurs
Huddersfield Town v West Ham
Leicester City v Burnley
Liverpool v Fulham
Man City v Man Utd
Newcastle United v AFC Bournemouth
Southampton v Watford

Saturday, 24 November 2018
AFC Bournemouth v Arsenal
Brighton v Leicester City
Burnley v Newcastle United
Everton v Cardiff City
Fulham v Southampton
Man Utd v Crystal Palace
Spurs v Chelsea
Watford v Liverpool
West Ham v Man City
Wolves v Huddersfield Town

Saturday, 1 December 2018
Arsenal v Spurs
Cardiff City v Wolves
Chelsea v Fulham
Crystal Palace v Burnley
Huddersfield Town v Brighton
Leicester City v Watford
Liverpool v Everton
Man City v AFC Bournemouth
Newcastle United v West Ham
Southampton v Man Utd

Tuesday, 4 December 2018
19:45 AFC Bournemouth v Huddersfield Town
19:45 Brighton v Crystal Palace
19:45 Burnley v Liverpool
19:45 Fulham v Leicester City
19:45 Watford v Man City
19:45 West Ham v Cardiff City
19:45 Wolves v Chelsea
20:00 Man Utd v Arsenal

Wednesday, 5 December 2018
19:45 Everton v Newcastle United
20:00 Spurs v Southampton

Saturday, 8 December 2018
Arsenal v Huddersfield Town
AFC Bournemouth v Liverpool
Burnley v Brighton
Cardiff City v Southampton
Chelsea v Man City
Everton v Watford
Leicester City v Spurs
Man Utd v Fulham
Newcastle United v Wolves
West Ham v Crystal Palace

Saturday, 15 December 2018
Brighton v Chelsea
Crystal Palace v Leicester City
Fulham v West Ham
Huddersfield Town v Newcastle United
Liverpool v Man Utd
Man City v Everton
Southampton v Arsenal
Spurs v Burnley
Watford v Cardiff City
Wolves v AFC Bournemouth

Saturday, 22 December 2018
Arsenal v Burnley
AFC Bournemouth v Brighton
Cardiff City v Man Utd
Chelsea v Leicester City
Everton v Spurs
Huddersfield Town v Southampton
Man City v Crystal Palace
Newcastle United v Fulham
West Ham v Watford
Wolves v Liverpool

Saturday, 26 December 2018
Brighton v Arsenal
Burnley v Everton
Crystal Palace v Cardiff City
Fulham v Wolves
Leicester City v Man City
Liverpool v Newcastle United
Man Utd v Huddersfield Town
Southampton v West Ham
Spurs v AFC Bournemouth
Watford v Chelsea

Saturday, 29 December 2018
Brighton v Everton
Burnley v West Ham
Crystal Palace v Chelsea
Fulham v Huddersfield Town
Leicester City v Cardiff City
Liverpool v Arsenal
Man Utd v AFC Bournemouth
Southampton v Man City
Spurs v Wolves
Watford v Newcastle United

Tuesday, 1 January 2019
Arsenal v Fulham
AFC Bournemouth v Watford
Cardiff City v Spurs
Chelsea v Southampton
Everton v Leicester City
Huddersfield Town v Burnley
Man City v Liverpool
Newcastle United v Man Utd
West Ham v Brighton
Wolves v Crystal Palace

Saturday, 12 January 2019
Brighton v Liverpool
Burnley v Fulham
Cardiff City v Huddersfield Town
Chelsea v Newcastle United
Crystal Palace v Watford
Everton v AFC Bournemouth
Leicester City v Southampton
Man City v Wolves
Spurs v Man Utd
West Ham v Arsenal

Saturday, 19 January 2019
Arsenal v Chelsea
AFC Bournemouth v West Ham
Fulham v Spurs
Huddersfield Town v Man City
Liverpool v Crystal Palace
Man Utd v Brighton
Newcastle United v Cardiff City
Southampton v Everton
Watford v Burnley
Wolves v Leicester City

Tuesday, 29 January 2019
19:45 Arsenal v Cardiff City
19:45 AFC Bournemouth v Chelsea
19:45 Fulham v Brighton
19:45 Huddersfield Town v Everton
19:45 Wolves v West Ham
20:00 Man Utd v Burnley

Wednesday, 30 January 2019
19:45 Newcastle United v Man City
19:45 Southampton v Crystal Palace
20:00 Liverpool v Leicester City
20:00 Spurs v Watford

Saturday, 2 February 2019
Brighton v Watford
Burnley v Southampton
Cardiff City v AFC Bournemouth
Chelsea v Huddersfield Town
Crystal Palace v Fulham
Everton v Wolves
Leicester City v Man Utd
Man City v Arsenal
Spurs v Newcastle United
West Ham v Liverpool

Saturday, 9 February 2019
Brighton v Burnley
Crystal Palace v West Ham
Fulham v Man Utd
Huddersfield Town v Arsenal
Liverpool v AFC Bournemouth
Man City v Chelsea
Southampton v Cardiff City
Spurs v Leicester City
Watford v Everton
Wolves v Newcastle United

Saturday, 23 February 2019
Arsenal v Southampton
AFC Bournemouth v Wolves
Burnley v Spurs
Cardiff City v Watford
Chelsea v Brighton
Everton v Man City
Leicester City v Crystal Palace
Man Utd v Liverpool
Newcastle United v Huddersfield Town
West Ham v Fulham

Tuesday, 26 February 2019
19:45 Arsenal v AFC Bournemouth
19:45 Cardiff City v Everton
19:45 Huddersfield Town v Wolves
19:45 Leicester City v Brighton
20:00 Crystal Palace v Man Utd

Wednesday, 27 February 2019
19:45 Chelsea v Spurs
19:45 Newcastle United v Burnley
19:45 Southampton v Fulham
20:00 Liverpool v Watford
20:00 Man City v West Ham

Saturday, 2 March 2019
AFC Bournemouth v Man City
Brighton v Huddersfield Town
Burnley v Crystal Palace
Everton v Liverpool
Fulham v Chelsea
Man Utd v Southampton
Spurs v Arsenal
Watford v Leicester City
West Ham v Newcastle United
Wolves v Cardiff City

Saturday, 9 March 2019
Arsenal v Man Utd
Cardiff City v West Ham
Chelsea v Wolves
Crystal Palace v Brighton
Huddersfield Town v AFC Bournemouth
Leicester City v Fulham
Liverpool v Burnley
Man City v Watford
Newcastle United v Everton
Southampton v Spurs

Saturday, 16 March 2019
AFC Bournemouth v Newcastle United
Brighton v Cardiff City
Burnley v Leicester City
Everton v Chelsea
Fulham v Liverpool
Man Utd v Man City
Spurs v Crystal Palace
Watford v Southampton
West Ham v Huddersfield Town
Wolves v Arsenal

Saturday, 30 March 2019
Arsenal v Newcastle United
Brighton v Southampton
Burnley v Wolves
Cardiff City v Chelsea
Crystal Palace v Huddersfield Town
Fulham v Man City
Leicester City v AFC Bournemouth
Liverpool v Spurs
Man Utd v Watford
West Ham v Everton

Saturday, 6 April 2019
AFC Bournemouth v Burnley
Chelsea v West Ham
Everton v Arsenal
Huddersfield Town v Leicester City
Man City v Cardiff City
Newcastle United v Crystal Palace
Southampton v Liverpool
Spurs v Brighton
Watford v Fulham
Wolves v Man Utd

Saturday, 13 April 2019
Brighton v AFC Bournemouth
Burnley v Cardiff City
Crystal Palace v Man City
Fulham v Everton
Leicester City v Newcastle United
Liverpool v Chelsea
Man Utd v West Ham
Southampton v Wolves
Spurs v Huddersfield Town
Watford v Arsenal

Saturday, 20 April 2019
Arsenal v Crystal Palace
AFC Bournemouth v Fulham
Cardiff City v Liverpool
Chelsea v Burnley
Everton v Man Utd
Huddersfield Town v Watford
Man City v Spurs
Newcastle United v Southampton
West Ham v Leicester City
Wolves v Brighton

Saturday, 27 April 2019
Brighton v Newcastle United
Burnley v Man City
Crystal Palace v Everton
Fulham v Cardiff City
Leicester City v Arsenal
Liverpool v Huddersfield Town
Man Utd v Chelsea
Southampton v AFC Bournemouth
Spurs v West Ham
Watford v Wolves

Saturday, 4 May 2019
Arsenal v Brighton
AFC Bournemouth v Spurs
Cardiff City v Crystal Palace
Chelsea v Watford
Everton v Burnley
Huddersfield Town v Man Utd
Man City v Leicester City
Newcastle United v Liverpool
West Ham v Southampton
Wolves v Fulham

Sunday, 12 May 2019
Brighton v Man City
Burnley v Arsenal
Crystal Palace v AFC Bournemouth
Fulham v Newcastle United
Leicester City v Chelsea
Liverpool v Wolves
Man Utd v Cardiff City
Southampton v Huddersfield Town
Spurs v Everton

Watford v West Ham

Jishindie Gari la Bure Toka Japan.....Kushiriki Ni Bure Kabisa

Serikali Kuandaa Mazingira Rafiki ya Kufanya Biashara Nchini

$
0
0
Baada ya kushuhudia ushiriki mdogo wa sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Serikali imeandaa mpango kabambe wa kuboresha mazingira ya biashara ili kuongeza ushiriki wao.

Hayo yamebainishwa leo Juni 14, na Waziri wa Fedha na Mipango, Phillip Mpango alipokuwa akieleza changamoto zilizojitokeza kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo mwaka 2017.

Amesema mwaka jana serikali imeendelea na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ambao tayari umetekelezwa kwa asilimia 10, kuliimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) lililonunuliwa ndege moja aina ya Bombardier Q400 na ujenzi wa kiwanda na shamba la miwa Mkulazi.

"Katika kipindi hicho kulikuwa na changamoto ya kuchelewa kwa fedha za mikopo na misaada ya wahisani. Serikali imeandaa mpango kabambe wa kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini ili kuongeza ushiriki wa sekta binafsi." amesema.

Ratiba Ya Mechi Zote Kombe La Dunia Hadi Fainali

$
0
0
Leo ndiyo ufunguzi rasmi wa Fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazopigwa nchini Urusi.

Tazama  hapa  ratiba ya mechi zote za michuanpo hiyo kuanzia ile ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi na Saudi Arabia itakayopigwa majira ya saa 12:00 jioni hadi fainali yenyewe.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images