Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Diamond awachana BASATA kutokana na kuziondoa nyimbo za Jux, Madee na Snura kwenye KTMA

$
0
0
Ni msanii ambaye anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014. Kupitia Instagram, Diamond ameandika:   "Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa,

Tangazo la Serikali kuhusu kuvunjwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba......

$
0
0
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012. Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum. Kwa mujibu wa

Baada ya tukio la Westgate, hili ni tukio jingine la kigaidi lililoitikisa Kenya leo

$
0
0
Baada ya tukio la Westgate ambalo lilichukua maisha ya watu wengi, jiji la Nairobi limekumbwa na tishio jingine la aina hiyo kwenye eneo la biashara la Nakumatt Junction Barabara ya Ngong ambapo yamekutwa masanduku manne ya kubebea risasi kwenye eneo la kuegesha magari kwenye vyumba vya chini (Basement).  Masanduku hayo yalipatikana ndani ya toroli la kubebea mzigo kutoka kwenye duka

Michael Agustine Lukindo ni mtanzania aliyefariki nchini Marekani....Mwili wake utachomwa moto jumamosi ya tarehe 29 March 2014...Ndugu zake wanatafutwa sana

$
0
0
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa.  Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30.  Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989.   Familia yake haijui ndugu wa Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014,

Salamu za Rambirambi za Rais Kikwete kufuatia kifo cha mkuu wa mkoa wa Mara

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  Mhe. Hawa A. Ghasia kufuatia kifo cha Mkuu wa

Watanzania 15 wahukumiwa kunyongwa nchini China...

$
0
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo siku ya Jumanne tarehe 25 Machi, 2014. Mkutano huo ulizungumzia maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano wa

Batuli awaijia juu mastaa wanaowaharibia.....Adai kuwa tabia mbaya za baadhi ya wasanii ndizo zinazowaharibia na kuwafanya wote waonekane hawana maadili.

$
0
0
MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph  ‘Batuli’ amesema tabia mbaya za baadhi ya wasanii wenzao ndizo zinazowaharibia na kuwafanya wote waonekane hawana maadili. Akiongea  na GPL, Batuli alisema amekuwa akipata malalamiko kuwa hawatumii katika filamu zake watoto Jenifer na Jamila waliokuwa wakifanya kazi na marehemu Steven Kanumba, jambo ambalo amelikanusha.   “Siwezi

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 26 March 2014

$
0
0
                  Magazeti  ya  leo  Jumatano  ya  tarehe  26  March  2014 <!-- adsense -->

Lulu Michael akubali kupiga picha za nusu uchi kwa ajili ya kuupamba ukurasa wa mbele wa Gazeti

$
0
0
Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu  Michael  naye  amekubali  kuchukuliwa  akiwa  nusu  uchi  kwa  ajili  ya  kuupamba  ukurasa  wa  mbele  wa  gazeti  hilo  ambapo  ndani  ya  gazeti  hilo, Msanii  huyu  amefunguka  mambo  mengi  kuhusiana  na  maisha  yake  binafsi.....   Moja  ya  toleo  la 

Habari njema kwa watu wanaopenda Video za Vichekesho....Fichuka wameamua kukuvunja mbavu....BOFYA HAPA

$
0
0
Kampuni ya Fichuka Development Agency wameanzisha mtandao unaoitwa Fichuka Video Network  kwa ajili ya  kukuvunja  mbavu  kwa  video  zao  za  Vichekesho, Mafundisho  na  habari  muhimu......   Video  zao  zina  kasi  ya  ajabu, hivyo  hutumia  sekunde  chache  tu  kufunguka  huku  ikikiacha  kifurushi chako  cha  Intaneti  kitumike  kwa  mambo  mengine  pia.... Ili Kujiunga na

Vyeti feki 1,035 vyakamatwa kwa waombaji wa kazi nchini

$
0
0
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekamata vyeti feki 1,035 (sawa na asilimia1.6) ya maombi ya kazi yaliyotumwa kwa miaka minne tangu kuanzishwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu wakati huo, jumla ya watu 65,000 walijitokeza na kuomba kazi katika sekretarieti hiyo. Akizungumza na NIPASHE, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Sekretarieti ya Ajira, Riziki

Jaji Joseph Warioba afunguka....Atoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zake zilizoibua utata bungeni

$
0
0
Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba.    Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana, ilieleza kuwa Tume ya Jaji Joseph Warioba ilivunjwa tangu Machi 19, ikiwa ni siku moja baada ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba bungeni mjini Dodoma.  

"Nilipingana na Mwl. Nyerere....Nikafukuzwa ukuu wa Mkoa"....Kingunge Ngombale Mwiru

$
0
0
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru, alisema kuwa aliwahi kuvuliwa wadhifa wa ukuu wa mkoa kwa sababu ya kutofautiana kimtazamo na hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere.    Kingunge alikumbushia tukio hilo juzi katika semina ya waandishi wa habari iliyofanyika mjini Dodoma katika Ukumbi wa Msekwa, naye akiwa mmoja wa watoa mada.   Akijibu swali la

Juhudi za kuiondoa Risasi ndani ya ubongo wa mtoto zaongezeka....Mtoto huyo alipigwa Risasi baada ya magaidi kulivamia kanisa moja mjini Mombasa

$
0
0
Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu.   Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya kupigwa risasi.   Kaka wa Satrin Osinya, Moses Gift akiwa amembeba mdogo wake baada ya kunusurika kifo. ** Mtoto aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio lililofanywa kwenye kanisa la

Picha nne za Shilole akiwa na "Serengeti Boy" wake ndani ya mahaba mazito

$
0
0
KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.   Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya

Mwenyekiti wa bunge asema hotuba ya Rais Kikwete na Jaji Warioba HAZITAJADILIWA na bunge hilo......

$
0
0
  Na Magreth Kinabo – Maelezo,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum Katiba ,Mhe .Samwel Sitta amesema Bunge halitajadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete na ile ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kama alivyokuwa ametangaza awali kwa kuwa kufanya hivyo kutaingilia mchakato wa mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya.   Mhe. Sitta ametangaza uamuzi huo leo mapema asubuhi

Wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba watakiwa kuzingatia Maslahi ya Taifa na Kuweka Maslahi Binafsi Pembeni.

$
0
0
  Na  Magreth  Kinabo – Maelezo, Dodoma Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba wamewataka wajumbe wenzao kujitika katika mchakato wa mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya  itakayozingatia maslahi ya taifa na kuwanufaisha Watanzania badala kujitazama mwenyewe.   Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa bunge hilo, ambaye ni mmoja wa kiongozi wa kundi la TANZANIA KWANZA Dk. Emmanuel

Diamond avalishwa wigi la Wema Sepetu....Ukikutana naye barabarani lazima umzimikie

$
0
0
Picha ame-post Wema Sepetu na kwa maoni yake anasema wigi hilo limempendeza Diamond... Angalia huo muonekano wake na unadhani siku moja Diamond akuze nywere zake ziwe nyingi kama hizo?..comment mawazo yako. <!-- adsense -->

Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 27 March 2014

$
0
0
                                Magazeti  ya  leo  Alhamisi  ya  tarehe  27  March  2014 <!-- adsense -->

UKAWA wazungumzia sababu za KUIGOMEA Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba siku ya Jumatano, Machi 26, 2014.

$
0
0
Kwenye video iliyopachikwa hapo chini, viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waheshimiwa. James Mbatia, Freeman Mbowe na Prof. Ibrahim Lipumba wanazungumzia sababu za kuigomea Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba siku ya Jumatano, Machi 26, 2014.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images