Picha nne za muonekano mpya wa msanii Lulu Michael.... Bado yuko HOT..
↧
↧
Ray C aanza kulimezea mate penzi la Diamond Platinumz....Mikakati ya kumpindua Wema Sepetu yaandaliwa
Ray C ambaye anajipanga kurudi kwa kasi katika muziki wa Bongofleva
anadaiwa kulimezea mate penzi la Diamond Platinumz huku akihaha usiku na
mchana kumpata kwa kumpindua Wema Sepetu ambaye kwasasa ndiye
anayelifaidi penzi la Diamond. ...
Chanzo kimoja kilicho karibu na star huyo
kikizungumza na Swahilitz kilisema kuwa kwasasa jina la Diamond halikauki mdomoni mwa Ray C :
"Kwa sasa
↧
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 24 March , 2014
↧
Rais Kikwete hakukosea....Alieleza faida na hasara za mifumo ya serikali, hakuvuruga wala kuingilia mchakato bungeni
Said Nkumba
**
KITENDO cha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kukosoa hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutoa maoni yake kuhusu rasimu ya Katiba, kimekosolewa.
Pia, imesisitizwa kuwa hakukosea kufanya hivyo na kwamba hotuba yake, haikuvuruga wala kuingilia mchakato ulio bungeni.
Kundi la Wajumbe wa Bunge Maalumu, linalojipambanua kama Tanzania Kwanza, limesema Rais alichofanya
↧
Jeshi la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limemkamata mbunge wa jimbo la Nzega Dkt. Hamis Kigwangalla aliyekuwa kwenye maandamano ya wachimbaji wadogo wa dhahabu
Jeshi
la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limemkamata mbunge wa jimbo la
Nzega Dkt. Hamis Kigwangalla aliyekuwa kwenye maandamano ya wachimbaji
wadogo wa dhahabu ya kupinga kufungwa kwa machimbo yao ya mwashina
yaliyo jirani na mgodi wa Resolute Tanzania limited.
Kabla
ya kukamatwa kwa mbunge huyo askari wa jeshi hilo wametumia mabomu ya
machozi na silaha za moto kuwatawanya
↧
↧
Ndenge ya Malaysia iliyopotea ilianguka baharini.....Hakuna mtu aliyenusurika
Waziri
Mkuu wa Malaysia Najib Razak akitangaza leo juu ya utafiti wa rada
kuonyesha kuwa ndege iliyopotea imeangukia katika bahari ya Hindi.
Tangazo
hilo limetolewa wakati ndege ya majini ya Australia ikiwa njiani
kuelekea kunakoonekana vitu hivyo vilivyoonwa na ndege za kijeshi wakati
wa msako wake. Wanajeshi wa jeshi la Australia wakiwa ndani ya ndege katika kituo cha Kijeshi
↧
Hii ni Video Mpya ya Shilole iitwayo "CHUNA BUZI"
↧
Zaidi ya wafanyakazi 200 wa kampuni ya Shoprite maeneo ya Kamata - DSM wamegoma
Zaidi ya wafanyakazi mia mbili wa kampuni ya maduka
makubwa ya Shoprite maeneo ya Kamata jijini Dar es salaam wamegoma
kufanya kazi kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa malimbikizi
yao baada ya mwajiri wao kuuza kampuni hiyo kwa mwekezaji mwingine na
kusitisha mikataba yao bila kuwalipa malimbikizi yao.
Mwandishi wetu amefika eneo la duka hilo lililopo maeneo ya
kamata
↧
Bunge maalumu la katiba limeunda kamati 12 za kujadili na kupitia rasimu ya katiba
Bunge maalumu la katiba limeunda kamati 12 za kujadili na kupitia
rasimu ya katiba kifungu kwa kifungu na kisha kuwasilisha maboresho na
mapendekezo katika rasimu hiyo bungeni kwa ajili ya kutengeneza katiba
inayopendekezwa na kisha katiba hiyo kupigiwa kura ya maoni na wananchi
ili kupata katiba mpya.
Akitangaza kamati hizo 12 mwenyekiti wa bunge
maalum la katiba Samwel Sita
↧
↧
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Makongo afariki dunia katika ajali mbaya ya Bajaji na Lori jijini Dar
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Makongo, Priscus
Mallya, amefariki dunia katika ajali iliyolihusisha lori na Bajaj katika
barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Bamaga, Dar.
Kwa mujibu wa watu waliokuwa eneo la tukio wakati ajali hiyo
ikitokea, wamesema kuwa mwanafunzi huyo alikuwa ndani ya Bajaj pamoja na
wenzake wawili wakielekea shuleni Makongo ambapo walikutana
↧
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 25 March 2014
↧
Picha nne za Msanii Mustapha zilizomfanya Nyota Ndogo aongoze maandamano kupinga tabia za msanii huyo kuwadhalilisha wanawake wakiwa nusu uchi
Suala la msanii wa Kenya, Colonel Mustapha kupost picha akiwa na
Huddah Monroe zilizoweka alama nyingi za kuuliza kwa wana maadili
limeendelea kuwa mwiba kwake.
Siku kadhaa baada ya Huddah kudai kuwa hawana uhusiano wowote na
Mutapha zaidi ya kupiga picha ili kumpa kick msanii huyo, wanawake wa
Pwani wakiongozwa na mwimbaji wa kike wa Kenya Nyota Ndogo waliandamana
wakilaani
↧
Wabunge wakubaliana kuzijadili hotuba za Rais Kikwete na Jaji Joseph Warioba......Lengo ni kupeana uelewa mpana wa kilichosemwa ili kuwa bunge moja lenye maridhiano
HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.
Sitta alikubali hoja hiyo iliyotolewa na Mjumbe wa Bunge hilo Maalum, Julius Mtatiro kupitia mwongozo alioomba jana.
Sitta
↧
↧
Habari mpya kuhusu shambulizi la Kanisa lililoko Mombasa na mtoto ambae mpaka sasa bado ana risasi kichwani
Idadi ya waliofariki kutokana na shambulizi la Kanisa Mombasa Kenya
March 23 2014 imefikia sita ambapo wote hao vifo vyao vimetokana na
majereha ya risasi huku wengine tisa waliokua wakipata matibabu
hospitali wakiruhusiwa kwenda nyumbani.
Mkuu wa Polisi Kenya amesema bado hawajafutilia mbali kwamba lilikua
shambulio la kigaidi ambapo kwa mujibu wa Erick Ponda ambae ni mwandishi
wa
↧
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta aja Tanzania kwa usafiri wa gari , safari ya umbali wa kilometa 230.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta jana alisafiri kuelekea mkoani Arusha
nchini Tanzania kwa usafiri wa gari kwa njia ya barabara, safari ya umbali
wa kilometa 230.
Rais Kenyatta alisimama katika maeneo kadhaa kabla ya kuvuka mpaka wa
Namanga kwa kutumia kitambulisho kipya kinachoruhusu wananchi wa nchi
zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia kusafiri baina ya nchi
hizo kwa urahisi
↧
Mgogoro wa mpaka wa Tanzania na Malawi waendelea kutokota:Jopo la usuluhishi lashauri nchi hizi zibadilishane hoja badala ya kufikishana mahakamani ( ICJ )
Jopo la usuluhishi wa mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa linaloongozwa na
Mwenyekiti wake, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano,
limezishauri Tanzania na Malawi, kubadilishana hoja kwa njia za
majadiliano badala ya kufikishana kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa
(ICJ).
Ushauri huo ulitolewa na jopo hilo juzi katika mkutano uliozikutanisha
pande mbili hizo, mjini Maputo, Msumbiji,
↧
Baba amnyonga mwanae wa mwaka mmoja na kuacha ujumbe usemao: “Unyama unyamani,tutafute pesa kwanza niite j.m.k.a gaidi”
MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya , Ahmed Msangi alisema jana mauaji hayo yalifanyika katika eneo la Migombani katika Mji mdogo wa Tunduma.
Alisema pembeni mwa mwili wa marehemu ulikutwa ujumbe unaosadikiwa
↧
↧
Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa afariki dunia Ghafla akiwa katika harakati za kufunga mafunzo ya mgambo katika kijiji cha Nyamwaga wilayani Tarime
MKUU wa mkoa wa Mara, Bw. John
Gabriel Tuppa, amefariki dunia ghafla leo majira ya saa 4.30 asubuhi
baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa wilaya
ya Tarime mkoani Mara.
Katibu tawala wa mkoa wa Mara,
Bw. Benedict Ole Kuyan, amesema kuwa Bw. Tuppa kabla ya kifo chake leo
asubuhi akiwa na afya njema alifika katika ofisi ya za mkoa na kumuaga
kuwa
↧
Nape Nnauye amnadi Ridhiwani Kikwete kwa wana Chalinze
Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko wakati wa
mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea Ubunge jimbo la
Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete ambapo wananchi hao
walielezwa kitendo cha kuzuiwa kupiga kura ni sawa na ubakaji wa
Demokrasia na CCM itakula sambamba na wabakaji wa Demokrasia.
Katibu wa NEC Itikadi
↧
Madee alalamika baada ya wimbo wake kuondolewa kwenye KTMA 2014
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeziondoa nyimbo tatu kwenye
mchakato wa tuzo za muziki Tanzania, KTMA kwa madai kuwa zinakiuka
maadili ya Kitanzania. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Nimevurugwa’ wa Snura,
‘Uzuri wako’ wa Jux na ‘Tema Mate’ wa Madee.
Akizungumza nasi leo baada ya kupata taarifa ya kuondolewa wimbo
wake kwenye tuzo hizo, Madee amesema hajapendezwa na hatua
↧
More Pages to Explore .....