Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete amekwishaanza kulihutubia bunge la Katiba.... Bofya hapa kumsikiliza moja kwa moja toka Bungeni Dodoma

$
0
0
Rais  Kikwete  amekwishaanza  kulihutubia  bunge  la  Katiba.... Bofya  hapo  chini   kumsikiliza  moja  kwa    moja  toka  Bungeni  Dodoma MPEKUZI

Dondoo muhimu za Hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa leo Bungeni.....

$
0
0
Nawapongezeni kwa Kuwa sehemu ya Kuandika historia Mpya kwa Taifa la Tanzania,Mkitunga Katiba Bora Majina yenu yataandikwa kwa Wino wa Dhahabu.   Naombeni Mtunge Katiba Itakayo Dumisha Umoja wetu,Asili zetu,Katiba ambayo haitatutenganisha kirangi,Kisiasa au Kiimani.     Kihistoria hii ni Mara ya 3 Katiba ya Tanzania Inatungwa Upya,Tofauti na Vipindi Vingine.Kipindi hiki Utungaji wa

Hotuba ya Rais Kikwete wakati wa kulihutubia bunge maalumu la katiba, tarehe 21 March 2014

$
0
0
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA Pongezi  Nakushukuru sana Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kunipa fursa ya kuja kuzungumza na Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge letu Maalum la Katiba katika siku hii muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu.  Nimekuja kuwatakia heri na

Happiness (Miss Tanzania 2013) aeleza kwa nini hawezi kushiriki kwenye video za wasanii na filamu

$
0
0
  Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa hana mpango wa kuonekana kwenye video za wasanii wa bongo flava ama filamu kama baadhi ya washiriki wa shindano hilo.   Happines Watimanywa ameiambia  Times Fm kuwa yeye binafsi hana mpango wa kuingia kwenye video za wasanii kama video vixen/video queen kwa kuwa hana kipaji hicho na hana mzuka wa kuonekana kwenye tasnia hizo.   “My passion

Loveness Diva atukanwa baada ya kumtaka kimapenzi Lulu Michael...."Nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemtongoza"

$
0
0
Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa Clouds fm kipindi cha Ala Za Roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusian  juzi  usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michael a.k.a Lulu  na  kudai  kuwa  anampenda  sana...  "Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumtongoza, sema mimi  ni mwanamke tu" Hii ilikuwa

Ridhiwani Kikwete aahidi kuongeza shule na mabweni Chalinze endapo wananchi watamchagua kuwa mbunge wao

$
0
0
Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete amewaahidi wananchi wa Kata ya Ubena kuwatatulia tatizo la watoto wao kutembea umbali mrefu kwa kuongeza idadi ya shule na  mabweni mapya kwenye kata hiyo.    Alisema amekuwa akiumia kuwaona vijana  wa shule za sekondari wanaolazimika kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 15 kufuata masomo na kuomba ridhaa ya wananchi ili

CHADEMA yaahidi amani na maendeleo Chalinze endapo mgombea wake atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo

$
0
0
   Mwenyekiti wa Baraza la Vijana  (Chadema) Mkoa wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo kumchagua Mathayo Torongey katika uchaguzi mdogo unaotarajia kufanyika mapema Aprili 6, mwaka huu.   Kinyaha alisema kutokana na uelewa mpana wa wakazi wa jimbo hilo ni wazi kuwa chama hicho ndicho

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba washindana kumshangilia mh. Rais kutokana na ubora wa hotuba yake ....Freeman Mbowe aongoza

$
0
0
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete.    Mwandishi wetu  alishuhudia baadhi ya wajumbe wa CCM wakidiriki hata kusimama, huku wakipiga makofi wakati Rais Kikwete alipokuwa akielezea upungufu aliouona katika Rasimu ya Pili ya Katiba.   Pia kwa upande mwingine, baadhi ya wajumbe

Mtalii kutoka nchini Ujerumani akwama katika kilele cha Mawenzi mlima Kilimanjaro.....

$
0
0
Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu.   Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa

Bunge la Kenya lakubali ndoa ya wake wengi....Mwanaume anaruhusiwa kuoa wanawake hata 10, tena bila mashauriano yoyote na mke wake

$
0
0
Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo. Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita,ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana. Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge

China yasema imeona kitu katika bahari ya Hindi kinachodhaniwa ni mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea

$
0
0
Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege ya Malaysia iliyopotea. Picha za Satellite kutoka kituo cha utafiti cha Marekani kikionyesha eneo ambako msako mkali unaendelea kuitafuta ndege iliyopotea huko katika bahari ya Hindi.

Magazeti ya leo Jumapili March 23 2014

Mtalii aliyekwama kilele cha Mawenzi mlima kilimanjaro aokolewa

$
0
0
Mtalii Jeanne Traska kutoka Ujerumani   Bi.Jeanne Traska kutoka Ujerumani na Muongoza Wageni Athumani Juma wakiwa katika Lango la Marangu pamoja na vifaa mbalimbali walivyokwama navyo katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro mara baada ya kuokolewa. ********* Kikosi cha Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii Bi. Jeanne Traska (32) kutoka Ujerumani

Watu wanne wauawa kinyama ndani ya kanisa mjini Mombasa

$
0
0
Watu wane wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi  waliokuwa  wamejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church  lililo  karibu na mji wa bandari ya Mombasa nchini kenya....   Watu wengine kumi na saba wamejeruhiwa. Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni ambayo iko kusini mwa Mombasa wamesema

Muonekano Mpya wa msanii Irene Uwoya.....

$
0
0
  Huu  ni  muonekano  mpya  wa  msanii  Irene  Uwoya  akiwa  ndani  ya  pozi  matata! <!-- adsense -->

Mabanda yanayoonyesha video chafu za ngono yafutiwa leseni

$
0
0
Serikali mkoani Pwani  imefuta vibali vya uendeshaji wa mabanda ya kuonyesha  video wilayani Kibaha pamoja na kuanzisha  uchunguzi wa wanafunzi wa shule  msingi wanaojihusisha na vitendo vya ulawiti.   Hatua hiyo inachukuliwa  baada ya wanafunzi wa kiume wa shule za msingi wilayani humo kudaiwa kufanya vitendo hivyo vyenye athari kiafya na kitaaluma.   Katika hatua nyingine,

Ridhiwani Kikwete aishuhudia shule iliyoezuliwa paa na kimbunga katika kijiji cha Kikwazu.....Aahidi kusaidia kuiboresha tena

$
0
0
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani

Boti yazama na kuua wakimbizi 25 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokuwa wakitoroka nchini Uganda wakirejea kwao

$
0
0
MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama.    Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali wilayani Hoima magharibi mwa Uganda, wakirejea kwao.   Kwa sasa Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kutafuta miili zaidi. Kamanda wa polisi wa eneo hilo John Ojukuna amesema watu 43

Mastaa wanaswa laivu wakifanya vitendo vya laana

$
0
0
Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska......   Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza. Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.   Ilikuwa ni full kukata mauno ndani ya Letasi Lounge.

Mashoga wazidi kuongezeka Bongo....Nini hasa sababu?....Au wateja wamezidi kuwa wengi? ...Karibu kwa maoni

$
0
0
Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa....  Nini hasa tatizo ?? Toa  maoni  na mtazao wako juu ya swala hili labda tunaweza pata wazo jipya kuhusu hawa watu... >>Udakuspecially   <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images