WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebaini kuwepo mtandao wa wanaosafirisha wasichana wenye umri mdogo kutoka nchini na kuwapeleka China kisha kuwafanyisha vitendo vya ukahaba pasipo ridhaa yao.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Wizara hiyo, Bernard Membe, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu wizara
Watanzania wafanyishwa UKAHABA nchini China.....Waziri Membe asema kuna mtandao unaowasafirisha
↧
↧
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabaini kuwepo kwa hujuma katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebaini kuwepo kwa hujuma katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu.
Uchaguzi huo unafanyika baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kutokana na kufariki kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Saidi Bwanamdogo, aliyefariki Januari 22, mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Damian Lubuva
↧
Bunge la katiba lavurugika....Vurugu zaibuka, wajumbe wazomeana na kurushiana matusi
TAARIFA ya kuwepo kwa marekebisho mapya ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, zimesababisha vurugu, kurushiana matamshi yasiyo ya staha na kuzomeana bungeni, huku Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel Sitta, akituhumiwa kushiriki kuchakachua Kanuni hizo.
Hali hiyo ilijitokeza jana jioni, baada ya Sitta kuruhusu mwongozo kutoka kwa Mjumbe wa Bunge hilo, Tundu Lissu, ambaye alidai kuwa na
↧
Bunge Kusitishwa....Ni kutokana na kupigwa kalenda mara kwa mara....Pinda kuomba kwa Rais bunge la bajeti liruhusiwe na uchaguzi wa Serikali za Mitaa usogezwe mbele
KAMA mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, unaweza kusogezwa mbele hadi mwakani.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Pinda alisema muda
↧
Filamu ya Wema Sepetu 'Madame' kuingia sokoni leo
Filamu aliyoigiza Wema Sepetu kama mhusika mkuu iliyopewa
jina la Madame (Our Own Crazy Bosy Lady) iliyotayarishwa na kampuni ya
Simulizi African Entertainment itaingia sokoni leo (March 27).
Filamu hiyo imewasusisha waigizaji wengine kama Simon Mwapagata aka Rado, Maulid Ally, Sudi Ally na Deogratius Shija. Madame itasambwazwa na kampuni ya Steps Entertainment.
<!--
↧
↧
Kampeni za ubunge Chalinze: Viongozi wa CUF wavamia ofisi za CCM na kumvunja Mikono mwenyekiti wa CCM kata ya Ubena
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti
wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa
CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha Tokamisasa.
Katibu
wa Wilaya ya Makete Miraji Mtaturu akizungumzia tukio lililomkuta
Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na
Viongozi wa CUF waliovamia
↧
Wanafunzi wawili wa chuo cha Mwenge Moshi wakamatwa kwa kosa la kuwabaka wanafunzi wawili wa sekondari
Ofisa
wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura
akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji.
Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.
Afande Kasusura akimpeleka mtuhumiwa kuonesha mwenzake alipo.
Majaliwa akitolewa ndani ya nyumba wanayoishi ambayo ndiyo iliyotumika kuwabaka watoto
↧
Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Marehemu John Gabriel Tupa
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Kutoka kushoto Kaimu kamanda
wa polisi mkoa wa Mara Poul Kasabago, mjumbewa NEC wa CCM Christopher
Gachuma , Mjumbe wa NEC wa bunda CCM.
Kutoka kushoto mwakilishi wa Chanel ten Augustine Mgendi, George Maratu wa ITV na Florence Focas wa Mwananchi.
Mwenyekiti wa Bakwata Musoma mjini akiwa
↧
"Kipi Sijasikia???...Mlisema Profesa Jay ana UKIMWI, Profesa Jay Kafulia..Ohh Jay kakimbia Madeni.." Huu ni Wimbo mpya wa Prefesa Jay akimshirikisha Diamond
Joseph Haule aka Prof. Jay baada ya kuwa kimya sasa anakuja na ngoma
yake ya ‘Kipi Sijasikia’ akimshirikisha mkali wa Bongo flava
Diamond Platnumz.
Wimbo wa Prof. Jay umefanyika katika studio ya Bongo Records chini ya producer P.Funk Majani.
Wimbo bado uko jikoni ukimaliziwa kuandaliwa...Vuta Subira kidogo
<!-- adsense -->
↧
↧
Mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia March 27 jijini Dar es Salaam zimesababisha madhara makubwa.
Mvua zilizonyesha usiku kucha( kuamkia March 27) jijini Dar es salaam zimesababisha
madhara makubwa Msasani village katika makazi ya watu baada ya maji kujaa hadi
ndani na magari kushindwa kutoka hali iliyosababisha watoto kutokwenda
shule na hata wazazi kushindwa kwenda makazini.
Mwandshi wetu alifika katika makazi hayo ya highland villa na
kulazimika kuingia ndani ya maji
↧
Amanda amwagiwa matusi mazito facebook
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi
‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na
mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni baada
ya kutangaza kuwa, yeye na mume wake wa zamani, Hamis Bwela bado ni
damudamu.
Akizungumza hivi karibuni na Ijumaa, Amanda alisema kuwa, Jesca
alianza kumtukana kwenye mtandao wa
↧
Kutokwa na damu bila mpangilio Ukeni....
Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa.
Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu ya
hedhi au kutokwa na damu ukeni bila ya mpangilio siyo hali ya kawaida.
Mwanamke anaanza kuvunja ungo kuanzia umri wa miaka 12 na hufikia ukomo
kuanzia umri wa miaka 45. Kupatwa na damu ukeni
↧
Jackline Wolper na Irene Uwoya wamaliza ugomvi wao wa muda mrefu baada ya kupatanishwa.....
Ule ugomvi uliokuwepo kwa takribani miaka miwili kati ya mastaa
wakubwa na warembo Jackline Wolper na Irene Uwoya hatimaye
umefikia tamati baada ya kupatanishwa juzi.
Wawili hao walidaiwa kuingia
katika beef zito baada ya Uwoya kumsema Wolper vibaya kwenye media
ambapo pia aliwahi kukaririwa na gazeti moja akiwa jijini Arusha akisema
kuwa Wolper amemroga ili amshushe kwenye sanaa na
↧
↧
Utafiti: Wananchi wengi wakubali Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo lao la Chalinze.....
WANANCHI wa vijiji kadhaa vilivyomo katika Jimbo la Chalinze, ambalo
Aprili 6, mwaka huu litafanya uchaguzi mdogo wa Ubunge, wamempa nafasi
kubwa ya kuibuka mshindi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwa
mujibu wa uchunguzi tulioufanywa katika vijiji saba vya jimbo
hilo, wengi wa waliohojiwa kuhusu mshindi wa nafasi hiyo, walisema
Ridhiwani anashika namba moja kwa vile ni mtu
↧
Serikali imetenga Shilingi Milioni Mia Tano (Tshs 500m) kwa Halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za Walimu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewaambia Wananchi wa Tanga, jana tarehe 27 Machi,2014
wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume kuwa;
"Tayari
Halmashauri za Mkinga, Pangani na Kilindi zimeshapata pesa hizo , na tumetenga
kiasi kama hicho kwa kila Halmashauri zingine nchini ili kuboresha makazi
na Nyumba za Walimu " Rais amesema.
Fedha hizo ni sehemu ya fedha iliyotengwa
↧
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 28 March 2014
↧
Mwigulu Nchemba awatuhumu Freeman Mbowe na Ismail Jussa kwamba wanataka kuleta USHOGA nchini....Bunge lachafuta, Mwenyekiti amtaka aombe radhi
Naibu Katibu wa Fedha, Mwigulu Nchemba jana katika Bunge
Maalum La Katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia Mwenyekiti wa
Chadema Taifa, Freeman Mbowe na mwakilishi wa Mji Mkongwe, Ismail Jussa
kwamba wanataka wabunge wa bunge hilo watumie kura ya siri badala ya
wazi kwa kuwa ni mashoga.
"Wanaotetea kura ya siri itumike katika kupitisha Katiba ya
Watanzania, wanaunga
↧
↧
Rais Kikwete atoa msimamo endapo bunge litavunjika....Asema katiba ya zamani itaendelea kutumika....Adai ni wajibu wake kuwaeleza wananchi ukweli
RAIS Jakaya Kikwete amesema kama mchakato wa upatikanaji Katiba Mpya utakwama kwa namna yoyote, Katiba iliyopo sasa itafanyiwa marekebisho na kuendelea kutumika.
Alisema kama Kiongozi Mkuu wa Serikali ni wajibu wake kuwaeleza ukweli wananchi kama alivyowasilisha hotuba yake kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mjini Dodoma, kuhusu hatari ya muundo wa Serikali tatu ambayo ndiyo
↧
Wanaume wa Korea Kaskazini waamriwa kunyoa style moja ya nywele ya kiongozi wao Jong-Un
Hii ndio ‘Dear Leader’ style wanayotakiwa kunyoa wanaume wa Korea Kaskazini
**
Tumekuwa tukisikia sheria mbalimbali zikipitishwa katika nchi
mbalimbali zinazowataka watu wavae au wasivae mavazi ya aina fulani,
lakini huko Korea Kaskazini imepitishwa sheria inayowataka wanaume wote
wa nchi hiyo kunyoa style ya nywele ya kiongozi wao iliyopewa jina la
‘Dear Leader’
Wiki mbili
↧
Video: Jay Mo, Profesa Jay & Juma Nature wavaa gwanda za kijeshi na kutoa video mpya iitwayo "JWTZ"
Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma
Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim aka
Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’.
Wimbo huo
pamoja na video yake vimefanyika kwenye studio za Williamz Visions chini
ya mtayarishaji Mike Mwakatundu aka Mike T.
Tazama video inayoonesha
wakali hao wakiwa wamevalia nguo
↧
More Pages to Explore .....