Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joshua Nassari, juzi
alijikuta akiumbuka bungeni baada ya kushindwa kutaja kanuni
aliyoitumia, kuomba mwongozo.
Hali hiyo ilitokea muda mfupi kabla ya wajumbe kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Kuumbuka kwa mjumbe huyo ambaye pia ni Mbunge wa
Arumeru Mshariki, kulitokana na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu
Ameir Kificho,
Mbunge wa Arumeru Mshariki , Joshua Nassari aumbuka bungeni
↧
↧
Mgombea wa CHADEMA ajitetea....Apinga pingamizi la mgombea wa CUF chalinze,asema anajua kuandika Kiswahili na Kiingereza
MAJIBU/MAELEZO YA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA BWANA FABIAN L.SKAUKI
DHIDI YANGU MIMI MATAYO M.TORONGEY MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE
KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
UTANGULIZI
Kwa mujibu wa ibara ya 67 (1) ya Katiba ya Jamhuri Muungano wa Tanzania
(1977) inaeleza wazi kuwa ili mtu ateuliwe kuwa mgombea ubunge ni lazima
awe na sifa zifuatazo;
(i)-Awe raia wa
↧
Sitta awaonya WAPAYUKAJI....Asisitiza nidhabu Bungeni, wakaidi kukiona....Jaji Warioba kutinga bungeni Jumatatu
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.
Sitta ameanza kazi huku wajumbe wengi wakiwa na imani naye kuwa ataliendesha Bunge hilo lenye mchanganyiko wa watu kwa haki na kwa viwango na kasi;
↧
Microsoft yawataka wateja wake waache kutumia Windows XP kutokana na ongezeko la Mashambulizi ya Virusi
KOMPYUTA zinazotumia windows XP hazitoweza kupokea taarifa muhimu na kuongezeka mashambulizi ya virusi vya spyware vinavyoharibu taarifa binafsi na takwimu za kibiashara baada ya mwezi mmoja. Hayo yamebainishwa jana na Mkurugenzi wa Microsoft kwa kanda za Afrika Mashariki, Magharibi, Rotimi Olimide.
Alisema kuwa utafiti mpya wa Microsoft umeonyesha kuwa Window XP hushambuliwa kirahisi
↧
"Kuwa Miss Tanzania si lazima uwe Mcharuko"...Hapiness
Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa, ameibuka na kusema kuwa
kunyakuwa taji la urembo wa Miss Tanzania sio tiketi ya kuwa na skendo
mbalimbali au kufanya mambo ambayo ni kinyume na maadili.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Happy alisema kuwa anaamini siyo
kwamba mtu anapopata taji la urembo ndiyo linampa kichwa cha kuwa
mcharuko, bali inategemea na uelewa wa mtu na mtu.
“Mimi
↧
↧
Filamu ya maisha ya Nuhu na gharika 'Noah' yapigwa marufuku nchi za kiarabu
Filamu ya Hollywood iliyochukua bajeti kubwa sana ikiwa na
jina la ‘Noah’ ambayo imeigizwa na Russell Crowe kama Nuhu imepigwa
marufuku kuoneshwa katika nchi wanachama wa Umoja wa nchi/Falme za
Kiarabu (United Arab Emirates).
Filamu hiyo imepigwa marufuku kwa madai kuwa kwanza inazua mtazamo
tofauti kutokana na utofauti uliopo kati ya Biblia na Quran kuhusu
simulizi la Nuhu na gharika
↧
Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalumu la katiba laendelea vyema mjini Dodoma
Mhe.
Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la
kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema .
Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya
Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya
Mhe Mkosamali akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya.
(
↧
Mbunge wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa akituhumiwa kugawa fedha kwa wapiga kura Kalenga
Ikiwa
imebaki siku moja kabla ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga,
Iringa Vijijini, Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh.Rose Kamili amekamatwa jioni ya
leo kwenye kijiji cha Kitayawa kata ya Luhota, Iringa Vijijini kwa
tuhuma za kugawa Fedha kwa wanakijiji hao, akijua fika Wananchi hao
wanatarajiwa kupiga kura kwa
↧
"Kama ni msh**enzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu"...Hii ni kauli ya Wema Sepetu kuhusu Diamond baada ya kumfuma akiwa na Victoria Kimani
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori
kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio.
Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae.
Baada ya Stori hizo, Jana Wema Abraham Sepetu alipost picha ( hiyo hapo juu ) kwenye Instagram ikimuonesha Diamond akiwa
↧
↧
Zoezi la Upigaji Kura Jimbo la KALENGA Laendelea Vizuri.....
Wananchi wa Nzihi wakiwa katika foleni wakisubiri kupiga kura
Wananchi wa Nyamihuu wakisubiri kupiga kura leo
Mwananchi wa Nyamihuu akisubiri kuingia kupiga kura
Wananchi wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika boda boda kwenda kupiga kura
Wananchi wa Kidamali wakiwa katika foleni ya kwenda kupiga kura
↧
Wajumbe wa bunge maalumu la katiba wahitimisha zoezi la kuapa kwa muda uliopangwa
Mwenyekiti
wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu
mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa
ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na wataapishwa wiki
ijayo.
Wajumbe
wa Bunge maalum Mhe,Anne Kilango Malecela (shoto) akijadiliana jambo na
Mhe.Beatrice Shelukindo wakati wa zoezi la kuapisha wabunge.
Waheshimiwa,
↧
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) wafutiwa mashitaka
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI)
wamefutiwa mashitaka na mahakama ya wilaya ya Mwanakwerekwe dhidi ya
kesi ya kufanya mkusanyiko bila ya kibali iliofunguliwa Mei mwaka jana
visiwani Zanzibar.
Uamuzi huo umetolewa na Hakim Ame Msaraka Pinja baada ya kukamilika
kusikilizwa kesi hiyo na washitakiwa kuonekana hawana hatia katika
mashitaka yaliokuwa
↧
Rais Kikwete akutana na mjumbe maalumu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane leo Ikulu jijini Dar
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika
Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mjumbe Maalum wa Rais wa
Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya
Nje wa nchi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA NA
↧
↧
Ukweli MCHUNGU: Wapinzani hawana sifa ya kuongoza nchi ( A Comparative Analysis ) .....Paul Makonda
SIASA ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa
bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi
wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa
kutofanikiwa katika lengo lake kuu.
Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa
na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayoegemea
↧
Nyumba za Jeshi la Polisi Mkoani Tanga zateketea kwa Moto.....
Nyumba
za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni
nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua
moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake
havijajulikana
Askari wa kikosi cha Zimamoto wakiwa kazini
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la tukio
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya
↧
Rais Kikwete kulihutubia bunge maalum la Katiba tarehe 21 March 2014.....
Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge
Maalum na umma kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma
kesho kwa ratiba ifuatayo:
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na kiapo kwa Wajumbe wa Bunge Maalum ambao bado
hawajaapishwa. Hivyo Wajumbe wote ambao
hawajaapa kiapo cha ujumbe wa Bunge
Maalum wanatangaziwa kufika Idara ya Shughuli
↧
Taarifa ya TAMISEMI: Maagizo ya Ajira Mpya na majina ya walimu wapya kwa shule za msingi, Sekondari na Vyuo
AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.
A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-
i. Walimu wa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari
↧
↧
Matokeo ya Awali kutoka vituo mbalimbali vya Uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kalenga....
Ipamba no2.
CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
TOSA no.1
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0
Isakulilo
CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A
CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi)
CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati
CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A
CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B
CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi
CCM164, Chadema
↧
Matokeo Rasmi ya Uchaguzi katika Jimbo la Kalenga Yametangazwa....CCM imepata kura 22,962 ( Elfu Ishiri na mbili ) , CHADEMA imepata 5,853 ( Elfu tano )
Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga Iringa vijijini yametangazwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Iringa,kuwa chama cha CCM kimepata jumla ya kura 22962,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepada idadi ya jumla kura 5853 na chama cha CHAUSTA kimepata kura 150.
Hivyo chama cha CCM kimeshinda kwa asilimia 79.4,CHADEMA asilimia 20.1 na CHAUSTA asilimia 0.5.Matokeo
↧
Mbunge wa CHADEMA amwaga MACHOZI akidai kudhalilishwa na wafuasi wa CCM.....Adai walimpanua Miguu na kumkanyaga sehemu za Siri
Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema, Rose Kamili amedai kupigwa na
kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) wakati walipomkamata na kumshikilia kwa muda kwa tuhuma za kutoa
rushwa.
Mbunge huyo kwa sasa amelazwa Hospitali ya Rufaa
ya Iringa akitibiwa majeraha yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe amesema kwa sasa wanasubiri taarifa ya
↧
More Pages to Explore .....