Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala na wenzake 11 wanaohusika na jengo la ghorofa 16 lililoanguka na kuua watu jijini Dar wafutiwa mashitaka ya kuua kwa bahati mbaya na kushitakiwa kwa kuua kwa makusudi

$
0
0
MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika mtaa wa Indira Gandh, yaliyotokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16.   Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha,

"Atakaye Nioa Atafaidi MAPISHI yangu"...Maya

$
0
0
Msanii  mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa kupika. Maya alifunguka hayo juzikati wakati mwandishi wetu alipombananisha juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa yeye ni hodari katika eneo hilo.   “Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya

CCM yahoji uwepo wa Helikopta ya CHADEMA siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehoji matumizi ya helikopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Jumapili ijayo.   Mratibu wa Kampeni za CCM katika jimbo hilo, Miraji Mtaturo, aliitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kutoa msimamo kuhusu tangazo la Chadema kuwa watatumia helikopta siku ya kupiga kura.   “Mwenyekiti, wenzetu

Picha KALI za muonekano wa msanii Rose Ndauka miezi kadhaa baada ya Kujifungua

$
0
0
Huu  ni  Muonekano  mpya  wa  Msanii  Rose  Ndauka  ikiwa  ni  miezi  kadhaa  tu  tangu  ajifungue...Bado  ni  mrembo  na  yuko  HOT  kama  zamani... Hili  ni  somo  tosha  kwa  wasanii  wa  kike  wenye  tabia  ya  kuchomoa  mimba  zao  kwa  kisingizio  cha  kupoteza  mvuto  baada  ya  kujifungua <!-- adsense -->

Mh. Samia Suluhu arudisha fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba mjini Dodoma leo

$
0
0
  Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu

IKULU Yamtaka Askofu Kakobe aache Porojo.....Yadai kuwa ofisi ya Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu haifanyi kazi za porojo kama sehemu ya kuendesha utawala wake

$
0
0
Kurugenzi  ya  mawasiliano  Ikulu  imesema  haina  muda  wa  kujibu  porojo  zilizotolewa  na  Askofu  wa  kanisa  la  Full  Gospel  Fellowship, Zachary  Kakobe  kwani  ina  kazi  kubwa  ya  kuwatumikia  watanzania.... Imesisitiza  kuwa  ofisi  ya  Kurugenzi  ya  mawasiliano  Ikulu  haifanyi  kazi  za  porojo  kama  sehemu  ya  kuendesha  utawala  wake, badala  yake  iko  makini  kutatua 

Wema Sepetu akesha ukiomba na yeye apate mtoto....

$
0
0
Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto.   Ilisemekana kwamba katika msururu wa wanaume aliominyanao kimalavu, iliwahi kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa ujauzito lakini kwa bahati mbaya mimba ilichoropoka.   Mwanaume

Taarifa ya PINGAMIZI dhidi ya mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE

$
0
0
Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo. Ndugu MATHAYO. M. TORONGEY amejaza Taarifa za uongo kwenye Fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA. Sio kweli, kwa sababu

Taarifa za Mtumbwi uliozama Mtwara leo na kuua akina mama watatu.....

$
0
0
Taarifa kutoka Mtwara ambazo zimethibitishwa na jeshi la Polisi zinaarifu  kuhusu  Mtumbwi ambao umezama wakati ukivuka kutoka kitongoji cha Ng’wale kwenda ng’ambo ya pili ambapo ndiyo sehemu waliyokuwa wanashukia abiria waliokuwepo.  Tayari watu 21 wamefikishwa katika hospital ya mkoa wa Mtwara kwa matibabu ambao wote ni wakina mama pamoja na mtoto mmoja wa kiume wa mwaka 1 huku

Picha: Juhudi zinazofanywa ili kumaliza tatizo la maji jijini Dar

$
0
0
Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya kilomita 55. Kazi hii inatarajiwa kukamilika mwezi Juni, mwaka huu. Timu ya mafundi ya ukarabati

Rais Kikwete apokea ripoti ya mgawanyiko wa watu kwa Umri na Jinsi leo Ikulu jijini Dar

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa   Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014   Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho (kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  baada

Ridhiwani Kikwete arudisha fomu za Ubunge Chalinze.

$
0
0
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa na washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhan Maneno pamoja na Imani Madega.   Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,

Mhe.Samia Suluhu Hassan achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba baada ya kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour

$
0
0
Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu Mwenyekiti wake mjini Dodoma.     Hii inakuja baada ya jana kumchagua Mhe.Samweli Sitta kuwa Mwenyekiti. Mhe Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour. Kura 7 ziliharibika - kama jana.     Katibu wa Bunge hilo Maalum ataapishwa na Rais

Mh.Yahya Khamis Hamad ateuliwa kuwa katibu wa Bunge maalumu la Katiba....Dkt. Thomas Didimu Kashililah ateuliwa kuwa naibu wake

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya kesho, Ijumaa, Machi 14, atamwapisha Katibu wa Baraza la Wawakilishi Bwana Yahya Khamis Hamad kuwa Katibu wa Bunge Maalum la Katiba. Aidha, katika sherehe fupi itakayofanyika Ikulu Ndogo, Dodoma, Rais Kikwete atamwapisha Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa

Jeshi la Polisi labuni mkakati mpya utakao komesha AJALI nchini

$
0
0
  Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Dodoma Jeshi la Polisi nchini limebuni mikakati itakayosaidia kukomesha ajali za barabarani kwa kuvishirikisha vikosikazi vya Polisi Jamii vilivyotawanywa katika kila kata na tarafa nchini kote. Mikakati hiyo imetangazwa na Kamishna wa Polisi Jamii CP Mussa Ali Mussa, wakati wa mafunzo ya maadili awamu ya pili yanayotolewa kwa Askari Polisi

Helikopta ya CHADEMA yapigwa marufuku siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga mkoani Iringa.....

$
0
0
Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumizi ya helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kupiga kampeni.    Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ramadhani Mungi alitoa kauli hiyo jana wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama tangu kampeni zilipoanza hadi sasa kwa vyombo vya habari.   Mungi alisema

Picha ya Rais Kikwete na viongozi wa bunge la katiba baada ya kuwaapisha

$
0
0
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu wake Mhe. yahaya Khamis Hamad na Naibu Katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe John Lukuwi na Mhe. Aboud, baada ya zoezi

"Sichagui dini wala Kabila, Ninachoangalia ni Penzi la dhati la huyo mwanaume anayenitaka"...Iene Paul

$
0
0
   Msanii  maarufu  Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.   Akizungumza na Gpl  jijini Dar, Irene alisema licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.   “Naangalia tu, mtu

"Nikipigwa MIMBA sitaitoa tena, Lazima nizae tu"...Lulu Michael

$
0
0
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti la Ijumaa, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe. Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?  Lulu: Ndiyo ila

Sakata la Wema Sepetu kufanya fujo studio baada ya kuwakuta Diamond na Victoria Kimani wakiwa pamoja.....

$
0
0
   U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba juzi  March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye kashifa  kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Diamond. Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images