Hatua iliyochukuliwa na serikali kuhusu madereva 18 waliogoma Bukoba
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesitisha leseni za madereva 18 kutokana na mgomo walioufanya...
View ArticleRIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 20
Mtunzi: Enea Faidy.....EDDY aliumia sana kwa taarifa zile za kifo cha mama yake. Hakutaka kuamini kama kweli mama yake hatakuwa pamoja nao tena. Machozi yalimbubujika kwa kasi huku akimwita mama take...
View ArticleMshtakiwa wa Kuiba Milioni 7 kwa dakika Aongezewa Kesi Nyingine
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo inatarajiwa kuwapandisha kizimbani wafanyabiashara wawili akiwemo Mohamed Mustafa Yusufali ‘Choma’ aliyewahi kutajwa kuwa anajipatia Sh milioni...
View ArticleMchungaji Anthony Lusekelo Adai Lowassa ni Tishio CCM......Asema Uchaguzi...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu ‘Mzee wa Upako’ amesema kitendo cha viongozi wa CCM kulitaja zaidi jina la Edward Lowassa katika Mkutano...
View ArticleTCU yakanusha taarifa za kuvifungia udahili wa kozi tofauti vyuo 22...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imewatoa hofu wanafunzi waliohitimu katika vyuo vilivyozuiwa hivi karibuni kufanya udahili, huku ikikanusha taarifa za kuzifungia udahili wa kozi tofauti vyuo 22...
View ArticleKoffi Olomide akamatwa DR Congo
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa.Mwanamuziki huyo amekamatwa kwa agizo la ofisi ya mwendesha mashtaka.Olomide alitimuliwa...
View ArticleKikwete: Nashukuru Mungu Kwa Kuutua Mzigo Salama Huku Nikiiacha Nchi Ikiwa...
Na David John PwaniMWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi ikiwa salama tulii kabisa.Amesema kuwa safari yake...
View ArticlePicha: Zitto na Maalim Seif walivyokutana kwenye mkutano Marekani
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wamekutana Katika Mkutano Maalum wa Viongozi wa Kisiasa Ulimwenguni (International...
View ArticleBenki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yamkubali Rais Magufuli.....Yamuahidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Julai, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Frannie Leautier...
View ArticleWaziri Mkuu Aongoza kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Serikali kuhamia...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali kuhamia siyo siasa kama watu wanavyodhani bali ni utekelezaji wa maamuzi kamili na kwamba Serikali inakamilisha eneo la kisheria juu ya uamuzi...
View ArticleAjali: Basi la UDA lagonga Treni Kariakoo....Mmoja Afariki, 45 Wajeruhiwa
Basi la UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakati Basi hilo likotokea stendi ya Gerezani Kariakoo kuelekea Mbagala na...
View ArticleMajambazi sasa kukamatwa kielektroniki
SERIKALI imeanza mkakati mpya wa kuandikisha wananchi waliopo kwenye vijiji na vitongoji kwa njia ya kielektroniki ili kupata takwimu sahihi zitakazosaidia utoaji wa huduma bora kwa jamii.Pia mfumo huo...
View ArticleWizara ya Kilimo yatangaza kuhamia Dodoma wiki ijayo
KATIKA kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kutaka serikali kuhamia Dodoma, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amesema watendaji wa wizara hiyo wataanza kuhamia Dodoma kuanzia...
View ArticleMakonda aibua ufisadi ujenzi Machinga Complex
TAARIFA YA MRADI WA MACHINGA COMPLEX1.0 UtanguliziMnamo tarehe 19 Aprili, 2016 ofisi yangu ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ilipokea barua ya agizo la waziri wa nchi TAMISEMI juu ya kusimamia...
View ArticleAliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Dakika Asomewa Mashitaka Mapya 222
WAFANYABIASHARA wawili, akiwemo Mohamed Yusufali “Choma”, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka 222 ya kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh...
View ArticleChadema kutoa tamko zito Leo Ambalo Litarushwa na Vituo Vitatu vya TV
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinatarajia kulihutubia taifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje kuhusu maazimio ya Kamati Kuu iliyoketi kwa siku nne mfululizo.Maazimio hayo...
View ArticleMawakili zaidi ya 100 Waandamana kudai haki
MAWAKILI wa kujitegema zaidi ya 100 mkoani Arusha, jana waliandamana kwenda kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, kulaani kile walichokiita ukandamizwaji wa sheria za nchi na kazi ya...
View ArticleAskari aliyepatikana na hatia ya kumuua mwandishi Daudi Mwangosi bila...
Leo July 27 2016 Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Iringa imetoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanahabari wa kituo cha Television cha chanel Ten, Daud Mwangosi.Mahakama hiyo imemuhukumu kwenda...
View ArticleNay Wa Mitego Afungiwa na BASATA....... Atozwa Faini Ya Tsh. Milioni 1
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba...
View Article