Picha 8: Mwigizaji Jackline Wolper atangaza kuhama CHADEMA na kijiunga na CCM
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi janaWolper alikaribishwa na mwenyekiti...
View ArticleWasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa...
Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama...
View ArticleRIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 19
Mtunzi: Enea Faidy==> Kama hukuisoma sehemu ya 18 <<Bofya Hapa>>.....DORICE alipozitazama zile nguo zilikuwa ni nguo nzuri sana za kuvutia. Kulikuwa na gauni moja refu linaloacha wazi...
View ArticleMsindai : Nimerudi CCM Kwa Kuwa Sasa Hakuna Cha Kupinga
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na CHADEMA, Mgana Msindai ametangaza kurudi CCM.Msindai alitangaza uamuzi huo jana mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na...
View ArticleKauli ya CHADEMA baada ya wanachama wake kutangaza kujiunga CCM
Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM jana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kiliwapoteza wanachama wake watatu baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).Wanachama...
View ArticleDiwani Akwepa Risasi sita akipambana na majambazi Moshi
Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na majambazi waliokuwa na silaha za moto. Alinusurika kuuawa baada ya...
View ArticleMtandao wa haki za binadamu walia na Jeshi la Polisi
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umelitaka Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuwafikisha mahakamani wanachama wake wanne linaowashikilia kwa siku 12 sasa. Mtandao huo umedai kuwa watu saba...
View ArticleVikongwe wawili wauawa kwa tuhuma za uchawi
Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi na watu wasiojulikana wakituhumiwa kuwa ni wachawi. Kaimu Kamanda wa...
View ArticleAskofu Gwajima amjibu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemuita...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa na siyo...
View ArticleRais Magufuli mgeni rasmi Sherehe za Mashujaa Dodoma
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Kitaifa, yatakayofanyika mjini Dodoma leo.Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa maadhimisho hayo kufanyika...
View ArticleRais Magufuli awasihi watanzania kudumisha amani, umoja na utulivu asisitiza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuwaenzi Mashujaa kwa kudumisha Amani, Umoja na Utulivu uliojengwa na mashujaa hao.Rais Magufuli ametoa rai hiyo...
View ArticleRais Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Samuel M. Nyantahe kuwa Mwenyekiti wa Bodi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Samuel M. Nyantahe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
View ArticleWaziri Mkuu kuhamia Dodoma Septemba mwaka huu......Asema akishahamia,...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atahamia Dodoma ifikapo Septemba, mwaka huu kuonyesha kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza ahadi ilizotoa kwa wananchi.Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Jumatatu, Julai...
View ArticlePicha: Rais Magufuli alivyoisindikiza siku ya mashujaa Dodoma
Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...
View ArticleZitto Kabwe na Maalim Seif Kutua Marekani kwa Clinton
ZITTO Kabwe na Maalim Seif Sharif Hamad kwa pamoja wameitwa jijini Philadelphia, Marekani.Maalim Seif ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha...
View ArticleTaarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa juu ya mauaji ya Daudi...
Mahakama kuu kanda maalumu ya Iringa leo imesendelea na kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha cha Channel Ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi, inayomkabili askari wa Kikosi cha...
View ArticleWabunge chadema kuhojiwa kwa kukiuka agizo la kutofanya mikutano
Jeshi la polisi mkoani Arusha, limewaita kwa mahojiano, mbunge wa Karatu,Wilbroad Qambalo, mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso na Mwenyekiti wa halmashauri ya Karatu,Jubilate Mnyenye...
View Article