Programu za vyuo vikuu ambazo hazijasajiliwa na TCU na NACTE kufutwa
Na: Lilian Lundo -Maelezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi...
View ArticleKikwete Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Taifa Ya CCM Mjini Dododma Leo...
JAKAYA Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anayemaliza muda wake amemtahadharisha mwenyekiti mtarajiwa wa Chama hicho John Magufuli kwa kumweleza kuwa uenyekiti ndani ya CCM siyo lelemama...
View ArticleRipoti ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam Baada ya Kumalizika kwa zoezi la...
Jeshi la Polis kanda Maalumu jijini Dar es salaam limekamata watuhumiwa sugu 1,065 kwa makosa mbalimbali yakiwemo unyang’anyi wa kutumia nguvu, wizi wa maungoni, wapiga debe, wavuta bangi, kikosi cha...
View ArticleKamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura Dar es Salaam
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), itakutana kwa dharura, jijini Dar es Salaam, chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, ambapo pamoja na masuala mengine, itapokea...
View ArticleAskari Polisi Auawa Kwa Kupigwa Risasi akiongoza magari usiku Kijitonyama Dar...
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajenti Mensah wa Kituo cha Polisi Oysterbay ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi akiwa kazini eneo la Sayansi Kijitonyama jijini Dar es...
View ArticleUamuzi wa Bodi ya Mikopo kuhusu Wanafunzi ambao hawajarejesha mikopo yao hadi...
Mnamo mwezi Machi, 2016, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilitoa notisi ya siku 60 ikiwataka wanufaika wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kujitokeza na kuanza kurejesha mikopo yao....
View ArticleVigogo wote Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Watumbuliwa MAJIPU
SERIKALI imemuondoa katika nafasi yake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Gerald Kamwenda na wakurugenzi wenzake, katika jitihada za kufumua na kusuka upya shirika hilo.Waziri wa...
View ArticleUjumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Gumzo......Kamwambia "Ukikua chonde mama...
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii.Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kuhusu Kufunguliwa Kwa Mfumo Wa Udahili Wa Pamoja (CAS)...
Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili...
View ArticleMo Dewji kugawa nusu ya mali zake kwa Watu Masikini
MKURUGENZI Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL Group), Mohammed Dewji, ameungana na matajiri wakubwa duniani, kutangaza azma ya kugawa nusu ya mali zake kusaidia...
View ArticleRIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 1 & 2
Ningependa Kukushukuru Mpenzi Msomaji, Uliyekuwa Nasi Katika Simulizi Ya Kwanza Ya Mwanafunzi Mchawi. Hiyo Riwaya bado inaendelea na ndo kwanza imefikia patam. Wakati tukiendelea na Riwaya hiyo,...
View ArticleSerikali ya Kenya yamtimua Koffi Olomide Kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike
Serikali ya Kenya mapema leo imechukua uamuzi wa kumtimua mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide kufuatia tukio alilolifanya jana la kumpiga mnenguaji wake wa kike katika...
View ArticleNtahakikisha Serikali inahamia Dodoma :Rais Dkt.Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema katika kipindi cha uongozi wake atahakikisha Serikali inahamishia makazi yake mjini Dodoma.Amesema hayo leo, wakati alipokuwa...
View ArticlePicha za Rais Magufuli Alivyochaguliwa Kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM Kwa Kura Zote
Mwenyekiti aliyemaliza Muda wake Dkt Jakaya Kikwete pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli wakiwapungia mkono Wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum mara baada ya...
View ArticleAlichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM
Jana July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli alikabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna...
View ArticleAlichokisema Rais Magufuli Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM
MWENYEKITI wa tano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, amewaomba wanachama wa chama hicho kumuombea kwa Mungu ili apate uvumilivu wa mtangulizi wake, Mwenyekiti mstaafu, Jakaya...
View ArticleKinana Ajiuzulu..........Achaguliwa Tena mbele ya Mkutano Mkuu Kuwa Katibu...
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo kwa Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais John Magufuli, lakini Rais amekataa barua yake hiyo.Badala yake, Rais Magufuli amemtaka...
View ArticleLowassa na Sumaye Wapewa MAKAVU Ndani ya Mkutano wa CCM .........Mpendazoe...
VIGOGO mashuhuri wa Chadema waliowahi kuwa mawaziri wakuu; Edward Lowassa na Frederick Sumaye, jana waligeuka gumzo ndani ya Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kumchagua Rais John...
View Article