Benard Membe Akaribishwa CHADEMA
Waziri wa zamani wa Mamboya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amekaribishwa kujiunga na Chama Cga Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiwa ni siku chache tangu atoe maoni yake akiikosoa...
View ArticleMembe Azungumzia Mpango wa Kustaafu Siasa..... Aanza Kuandika Vitabu Kama...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema hana mpango wa kustaafu siasa kwa sababu haina mwisho.Pia, amesema kwa sasa anafanya kazi ya uandishi wa vitabu kwa...
View ArticleVyama Vya Siasa Vyaaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Zanzibar
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi ameviasa Vyama vya Siasa kushiriki chaguzi zinazotangazwa na tume za uchaguzi nchini ikiwemo uchaguzi wa Machi 20, mwaka 2016 uliotangzwa na...
View ArticleTaarifa Ya Ufafanuzi Kuhusu Malipo Ya Umeme Kwa Askari Polisi
Katika gazeti la Tanzania Daima ukurasa wa 5, toleo namba 4070 la tarehe 25 Januari, 2016, lilichapisha habari yenye kichwa cha habari Polisi “waisoma” namba. Sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kuwa...
View ArticleTRA Yawaomba Wananchi Kutoa Ushirikiano
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa wanaofanya kazi kinyume na maadili.Akiongea na mwandishi wa habari hii leo Jijini Dar es salaam...
View ArticleChadema Yaishushia Tuhuma CCM Kwa Udhalilishaji
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani vitendo vya vurugu vinavyochochewa na viongozi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Kauli hiyo imetokana na kitendo kilichotokea jana katika...
View ArticleIdara Ya Uhamiaji Yaja Na Hati Mbili Za Muda Mfupi Kwa Wageni.
Idara ya Uhamiaji imeanzisha hati mbili ambazo zitatumika kwa wageni wanaoingia na wanaotoka nje na kuondokana na hati ya awali ya muda mfupi (CTA).Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es...
View ArticleCUF Kuandamana Kesho
VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la Polisi...
View ArticleMbowe ahoji askari wa Bara kupiga kura Z'bar.
MBUNGE wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ), Freeman Mbowe ameibana serikali leo na kutaka ieleze ni kwanini askari wa jeshi kutoka bara wanapelekwa Zanzibar kwa ajili...
View ArticleKampuni ya Lake Oil Yakamuliwa Bilioni 8.5 Kwa Kuingiza Mafuta Na Kukwepa...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru), imetoa onyo kwa taasisi nyeti nne hapa nchini ikiwemo wanaohusika na matumizi ya fedha za Umma kufuata sheria, taratibu na kanuni....
View ArticleHakimu Agoma Kujitoa Kesi ya Kulawiti
Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Said Mkasiwa amekataa kujitoa katika kesi ya kulawiti na kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii inayowakabili washitakiwa Erick Kassira...
View ArticleViongozi wa UKAWA Kutoa Msimamo Wao Juu ya Suala la Zanzibar
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema utatoa msimamo juu ya hali ya siasa ya Zanzibar baada ya kikao cha kamati tendaji kuketi na kutoa msimamo. Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman...
View ArticleAndrew Chenge Achaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bunge.....Asema Suala La Escrow...
MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge kwa kipindi cha miaka miwili na nusu.Uchaguzi huo ulifanyika...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada Ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
View ArticleHotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa
Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji wawili...
View ArticleWaziri Kitwanga Aanika Siri Ya Kutumbuliwa Kwa Vigogo wa Mamlaka ya...
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) waliokumbwa na ‘operesheni tumbua majipu’, walikutwa na mali nyingi “kupita maelezo”, kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles...
View ArticleWapambe Wa Wassira Kukata Rufaa Kupinga Hukumu Ya Mahakama Kuu Iliyohalalisha...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Esther Bulaya, wadai katika kesi hiyo wanatarajiwa kupinga uamuzi huo...
View ArticleHausigeli Afariki Kwa Kulawitiwa Na Bosi Wake
Mtumishi wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, amekufa kwa madai ya kulawitiwa na bosi wake, Zablon...
View ArticleMatukio Mbalimbali Ya Bunge Leo Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016. Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Elimu ,...
View Article