Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhandisi George Sambali Ateuliwa Kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka ya...

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Profesa Makame Mbarawa amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Mhandisi George Sambali kukaimu nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Andrew Chenge Ateuliwa Kuwania Uenyekiti wa Bunge

Kamati ya Uongozi ya Bunge  imepitisha majina matatu ya wabunge watakaowania nafasi ya uenyekiti wa Bunge.Majina hayo yamepitishwa na kamati hiyo iliyoketi jana  kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la ESCROW: Magufuli mkamate Seth wa IPTL

JUMUIA ya Wanazuoni Watetezi wa Rasilimali nchini (JUWARA), imewataka wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajia kuanza rasmi vikao vyake vya kujadili hotuba ya Rais aliyoitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Esther Bulaya Ashinda Kesi Ya Kupinga Ushindi Wake Iliyofunguliwa na Stephen...

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wapambe  wa  aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya CCM, Stephen Wassira kwa madai kuwa waleta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa NIDA......Awarudisha Nyumba...

1.0           Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)1.1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz: Baada Ya Nape Nnauye Mimi Ndo Waziri wa Habari Na Michezo...

Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.Akizungumza katika kipindi cha Papaso cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Januari 26

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Rwegasira Ataka...

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira amewataka viongozi wakuu wa Jeshi la Polisi nchini kuhakikisha wanawachukulia hatua kali askari polisi wenye tabia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamko La Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini

Tamko  La  Serikali   Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini Lililotolewa Na Mhe. Ummy Mwalimu (mb); Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto______________________Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Daraja La Kigamboni Kuanza Kutumika Machi Mosi

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano sehemu ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga amesema daraja la Kigamboni litaanza kutumika kuanzia Machi mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa CHADEMA Atimuliwa Kwenye kikao na Polisi

Mbunge wa Kilombero, Peter Elijualikali jana alijikuta akitolewa nje ya kikao cha Halmashauri ya Kilombero na jeshi la polisi kwa amri ya Mwenyekiti wa kikao hicho kwa madai kuwa sio mjumbe halali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Lukuvi Awapa Manispaa Siku 30 kubomoa Ghorofa Hili Lililojengwa Chini...

Jengo refu lilojengwa chini ya kiwango lililopo katika mtaa wa Indiraghandi jijini Dar,kama lionekanavyo pichani.WAZIRI wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaagiza watendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Ampongeza Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Ban...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi wa Umma Wahimizwa Kuvaa Beji Zianazoonesha Majina Yao.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ameagiza na kusisitiza ofisi zote Umma kusimamia na kuhakikisha kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu kila watumishi awe na kitambulisho (beji)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la Vigogo Watatu NEMC Waliosimamishwa na Mh. January Makamba Kazi...

Sakata  la maofisa watatu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), waliosimamishwa kazi kwa tuhuma ya kukiuka miiko yao ya kazi, limechukua sura mpya, baada ya Waziri wa Nchi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge la 11 Linaanza Leo.....Haya ni Mambo 8 Yatakayowasha Moto Bungeni

Kikao cha pili cha Bunge la kumi na moja linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati ya wabunge wa vya upinzani vinavyounda Ukawa na wabunge wa CCM kimeanza leo mjini Dodoma huku mambo 8 muhimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Amuua Mwanae Kwa Kichapo Na Kisha Kuitundika Maiti Yake Mtini

Mtoto wa miaka 11, Nchambi Tungu, ameuawa kikatili na mama yake mzazi kwa kuchapwa fimbo kisha kumfunga kamba shingoni na kumning’iniza kwenye tawi la mwembe ili ionekane kuwa amejinyonga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Simbachawene Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. George Simbachawene amemvua madaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma, Bw. Augustino Kalinga kufuatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni Ya UDA Yakanusha Kufilisika

Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Wa Chuo Cha IFM Afikishwa Mahakamani Kwa Kumwingiza Mtoto Vidole...

Mwanafunzi  wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Mussa Msafiri (23), alipandishwa kizimbani   katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jana akituhumiwa kumwingizia vidole sehemu za siri mtoto  mwenye...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>