Tanzania Yafafanua Msimamo Wake Kuhusu Mgogoro Wa Urusi Na Ukraine
Na Mwandishi Wetu, Dar Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro...
View ArticleProfesa Kikula Awataka Maafisa Madini Wakazi Wa Mikoa Kutatua Changamoto Za...
Greyson Mwase na Mwanahamisi Msangi, DodomaMwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa Nchini kuweka utaratibu wa kukutana na wachimbaji wa madini na...
View ArticleDkt Mabula Aonya Uvamizi Maeneo Ya Taasisi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka Taasisi zote nchini kuhakikisha zinalinda maeneo yake ili kuepuka uvamizi unaoweza kufanywa na wananchi.Aidha, amesema ni...
View ArticleWahukumiwa Miezi Sita Baada Ya Kufanyiana Usaili Wa Kuandika Unaoratibiwa Na...
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi...
View ArticleBASATA: Steve Nyerere asianze kazi
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limetoa maelekezo kwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, asianze kutekeleza majukumu ya nafasi hiyo hadi hapo...
View ArticleMrema afunga ndoa na mkewe Doreen Mkoani Kilimanjaro
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 amefunga ndoa na Doreen Kimbi katika kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro.Mke...
View ArticleSerikali Yaitaka Jamii Kufuatilia Taarifa Za Hali Ya Hewa Na Kuchukua Hatua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kufuatilia taarifa za hali ya hewa na kuchukua hatua za mapema ili kuepuka majanga yanayosababishwa na hali mbaya ya...
View ArticleAhukumiwa Miaka 19 Jela Kwa Kosa La Wizi Wa Fedha Mtandaoni
Na John Walter-ManyaraMahakama ya wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemhukumu Gusurugusta Ginanai(35) mkazi wa Serengeti kwenda jela miaka 19 kwa kosa la wizi wa fedha mtandaoni.Akisoma hati ya...
View ArticleDkt. Mwigulu Akutana Na Timu Ya Watalaamu Kutoka Benki Ya Maendeleo Ya Afrika
Na. Ramadhani Kissimba na Saidina Msangi – WFM DodomaWaziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na timu ya watalaam kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ili kujadili...
View ArticleTanzania Miongoni Mwa Nchi Zinazochangia Asilimia 30 Ya Wagonjwa Wa Kifua Kikuu
Na. WAF – TANGATanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa wa kifua kikuu ambazo zinachangia asilimia 87 ya wagonjwa wote duniani.Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
View ArticleMajaliwa: Tanzania Kuisaidia Msumbiji Kukomesha Vitendo Vya Kigaidi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi katika nchi hiyo.Ameyasema hayo jana (Alhamisi,...
View ArticleUmoja Wa Mataifa Waipatia Tanzania Dola Bilioni 1.85 Kusaidia Maendeleo Nchini
Na. Eva Valerian, WFM - DodomaTaasisi ya Umoja wa Mataifa imeipatia Tanzania msaada wa jumla ya dola za Marekani bilioni 1.85 ambazo ni takribani shilingi trilioni 4.3, kwa ajili ya kutekeleza afua...
View ArticleWaliokataa Kuondoka Hifadhi Ya Saadan Kufanyiwa Tathmini
Na Munir Shemweta, WANMM PWANIWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema kaya 18 zilizokataa kuondoka kongoji cha Uvinze kilichopo ndani ya hifadhi ya Saadan Bagamoyo...
View ArticleDiamond Apongeza Serikali Ya Rais Samia Kwa Kuwasaidia Wasanii, Kurejesha Tuzo
Na. John MapepeleMkurugenzi Mkuu wa Wasafi na Msanii maarufu ndani na nje ya Bara la Afrika, Diamond Platinum amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Rais Samia Suluhu Hassan kupitia...
View ArticleIGP Sirro Awapa angalizo Wakuu Wa Upelelezi Wa Mikoa Na Vikosi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowasilishwa na wananchi hasa kuhusiana na makosa ya...
View Article