Kutana Na Shekhe Yasini Saidi Mtaalaam Wa Tiba Asilia Anatoa Huduma Ulimwenguni
📍KUTANA NA SHEKHE YASINI SAIDI MTAALAAM WA TIBA ASILIA ANATOA HUDUMA ULIMWENGUNI KOTE TANZANIA🇹🇿,KENYA🇰🇪,UGANDA,CANADA🇨🇦,NA FALME ZA KIARABU🇺🇬,SOUTH AFRICA🇿🇦,MAREKANI🇺🇸, NIGERIA🇳🇬, Kokote Duniani...
View ArticleWakurugenzi Halmashauri Watakiwa Kuboresha Ofisi Za Maafisa Ardhi
Na Anthony Ishengoma.Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini wametakiwa kutenga fedha zitokonazo na faida ya miradi ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kuboresha ofisi za Maafisa Ardhi pamoja na...
View ArticleDkt.Mpango: Serikali Inaendelea Kushughulikia Changamoto Za Wazee Hasa Kwenye...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema serikali ya awamu ya sita inaendelea kushughulikia changamoto za wazee hasa katika sekta ya afya pamoja na ulipaji wa mafao...
View ArticleUrusi yasema imerusha kombora la hypersonic dhidi ya ghala la silaha Ukraine
Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Urusi amesema kuwa Moscow imeharibu bohari ya chini ya magharibi mwa Ukraine kwa kutumia makombora ya kurusha sauti.Igor Konashenkov amedai kuwa ghala hilo lilikuwa na...
View ArticleJaji Mkuu: Magufuli Alimuagiza Kunambi Atupatie Kiwanja Dodoma
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Juma ameeleza kuwa aliyekua Rais wa awamu ya tano, Dk John Magufuli alimuagiza aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuwapatia Mahakama kiwanja ili...
View ArticleSerikali Yatenga Bilioni 1 Kwa Ajili Ya Mafunzo Ya Waongoza Watalii Wanawake...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mpango wa Maendeleo na Ustawi wa Taifa wa Mapambano dhidi ya UVIKO -19 imetenga shilingi bilioni 1.01 kwa ajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo...
View ArticleJe, Unasumbuliwa na Tatizo la Kisukari na Nguvu za Kiume?...SUPER NHESHA ni...
SUPER – NHESHANi dawa ya kutibu tatizo la sukari au jina la kitaalamu (Diabetes Mellitus) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo Mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari...
View ArticleKamati Ya Bunge Yampongeza Rais Samia
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Samia Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuendeleza mradi wa ujenzi meli ya MV Mwanza ili...
View ArticleUrusi yadai kuwauwa wanajeshi 100 wa Ukraine mjini Schytomyr
Shambulio la Urusi katika kituo cha mafunzo cha karibu na mji wa kati wa Ukraine wa Schytomyr ladaiwa kuwauwa wanajeshi 100 wa Ukraine na wengine wa kigeni. Taarifa hizo zinatolewa katika kipindi...
View ArticleMakombora Ya Urusi Yaipiga Shule Walikohifadhiwa Watu 400
Mamlaka katika mji wa bandari uliozingirwa nchini Ukraine, Mariupol imesema jeshi la Urusi limeishambulia shule ya sanaa ya mji huo, eneo ambalo lilikuwa likiwahifadhi takribani watu 400 waliopoteza...
View ArticleViongozi Wa Dini Watakiwa Kuelimisha Waumini Umuhimu Wa Sensa Ya Watu Na Makazi
Serikali imewataka viongozi wa dini nchini kuwaelimisha waumini wake umuhimu wa kuhesabiwa katka sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu.Aidha, imewataka viongozi wa dini...
View ArticleNdege ya China Eastern Airlines iliyobeba watu 132 yaanguka huko Guangxi
Ndege ya shirika la ndege la China Eastern Airlines aina ya Boeing 737 iliyokuwa imebeba watu 132 imeanguka katika mkoa wa Guangxi, vyombo vya habari vya serikali ya China vinaripoti. Idadi ya...
View ArticleFaru Rajabu afariki dunia
Faru Rajabu amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 43.Faru Rajabu alikuwa mtoto wa faru maarufu aliyejulikana kama Faru John aliyefariki mapema mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 47.Kwa...
View ArticleUkraine Yakataa Wito wa Urusi wa Kujisalimisha
Maafisa wa Ukraine wamekaidi masharti ya Urusi ya kuwataka wanajeshi wa Ukraine walioko katika mji uliozingirwa wa Mariupol waweke chini silaha zao na kusalimu amri, ili wapewe njia salama ya kuondoka...
View ArticleWahouthi wafanya mfululizo wa mashambulizi dhidi ya Saudi Arabia
Waasi wa Kihouthi wamefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani na makombora katika vituo muhimu vya nishati vya Saudi Arabia, na kusababisha moto katika kituo kimoja wakati kituo kingine...
View ArticleTanzania, EU Zakutana Kujadili EPA
Na Mwandishi wetu, DarSerikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania.Akiongea wakati...
View ArticleWaziri Dkt Mabula Aonya Wanaotegesha Kupata Fidia
Na Munir Shemweta, WANMM SENGEREMAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaonya wananchi wanaojenga au kupanda mazao kwenye maeneo yanayopangwa kutwaliwa na Serikali kwa...
View Article