Infinix mbioni kuja na TOLEO Jipya la Infinix HOT -HOT 10 Lenye Kioo Kipana...
Betri yenye ujazo mkubwa kwa matumizi mbalimbali kama vile kucheza games, kuangalia video pasipo hofu ya kuzima ndio mategemeo makubwa tulionayo wadau wa Infinix HOT 10 na hii ni baada ya picha kuvuja...
View ArticleTundu Lissu atakiwa kuripoti kituo cha Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro - IGP...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amemtaka mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Tundu lissu kuripoti kituo cha Polisi Moshi Kilimanjaro kutokana na kitendo...
View ArticleTrump na Mkewe wakutwa na virusi vya corona
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba yeye na mke wake Melania Trump wamepatikana na virusi vya corona na wako kwenye karantini. Ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa Twitter.Tangazo hilo...
View ArticleTARURA yatekeleza ahadi za Magufuli
Na. Erick Mwanakulya, Kagera.Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutetekeleza miradi ya Ahadi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kukamilisha ujenzi wa Barabara zenye...
View ArticleMgombea ubunge jimbo la Bariadi Mhandisi Andrea Kundo aahidi kumaliza...
Samirah Yusuph,MwananchiBariadi, Mgombea ubunge jimbo la Bariadi Mhandisi Andrea Kundo, Ameahidi kumaliza kero ya wanyama( tembo ) kuvamia makazi ya wakazi wa kata ya Gilya na Gibeshi katika wilaya ya...
View ArticlePolisi Dar es Salaam wasitisha wito wa kumuita Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM leo October 2, 2020, limesitisha wito wa kumtaka mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania CHADEMA Tundu Lissu kufika kituo cha polisi na badala yake...
View ArticleTundu Lissu Asimamishwa Kufanya Kampeni Za Uchaguzi Kwa Siku Saba
KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu,...
View ArticleRais wa Marekani Donald Trump Apelekwa Hospitali Baada ya Kupata Corona
Rais wa Marekani Donald Trump jana amepelekwa katika hospitali ya kijeshi kupatiwa matibabu baada ya kukutikana na ugonjwa wa Coreona. Trump amehamishiwa katika hospitali ya Walter Reed saa 17 baada ya...
View ArticleJela Miaka 7 Kwa Kutumia Jina la Waziri Mkuu Kujipatia Fedha
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Issa Mohhamed (27) miaka saba jela katika makosa 11 ikiwemo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kujitambulisha na kutumia jina la Waziri Mkuu,...
View ArticleWaziri Bashungwa Akagua Ujenzi Wa Kiwanda Cha Maziwa Karagwe, Aagiza Katibu...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe kufika kwenye kiwanda cha maziwa kinachojegwa kihanga, Karagwe ili...
View ArticleMajaliwa: Jiandaeni Kutumia Fursa Ya Reli Ya Kisasa Na Bandari Kavu
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewakata wakazi wa Isaka, wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wawe tayari kutumia fursa ya ujenzi wa reli...
View Article“Hatuwezi Kuwaacha Wasanii - Majaliwa
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Serikali ijayo ya CCM itaendelea kuwaunga mkono na kuwaendeleza wajasiriamali wakiwemo...
View ArticleSampuli 30,040 Za Udongo Zapimwa Mikoa 18 Kujua Afya Ya Udongo
Wizara ya Kilimo imefanikiwa kukusanya sampuli za udongo kutoka mikoa 18 ya Tanzania bara kwa lengo la kupima ili kujua tabia za udongo katika maabara ya kituo cha Utafiti wa Kilimo (TARI) Selian hali...
View ArticleWananchi wamuagiza Mgombea ubunge jimbo la Bariadi kutimiza ndoto ya watoto...
Samirah YusuphMgombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Bariadi mkoani Simiyu kwa tiketi ya CCM Mhandisi Andrea Kundo amesikitishwa na hali ya watoto wa kike kushindwa kufikia ndoto zao kwa changamoto...
View ArticleTundu Lissu Atoa Kauli Baada ya NEC Kumsimamisha Kufanya Kampeni Kwa Siku...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa kumsimamisha kufanya kampeni siku...
View ArticleKamati ya Maadili - NEC Yasisitiza Adhabu Aliyopewa Tundu Lissu ni SAHIHI na...
Kamati ya maadili ya taifa imesisitiza kuwa adhabu iliyotolewa na kamati hiyo kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe.Tundu Lissu ni sahihi na haruhusiwi kupanda kwenye jukwaa lolote la siasa hadi...
View ArticleChama Tawala Nchini Kenya Chapendekeza Naibu Rais wa Kenya, William Ruto...
Chama cha Jubilee kimependekeza Naibu Rais wa Kenya, William Ruto kuondolewa katika nafasi yake kama Naibu Kiongozi wa Chama hicho.Katibu Mkuu wa Jubilee, Raphael Tuju amedai Ruto ni mjeuri, ana dharau...
View Article